😂😂😂😂😂😂😂nadhan unanijua sinaga tabia ya umbea umbea🎉🎉🎉🎉
@millybrenda-il5ub4 ай бұрын
Nilidhani umbea ni ya wa mama kumbe iko kwa wanaume tena Ile inazidi ya wa mama enyewe dunia inamambo
@makoriTheDot3214 ай бұрын
Nadhani unanifahamu sina tabia za umbea umbea 😂😂😂😂😂😂 from Kenya 🇰🇪
@stviez4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 woooow yani sija wai frahia kama leo, super interesting
@leidoneplabodamz4 ай бұрын
Kaka samahani kwa majina leidone plabodamz khamisi. Mwenye umri wa miaka ishirini na mbili.. Nina kipaji cha muziki . Kuigiza. Naomba mnisaidie tafadhali nae MUNGU atawalipi. Nisaidie please. I found ways to meet with you. And Clam vevo but I couldn't succeed on that help me my brother
@leidoneplabodamz4 ай бұрын
I need your help my brother
@leidoneplabodamz4 ай бұрын
Please can you pass my problem to clam vevo
@user-ig9mi5gb1w4 ай бұрын
Nimefurai xana Leo ,Tania za umbea umbea Tamu kwa wanaume daaah ,nipeni likes niangalie Tena jamani 👍big up kipara
@user-ly5wm9el5t5 ай бұрын
Duh kuna wanaume wana tabia hizo jamaniiiiiiii.😅😅😅😅
@MOASLLY4 ай бұрын
Nadhan unanijua, sinaga tabia za umbea..! 😂😂😂
@leidoneplabodamz4 ай бұрын
Ungemuweka bhailam clam na kicheche na vaillet
@khadijaAthuman-qq7xg4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sijawai kuangalia movie ya bongo nikacheka mwanzo mwisho kama hii. Kazi nzuri Sana... Nipeni Jina ya movie kali ya kibongo kma hii
@malickngoma52914 ай бұрын
BBC moja kwa moja kwa salim kikeke
@theopistersaimon96644 ай бұрын
ila amapiano nakupenda sana tokea maiti yangu, maua hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-vt4vd5rh8u4 ай бұрын
Mimi cnaga tabia za umbeumbea😂😂😂
@KIDAWAFILIM5 ай бұрын
Kama utakuwa na nafasi nakuomba ingia ktk account yangu naimani utafurahia❤❤❤❤
@Mbwile4 ай бұрын
Brv
@Mbwile4 ай бұрын
🎉
@user-ob6hz6zt9k3 ай бұрын
❤❤
@user-lk2wm1th2k3 ай бұрын
Jaman siyo kwa kijiji hicho
@user-lk2wm1th2k3 ай бұрын
Umbea kaz Kama kazi nyingine
@user-fl5hw7jq9r4 ай бұрын
❤❤❤Looo hiii Sasa kali😂😂😂
@ZalhaMustapha-yj4os4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣nyie hii movee inachekesha lkn inafundishaa snaaaa
@EvodearVenance-xe3xs4 ай бұрын
Mungu awajalie nguvu,juhud na ubunifu zaid na zaid katika sanaa yenu
@user-dj9iz7lh1k4 ай бұрын
Jaman nimecheka atarii😂😂😂😂😂😂😹😹😹😹😹😹Kupatwa kwa umbea
@user-jo9mh6ot8p4 ай бұрын
Poasana nakukubalisa toka nilivopata sinemazako paleulikuwepo namwakatobe ku sneke boyi
@HalimaShee-nn6rp5 ай бұрын
Hadi raha
@user-rp3hf9oi7v3 ай бұрын
Kipara wachekesha Sana wemwenyewe umeshindwa kuzuiya 😂😂 itakua rafikiako😂😂😂
@AbdulMahmud-ut7ee4 ай бұрын
Namkubali Sanaa kipara
@HaulatiManzikalaАй бұрын
Nawapenda sana
@user-rp3hf9oi7v3 ай бұрын
Alafu dada kimu nakukubali sababu. Unajikubali❤
@user-rx9jp9kw7z3 ай бұрын
Sinaga tabia ya umbea umbea duuu😂😂😂😂 atari kabisa 😂😂😂aya mpeni kipala siri zenu atawatunzia vizuri 😂😂 I follow you from Kinshasa, capital of the Democratic Republic of Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 I love you very much my brother