Kazi nzuri TBC SHAMBANU, naomba utuhabarishe na hari ya masoko pia, asante
@labanrutto9624 Жыл бұрын
Here to listen to TZ swahili. Such a lovely language when spoken by those who know how. Amazed at the wealth of ag. vocabulary I never heard of before!
@kefasimwashitete4766 Жыл бұрын
Jamani mkulima mdogo nimevutiwa na kilimo hicho,naomba niwatembelee
@HappnessYohanaRohongo Жыл бұрын
Kazi zuri sana
@fuchijonas2179 Жыл бұрын
Asante mpoto, nimejifunza kitu
@BwangoAsb2 жыл бұрын
huu wimbo nautafuta sana
@pondaalexyambaz92622 жыл бұрын
Kila mmoja angeamka hakuna atakae kuwa maskini nielimu nzuri mno tatizo ni kuamua wengi wanaogopa hasara
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Nice
@marievo Жыл бұрын
Hellow nmelipenda somo nami pia ni mkulima wa nyanya lkn liko tatizo moja la kudondosha maua Yani kiknyo Cha ua kinakua Cha njano na baadae ua linadondoka naomben mnisaidie namna ya kuondoa tatizo hilo
@aminaomary556711 ай бұрын
Kweli ndugu yangu mrisho.
@TheMacdonald2302 жыл бұрын
Natamani sana Elimu kama hizi ndizo zingepewa kipaumbele vijana kusikia, na ningependekeza hata kwenye usafiri wa umma badala ya watu kuangalia miziki basi wapate fursa ya elimu kama hizi..
@judicalosika76422 жыл бұрын
🇮🇱Ndg Mac. Nakubaliana na wewe Kwa zaidi ya 100% 👍 Huwa nami nakereka sana kuangalia bongo flavour hasa zile za utupu, HAZISSIDII LOLOTE.
@adammbungu6781 Жыл бұрын
Nice🔥🔥🔥
@mpokimwasimba Жыл бұрын
Aisee
@marievo Жыл бұрын
Jaman nisaidien namna ya kuliondoa tatzo la kudondosha maua
@feisalricardofais3597 Жыл бұрын
i like you mjomba 🍅
@jishoshamahega70432 жыл бұрын
tunapataje mawasiliano ya hii kampuni kwa msaada zaidi?
@prospermkude98119 ай бұрын
Mbegu Gani umetumia
@christopherfredy7269 Жыл бұрын
Naomba nambayawasambazajiwambegu
@camilajohnson93072 жыл бұрын
Mjomba kweli kabisa
@raheemaathumani86632 жыл бұрын
Naomba mnisaidie wataaramu
@ROBANJAVA2 жыл бұрын
Amazing
@amanichanga34486 ай бұрын
Mpoto mtu sana
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
Asante sana kwa SoMo la nyaya,pengine nyanya inapokuwa na vidoadoa vyeupe kiutaalamu inatokana na Nini? Na madhara yake ni yapi?
@Salumathumani-ld8ob Жыл бұрын
Ako,Dani,naomba,mamba,yako
@mahamudubakari58952 жыл бұрын
Nitawapata vp naomba mawasiliano
@charlesnzowa4283 Жыл бұрын
👍👍👍👍
@emmamarijani66572 жыл бұрын
Nitawapata wapi contact pls
@husseinkombomwachikobe8828 Жыл бұрын
Nahitaji.wataalam.nisaidie
@zabronmwakanyamale54132 жыл бұрын
Mnaongea vitu vya maana Sana tafadhali naomba mawasiliano yenu nimeamasika nawaitaji
@genichenurdin409 Жыл бұрын
Duh
@manasadunia3458 Жыл бұрын
Tunaomba mawasilino
@emmamarijani66572 жыл бұрын
Naomba naba ya mtaalamu
@wokovummilla5034 Жыл бұрын
Hiyo gundi inaitwaje? Na nyanya ipi inafaa kulimwa masika na ipi inafaa kiangazi
@amonzachary2718 Жыл бұрын
Gundi inaitwa sticker boss ipo maduka ya pembejeo ukiulizia wanakupatia alafu mbegu zipo nying za makampun tofauti tofauti kama hawa unaowaona wana mbegu ya kiangazi mpya inaitwa dhahabu F1 na nyingine inaitwa Imara F1 ya masika ila pia unaweza kuilima kiangazi na kuipa maji yakutosha xnaa