Mkemia apa from Tanga Tanzania kaz nzur sana tuko pamoja mwanzo mwisho
@jumaboy4918Ай бұрын
Kipara big up😊
@PacifiqueKalenga-we5hfАй бұрын
Kipara brand 💪
@gendaekafilmproduction4678Ай бұрын
Kaz kaz
@fatumajuma9388Ай бұрын
Oro ovo oro much love from 🇰🇪🇰🇪😂😂😂 kipara nakukubl na icho kizungu 😂😂
@collinsouma-cv1uoАй бұрын
kipara napenda ukiongea kiingereza😂💔
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
Hizi ndizo aidia ambazo mnatakiwa muandae sasa Clam Vevo Gang ❤ Naona kwaupande wa Mr CHIBU kaachia Tamthilia yamoto sana na Kipara huku umeachia tamthilia yamoto sana. Sasa nasubiria Mr BUTUA naye aachie tamthilia yamoto. Mimi ndio yule fans sugu wa Mr CHIBU & Mr BUTUA soon ntamuongeza Mr KIPARA kama atakaza aidia kwenye stori zake namna hii ❤
@VincentGamboMuye21 күн бұрын
Mr chibu n gani
@DonMooFILMES_Express21 күн бұрын
@@VincentGamboMuye andika CHIBU TV itakuja channel ya huyo jamaa. Amecheza kwenye Snake Boy kama baba yao na wale mabinti wawili ambao wanaishi na CLAM VEVO.... jamaa ni hatari sana
@user-ee7xd5wu1n24 күн бұрын
Kazi nzuri kipara ❤
@AmaniNangerembeАй бұрын
Good nice one job mr wanaman🎉🎉
@aminakatana8721Ай бұрын
Nimefika wala sichelewi kabisa
@FrankLuhaha-dt5shАй бұрын
Oya mbeaaa wa kiumee kaz yko nzulii sanaaaa
@JacquelineLightnessАй бұрын
Nzurii sanaa❤❤Sandra nakupenda❤
@LovelyDandelion-dv5htАй бұрын
Ongeza dakika bwana kipara movie nzuri dakika n kidogo 😢
@coolbz133Ай бұрын
Kipara hebu tulia na hicho kizungu chako daaaa watueka njia panda ulisomea wapi na mm nirudi shule😂😂😂
@user-xk8si6bo9bАй бұрын
Kipara jayva hongera sana kwa kazi nzuri naomba ongeza dk kidg kwa maan ni 🔥 mkali ❤❤
@user-vo7yb6wp1mАй бұрын
Kazi safi Sana hongereni next plz 🎉🎉❤
@TheddyAlistarick-dn4tgАй бұрын
Mnaweka muda mchache bhna Ata huenjoy
@hamdunslimofficail4150Ай бұрын
Sema una chelewesha sana kipara wanaman au kipara Jaiva movie Kali sana ii 🔥🔥✔✔✔✔✔
@fguy2687Ай бұрын
Safi sana
@pasqueensebastian9930Ай бұрын
Kipara after vevo.. Kipara vevo😅
@Hawadadi-kt9bzАй бұрын
good job
@EvodiaDominicАй бұрын
Usichelewe kuleta mwendelezo
@Mariam-fm8vqАй бұрын
Kipara lakin unatueka sana bwana utasema watu wanasubiri kiama 😂😂😂😂
@user-ex2id7sw4xАй бұрын
Safi San kipara KAZI inaonekan Kwa kwel n nzur xan wallah big up xan kipara Wanaman mzungu WA Tz
@halemasuliman-js8ugАй бұрын
Kazi mzuri kipara lete vituu
@VictoriaMaundaАй бұрын
Nakukubari kipara
@UmiMazariАй бұрын
Chizi biga kazi
@melomusictz1079Ай бұрын
Kitu cha moto 🔥 balaa hatujakataa ,kazi inanguvu hatari hili sipingi , tatizo dk chache kipara jaivah kipara wana man kipara marley kipara oh my tunakuomba part 4 dakika kuanzia 25-35 kipara konde please
@AsumaniSikituАй бұрын
Nakubali sana kipala❤❤❤
@user-qq4zr3sk2gАй бұрын
Kipara Jaivah aweeh bibi hajasema hapo aweeh 😂😂😂ila udiwani na kipara mmmmh... mhuu🙌🙌
@sharifamohd385729 күн бұрын
orrrrrro in orrrrrrro
@YoungblackPeople-qf7vxАй бұрын
Kipala wana man aweeeeeeeeeee😅😅😅😅😅😅😅😮kama ume cheka gonga like 👍 😊
Kipara kazi nzuri sana na tunaifatilia kwa kina ila kuna sehemu zinakuwa Ima director au Script inakosewa mm binafsi sijaona sababu ya Abby kuwa mkali kwa mke wake kiasi hicho kisa anamuwazia dada anaejifanya kuwa ni chizi content inakujaje wana ishu gani na yule mdada mpaka imefikia mahala mpaka kumuwazia kiasi ambacho akose maelewano na mke wake? Maana kwa kawaida hauwezi kumuwazia mtu ambae hauna ishu nae kiasi kwamba ukakosa maelewano na mke wako so kuna sehemu za kurekebisha maana wanaotizama ni wengi na sio kila anaetizama anaangalia tu! Hapana mwingine anaangalia vitu vingi sana kuanzia shorts,movement ya msanii Script,director,reaction ya artist na vingine kibao ni hayo tu! Kwa uelewa wangu mdogo shukran sana
@mtzhalisi2232Ай бұрын
Tuongezee muda kipara wana man
@ErickyTz-ku7dtАй бұрын
Kipara ndo mridhi wa clamvevo
@charlesjbjb8513Ай бұрын
Sandra anacheza na akili zetu
@eldalisboa7403Ай бұрын
Nimempenda sandra, anajua kigiza sana, natafuta movie zake nione
@user-yk4xn2qp6sАй бұрын
Finally am the first 😂
@mc-bii228Ай бұрын
Watu wa Clam Vevo Gang 🤣🤣🤣🤣 Aloooh english imewapitia kushoto sana