Рет қаралды 2,824
Ukulima wa maparachichi aina ya hass umekumbatiwa na wengi
Kilimo cha maparachichi ya kampuni ya Kakuzi Makuyu, Murang'a
Tunda la hass lina ganda la kijani hata likiiva, na vidutu vidogo
Mparachichi huchukua kati ya miaka 2-3 kabla ya kuzaa matunda