kilimo cha matango ni kilimo chenye muda mfupi sana tangu kupanda adi kuanza kuvuna
Пікірлер: 63
@evanccast622818 күн бұрын
Asante kwa elimi ndugu nimekupata vizuri sana
@AGALUSTV17 күн бұрын
Tupo pamoja ndugu
@KhalidKhan-ud9cz4 ай бұрын
Mzuri Sana kweli 💖
@AGALUSTV4 ай бұрын
Barikiwa Sana ndugu
@user-zh2vh7zd7h Жыл бұрын
Shukrani sana kwa mafunzo ila unaposema mbolea ya matunda bila kutaja jina la mbolea kidogo inatupa shida
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa ndugu shida majina yanaweza badili ka kutokana na muda ni vzur utakapo enda kwa duka LA pembejeo WATAKUPA iliyopo muda huo. Hii video ktk channel itakua miaka yote. Hilo tu ndyo sababu ndugu 🙏🏿 japo tumelichukua
@ezekielmahalu4224 Жыл бұрын
Hongera sana nimeipenda hii
@AGALUSTV Жыл бұрын
Hongera Sana pia japo ni ya muda kdogo kwa iyo tumia uo Mwanga kupata hesabu kwa bei za sasa
@user-jo3po7lz1r Жыл бұрын
Unafundisha vizur Sana Mungu azidishe maarifa
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina🙏Ubarikiwe pia
@KH-on8pp3 жыл бұрын
Kazi nzuri na rahisi tuambie maradhi na zake
@AGALUSTV3 жыл бұрын
🙏🙏
@JEFF-jr1tc2 жыл бұрын
Kipindi Cha mvua je...tango linasoko au ndio chenga tena
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Hutegemea na eneo
@user-sd6kd4lx1y11 ай бұрын
Namba za cm
@AGALUSTV11 ай бұрын
OK ndugu wasap +255765467484
@deuslyoba17832 жыл бұрын
Nimependa
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Pa1🤝
@godfreytindwa60003 жыл бұрын
Heka moja inahitaji mtaji kiasi gani
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Iyo ni nusu heka na mtaji wake ndyo uo kwa iyo kw hekar 1 ni x 2🙏
@asnethhoseah58203 жыл бұрын
Great
@AGALUSTV3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@annaernest72113 жыл бұрын
Soko Sana kwa hapa Tz
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Maeneo yenye kua kali au joto kw wingi Matango yana liwa sana . Njia ya kupata soko ni kwenda kwenye minada au soko ni kabla ya kuanza kukomaa waweza fanya utafiti wa order mapema kwani matango hayachukui muda mrefu yakijitaid ni ndani y wiki 4 au 5 yatakua yameisha yote. Kumbuka kuepuka kulima msimu ambao watu wengi watalima so fanya uchunguz eneo unalo ishi ni wkt gani tango linakua adimu so tumia gharama yeyote kawekeze wkt uje kuvuna msimu adimu Mfano wkt w miez 8 adi 12 apo Matango maeneo mengi uwa adimu kw iyo tumia njia y kumwagilia, au tafuta shamba mtoni ivi Nafikiri tumeelewana
@jesusfirstchurch41622 жыл бұрын
Safi
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Pa1 sana🤝🤝
@SAMMEDIA2553 жыл бұрын
Shukrani
@AGALUSTV3 жыл бұрын
100
@ezekielmahalu4224 Жыл бұрын
Je ni punje moja tu kila shimo au naweza kupanda zaidi ya mbegu moja kwa kila shimo?
@AGALUSTV Жыл бұрын
2/1
@genovivakahema56553 жыл бұрын
Toa mawasiliano bas hata kwa kulipa tutalipa
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ucjali ndugu yangu huitaji ata kulipia. Piga kwa namba hihi 0786097274/0765467484 🙏🙏🙏
@chrispinbanzi82523 жыл бұрын
Hivi soko la matango niwapi?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Soko ninaanzia na mahali unapoishi baadae unatafuta nje ya apo
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Kuna jibu apo juu tumelijibu kuhusu Soko👆👆👆
@trexphovy58323 жыл бұрын
Nimeipata HII kupitia facebook iko poa kabisa yan
@AGALUSTV3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Good
@dullyhaleem69623 жыл бұрын
kwa iyo mzee unataka kusema kwamba nusu heka inatosha kupanda miche elfu 3?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Yes kama somo linavyo jieleza
@dullyhaleem69623 жыл бұрын
ishu soko bro
@geophreyponera42542 ай бұрын
Vipi nikipanda ya kienyeji?
@AGALUSTV2 ай бұрын
Sawa tu ila ubora wake na soko litakumbua
@neyhassanimsulwa49933 жыл бұрын
Mawasiliano naomba
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ok
@AGALUSTV3 жыл бұрын
0786097274
@annaernest72113 жыл бұрын
Na Mimi natak kujua
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ok 👌
@valeriangustav69153 жыл бұрын
Vp jee jua kali huathiri ukuaji wa matango?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ndyo tena sana tu Utaona tango linakua la uchungu
@magesajoni54983 жыл бұрын
@@AGALUSTV nje unaweza kutumia mbolea gan
@lameckrwekaza97392 жыл бұрын
Whatsap namba plz
@AGALUSTV2 жыл бұрын
+255765467484
@georgemajigwa11773 жыл бұрын
Huja sema mbolea ya kupandia ya dukani ni aina gani na ya matunda pia ni aina gani?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Okay 🙏🙏
@magesajoni54983 жыл бұрын
Mbolea ya kupandikiza
@magesajoni54983 жыл бұрын
Ya dukan aina gan ndung
@lawrenciamkolwe7962 жыл бұрын
Msim huu naweza kulima
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Yes unaweza
@lawrenciamkolwe7962 жыл бұрын
Sawa
@AGALUSTV2 жыл бұрын
🙏🙏
@lawrenciamkolwe7962 жыл бұрын
Mimi nataka nilime kitungu swaum msim huu naweza kulima je kuandaa shmba hadi kuvuna nachua mda gani namtaji kiasi gani kwa eka 1