#wasafiFM #TheStoryBook #MnaraWaBabeli Miaka zaidi ya 5,800 iliyopita watu wa Mji wa Shinar walijenga Mnara mrefu - Mnara wa Babeli ikiwa ni moja ya majaribio makubwa zaidi ya kumkufuru mungu.
Пікірлер: 1 200
@mudathirhussein26704 жыл бұрын
Achenj Ufala... Tuleteeni Mtiga. Sauti kma senge.... Sielewi kitu mm. Kma unamkubali Mtiga gonga like.
@washingtonsefu7554 жыл бұрын
Iyo ni kweli uyo jama ni musenge sn hajuwi hata mara moja sema tuwa kwepe wazee
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Haha haha eti sauti kama Senge!! Kkkk
@scco104 жыл бұрын
Kwer mtiga arudiiii
@homeoflyrics62204 жыл бұрын
Jamaaa ndio anamtayarishiaga mtiga yaan yeye ndio mwandishi wa story zote za mtiga
@thedoncomplex36794 жыл бұрын
😂😂😂😂😂!! Huyu ndo mpishi wa story zote anazo simulia mtigaa ujue, mpeni heshima zakee😂😂😂😂
@kingally78164 жыл бұрын
Kidogo unaelekea umesimulia vizuri Asante brother. By King Ally from mahembe kigoma.
@salomecomedyofficial4 жыл бұрын
Kama unaimiss sauti ya mtiga abdallah gonga like( wasafi fm mshaanza kuzingua tayari,,
@yahayammsiwa16514 жыл бұрын
Wewe mond turudishiye mtiga Abdallah,uyu jama yako mrudishe seemu alipotoka kama ni kijijini mrudishe atakuaribia biasha yako WCB❤❤❤❤❤
@africanboyamani86404 жыл бұрын
Kweli amludishe bushi
@fahimaabdillah72794 жыл бұрын
Yahaya Mmsiwa 🤣🤣🤣🤣🤣abaki kuwa muandishi tu
@deopende82022 жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuri, inabidi tuwe makini,tusiwena waovu Mungu asituangamize.
@mwalongojames15074 жыл бұрын
Mwanzo mgumu Sanaa usikate tamaa ndugu yangu Tutakuelewa Tu🙏
@KTMediatv3 жыл бұрын
Washamuelewa
@emxsimba40253 жыл бұрын
Best comment ever 💪
@januarylyambuzi17182 жыл бұрын
hii comment nadhani ni bora kuliko comment zote kwenye #TheStoryBook
@musalucas11924 жыл бұрын
kama una hakik hii story angepita mtiga abdal mjukuu wa nderangusho story ingekuw no1 on trending like apa
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Duuh kama uneshtuka kusikia sauti hii gonga like! Mtiga Abdallah bring him Back
@gasparmargwe53414 жыл бұрын
Nimeboweka sn
@yusuphcharles14974 жыл бұрын
Sijaipenda
@hannojuliasi53484 жыл бұрын
Huyo hafai kabisa anamaliza MB zangu2
@abdallabakar58414 жыл бұрын
Anaboa yani ayupokabisa mbonanamnafeli wadau
@shukuruizrael20584 жыл бұрын
Story book tunamtaka Mtiga abdala
@davidgeke90874 жыл бұрын
Big up sana Msoma Makala upo vizuri.
@daudhabona88974 жыл бұрын
Ananias Edgar ndio kibokoo. Mpeni kazi huyuu. Mtakubaliii. Kama unajua kazi yake gonga like.
@annafuredi32473 жыл бұрын
Minakupendasana unasimuli kiufasaha zaidi don't give up just keep going best. One day you'll succeed love so much.ukopowa
Oooh kumbe leo enginear jamar april ameamua aruke nayo mwenyew tuu!🙌🙌🙌
@blessedmoses42434 жыл бұрын
Mbona yuko vizuri huyu msimuliaji,tumzoee huyu pia
@reubenmaghati17374 жыл бұрын
Si ndo ushangae hawa watu , mshikaji kajitajidi sana.
@historianyeusi95244 жыл бұрын
Jamal wew baki kweny kuandika story tuu na si kusimulia story..
@johnsahani98924 жыл бұрын
Mtiga wap jaman mbona mnafeli sanaaaa wasafi 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄😫😫😫😫😫😫😫😴😴😴😴😴😴😴😴
@abelmange54304 жыл бұрын
Where is Mtigaaa Abdallah...Yaan cjafaidi kabisa hii story Leo... gonga like twende Sawa
@wahidymrosso76004 жыл бұрын
Mtinga ndo kazi yakee hao wengine bdo sna km munatusikilza na munaona comment zetu plz tunamuitj mtinga
@scco104 жыл бұрын
Abaki kwenye uandishi
@Respicius4 жыл бұрын
Sasa kama hujui huyo ndo mtayalishaji na muhandishi wa hayo yote
@chellishikizitto79604 жыл бұрын
Respicius Revelian Chief kuandika na kusimulia ni vitu viwili tofauti... Mtiga hana mpinzani
@johnsilima67894 жыл бұрын
Kwel kabsa kila mtu ana kipaji chake
@MM-pd9ys4 жыл бұрын
Mbona hata huyu yuko vzr tuu!
@eddovanny25544 жыл бұрын
Wabongo Ifike Mda muwe mnapokea watu wapya sas hii story kila mtu anaijua kama Kama Unatak sauti hata Yako Tu
@striderderulo44074 жыл бұрын
Mungu kakupa uandishi na mtiga abdallah kapewa usimuliaji mungu si mchoyo kagawa kwa kila mmoja sawa ko nafasi ya mtiga mwachie mtiga na nafas yako ni yako tu mungu si zwalimu gonga like kama tumeelewana✌️ mtiga 4l!fe
@ramadhanboi64854 жыл бұрын
Kila mtu analalamika mtiga yuko wapi ,mtiga yuko wapi jamani story nzurii tumpe sifa zake nae like zake ziko wapi
@salimually94654 жыл бұрын
Kweli man mtiga ndio mkali wa simulizi uyo mseke kama anahubiri
@dreambeesafricalimited48314 жыл бұрын
97% wote mnamtaka mtiga...pengine 1.Tunaishi kwa mazoea Au 2.Mtiga is the best Mi nafikiri tumpe mda jamaa mana hata mtiga naye alianza kama huyu kwa tunaomjua ujuzi unapatikana ukifanya kazi kwa mda
@ZaituniRashidi-ry9vz9 ай бұрын
Kwanza Jamal ndo mwanzilish wa kusimulia story kwenye hk kipnd tang Wasaf inaanzishwa huyo mtiga aliletwa mara moja tu itakua mnaomtaka huyo mtiga ni wagen wa hik kipind
@user-lb9lx7op8y3 ай бұрын
Wote wanajua san tuu great respect kwaooo
@husseinomary44664 жыл бұрын
Mnataka turudi kwa ananias Edgar mnaanza kufeli tunamtaka mtiga hao wengine pelekeni kwenye mipasho
@christopherfadhili53124 жыл бұрын
Yani mtinga naomba urudie hii story huyuu Hamnakituu kabixa ahaaaa@wasafi man boa
@stanslauschatata34834 жыл бұрын
Mwaka mpya, the story teller mpya!🙌🙌🙌
@catherinedavidy90174 жыл бұрын
Kelele ya kwanza kwa jamal ake, msimzibie mwenzenu liziki, huwezi kusikiliza sepa, love you jamal
@happinesslema72642 жыл бұрын
Ni kwel kabisa wanadamu tumekua ajabu ,unamwinua mtu mmoja tu kana kwamba ataishi milele na hii hupelekea mtu kufa na sanaa yake
@mhogomchungu78824 жыл бұрын
Yaan nmerud kutoka shule.... Nmekimbilia The stry book... Afu nakutana na saut mbaya balaa...... Wasaf achen ujinga.... Binafsi sitasikiliza tena.... Bila mtiga
@mussaamiry98234 жыл бұрын
Mbona msimuliaji yuko vzuri sana,,, acheni kukosoa kazi za watu kama nyie mnajua nendeni wafasi mkaombe kazi
@rehemasalum25314 жыл бұрын
Mtiga jamani baby leo cjaridhika kabisa where are you my heart touchable voice
@augustmj45734 жыл бұрын
Kwa hii comment mtiga lazm arudi😂😂😂
@agathathobias86904 жыл бұрын
Rehema salum kwel umejilipua
@azeezhmussa93424 жыл бұрын
Cku mkimrudisha MTIGA taomba airudie tena hii story ili niielew vizur mana leo Mh!
@greenaelisha64574 жыл бұрын
Azeez H Mussa 🤣🤣🤣🤣🤣
@catherinemutindi50312 жыл бұрын
Kenya tunakupata sawasawa.barikiwa ndugu kazi njema.
@sulaimanikhalfani2824 жыл бұрын
MTIGA ABDALLAH WE NEED U
@scco104 жыл бұрын
Kwer mtigaa
@collins84374 жыл бұрын
Yes we need him pls
@faylema95344 жыл бұрын
Thanks to my lovely pastor who teaches and narrate all most common stories in the old & new testament I was empty I learn it by force After sometimes I found it was so helpful Though am not righteous but I know lot in the bible Cheers to him where ever he is.👏👏
@vincentmokenye44654 жыл бұрын
Yupo vizuri mbona jamani
@lifeliver_88884 жыл бұрын
amna kitu unajua..kafanye ishu zingine bro
@staralive92602 жыл бұрын
Binadamu ndivyo tulivyo!! Tunabadilika sana kiakili. Watu wa Babeli ni mfano wa binadamu wa sasa.
@FungamtmaMadonya9 ай бұрын
Je unayo stories books ya mwanamalonde
@aljuniormandro28394 жыл бұрын
JAMALI NAKUOMBA UBAKI KWENYE UWANDISHI2 KAKA ILA KWENYE USIMULIZI MUACHIE MWANAO MTIGA KAK🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@scco104 жыл бұрын
Uko Sawa bakisa nakusaport Hilo hapa mtiga Abdallah yaan umevuruga mzee mrudishen
@suleimanimg96964 жыл бұрын
Kak....Cjakuelew...kusimuliaa story n kipajii....Samahan
@happylaizer9654 жыл бұрын
Hujuuuuuuuuuui kusimulia ucrudieeeee
@videozaaj10694 жыл бұрын
Na hiyo saut si ya jamal mbna.. Sijui wamemtoa wapi daah
@hosseamelikioli94104 жыл бұрын
Sure
@peacelady5954 Жыл бұрын
Keep it Jamal mstasapha
@GamiTVOnline4 жыл бұрын
Usikate tamaa mzee piga kazi
@dicxonjohn84764 жыл бұрын
Mnafeli wapi wasafi TV wapi mtiga abdallah
@scco104 жыл бұрын
Mtigaaaaa
@amanichanga34484 жыл бұрын
Wote wapo vizur
@bashiringamange57334 жыл бұрын
tunamtaka mtiga
@shabanimchemba75044 жыл бұрын
From kusini mwa tz newala💥🔥🔥
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Jamal Mustafa/ Jamal April. Ww unapendeza kwenye uandishi zaidi ila hata kyhadithia pia uko fresh haikuwa mbaya sana.
@jumaamsaga86514 жыл бұрын
Mnazingua hadi trending mumekosa aje mtiga sasa hizi ingekuwa 5 on trending
@plastidiacasmiry22342 жыл бұрын
Thanks "The storybook",I was partially about that!
Abra Cadabra tz usiwe mwepes kutukana huenda anaumwa ndo maana huyu ni kama anamsaidia
@africanboyamani86404 жыл бұрын
Kweli kaka
@scco104 жыл бұрын
Ndiioo
@sidetz49394 жыл бұрын
Waxha anza kulewa xifa xix ndo waxkilizaji nyie leteni mab ya kijinga mtaxhanga 2naamuaa wote king kiba
@cbsmedia334 жыл бұрын
Acheni usenge pia acheni dogo atafute maisha
@fashion_killer_up69594 жыл бұрын
Mko vzr sn mungu awabariki kwa elimu hii mnayotupa
@user-or5ex9ub2k3 ай бұрын
Naipenda sn sauti Yako mtiga Abdallah
@kassimulugajo65124 жыл бұрын
waliommisi mtiga abdallah tujuane hapa
@rastamsafi1424 жыл бұрын
Kassimu Lugajo .kweli kaka
@kulwasimon66924 жыл бұрын
S boy
@danielmpokasye61084 жыл бұрын
Kassimu Lugajo mi nimekatisha siwezi kutumia GB zangu sauti yenyewe haivutiii kusikiliza .
@bernelias8974 жыл бұрын
Memms sn .huyu angefata saut yake sio kuuiga ile y mzee mkbwa
@dullahbalaka15154 жыл бұрын
Mtiga arudi jamani namsikia E fm
@dicksonabdon93744 жыл бұрын
HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA KEEP IT UP BRO UKO VIZURI ENDELEA KUBORESHA NAIONA TOFAUTI KATI YA STORY ULIOSIMULIA KWA MARA YA KWANZA na hii ya leo keep growing bro. " mti wenye matunda hupigwa mawe"
@abuubakarimtange46012 жыл бұрын
You said the truth leo jamali ni bora kuliko hao wote
@joackimmbanguka63044 жыл бұрын
Nilivyo kata ghafla mmh Kama umeme aisee baada ya kusikia saut different na mtiga,,,now I have been addicted to the voice of mtiga abdalla
@ibrahimkanuto35144 жыл бұрын
Jamaa anafaa sijawahi kupendezewa na MTU mwenye mihemko ya kazi mtiga ana mihemko huwezi ukawa powerful than media
@idarousphotography33024 жыл бұрын
SEMA KWA ANAVYOSOMA HII SRORY NI KM ANAPITA NJIA ZA MTIGA HIVI YANI KM KARECORD THEN KAFATISHAA """ KAMA UMEGUNDUA GONGA LIKE""""
@Mabegi_nafuu4 жыл бұрын
Idarous photography uyu jmaa ndio anaandika stor zote afu anasoma Mtiga
@idarousphotography33024 жыл бұрын
Tom Beats namjuwa
@buffontv41834 жыл бұрын
*Mtiga abdallah kama kazingua tupa kule jamaa pia yupo vizur sema tu saut ya ipo chini sana*
@nikodemoemilini88394 жыл бұрын
Kaka Jamaal Wewe Noma
@azeezhmussa93424 жыл бұрын
Bring back MTIGA, had nimeamua kuweka pause kwanz ili nicomment, yan story hata haishawish kuendelea kusikiliza wala hutaman kuirudia, MRUDISHENI MTIGA
@missenna86934 жыл бұрын
Ila yuko vzr,n saut tu,napenda mnavyoleta story za bibilia
@gfrhajji52334 жыл бұрын
You guys, simulizi ni sauti na tunajikusanya hapa kwa ajili ya Mtiga sasa hawa form one mnatuletea mtapiteza raia. Hima arudi Mtiga.
@rainakibiki33704 жыл бұрын
Huyu ndio anamwandikia mtiga story
@gfrhajji52334 жыл бұрын
@@rainakibiki3370 abaki kwenye uanndishi
@kisasarob7514 жыл бұрын
Hahah wananchi duh mtiga asiumwe au....atarudi tu
@maezadam54924 жыл бұрын
Hahahaha
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Hawawezi kumrudisha mtiga kwasababu you are the what you read
@donkohraymond56894 жыл бұрын
Safii umejitahid kaka
@bienfaitamani95133 жыл бұрын
Nawafwata kutoka Congo ,Mtiga ipo wapi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@paulnyanda95724 жыл бұрын
Ambao tunasikiliza huku tunasoma comments za watu wanavyodisi sauti jamal like
@mudathirally13844 жыл бұрын
mtigaaa more fire 🔥🔥🔥🔥
@luckyyusto81594 жыл бұрын
We jamal kazi yako ni utunzi bro acha tamaa yatakushinda
@willsonjuma60154 жыл бұрын
hiii kaz n ngumu jamaa anaandaa anaiandka story then anasimulia ninyi mnamtukana kisa mtiga kwan uyu ndo kamfukuza mtiga wasaf ama ebu achen fitna au jamaa anachanganya na kihaya au kinyakyusa acheni izo so fresh
@dogolakejamalapril75894 жыл бұрын
MNAOMTAKA MTIGA ABDALLAH MTAZOEA TU MSIJALI SHIDA NI MAZOEA YANA TANU ILA MWANA NAE YUKO VIZURI CHA MSINGI MSIKILIZENI VIZURI TU🙏🙏🙏
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Kabisa. Maana akibaki mtangazaji mmoja wengine watafanya nn tumpe nafasi nae maana nae anahitaji sapoti ili atimize malengo yake na asaidie familia yake
@dogolakejamalapril75894 жыл бұрын
@@rusakanyohenry6932 wabongo bhan ndo tulivo mtu asiende hata likizo
Hii story irudiwe na mtiga huyo bado sanaa mnatokosea sanaa Wasafi
@victorvancharlz91253 жыл бұрын
Jamal uko vizur na sijaona mapungufu yako... Wanaokuponda wanahitaji muda kidogo kukuzoea... Kwa anaefuatili the story book anajua mchango wako kwa Ntiga..
@mubarakamuba3764 жыл бұрын
Uyu jamaa ata aendi n beat, hii n kaz y *mtiga abdallah*
@fayscott99954 жыл бұрын
Simulizi nzuri lakini msimuliaji hajategemewa na kila m2...we need MTIGA plz
@mfaumehassan44244 жыл бұрын
story nzuri snaa hakika inatubariki snaaa na pia ubarikiwe na ww pia
@sixteenonline98114 жыл бұрын
Nakubali keep it up .Watu wanakatisha sana tamaa .Ukiwasikiliza watu hufiki popote .Kipaji unacho kaka songa mbele .
@isacklaurent89484 жыл бұрын
ata angeanzaga huyu alaf mtinga aje mngemkataa pih sas iliyopo 2zoee 2 coz nae hyu atazoea atanoga msiwaze!😊😊😊
@disantiokiberanbwoy88314 жыл бұрын
Sauti Ya Mtiga Ipo wapi natoa malalamishi nikiwa 🇰🇪
@toxictv40054 жыл бұрын
Ahh tunamtaka mtigaaa
@hosseamelikioli94104 жыл бұрын
Mtiga arud
@applekidoti81584 жыл бұрын
Arudi kabisaaa... sio poa.
@bokeyemarwa50384 жыл бұрын
Pokea ujumbe sio sauti.
@applekidoti81584 жыл бұрын
@@bokeyemarwa5038 sauti nzuri ndio inafanya usikilize ujumbe na kufuatilia story mbalimbali
@rojallyrmr14024 жыл бұрын
*duuuh kwa hii sauti ndo maan haijaniletea notification mtiga yuko wap*
@lisacris2074 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka kisenge Hahahahaah 🙌
@donkohraymond56894 жыл бұрын
Chanel Bomba sanaaa
@haruniisaya71034 жыл бұрын
Huyu fala wa Wp Tena. Mtiga Arudi 2 Huyu cmuelew kbx
@stanslauschatata34834 жыл бұрын
Huyu ndo mpishi wa story, bila huyu huwezi msikia mtiga, mi naona kafanya poa tuu japo si bora kama mtiga!
@allyhussein8004 жыл бұрын
Mh! Wasafi hii mara yenu ya kwanza kuzingua jamn sasa huyu jamaa sauti yake mbon hatujaielewa mnafel ety
@chordyvipers93224 жыл бұрын
Mtangaazaji mpaka raha keep it up
@abratolisandro85554 жыл бұрын
Lkn anahadithia frexhii eeh
@ayoubmwakitalima9554 жыл бұрын
Mtiga jmn where where
@chrisskibaking81844 жыл бұрын
MUNGU ni balaaaa 😂😂😂😂😂 Kila mtu alipewa lugha yake dadeq
@anoldykway11094 жыл бұрын
Wasafi tunawapenda xana watu gani ten mnaleta kweny story book jmn. ME SITAK
@mauakasheshela48284 жыл бұрын
Bro unajua ila huwez kumfikia Mtiga 👏👏👏👏
@yessembwambo44404 жыл бұрын
Tunamtakaa Mtiga Abdallah Huyuu Jamaaa Anajua Aseh Then Huyuu Wa Leo Aendelee Kutaftaa Tu Story
@benfordmathias21404 жыл бұрын
wa kwanza
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Mpeni nafasi kila mtu ukitegemea mtu mmoja kuna tatizo, je itakuwaje ukimtegemea mtangazaji mmoja itakuwaje pindi akitaka kuondoka kama harmonize au akiumwa au kusafili. Mwacheni nae aonyeshe uwezo wake hakuna aliyezaliwa anajua ni kujifunza tuu
@dankoko79593 жыл бұрын
Am addicted to this chanel,,av learned alot since nigundue the storybook on star tv
@GaudenceNgamira28 күн бұрын
Uko good ujumbe umefika
@ayubuhenry54264 жыл бұрын
Wewe ndo mwandish ndio laki sauti usirudie ww mpe tulie mzoea bana, mungu anagawa vipaji wewe n mwandish poa sana but msimulizi nae ni mwingine aliepewa kipaji kingine ambacho hana ulicho nacho usivae vyote sawa baba,
@elishayohanangarab46763 жыл бұрын
Da mungu alitoa pigo
@iamstevenrungatv48053 жыл бұрын
Big up brother👍🏿🔥
@jei_maimu69574 жыл бұрын
NI MWENDO WA STORY TUU..NASIKILIZA UJUMBE,AIJALISHI MSIMULIAJI NANII..MBONA INAKOLEAA TU
@nassorhemedy39564 жыл бұрын
Mnazngua wasaf uyo jmaa hatufai mtiga ndio kilakitu mm nilivomskia huyotu sjaendelea kamwe kuskiliza mtiga come back braza
@washingtonsefu7554 жыл бұрын
Kama una mupinga uyo jama gonga liker yako hapa kwaman hajuwi ata kusema hatumutaki hata mara moja uyo jama yuko na saut mbovu sn wenye wako pamoja na mm bas tushikamane kwa kupinga uyo jama
@nasirabdul24 жыл бұрын
Mzee huyu ndo muandishi wa uyo mtiga unaemtaka ww
@dayanaleo75374 жыл бұрын
Sauti anayo ila sio yakusinulia ni yakumbembelezea mkewake sisi hatutaki kubembelezwa tunataka kusimuliwa
@chafutatu41794 жыл бұрын
Tangaza ww kama unaweza mbwa ww
@happylaizer9654 жыл бұрын
@@nasirabdul2 kwa hiyo km ndio mwandishi wake hatumtaki hana saut
@washingtonsefu7554 жыл бұрын
Sema tu wame tukosea sn ndomn
@edydio35564 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa anaisikilizaga sauti yake kwel maana kama kalewa vile!!!,na kama ataendelea kuwa huyuhuyu MB zangu hamto zilamba tena?
@africanboyamani86404 жыл бұрын
Kweli kabisa kalewa
@godianmanyenye9304 Жыл бұрын
Achen upimbi kenge nyie
@marwawambura28803 жыл бұрын
mtangazaji katudanganya Mungu aliwatawanya kwa lugha na siokuwepo kwa wazungu na Weusi Jamaal Mustafa amedanganya Sana wazungu hawakupatikana kwa njia hiyo mbali njia ya kutengenenzwa tu kuwa binadamu wakisasa kamailivyo kwa kuku wa kisasa au ngombe wakisasa nao kutokana na damu ya watu Weusi walitengenenzwa kuwa binadamu wa kisasa Watu wasiogope kusema ukweli na huo ndiyo ukweli.
@mctcher5244 жыл бұрын
All the way from kenya kama unakubali Mtija ndio mambo yote gonga like twende sawa
@arnoldchambika14924 жыл бұрын
Yupo wapi mtiga abdalah huyo mwana hatumuelewi
@dangotemaulid34904 жыл бұрын
Ypoo wapi mtiga
@dangotemaulid34904 жыл бұрын
Hajulikan
@mrishomudi87574 жыл бұрын
Daaah unaona sasa sio mnoma huyu yan havutii kabisa
@hasnatomary84174 жыл бұрын
Kama Leo ndio mwisho kuangalia story book kama mm gonga like
@halimasssomar87934 жыл бұрын
Watu Bana..ooo sauti sauti..ivi amuelewi story acheni kuishi kimazoea..mlo mzoea pia ni binadamu Leo yupo kesho ayupo.. itakuwaje...