Jifunze manufaa ya kilimo cha umwagiliaji kutoka kwa mtaalamu wa umwagiliaji wa AGRIBUSINESS, kwa vifaa na utaalamu wa umwagiliaji wasiliana na kwa namba hii +255 715 044 777 au tembelea ukura wao wa instagram / agribusinestz
Пікірлер: 28
@user-qs9rn2je4c5 жыл бұрын
hongera Ahsante sana kwa elimu hii
@aminamndolwa41505 жыл бұрын
Nice subject..nimekua inspired soon I will be like you congrats broh
@tahiachande38986 жыл бұрын
Okay.... Class taken Mr. Entrepreneur...
@emmykharifa1450 Жыл бұрын
kilima Cha mahindi
@mussahokororo4856 жыл бұрын
Thanks alot Mr George Shango for the lesson I have gain alot from you
@briargrey75152 жыл бұрын
i know Im randomly asking but does anybody know of a trick to log back into an Instagram account?? I was stupid lost the login password. I would love any help you can offer me!
@evaamerika99396 жыл бұрын
Hongera kaka mungu akubariki
@godfreygramsen59103 жыл бұрын
Naitaji Sana pampu ya uwezo wa kumwagilia ekari 2
@sethmsangwa14136 жыл бұрын
nakuelewa sana mkuu
@heavenlymusicproduction43604 жыл бұрын
Thanks
@gullaalex65904 жыл бұрын
Nimependa Sana kilimo cha umwagiliaji, ila nawaza gharama ya kutengeneza iyo nyumb sijui n kias gani?
@wambaamwambaje12726 жыл бұрын
Asante kaka
@barakayohanasanga30053 жыл бұрын
Vifaa vyavkuanzishia kilimo ja drip ilihation vinapatikana wapi?
@camilanjau24292 жыл бұрын
Where are you located
@godfreygramsen59103 жыл бұрын
Vifaa vinapatikana kwenye ofisi zenu
@dullaali59206 жыл бұрын
Naomba ushaur.mmepnda mazao mchanyiko takriban aina kumi za miti.juwa linaniathir zaid midimu ndmu znapukutika kwa juwa.ss namba ushaur nn nifnya kuokoa hasara io.
@kilimobiashara93616 жыл бұрын
Nadhani ushauri ulikua ndani ya kipindi hiki, tumia matandaza kama inavyoonekana humu kuzuia ukali wa jua, pia pumba za mchele, nyasi au majani ya mti kuzuia upotevu wa maji na ukavu wa udongo
@danyngenda47146 жыл бұрын
MM NILIZAN mtu onyesha njisi ya kuconect drip line ,fitter ,main line, tank
@kilimobiashara93616 жыл бұрын
Tumia mtaalamu akusaidie hilo suala
@allyyussufshuwari45084 жыл бұрын
Hata mm pia
@MISHIONARYSHUKURU5 жыл бұрын
Hizo drip ni special?
@mwachambigeorge77286 жыл бұрын
Je nikusema kuwa mtu hawezi fanya ukulima wa kunyunyuzia kwa sehemu yenye mlima?
@smartagribusinesstanzania30356 жыл бұрын
Unaweza kufanya, Kuna namna ya kufunga hata kama sehemu ina mwinuko. Japo usiwe mkali sana
@mahamoudabas85556 жыл бұрын
nina heka mbil pale ruvu, natafuta nyingine moja, hizo mbil nimenunua lakin sijawai lima bado, pale ruvu kunaniumiza kichwa nn nilime kibiashara?
@aminamndolwa41505 жыл бұрын
Lima mpunga
@emmanuelchiza77332 жыл бұрын
Lima muhogo jombaa
@mahamoudabas85552 жыл бұрын
@@emmanuelchiza7733 Muhogo nilipanda mwaka jana, nilipata ya kula na kuuza, mwaka huu ukame