KIMEUMANA MBELE YA MAKONDA,WAFANYABIASHARA WAFICHUA MADUDU/AWABANANISHA VIONGOZI

  Рет қаралды 57,214

JAMBO TV

JAMBO TV

3 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 185
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Loh! Kumbe mheshimiwa ana utambuzi mkubwa wa kujua mambo ya kiroho upande wa giza yanavyoathiri uma kwa kukosa kuomba na kumkataa shetani na kuungana katika ulimwengu wa roho upande wa nuru, maana yake watu waachane na uumini wa mambo ya Giza wamrudie Mungu aliye hai, basi tena! Tuamue wote kama taifa bila kujali cheo cha mtu kuwa Mungu pekee ndiye ainuliwe, atukuzwe, asifiwe,na kuabudiwa na serikali na watu wote wa nchi kwaajili ya utukufu wake Amen+.
@mtakatifubony5525
@mtakatifubony5525 3 ай бұрын
Nipo tayariiii kumaliza mb zangu kwaajili ya kumsikiliza Makonda tu ,naenjoy sana
@deusisindwa616
@deusisindwa616 3 ай бұрын
Hujawahi kuniangusha,, 🇹🇿Inahitaji viongiz kama Makonda,,Mungu akujalie afya njema,,
@alvinmtui-vr9bf
@alvinmtui-vr9bf 3 ай бұрын
Makonda wewe ni visionary leader.
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 3 ай бұрын
Makonda we ni mtu mzuri sana, mi kazi yangu nikukuombea tu, Ndo kazi yangu ❤
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 3 ай бұрын
Paul Makonda Oyeeeee! Tunakupenda. Piga kazi! Wewe ni Mzalendo
@ndinzeissa4778
@ndinzeissa4778 3 ай бұрын
Makonda nimekuelewa sana sana upo.vizuri sana kwasitaili hiyo hata rushwa zitapunguwa kwa kiasi kikubwa sana safi sana mkuu upo vizuri
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 3 ай бұрын
Chamburo anajuwa sana kuongelea wafanya biashara wenzake
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 3 ай бұрын
Yaani hapo mkurugenzi alitakiwa achukue summary ya EFD machine ya hotel iliyoko arusha ili kujua mauzo ni sh.ngapi the atoze service levy, akiomba taarifa kutoka TRA atapewa ya property zote kwa sababu mfumo wa TRA unavuta taarifa kwa ujumla.
@12322879
@12322879 3 ай бұрын
Ndio maana hatutaki huo mfumo.
@MussaJuma-sd4jc
@MussaJuma-sd4jc 3 ай бұрын
Makonda ww ni Raisi wabadaeee mungu akufanyie wepesi inshaallah
@user-vy7hj9mo3l
@user-vy7hj9mo3l 3 ай бұрын
Yani huyu ndio kiongozi jamani Yani anamaarifa ni zaidi jiniyazi Tena anautambuzi mkubwa sana maswali ya tecnisheni sana mungu akubariki mweshimiwa sikumoja ukawe Amiri jeshi mkuu wa taifa hilii Tz🤝🙏🙏
@user-td8bp9kz8d
@user-td8bp9kz8d 3 ай бұрын
Amin
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 3 ай бұрын
Makonda, Mkurugenzi na kaburu wote wako makini Sana ila Mkurugenzi ni very smart....nimempenda burr
@buchumiefremu5830
@buchumiefremu5830 3 ай бұрын
Hongera makonda saidia watu tunaimani nawewe
@Izzoh2021
@Izzoh2021 3 ай бұрын
Kutuambia matatizo ya mfumo hohohoho acheni nicheke tu tra bahna huo mfumo urekebisheni bahna mnatuchanganya wafanyabiashara
@aluiyahabibu6799
@aluiyahabibu6799 3 ай бұрын
Mh Mkuu wa mkoa elimu inahitajika sana kwenye swala la kodi. Kuna vijana wengi sana wana kampuni za mfukoni kwa kukosa elemu ya namna afanye awe mlipaji kodi halali.
@MohamedKasalama
@MohamedKasalama 3 ай бұрын
Chapa kazi kijana wangu nakukubali sana ingawa watu wengine wanakuita jini potezea wewe jini mpenda nchi na Wananchi big up
@MaryHabilya
@MaryHabilya 3 ай бұрын
Hongera mweshimiwa Makonda una hekima!!
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 3 ай бұрын
Mkurugenzi ametoa NIDA kama mojawapo ya changamoto , hajasema ameshindwà . Safi sana
@barakaedom3828
@barakaedom3828 3 ай бұрын
Mapungufu ni sehemu ya ubinaadam wetu ila PCM una kipaji cha uongozi.
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 3 ай бұрын
Makonda your very smart, sehr intelligent, du hast sehr gut Gehirn. Bleib gesegnet Brüder Makonda.❤❤❤❤
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 3 ай бұрын
Makonda upo vizuri sana kongole nyingi unauwezo mkubwa sana wa kutatua migogoro kuna vitu kweli haviendi sawa hapo mfanyabiashara angeumia bure na hii ukiifutilia kiundani kuna rushwa ilikua inataka kuchukua hatamu Heko sana Mh.Paul upo vizuri sana hivi vitu vinawafanya watu wenye nia ya kuwekeza kuondoa nia hiyo kwa kodi kama hizi zisizo sahihi bora huyo ni mwekezaji mkubwa vipi kwa wadogo? Mimi nakupongeza sana na nakukubali sana ingawa hilo swala wasio kupenda tu kwa sababu zao nyingine watanitukana.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 3 ай бұрын
Makonda eee, usimbane sana huyo wa TRA, wengi wao wamepachikwa tu kwenye kazi majukumu hawajui, ni upigaji tu.
@jamesmongelwa8625
@jamesmongelwa8625 3 ай бұрын
Congratulations brother Paul ila ungemuuliza mkurugenzi pia how jiji linaweza kuwa na wafanyabiashara 21 thousand???
@marianmartin7483
@marianmartin7483 3 ай бұрын
Kaka, uko vizuri sana. Mwenyezi MUNGU akulinde na kukuonyesha njia zilizo bora zaidi. Hizo changamoto tunaimani zitaisha, duh!. Ndo maana nakuita wewe ni kilaka, popote unafaa.
@MapenziMalanda
@MapenziMalanda 3 ай бұрын
Safi sana Msh Makonda💪 nemependa hiyo kidumu chama tawala
@user-po3qj8gb7e
@user-po3qj8gb7e 2 ай бұрын
Makonda makonda Fanya kazi mungu mbele makonda katikati wa Tanzania tupo nyuma yako
@ElishaSumari-zr3lk
@ElishaSumari-zr3lk 3 ай бұрын
Broo makonda big up xna kila nafas unayopewa huna den kwet wananchi.tunakuelewa mung akulinde
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 ай бұрын
Huyu Makonda ni zaidi ya Kiongozi MUNGU ampe Maisha Marefu mno
@machenjamaduhu7636
@machenjamaduhu7636 3 ай бұрын
Naona kuna system issues kutoka TRA inabidi walifanyie kazi hilo
@martinsimtenda5990
@martinsimtenda5990 3 ай бұрын
Mungu akulinde
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 3 ай бұрын
Utalii hauwezi kukua kwa utitiri huu wa Kodi 🔥🔥
@MakojaAtu
@MakojaAtu 2 ай бұрын
Kakaaaa makonda nakubari sana njoo dodoma hawo wanazingu natamani nikuone
@algorithmx
@algorithmx 3 ай бұрын
👏👏👏 PM sasa umehitimu kama kiongozi. Time well spent at Uongozi Institute. 👍
@octiminja5260
@octiminja5260 3 ай бұрын
Mama Anajua kupiga kwenye MSHONO HONGERA MAKONDA MH
@sariamichael4667
@sariamichael4667 3 ай бұрын
Yaaan makonda hata ukimpa mwenyekiti wa Kijiji kazi utaiyona big up brooo❤
@deeruta9894
@deeruta9894 3 ай бұрын
Makonda kiboko na 🔥🔥🔥 sana God blssd you
@Shalom803
@Shalom803 3 ай бұрын
Big up Hon. Paul Makonda❤
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Huyu Mh.Rais wetu Mama Samia ana nia njema kuhusu hili lakini wengi wa wateule wake wa ngazi za juu,kati na chini, wanamuangusha, ndio mana akamtafuta MTU mmoja mwenye uthubutu ili akafukie mashimo yaliyozushwa na baadhi ya wasaidizi wake kwasababu ya conflict of interest za viongozi ndio mana sasa unaona maelezo ya mfanyabiashara huyu yanavyoweka uwazi wa udhaifu wa kimfumo ulivyo mbaya!... Hili lingedhibitiwa na mfumo mpya tu kwa kubadilisha mfumo wa kiutawala uliopo sasa ambao ungetunga sheria mpya rafiki za uwakilishi sahihi wa watumishi wa serikali kuwa waaminifu kwa Serikali kuu na wadau wa kodi zake zote! Kutafuta muarobaini wa tatizo la watendaji wazembe kwa nguvu mbadala wa muda usio rasmi kimfumo na kisheria ni jambo la msimu tu kwa nia ya kutafuta ridhaa ya kisiasa kwa muda mfupi na kujikuta tunarudi katika tatizo lilelile la kimfumo lililokosa dawa!.
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
Kaburu kama unakumbuka hawa jamaa walitusumbua sana mwaka juzi inabidi sasa tuyamalize kabla Makonda kuamiswa Newala
@barakaedom3828
@barakaedom3828 3 ай бұрын
Kwanini ahamishwe
@aubreykasoyaga1665
@aubreykasoyaga1665 3 ай бұрын
Kweli kabisa Brother
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
@@barakaedom3828 mambo siyo mazuri Newala kuwataka mtu ka Makonda ama sivyo dhuluma itazidi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 ай бұрын
Hahaa eti Newala😂 na kweli kwa Mwenendo huu Makonda atakimbiziwa huko😅
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 3 ай бұрын
Hizo kodi za tanzania ni kubwa kupindukia, mimi ilibidi nihamie kenya, huku unaona hata eaha ya kulipa, Tz ni kero wadai kodi hawajui hata kumuelimisha mtoa kodii, inafika mahali tunajiona kama sisi watoa kodi ni waalifu.
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 3 ай бұрын
Mmh! Mhe: mkuu wa mkoa yuko vizuri... Hongera zako Arusha tumepata jembe
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 3 ай бұрын
Hongera sana Makonda.
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 3 ай бұрын
I like how PCM dives into details of things 🔥
@dayana5513story
@dayana5513story 3 ай бұрын
Makonda🔥🔥🔥
@giftluyana1390
@giftluyana1390 3 ай бұрын
Nakuelewa. Kaka. Mungu. Akulinde. Saanaaa🎉🎉
@mlangaliromwenda6945
@mlangaliromwenda6945 3 ай бұрын
Mweeshimiwa MAKONDA huwa na kukubali sana.
@DanielKahyolo
@DanielKahyolo 3 ай бұрын
The Great Makonda
@susananyasani6526
@susananyasani6526 3 ай бұрын
Aibu kubwa sana kwa Nchi nzima kama Wizi na Rushwa unatawala hii inaleta Umaskini Nchiani asante
@victoriamwailubi8474
@victoriamwailubi8474 3 ай бұрын
Safi sana mheshimiwa
@florinehezron4593
@florinehezron4593 3 ай бұрын
Tausi bado ni shidaaaa
@kiatu
@kiatu 3 ай бұрын
Excellent Makonda
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 3 ай бұрын
Asante sana Makonda
@MarcoLucas-mm2kd
@MarcoLucas-mm2kd 3 ай бұрын
Safe sana kaka ipoh siku utakuwa raising wa inchi🎉🎉
@edwardpeter9014
@edwardpeter9014 3 ай бұрын
Big up
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 ай бұрын
Mama anaongea makusanyo halali yatatoka wapi na misafara ya kupeleka barua kama hii😊😊😊😊 mama samia pole nchi hii itakuzeesha mama yangu ninakuombea sana mwambie majaliwa na mchengerwa wakusaidie hawa TRA nao ni shida sijui nani hajaliona hili
@robertbutahe2835
@robertbutahe2835 3 ай бұрын
Naweza kukiri hapa...kwa haya ninayoyasikia kutoka kwa Mhe. Paul Makonda...huyu ni kiongozi sahihi wa nyakati hizi. Hakuna asiye na mapungufu. Tunahitaji viongozi aina ya PCM...nimependa jinsi anavyoapproach mambo....ana uelewa mkubwa sana wa mambo ya uongozi.
@billmkushi849
@billmkushi849 3 ай бұрын
Glory to God the Almighty
@SamsonSamson-bp6ok
@SamsonSamson-bp6ok 3 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda wewe ni mtu poa sana yaani unafuatilia vitu kiuhalisia Mungu akuwe kaka
@Pacha-xj8zd
@Pacha-xj8zd 3 ай бұрын
Paul makonda n 🔥 so I can get the point
@leylaruhabaye9017
@leylaruhabaye9017 3 ай бұрын
Tunaanza na herufi yako ya p. Ww nikiongozi uliyebarikiwa kutoka kwa tumbo la mama yako popote utaongoza mungu akubariki poo makonda
@davidmariki1105
@davidmariki1105 3 ай бұрын
Mh. Makonda nimekupenda buree!! Hadi nimecheka jamaa wa TRĄ anavyokuambia mfumo hautaki
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 3 ай бұрын
isee makonda ujue ww nikichwa unakili Sana ila naimani ucha Mungu unakusaidia Sana pia na uzalendo wako Kwa Taifa lako na uwajibikaji wako na pia huyo mkurugenz Yuko viziri nikumpa majukumu tu
@user-ln3uc4yo5u
@user-ln3uc4yo5u 3 ай бұрын
Makonda wewe ni kiongoz waleyo mama nakupenda anajua utendajiwako
@buchumiefremu5830
@buchumiefremu5830 3 ай бұрын
Hongera makonda uko vizuri
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 ай бұрын
Buchumiefremu nakushangaa mno. Kama huna lakutuambia nyamaza. Makonda tungali tunamsubiri tuone kama ameshamjua Mungu au bado. Maana bado ananuka harufu ya damu ya ndugu zetu hatujawaona. Sasa nimapema mno kutoa pongezi kwake. Subirini tumuone.
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
@@nanguniMtaita-hz4ztpole sana aliwaua ndugu zako wapi? Na wangapi? Ilikuwaje na unauthibitisho gani kama ni yeye aliyeua? Hadi leo kuna wanaopotea nao ni yeye?
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 3 ай бұрын
​@@nanguniMtaita-hz4ztdugu yako nani tutajie sio vyakuchafuana tu tupe ushahidi wako sio unakulupuka tu mmeuana kwenye milasi yenu et MAKONDA jiangalie mzee hapo unaongerea jinai mzee utwambie vizuri
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 ай бұрын
Kuwa mtulivu unapojibu masuala haya. Wewe ni mgeni katika Israel? Huyasikii yamavyozungumzwa? Marekani tunayoihisudu imesema nini kuhusu Makonda? Wapi ekanushwa kwamba anasingiziwa? Mbona kuna marufuku asiguse mguu Ulaya na Marekani? Kisa ni kitu gani? Huyajui haya? Acha uchawa, ongea tete.are tete.
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 3 ай бұрын
Nimsingizie namjua? Sijasema kaua ndugu yangu, lakini wakubwa wenzie hujawasikia mubashara wakisema? Amani ni kusikia na kuamini yasemwayo. Lissu.kasema wazi, waliompiga marisasi mheshimiwa huyu alipngoza genge la kikafiri la mauaji, sasa unataka mpaka amalize na wakwangu? Kwanza mie sina.ndugu atawaua nani?
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 3 ай бұрын
Piga kazi makonda.hekima ya mungu iendelee kukuongoza.
@user-ki3gt6gy1l
@user-ki3gt6gy1l 3 ай бұрын
Makonda wewe mungu kakupendelea unajua sana saidia watu mama hajakosea anajua madudu masaidie mama
@mathiasmacha5670
@mathiasmacha5670 3 ай бұрын
Mama hajakosea kumpeleka mhe, Makonda Arusha naamini atakaa katikati kw mustakabali wa Taifa letu
@eutoreswai202
@eutoreswai202 3 ай бұрын
Mungu akawe pamoja nawe
@user-ki3gt6gy1l
@user-ki3gt6gy1l 3 ай бұрын
Kaka yangu wewe unajuwaaaaa hacha wasiyo jua wakupige vita nawashauri wajifunze kwako hongera
@eutoreswai202
@eutoreswai202 3 ай бұрын
🔥
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 ай бұрын
Huyu Jamaa Mr Chambulo ni Mtu flani Makini cose anajua kunyoosha Maelezo, aidha yuko sahihi au kuna Pahala anakosea But nadhani anahitaji kuelekezwa kwa Makini awe mteja wenu Mzuri...Msitumie Mabavu kuwanyanganya watu pesa zao. ..Kikubwa mi namuombea Mh Makonda afya njema maana Mkoa wa ARUSHA una Complications nyingi..kumejaa Wapigaji sana.
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 3 ай бұрын
Makonda wanamchukiaga bule tu ila huyuu jmaa anakipaji san cha uongozi na akili mingi san. Waafrik tulirudishan nyuma kwa roho mbay tu
@user-kq4yx3lg6f
@user-kq4yx3lg6f 3 ай бұрын
Mi mkurugeze nimemuona naye yupo vizuri ila anachanganywa na TRA na anaonekana ni mtu wa kujifunza, ila Makonda ni zaidi ya kiongozi.
@AlfredYahhi-rq4tp
@AlfredYahhi-rq4tp 3 ай бұрын
System interaction is best than better human interaction but should be there
@lightnessmndeme9874
@lightnessmndeme9874 2 ай бұрын
Jitahidini kwenye upande wa sound. Ni kama wire haujachomekwa vivuri sound ina noise
@bignewscity4927
@bignewscity4927 3 ай бұрын
Tunaenda mbele tunarudinyuma tatiz ni sisi wananchi tuliletewa vitambulisho mpaka mitaani naserekali kwa gharama kubwa tukavikataa sisi ndotunafanya serekali ishindwe kuuhudumia vizuri, na ndochanzo cha mianya ya ruswa naomba maelekezo ya mkuu wa mkoa yasiishie arusha iwe mikoa yoye inayohusika na utalii iwewazi kumsaidia mama utali unasaidia sana pesa zakigen
@calvinlema6107
@calvinlema6107 3 ай бұрын
Tra hawezi kuchanganua shule hana yeye anajua kupeleka bili TU kama dawasa makonda anaelewa mambo ya Kodi na mfumo kuliko tra haya ni maigizo.
@user-ku8dk7bu7p
@user-ku8dk7bu7p 3 ай бұрын
Kabisaaa tra hakunaa kituu kabisa😂😂😂😂😂😂
@user-hx4eh3cq1n
@user-hx4eh3cq1n 3 ай бұрын
Paul waga unaona mbali sana bro
@zamdaomary5938
@zamdaomary5938 2 ай бұрын
hvi hawa ndo wasomi wa nchii yetu kweli dah
@sundaymwakindu5337
@sundaymwakindu5337 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 3 ай бұрын
Ahaaaaaaaaaa
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 3 ай бұрын
😂😂 I like the questions
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 3 ай бұрын
RC ume midiate vizuri sana
@susananyasani6526
@susananyasani6526 3 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda huwo msemo wa wakusanya Kodi lazima ukaguliwe kuna wizi hasa wafanya kazi ya rejareja chini ya wanyonge
@deomajuva2432
@deomajuva2432 3 ай бұрын
😂😂Kuna mtu hata haelewi wanachoongea hapo lakn yuko makini
@julianmsele3880
@julianmsele3880 3 ай бұрын
HII NCHI INATAKA VIONGOZI KAMA MAKONDAAA💪💪💪💪💪💪💪💪
@Elihuruma
@Elihuruma 3 ай бұрын
Baba hapo rushwa ya kutosha watu saba gari moja kazi ya aina moja wezi kabisa
@muxinkuya9161
@muxinkuya9161 3 ай бұрын
Mfumo wa tausi ni changamoto sana unapotaka kurenew leseni. Unatakutaka uattach docs ambazo zinapitiwa na binadamu hao hao. Inachukua zaid ya masiku mpaka urukw ofisini kwao unaanza upya. NB: With experience in hand.
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 3 ай бұрын
Makonda pambana maana hawa jamaa wasijifanye hawaelewi yaani ushindwe kuchanganua malipo ya mapato na nyinyi ndio mnaochaji pesa jamani Mungu Tusaidie Makonda ikiwezekana TumbuaMajipu
@margretben6920
@margretben6920 2 ай бұрын
Mkurugenzi alitakiwa kwenda Wilderness kuulizia ukubwa wa taarifa jumuishi aliyopewa na sio kuchakata kitu ambacho hakielewi
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 3 ай бұрын
Mfumo wa tra basi utakuwa na shida kama inatoa lampsum only inatakiwa ya individual branches to specific regions
@MapenziMalanda
@MapenziMalanda 3 ай бұрын
Kuusu swala la maombi nashahuri mkuu wa mkowa kamuone Doctor Lema wa Safina Redoi hilo litakaa Sawa Kwa uwezo Wa Kristo Yesu.
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 3 ай бұрын
Hata huyo meneja wa TRA hajielewi
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 3 ай бұрын
Hatuendi mbele kwa utiririko wa makodi mtihani
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 ай бұрын
Msilaumu wakati wanapewa maelekezo toka juu ni mfumo wa nchi nzima ni si Arusha peke yake Ni kazi kubwa na siyo kitu rahisi
@josegambi7149
@josegambi7149 3 ай бұрын
Wasomi tulio nao ni madudu matupu. Hivi kweli kiongozi usijue wilaya yako inazalisha kodi kiasi gani kweli?
@user-pf5zc6xi9w
@user-pf5zc6xi9w Ай бұрын
Sijawi kusikiliza bunge ila makonda nakusikiliza
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 3 ай бұрын
Mkuuu Makonda.mimi Nina wazo .naomba ifanyike operation kubwa ya kuhamasisha wafanyabiashara wawepo kwenye maduka Yao Wale wafanyabiashara ambayo hawajasajiliwa wapitiwe pale pale dukani wasajiliwe yaani awepo MTAALAM WA TRA NIDA. LESENI . ILI MTU ASAJILIWE NA NIDA TRA AMKADIRIE KODI. AFISA BIASHARA AMKATIE LESENI YA BIASHARA Hii itasaidia kumaliza tatizo angalau kidogo
@MsAggie5
@MsAggie5 3 ай бұрын
Kuna aliyetamani kuja Serengeti lakini ghalama kubwa akaishia Kenya. Na kuna aliyetembele Serengeti kupitia Kenya. Hizo kodi ziangaliwe, zinapunguza mapato
@BituroPaschalKazeri
@BituroPaschalKazeri 3 ай бұрын
tatizo ni uvivu
@maryluhaga1589
@maryluhaga1589 3 ай бұрын
Niliamua kusikiliza hii mada mwishoni imenifuraisha kweli havi huwa mnamaombi kweli arusha tumutafute mungu jamani
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 3 ай бұрын
Hamna kitu kama hicho huo mfumo lazima uwe na taarifa kimkoa na kiwilaya.
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 3 ай бұрын
Mzungu wa kike anacheka maskini anaona jinsi gani mkuu wa mkoa bora anavyomjambisha mkurugenzi anajiumauma tu 🤣🤣🤣
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 28 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 23 МЛН