#KIPIMO

  Рет қаралды 60,893

NY TV

NY TV

3 жыл бұрын

Je ulisha wahi kujiuliza DJ lina maana gani,sasa jibu lake limepatikana

Пікірлер: 71
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
We mtumishi wa Mungu Mungu akutunze unahubiri Injili ya kweli
@evaristkayimba9148
@evaristkayimba9148 3 жыл бұрын
Hongera sana Mch.Moses Magembe kwa kutupatia neno lenye tija sana ,hakika tunaendelea kufarijika sana kwa maneno yenye baraka mno
@hemedshalua2002
@hemedshalua2002 2 жыл бұрын
Mashahidi wa kweli wa Yesu bado wapo barikiwa sana Baba, Mungu akupe maisha marefu.
@benjaminjulius7833
@benjaminjulius7833 2 жыл бұрын
Mtumish ubarikiwe kwa kuhubiri injili
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
Hakika YESU ni BWANA, ujumbe hu ni mimi ninakushukuru Mungu
@valelianonyato-gx5bq
@valelianonyato-gx5bq 2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze unafanya kazi kwa uaminifu sana Mungu akutetee
@martinematanda6791
@martinematanda6791 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki Sana BABA udumu ili utusaidie kwa Jina la YESU KRISTO Ameen.
@lindamlaki8103
@lindamlaki8103 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana,wacha baba aseme maana neno la Mungu ni upanga uwao ukatao kuwili,injili hii ilipotea siku nyingi hatujaisikia siku nyingi enzi za Mzee wetu Moses i feel kama yupo Mungu akutunze mtumishi wa Mungu usipindishe hata moja baba tumezoea injili ya matangazo tuu hata tunashindwa unaenda wapi mwee.hakika wakati unatimia
@joshuabweli6249
@joshuabweli6249 3 жыл бұрын
Dr.Rev maghembe Mungu akubariki sana kwa Neno LA Mungu, natamani sana kila siku niwe napata shule nzito kwako.
@tengononi5143
@tengononi5143 2 жыл бұрын
Amina mutumishi mungu akubaliki
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 2 жыл бұрын
Barikiwa SANA mtumishi wa MUNGU
@olivatairo6612
@olivatairo6612 3 жыл бұрын
Mwinjilisti ck zote ana hasira na shetani, TWANGA INJILI BABA
@towardssuccesslife.1808
@towardssuccesslife.1808 2 жыл бұрын
AMINA UBARIKIWE MUNGU AKUPEMIKA MILEFU🤝
@braittonfedrick4839
@braittonfedrick4839 3 жыл бұрын
Barikiwa sana baba mchungaji kwa neema ya Bwana iliyondani yako
@octavianmwamnyanyi6222
@octavianmwamnyanyi6222 3 жыл бұрын
Usipobadilishwa na injili hii ya baba yetu mzee magembe sahau kabisa kuhusu mbingu ya watakatifu na uzima wa milele.
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 3 ай бұрын
Mungu anisamehe
@godsonlaizer1988
@godsonlaizer1988 3 жыл бұрын
mzee mungu akulinde sana, watu wa aina yako wamepoungua kbsa
@mahambajackson278
@mahambajackson278 3 жыл бұрын
Asante muze wetu kwa neno la Mungu.
@emiliansilomo4408
@emiliansilomo4408 3 жыл бұрын
Injili isiyogoshiwa. Onya, kemea karipia! Mungu akubariki baba!
@gideonregnald2743
@gideonregnald2743 Жыл бұрын
Be blessed
@rosemwala9654
@rosemwala9654 Жыл бұрын
Mungu nisaidie nipate unyakuo maana hayo mateso ya watakaobakia ni makubwa mno hauastahimiliki
@febronianyangwala7524
@febronianyangwala7524 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana baba Mungu atusaidie sana
@erastokumburu3598
@erastokumburu3598 3 жыл бұрын
Thank you Pastor for God's love you have been blessed to teach us
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 3 жыл бұрын
Mimi ni Mkristo Mkatoliki lkn huyu mchungaji na mkubali sana, mafundisho mazuri kwa waumini wa Dini zote na Madhehebu yote. Ubarikiwe sana Mchungaji.🙏.
@chrissmichaelmashouda1726
@chrissmichaelmashouda1726 3 жыл бұрын
Mimi pia mkatoliki nampenda Sana huyu mtumishi af Kuna yule alokufa Dr Moses Kulola mtafute Kaka
@esternaftari4553
@esternaftari4553 3 жыл бұрын
Na mim ni mkatolik mpendwa mtafute na mwingin anaitwa mch. David Mbaga
@valelianonyato-gx5bq
@valelianonyato-gx5bq 2 ай бұрын
Haya ndiyo maneno yanayotakiwa kumponya mtu siyo injili za wahuni wanaoichafua injili ya Bwana Yesu kristo
@gidionmwarabu8329
@gidionmwarabu8329 3 жыл бұрын
Amen baba
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
Eee MUNGU nisamehe hilo la mambo kwà watoto uwiii 🙆🏿‍♂️🙇🏾‍♂️🙇🏾‍♂️
@alphoncinejule6999
@alphoncinejule6999 3 жыл бұрын
Amena Mchungaji ubarikiwe Baba Somo Mwanzo Mpya inatu change maisha yatu. Asante sana mchungaji
@rosethomas1183
@rosethomas1183 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@salvadry01
@salvadry01 3 жыл бұрын
We are in a season of revival for the last army of the saints of the most high God to fight the spiritual battle of the end of times. Ujumbe wa namna hii tutaanza kuusikia zaidi kutoka kwa watumishi wa kweli wa Mungu maana ndio ujumbe utakaoinua roho za mashahidi wa Yesu waliokua wamelala na kujisahau ili kuwaandaa kukabiliana na wakati mugumu wa kujaribiwa unaokuja mbele yetu. Hakika nashuhudia kizazi chetu hakitapita. Na nawahakikishia huyu mchungaji hajakurupuka, nawahakikishia huu ni ujumbe wa uamusho na mtausikia sio kwa huyu pekee, watumishi wengi wa kweli wataanza kuuhubiri.
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 3 жыл бұрын
AMEN man of God be blessed
@salomessmart9814
@salomessmart9814 3 жыл бұрын
Haleluya!!!!baba we ni hatari sema baba wachungaji wapone
@zedinamohammed1878
@zedinamohammed1878 3 жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu
@edwinmbwilo6128
@edwinmbwilo6128 3 жыл бұрын
Ushauri; Wakusanywe wachungaji wote halafu uwahubirie hayo kisha wao waje watufundishe sisi hapo kanisa litapona na Moto wa uamsho utawaka
@mpandawilliam6813
@mpandawilliam6813 3 жыл бұрын
Ameni sana, pasua Pasua mtumishi wa Mungu.
@tajialbano5827
@tajialbano5827 3 жыл бұрын
Ameni,amen, Gamaliel wangu.
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 2 жыл бұрын
ASANTE SANA mtumishi wa MUNGU UTUKUFU apewe MUNGU....INJILI isiyoghoshiwa
@SusanaSimoni
@SusanaSimoni 4 ай бұрын
Mchungaji hatukani acha kumnyoshea kidole masihi wa Bwana wa majeshi ujinga sio tusi
@deodathkizito9637
@deodathkizito9637 3 жыл бұрын
Yesu akubariki sana Baba 🙏
@nelsonbreidon6600
@nelsonbreidon6600 3 жыл бұрын
Nakusikia mtumishi. tupe neno. Uko. sahihi. Kabisa
@nelsonbreidon6600
@nelsonbreidon6600 3 жыл бұрын
Amen. Man. of God
@maomao3837
@maomao3837 3 жыл бұрын
Wapendwa tubadilikeni maana ukweli ndo huo MUNGU anajidhihilisha kwetu kupitia mtumishi wake.Baba ubarikiwe saana.
@mariamnamsongole616
@mariamnamsongole616 3 жыл бұрын
EE BABA MUNGU ITUNZE NA KUIMARISHA HUDUMA HII ULIOIWEKA NDANI YA CHOMBO HIKI! ILI UKAGANGE NA KUOKOA WENGINE ZAIDI!! AMEN.
@winnyrocha1361
@winnyrocha1361 2 жыл бұрын
Very true man of God
@mwamvitamhongole9320
@mwamvitamhongole9320 3 жыл бұрын
Mwenye kusikia na asikie hata milele 🙏
@ruthmwasomola655
@ruthmwasomola655 3 жыл бұрын
Baba sema tupone
@nicholausmahembuke7305
@nicholausmahembuke7305 3 жыл бұрын
Nadhani marekani imechangia,huko hakuna maadili,lkn ndiko imani zilikotoka
@olivatairo6612
@olivatairo6612 3 жыл бұрын
Mwinjilisti Mungu akubariki sema yote wala usibakize ili tupone baba, wanaochukia ni wapinga Kristo hao wageuke wakubali kutubu,
@benardmagazi7429
@benardmagazi7429 3 жыл бұрын
Sema baba,ili tupone
@ernestpetro2660
@ernestpetro2660 3 жыл бұрын
Hio yote sababu watu hawana tumaini,pia wanadamu,wanampenda Sana mungu muumba wa vyote isipokua hawajui pakukimbilia kwani makanisa Ni biashara si sehemu sahihi ya Imani za kiafrika kwakua hamna jinsi ndo maana watu wanakokotwa Mara pokea upako Mara binadamu anaponya vipofu laaa huo Ni ukwamo waakili
@paulowiliamusilayo2717
@paulowiliamusilayo2717 3 жыл бұрын
MUNGU Atusaidie sana
@deodathkizito9637
@deodathkizito9637 3 жыл бұрын
Hakika nina amini Yesu amekuacha kwaajili ya kizasi hiki
@christinamoshi5986
@christinamoshi5986 3 жыл бұрын
Nawezaje kupata nmba za baba Mosas Magembe
@kalengemochi9471
@kalengemochi9471 2 жыл бұрын
Amina
@salomessmart9814
@salomessmart9814 3 жыл бұрын
Liokoe kanisa la leo
@annagasper3909
@annagasper3909 3 жыл бұрын
B
@isayasimon4752
@isayasimon4752 3 жыл бұрын
Ameeen namba nitumie wasapu 0679598210
@jeradbendiliba3828
@jeradbendiliba3828 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ety vergabond
@rosemwala9654
@rosemwala9654 Жыл бұрын
Hata wakati wa Nuhu walikuwepo waliocheka Kama wewe, hujaanza wewe, kucheka, cheka tu siku za kusaga meno zinakuja mbio.
@mbarikiwluambano1596
@mbarikiwluambano1596 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Mchungaji kwa kusema iliyo kweli, Nina swal, ni halal mwanamk kujipamb kwa mapamb ya kidunia? Mfano! Rast, mekap, uwanja n.k.
@imeldakassoga6332
@imeldakassoga6332 3 жыл бұрын
Big up mchungaji, lakini una hasira saaana, na hasira Ni mbaya,Tena unatukana wachungaji kuwa wajinga na kadhalika hi inakaaje happy Ni sawa?
@yahayatuly627
@yahayatuly627 3 жыл бұрын
Ujinga sio tusi Mtu wa Mungu
@yahayatuly627
@yahayatuly627 3 жыл бұрын
Pia kuna hasira ya kimungu na ya kibinaadam Ya kibinaadam ndiyo dhambi ya kimungu ni huduma kama kama vile Paulo anavyo mwambia Thimoseo akaripie na kuonya Hiyo ni karama ya uinjilisti uwa inakua hivyo kwenye dhambi.
@edwinmbwilo6128
@edwinmbwilo6128 3 жыл бұрын
Wivu wa BWANA unanila ni maneno ya Yesu alipo zipindua meza za wabadili fedha hekaluni
@sarhkimboi9085
@sarhkimboi9085 3 жыл бұрын
Ujinga c tuc Bali ni Hali ya kutokuelewa kitu, Na nilazima akalipie
@christinakembe3869
@christinakembe3869 Жыл бұрын
Kusema wajinga ni sawa kabisa kama hawana maarifa wasiambiwe ukweli?
@benjaminjulius7833
@benjaminjulius7833 2 жыл бұрын
Mtumish ubarikiwe kwa kuhubiri injili
@tajialbano5827
@tajialbano5827 3 жыл бұрын
Ameni,amen, Gamaliel wangu.
@bienvent614
@bienvent614 3 жыл бұрын
Mbalikiwe Saana Baba
#SAFINA# USALAMA WAKO NI KUBAKI KWENYE SAFINA;REV.MOSES
49:20
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 51 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН
Askofu Moses Kulola Asimulia Historia ya Maisha yake Alivyo Itwa na MUNGU
38:08
RPF Cocktail Reception | Remarks by Chairman Kagame
31:02
Paul Kagame
Рет қаралды 6 М.
NAMNA YA KUTUMIA SALA YA BWANA KAMA NJIA MOJAWAPO YA KUTAFUTA UFALME WA MUNGU
1:59:36
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 809 М.
MAMBO YANAYOLITESA KANISA LA SASA - REV:MOSES MAGEMBE
1:20:25
Sautikuutv
Рет қаралды 210 М.
Mch Moses Magembe - KUNYAKULIWA KWA KANISA | USHETU 04
2:29:21
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2,6 М.
Rev: Moses Magembe, wachungaji, Wanafata marupu rupu ,,kanisani,,
31:15
Edward mathias TV
Рет қаралды 52 М.
Mch Moses Magembe - ISRAEL NA SIKU ZA MWISHO | MAKAMBAKO 07
2:28:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 40 М.
MATOKEO MAKUU YA MAOMBI - REV:MOSES MAGEMBE
1:07:33
Sautikuutv
Рет қаралды 68 М.