Рет қаралды 2,947
Matunda ya pesheni au karakara ni mojawapo ya matunda maarufu humu nchini yakiwa na hitaji kubwa katika masoko ya ndani na nje. Aidha wakulima wadogo wamependezwa na tunda hili kutokana na mapato yake mazuri. Katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, mkulima mmoja amenufaika na kilimo hiki