Рет қаралды 2,870
Kilimo cha migomba kimekuwepo kwa miaka mingi sana hapa Tanzania. Kilimo cha ndizi ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi linatumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu.
Zao la ndizi linaweza kuwa moja kati ya mazao ya biashara iwapo litazalishwa kwa kufuata kanuni za kilimo bora cha migomba na misingi ya kibiashara katika uzalishaji wa migomba.
@KilimoProTanzania
+255 715 866 027