KILIMO CHA MATUNDA YA PESHENI KWA VITENDO !

  Рет қаралды 15,186

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

5 жыл бұрын

KILIMO CHA PASHENI NI KILIMO MKOMBOZI KWA WAKULIMA WENGI KWANI SOKO LA PASHENI NI LA UHAKIKA NA ZAO HILI HALINA USUMBUFU MWINGI KAMA YALIVYO MAZAO MENGINE. JIFUNZE KILIMO CHA PASHENI KUPITIA KIPINDI HIKI.
UNAWEZA PIA KUAGIZA KITABU CHA KILIMO CHA PASHENI NA KISHA KUTUMIWA KITABU HIKI KWA WHATSAPP NA KUUNGANISHWA KWENYE GROUP YA WHATSAPP YA KILIMO CHA PASHENI.
Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968
#ajefarms #farming #mashambayanayotyembea #smartagriculture #kilimobiashara #makakara #masoko #umwagiliaji #biashara #marketsurvey #passionfruits #ajira
#AJE-FARMS

Пікірлер: 48
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 9 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/bdSYjaWKmLGtlok.htmlsi=JnOMJeH988KOqpXq
@rweikizadaniel8394
@rweikizadaniel8394 2 ай бұрын
Nahitaji kitabu cha passion
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 ай бұрын
Bila shaka tumewasiliana kwa WhatsApp muda si mrefu. Tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi juu ya kilimo na ufugaji.
@IsayaMtuli-ln9jx
@IsayaMtuli-ln9jx 9 ай бұрын
Naomba kujua mtaji wa kilimo panshen heka mbili niwe na koasi gamo
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 9 ай бұрын
Karibu AJE-FARMS Ifuatayo ni budget ya kilimo Cha pasheni kwa ekari moja:- Miche 1000 @ 700/= Kusafisha na kulima shamba ekari 1 @500,000/= Upandaji Miche 1000 @ 200/= Mbolea ya samadi tan 10 @50,000 Chanja ekari 1 @1,500,000 Utunzaji shamba (palizi , pruning nk) ekari 1 @100,000/= kila mwezi. Ili kuendelea kujifunza zaidi SUBSCRIBE na BONYEZA KENGELE ILI UWEZE KUONA VIDEO NYINGINE tutakazoupload hapa kila wakati.
@munasaidi614
@munasaidi614 4 жыл бұрын
Wajuwa ku fundisha sanaa hongera
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 жыл бұрын
Usikose kusubscribe hapa ili kuendelea kujifunza zaidi. Shukran.
@jisrainomwa4015
@jisrainomwa4015 2 ай бұрын
Shida pasheni Zina uwa alidhi Yani
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 ай бұрын
Zinauaje ARDHI ?
@galumabdul3822
@galumabdul3822 2 жыл бұрын
hujazungumzia chochote kuhusu maji mwanzo hadi mwisho mpaka kuvuna au haihitaji maji kwa kiwango chochote ni kupata jua tu?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Kwa maeneo mengi ambayo yana unyevunyevu wa kutosha hakuna haja ya kumwagilia na baadhi ya maeneo yenye mvua chache lazima pawe na njia ya umwagiliaji kipindi tu cha kiangazi. Fuatilia vyetu vingine ili kujifunza zaidi.
@verimundamorro2161
@verimundamorro2161 11 ай бұрын
Mapensheni yangu yananyauka ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 11 ай бұрын
Shamba lipo wilaya gani ? Una program ya kumwagilia ?
@verimundamorro2161
@verimundamorro2161 11 ай бұрын
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 namwagilia ila matunda mengine yanatoka yamenyauka
@simionndihabi44
@simionndihabi44 2 жыл бұрын
Nahitaji miche ya Passion
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
WhatsApp 0757 757 968
@obedihalinga925
@obedihalinga925 4 жыл бұрын
good
@merichomgonafivi9701
@merichomgonafivi9701 4 жыл бұрын
Hongela xana Mkuu iv Mbeya twaweza pata miche ya passion
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 3 жыл бұрын
Naweza kuata miche niko Dar
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 3 жыл бұрын
Unaweza kupata miche bila shaka,tupigie 0757757968
@fidenofficial3710
@fidenofficial3710 2 жыл бұрын
My video its best it's one of video have more views
@jimmysangawe4880
@jimmysangawe4880 4 жыл бұрын
Nimesikia uweki mbolea, na kawaida shamba uwa linatofautiana rutuba, sasa utajua kuwa shamaba hili linafaa kwa kilimo cha pension
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 жыл бұрын
Kuna njia nyingi za kujua kama shamba lina rutuba nyingi au kidogo.Njia rahisi ni kwa kutazama uoto wa eneo hilo na kufanya vipimo vya udongo. KUJIFUNZA ZAIDI TAFADHALI JIUNGE NASI KATIKA SHAMBA DARASA KWA LINK HII:t.me/joinchat/PqKMBxmkx1vBE3cFsqBHMw
@catherinefaney948
@catherinefaney948 2 жыл бұрын
Je Kwa robo heka ninahitaji Miche mingapi ya mipesheni?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Robo ekari inahitaji miche 250
@updatedrefreshment7205
@updatedrefreshment7205 4 жыл бұрын
Unapotazama Elimu hii ya kilimo na mifugo na chakula cha mifugo kupitia KZfaq usisahau kusubcribe kwa kutap button nyekundu iliyoandikwa subscribe kama Mimi ili uendelee kupata muendelezo wa Elimu hii bure kabisa...ASANTENI.
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 2 жыл бұрын
Ahsante kwa kufanya hivyo
@mcraekahura7047
@mcraekahura7047 4 жыл бұрын
miche elfu kumi kwa one acre! You are misleading people. You can plant a maximum of 800 seedlings in one acre
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 жыл бұрын
It was a slip of the tongue! Watch other videos to understand. Sisi mashambani tunapanda miche 1000 katika ekari.
@johnjhon4192
@johnjhon4192 4 жыл бұрын
Nataka miche je inapatikana, ni kiasi gani unauza, niko Darje I Naweza kunifikia Ikiwa salama. Ningeitaji mwezi huu hata week ijao. Je inawezekana. Hadi inifikie Dar
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 жыл бұрын
Miche ya pesheni ipo .Kwa Dar es salaam inakufikia bila shida .Kila mche ni 500/= kuanzia miche 1000 (hii ni pamoja na gharama ya usafirishaji).Ukiagiza miche chini ya 1000 bei ni 700/= kila mwezi. Kwa ufafanuzi tupigie simu :0757757968.
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 жыл бұрын
Na TAFADHALI SUBSCRIBE HAPA ili usikose kupata taarifa kwa wakati.
@johnjhon4192
@johnjhon4192 4 жыл бұрын
Nilioda miche kwenu mbona ilikuwa midogo sana, yaani si mrefu, je itakuwa kweli. Nilifikiri itakuwa hatafuti moja na nusu urefu wake ili kuipa huhakika WA kukua.
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 4 жыл бұрын
Kwanza naomba ujue miche tunaipanda shambani kuanzia inapokua na majani ngazi 2 hadi tatu bila shida. Ukihitaji miche ya ngazi zaidi ya 3 itakubidi uweke order yako mapema iwezekanavyo ili kuiacha ikue kabla ya kukufikia. Miche kuanzia ngazi tatu itakuwepo kuanzia tarehe 25.6.2020. Ukihitaji yenye futi moja na zaidi itakubidi usubiri hadi tarehe 01.08.2020 . Tafadhali tujulishe chaguo lako kwa simu 0757757968. Kuhusu pasheni tunazo ; bei ni 1200/= kwa kilo (tunaweza kuzungumza 0757757968).Karibu.
@johnjhon4192
@johnjhon4192 4 жыл бұрын
Okay nimeelewa next time, itabidi nieleze ya Saxe gani. Je pia mnayo Mbegu ya Mihogo aina ya NASE 14 hapo kwenu? Najuwa Uganda inapatikana. Nilitaka kama mnazo na ni kiasi gani kwa kigunia? ,
@zeyanaalharthy5049
@zeyanaalharthy5049 3 жыл бұрын
nahitaji number ya wsup please
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 3 жыл бұрын
Namba ya WhatsApp ni 0757757968. Karibu
@zeyanaalharthy5049
@zeyanaalharthy5049 3 жыл бұрын
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 salam alek
5 Tips How To Grow a Ton of Passionfruit From ONE Passion Fruit!
13:59
Self Sufficient Me
Рет қаралды 1,7 МЛН
#kilimobiashara cha pasheni - Uchimbaji Mashimo
18:03
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 1,9 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 8 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 15 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 57 МЛН
SEEDS OF GOLD: Squeezing money from passion fruits
20:56
NTVUganda
Рет қаралды 20 М.
SHAMBANI  KILIMO CHA PASHENI
27:13
TBConline
Рет қаралды 26 М.
Kilimo cha papai Kajiado
3:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
How To Plant Passionfruit And Tamarillos
6:46
Organic Edible Garden
Рет қаралды 59 М.
JOSEPH NDOSI ATOA ELIMU YA NAMNA YA KUOTESHA  MITIKI
5:52
(UMTV) USAMBARA MOUNTAIN TV
Рет қаралды 739
Passion fruit farming in Kenya and what you need to know
26:31
FarmKenya
Рет қаралды 102 М.
A - Z KILIMO CHA NANASI KIWANGWA // Changamoto,PALIZI,MBOLEA,MASOKO,MIGOGORO....
1:02:24
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 1,4 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 8 МЛН