Asante kwa kazi nzuri. Kwa spacing ya 70x60cm robo eka (na siyo nusu) ndo inaingia miche 2900. Tafadhali tusaidie tuwe na hakika kama ni nusu au robo tunayoiongelea hapa.
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Nusu eka wastani nimechukulia mita 35 na mita 1 ima sm 100 so ktk mita 35 ina jumla ya sm 3500 so ukichukua 3500÷60 utakua na mashimo 58 iyo ni shimo kw shimo Kwa mstar kw mstar sm 3500 gawa kw 70 utakua na mistari 50 Sasa ukizidisha mashimo 58× mistari 50 jumla utakua na mashimo mangapi??? Tusaidiane hesabu ndugu maana izi hesabu za kuzidisha sometimes mziki….
@kajunagify3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Asante kwa response ya haraka. Kwa hiyo umeconsider ukubwa wa cm 3500x3500 ambayo hiyo ni ROBO eka. Nusu eka ni 3500x7000 cm na eka nzima ni 7000x7000 cm. Inafurahisha zaidi maana hapo nusu eka inaweza kutoa up to 14 Millions
@user-br3sc8bm4t2 жыл бұрын
Shukran sana kwa somo Zuri Sana nimejifunza kitu Allah akubariki
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Amin🙏
@CraftWithAnnaya3 жыл бұрын
nice work keep up the good work.. well done
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Thank you
@Maha-fl9qe Жыл бұрын
Allah akuzidishie elimu brother .Ameen 🤲
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amin✍️🙏🏿🙏🏿🤝👏
@joscelynemuna34113 жыл бұрын
Nimefurahia somo sana! Masoko ya matango nayapataje brothee
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Yapo ndugu
@moregracerecordlabeltv58933 жыл бұрын
great work here,,, very educative
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Thank you
@athumanabdury90936 ай бұрын
Naomba kuuliza vp nitapataje mbegu bora
@AGALUSTV6 ай бұрын
Zipo MADUKA ya Kilimo
@rizikiramadhani86783 жыл бұрын
Elimu yako ni nzuri sana mkuu mungu akubariki sana ila naomba jina la hiyo mbegu
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Amina ndugu Bt jina ni Seminis, hybrid seeds . jina la kibiashara ila ukienda tu dukani kaulizie mbegu za matango za hybridi izi kidogo Zina Bei Kat ya 30 elfu had 40 apo zinacheza kwa pacts ambayo ina mbeg 1000
@magrethjoachim43713 жыл бұрын
Soko nalipataj
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Magret. Soko lipo ni kujitangaza tu na kufuatilia maeneo mbali mbali
@allworldstrendshere13784 жыл бұрын
Nimeipenda hii ahsante sana kwa makala nzuri
@AGALUSTV4 жыл бұрын
Thnx kaka naomba usubscribe upate zingine zijazo
@AGALUSTV4 жыл бұрын
Asante nawe B blessed
@user-qm2ds9mr9rАй бұрын
Kwenye gharama za uwekezaji hukuweka gharama za kamba, umwagiliaji maji, vyombo vya kutumia kumwagilia sumu hivyo.
@AGALUSTVАй бұрын
Yes tunashukuru kwa hilo
@abeliasajile25353 жыл бұрын
Pole na kazi naomba msaada nimeliona Matango lakini ni machungu shida iko wapi naomba msaada tafadhali
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pole Nawe bt iyo shida Mara nyingi uwaga ni upungufu wa maji
@husseinfungafunga44754 жыл бұрын
Elimu nzuri saan,watanzania tuthubutu tutaweza
@AGALUSTV4 жыл бұрын
Yes
@mbazimoses9030 Жыл бұрын
Namba za cmu
@flozzykenya70184 жыл бұрын
Good content
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Thnx
@michaelgershon90773 жыл бұрын
Kazi nzuri, nimeelimika na nimehamasika sasa naenda kulima matangoooooooooo
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu tuwekeze kwenye kilimo ki bihashara
@athumanabdury90936 ай бұрын
Kabisa na mimi naenda kulima matango make maharage na mahindi ni pasua kichwa sana
@athumanabdury90936 ай бұрын
Ila sasa masoko sijui kama tutatoboa na vp kusafirisha kutoa mzigo shambani kuupeleka sokoni naomba ufafanuzi mkuu
@AGALUSTV6 ай бұрын
Karibu ktk kilimo
@AGALUSTV6 ай бұрын
Apo ufanye uchunguzi ktk eneo lako je itakuaje
@pulcheriamayombo52222 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri naomba majina ya dawa na mbolea
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Ok
@joviangeofrey72122 жыл бұрын
@@AGALUSTV nililima ila baada ya muda nikawa nakuta wadudu ndani. Dawa gani ya asili iliyo nzuri?
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Apo dawa ni za dukani tu 🙏🤝 zipo za wadudu hupigwa kila wiki , 🤝🙏
@obeymunisi20593 жыл бұрын
safi sana kwa channel nzuri
@AGALUSTV3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ashangonyani79893 жыл бұрын
Asante nashukuru kaka
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa 1 sana ndugu Barikiwa🙏🙏🙏
@GOBAMUSHROOMTV5 ай бұрын
Mbolea ya kiwandani mnayotumia ni aina gani
@AGALUSTV5 ай бұрын
ZA kupandia, kukuzia, na matunda
@Maha-fl9qe Жыл бұрын
Ma shaa Allah
@AGALUSTV Жыл бұрын
Barikiwa ndugu
@ramadhankyando31014 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@AGALUSTV4 жыл бұрын
Asante sana
@linuskagenyi42082 жыл бұрын
Asant kwa somo lako mimi nataka kulima kama mafundisho ya kweli
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Karibu
@TitoLemoFirelandTv4 жыл бұрын
Nzuri
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Pamoja🙏🤝
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Muwe mnataja aina Bora za viuatilifu kwa Kila zao kwa uzoefu wenu
@AGALUSTV Жыл бұрын
Sawa ndugu tunashukuru kwa ushauri 🙏🏿✍️🤝
@ibnushaka2028 Жыл бұрын
Nice
@AGALUSTV Жыл бұрын
Welcome
@husseinfungafunga44754 жыл бұрын
Safi saaaaana
@AGALUSTV4 жыл бұрын
Thnx
@vicentkamwaya35424 жыл бұрын
Safi, Mkuu hujasema tango unaweza kuvuna kwa mda gani mpaka linazeeka
@AGALUSTV4 жыл бұрын
Tango lililo hudumiwa vizur huchukua adi wiki 6 ndipo mavuno yanaweza Isha shambani
@samweligerediusi1794 Жыл бұрын
Mwalimu mi ni mfutiraji sana wa makala zako ila kwa mimi ambae nipo dare es salaam nawezaje kupata shamba la kukodi?
@AGALUSTV Жыл бұрын
Kwa wapi sasa ilo shamba unataka
@mbazimoses9030 Жыл бұрын
Namba zenu
@AGALUSTV Жыл бұрын
Wasap +255765467484
@lawrenciamkolwe7962 жыл бұрын
Naenda kulima Naomba kujua to soko la kuuzia matango
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Masoko hayapo special kwa Ajiri y Matango ila tunatumia masoko YETU aya aya
@lawrenciamkolwe7962 жыл бұрын
Sawa nashukuru
@AGALUSTV2 жыл бұрын
PA 1, sana 🙏
@akilimalimali2533 жыл бұрын
Asante kwa elimu hii nzuri! Naomba kufahamishwa kwamba kipindi cha kiangazi ni maji kiasi gani yatahitajika kwa mmea mmoja?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Asante bt kiukweli kiasi cha maji kukwambia kipimo ni ngumu ila ni uzoefu tu uwekaji wa maji utaangalia unyevu nyevu kwenye udogo
@musakiswa5678 Жыл бұрын
Hizi mbegu nazipata wapi?
@AGALUSTV Жыл бұрын
MADUKA ya Kilimo hasa maeneo ya mjini
@maryjescafrida43314 жыл бұрын
Vipi hatuwez kuanza kwa kusia mbegu kweny kitalu alafu ndo upande shamban ?? Km ndio je kitaluni tango litakaa kwa muda gani....au ni vzr tu kupanda moja kwa moja?
@AGALUSTV4 жыл бұрын
Inawezekana kwenye ktalu pia ingawa miche ubebaji utakusumbua kwani Miche Ni raini Sana so ni vzur kupanda 1 kw 1 shambani bt kw kitalu mbegu uchukua pia siku 5 adi 7 kuota itategemea na unyevu nyevu uliopo kwn mbegu y tango Ni ngumu kdogo kuota bt na baada y siku 21 baadae itakua tayar kupeleka Shamba hii hutegemea na pia ukuaji wake bt kw ushaur vizur kupanda 1 kw 1 ndugu
@nahyamohamed8052 жыл бұрын
Mungu akueke uzidi kutufunza..kaka naomba no yako ya what's up mm niko kenya .
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Amina🙏🙏 +255765467484
@clementinawilliam2366 Жыл бұрын
Jamani nitapata niche ya dragon fruits
@AGALUSTV Жыл бұрын
Upo wapi
@tumainyohana64693 жыл бұрын
Mbona aujatoa gharama za uwekezaji then ndio uatafaida boss
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Iyo video iangalie ndugu yote shida umesoma kichwa cha habari tu
@user-wg2zt9cm5v10 ай бұрын
Nitawatafuta nataka kulima matango niko mbezi mwisho
@AGALUSTV10 ай бұрын
Karibu sana ndugu
@latifamkulazi83783 жыл бұрын
Naomba kujua ukivuna awamu ya kwanza ndobasi au yanajirudiatena
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Kila wiki utachuma mara 1 au Mara 2 utaendelea kuvuna ndani ya wiki 3 au 4 yatakua yameisha kwani kukomaa hutofautiana so utatoa yaliyokomaa ukisubir wiki ijayo yakomae mengine. Ndani ya mwez basi kama hutumii kilimo cha green house
@latifamkulazi83783 жыл бұрын
@@AGALUSTV naomba kujua kwa ukubwahuo unawekutumia sh.ngapi ghalama za green house?. Ila Samahani kwa usumbufu.
@YahayaAthumani-vw5ht5 ай бұрын
ukulima kwenye kiloba yatakubali
@AGALUSTV5 ай бұрын
Sawa tu
@YahayaAthumani-vw5ht5 ай бұрын
namba zenu
@AGALUSTV5 ай бұрын
Utapata
@akilimalimali2533 жыл бұрын
Naomba msaada miche inaweka maua matunda yakianza tu yakiwa bado madogo yananyauka hayarndelei kukua msaada please
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Vp uliweka mbolea ya matunda??? Na unauhakika imefanya kaz vzur? Maana kama kuna mvua nyingi mbolea hupotea kiurahisi
@akilimalimali2533 жыл бұрын
@@AGALUSTV niliweka CAN na mvua ni chache sana
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Apo inabidi uchek mbolea ya maji ya kuzuia maua nenda duka la Pembe jeo waambie naitaji mbolea ya maji ya kuzuia maua. Ninachokiona apo ni mbolea haija yeyuka vzuri lakini pia kama miche bado midogo maua ya mwanzo uwa yanakanyauka ivyo ivyo. Yatakuja maua mazur. So pia waweza mwagia maji kuyeyusha mbolea ya CAN
@akilimalimali2533 жыл бұрын
@@AGALUSTV OK asante
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Pa1
@rashidiruheba1862 жыл бұрын
Sina hesabu ya maji au unalima kipindi Cha masika
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Ooooh ongeza apo ndugu kwenye hesabu zako🤝
@catherinemlaponi78322 жыл бұрын
Hili zao linapandwa maeneo gani zaidi na linastawi maeneo ya hali zipi zaidi?, vipi linahitaji maji mengi au? Wakati wa msimu wa mvua unaweza kulima??
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Maeneo yenye joto ndyo yanakubali zaidi. Kipindi cha mvua si rafik sana
@catherinemlaponi78322 жыл бұрын
Ahsante sana
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Barikiwa🙌🤝
@eliusmwayinga2014 Жыл бұрын
Njole
@AGALUSTV Жыл бұрын
🤝
@gracebenjaminnapokeakatika95652 жыл бұрын
Je wakati gani naweza kulima matango hayo kipind cha mvua au kiangaz?
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Kiangaz ndyo Yana soko zuri
@leo-de3mz3 жыл бұрын
Mbegu zipi za hybrid ni bora
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu zote hybrid hazina shida iniladi tu kampuni isichakachue
@julianaboniphace73518 ай бұрын
0 L
@AGALUSTV8 ай бұрын
Unamaana
@thomasmsalilwa5693 жыл бұрын
Nimebarikiwa na elimu yako..... Vipi kuhusu Hali ya hewa inayofaa zaidi ni ipi??
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Amina kwa kubarikiwa ndugu ila kwa ujumla kilimo cha bustani kina kubali hali ya hewa yeyote ile na matango ni miongoni mwa mazao ya bustani wewe ni kucheza na maji na madawa tu
@frankoctavian74103 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana, naomba number zenu tuwasiliane please
@AGALUSTV3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@mkumbokitundu85363 жыл бұрын
Napenda muwe mnaja na wasiano yenu
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ok tutalifanyia kaz. ASANTE KWA KUFUATILIA CHANNEL YETU
@sporalyatuu35422 жыл бұрын
Mimi niko Dar nikitaka usimamizi wenu nitapata na ninikiasi gani. Darasa hili linavutua sana mbarikiwe
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Usimamazi inawezekana japo kwa kua maribu na kufuata maelekezo. Kwa maelekezo zaidi tuwasiliane wasap. +255765467484
@rogersmadeni4815 Жыл бұрын
Natamani nianze Sasa hivi
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu sana ndugu
@salimmpemba13702 жыл бұрын
kilimo kinalipa lakini mbona hamjatuma namba ya mtaalamu
Je ni wakati gani wa kupiga dawa ya wadudu,na kupiga mbolea ya matunda na hiyo busta unaipiga mche wa tango ukiwa na siku ngapi
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Wadudu ni kukagua majani kama yataanza kuliwa hasa kuanzia jani la 2, busta hutegemea idadi ya majani ukubwa pia mara nyingi ndani ya wiki 3, hadi 4
@robingozbert38383 жыл бұрын
Nahitaji kulima mtanisamami
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu Ila samahani ilo neno la mwisho sijalielewa vizuri umeandika mtanisamami
@latifamkulazi83783 жыл бұрын
@@AGALUSTV yaan kumfatilia anapohitaji msaada wa shambani
@ndiyumviyekejo3903 жыл бұрын
Nimevutiwa naomba naomba yako
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Poa, 🙏🙏
@florakibona80423 жыл бұрын
Kaka samahan naweza pata namba yako
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ucjali
@telflondon20413 жыл бұрын
Nahitaji kulima vp unaweza kutupatia msada wa shamba
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu
@elizabethchogo46642 жыл бұрын
wapi utauza
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Wewe upo wapi
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Wewe upo wapi
@conselamwageni85513 жыл бұрын
Vipi kipindi cha mvua unaweza lima kama hauna greenhouse
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Yes 👍 unaweza ila maandalizi ya shamba lako ndyo cha msingi weka mifereji na panda juu y vituta pia hakikisha tunda haligusi chini Kuna somo hili la upandaji wa matango imefafanua vzuri kzfaq.info/get/bejne/id2EdKp3vtrTg2w.html
@pauloyame58822 жыл бұрын
Matango yangu matunda yanakufa
@pauloyame58822 жыл бұрын
Naomba ushauri
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Mbolea ya matunda kw wingi
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Mbolea y matunda apo
@pauloyame58822 жыл бұрын
Nitumie mbolea ngani
@AGALUSTV2 жыл бұрын
Apo Mchek Muuda Duka la pembejeo akupe mbolea ya maji ya kulinda matunda ambayo I naweza Tumika ktk eneo lako🙏🏿🤝
@neyhassanimsulwa49933 жыл бұрын
Tunaomba utupatie contact zako tafadhali
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ata umu ndugu unaweza uliza chochote nikakusaidia ndugu yangu. Kwani muda wowote wewe comment tu ntakusaidia tu usijali
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Swali lolote wewe uliza tu
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Swali lolote wewe uliza tu. Kuhusu SoMo husika
@eliphalseverin50713 жыл бұрын
@@AGALUSTV vipi kuhusu soko lake lipoj ntaka nilime nitapata wap soko
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Soko itategemea na msimu utakaolima ila soko ni wewe utakavyojitangaza na kufuata wanunuzi
@mwanaidijuma41143 жыл бұрын
Kati ya mbolea na dawa unaanza kuweka nini
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Samahani swali lako halija eleweka vzuri mbolea katika hatua gani na mbolea aina gani y kukuzia kupandia au na dawa unazungumzia ipi ya kuua wadudu au tunaomba uliweke sawa kdogo swali ndugu
@mwanaidijuma41143 жыл бұрын
@@AGALUSTV mbolea ya kukuzia na dawa ya kuulia wadudu unaanza kuweka nini kati ya hivo
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Ok bt mbolea ya kukuzia uwa Ni mapema Sana Tena Ni vzur ukapiga y maji yaan mche unapoanza kutengeneza kamba tu mbolea ianze kupigwa au kuwekwa pale chini ukichanganya na ya matunda pia Kama hakuna unyevu nyevu hakikisha unamwagia maji kulainisha mbolea ya y matunda pale chini na y kuku Zia endapo y kukuzia umetumia y chumvi chumvi Sumu ya wadudu hutegemea na Hali ya mche wako kama hauja Anza kushambuliwa si lazima Sana unaweza acha Ila ikifika stage ya kutaka kutoa maua Apo jitaidi kupiga sumu hasa ya kantangaze yule mdudu anaekaa katika ua ndani na ua linapojifunga uwa anafungwa kwa ndani so tunda likitengenezwa utakuta tango Lina kidonda . Tango lenye kidonda halifai sokoni Nazani tumejibu swali ndugu Ila tunashukuru Sana kwa ushirikiano wako
@mwanaidijuma41143 жыл бұрын
Asante kwa kunielewesha
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Karibu tena ndugu pia nakushukuru kwa ushirikiano wako ktk channel yetu
@zabronemmanuel-eo1om2 ай бұрын
Huna group la whatsapp
@AGALUSTV2 ай бұрын
Hakuna group kwa SASA.ila soon litakua tayari
@akilimalimali2533 жыл бұрын
Tango kunyauka sehemu za karibu na ncha au eneo la karibu na kikonyo husababishwa na nn?
@AGALUSTV3 жыл бұрын
Apo kwenye ncha cjaelewa ncha jani au
@akilimalimali2533 жыл бұрын
@@AGALUSTV sehemu ya juu kuelekea kikonyo tango linakuwa Galina mwonekano mzuri hilo eneo linakuwa limenyauka. Lakini pia mbolea ya can huwekwa kila baada ya muda gani
@samirhumud7408Ай бұрын
@@akilimalimali253weka kila baada wiki 1 mpka ukuwe vizur