Kiongozi CCM amvaa Mbowe kauli ya kutaka watu waandamane kama Gen Z

  Рет қаралды 1,096

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman mbowe akiombea kinachoendelea nchini Kenya na kundi la Gen Z kifanyike Tanzania, hayo ameyaongea Jana Julai 10, 2024, wakati akiwa kwenye mkutano wa hadhara wilayani humo mkoani Kilimanjaro.
Lakini Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dodoma, Jawadu mohammed yeye amewatahadharisha watanzania kutofanya maandamano ambayo hayana ulazima kwani yamekuwa yakirudisha nyuma maendeleo ya nchi nyingi.

Пікірлер: 17
@FERIFIEDSETION
@FERIFIEDSETION 26 күн бұрын
Sema huyu jamaa mwenezi wa ccm kichwa sana nafuatilia hata uchambuzi wake masuala ya kisiasa anavyochambua hongera @mwananchi kwa weledi wenu
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 26 күн бұрын
Siasa ni Maisha kila kitu kinaamuliwa na siasa.ccm imetawala miaka yote hakuna kitu
@willymdeka6034
@willymdeka6034 26 күн бұрын
Skaandamane yeye na mkewe huko astuchoshe huku
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 26 күн бұрын
Ongelea maandamano ya Gen Z Kenya, achana na mambo ya Paris na Beijing. Afu linganisha na mazingira ya nchi yako kama vile kodi na tozo zisizoisha, kodi ya majengo wakenya wameikataa, migogoro ya wafanyakazi na wafanyabiashara,nk
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 26 күн бұрын
Huyu akapimwe akili mpuuzi ikitokea vita wa kwanza wewe kukimbilia nje ya.nchi wewe na familia yako
@TarimoMangi
@TarimoMangi 26 күн бұрын
Acha ujinga we mchunga ng'ombe.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 25 күн бұрын
Sheria kandamizi , tunataka katiba MPYA.
@ItsMaxwell-Hjm
@ItsMaxwell-Hjm 25 күн бұрын
Huyu mbowe amezidi kuzungumza masula yasiyo na maslahi kwa watanzania, Uongozi na maendeleo ya Tanzania hayafanani na Kenya kwa maana hii huwezi kulazimisha watu kuandamana na kuvuruga kwa tija yako mwenyewe. Hongera katibu mwenezi wa kuliweka hili sawa
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 26 күн бұрын
Watanzania wana njaa isipokuwa misukule ya fisiyemu tu yenyewe inajionea saw wenye akili timamu muda siyo mrefu wataanza kudai haki zao kama kenya
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip 26 күн бұрын
Mbowe hawatakii mema watanzania! Anawakia shali kwa faida yake! Usitufanye daraja la yeye kuvuka!
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 26 күн бұрын
Chadema wameshindwa awana sela
@peaceworf7450
@peaceworf7450 25 күн бұрын
Sasa mbowe kama anapenda hali ya nchi ya kenya siaende kenya akaombe uraia huko maana anachoongea ni pumba tu mzalendo wa nchi awezi kusema maneno kama hayo na hatuwezi kumpa nchi huyu maana itakua taharuki nchini kwetu ivi mfano ndy angekua raisi wa Tanzania akaombwa ushauri na rais wa kenya angepata chakushauri kweli kwa izo pumba?
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz 27 күн бұрын
Ww broke wa siasa wauza chama cha chadema hufai hata kuwa balozi wa nyumba kumi watanzania hawana njaa kama wa kenya
@michaelsairamagafu
@michaelsairamagafu 26 күн бұрын
kila mtu ana mtazamo wake juu ya maendeleo ya nchi na wananchi wake mathalan, swala la kikokotoo, ajira, mishahara tofauti kati ya sekta ya binafsi na umma, matibabu , sasa sukari, issue za bandari, bei ya umme, uhaba wa maji, mafuta na petroli, elimu duni ambapo elimu yetu chekecheana shule za msingi bado wanafundishwa masomo ambayo hayana manufaa kwao mfano mende ana miguu mangapi,nk kwa ujumla tukiacha upenzi, ukereketwa ngunguri , au uchawa na ukupe, ni vyema sisi kubadili mifumo wa uendeshaji nchi yetu katika hali ya majadiliano.
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 26 күн бұрын
Ujinga wa Mbowe nikutaka nchi iingiye kwenye machafuko .una hasira wewe zakijinga mbona wewe hutaki kuachia nafasi ya mwenyekiti..
@ObadiahMutambo
@ObadiahMutambo 26 күн бұрын
𝑊𝑒𝑤𝑒 𝑢𝑠𝑖𝑤𝑒 𝑛𝑎 𝑛𝑗𝑎𝑎,,𝑛𝑎 𝑢𝑐ℎ𝑎𝑤𝑎,,,𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑢𝑜𝑛𝑒𝑣𝑢 𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑢𝑜𝑛𝑖 𝑛𝑎𝑚𝑛𝑎 𝑡𝑢𝑓𝑎𝑛𝑦𝑒𝑗𝑒 𝑐𝑐𝑚 ℎ𝑎𝑢𝑛𝑎 𝑐ℎ𝑜𝑐ℎ𝑜𝑡𝑒 𝑐ℎ𝑎 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 197 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН