KISA CHA SODOMA : MUNGU ALIWASHUSHIA MVUA YA MOTO KWA KUENDEKEZA USHOGA / WALITAKA KUWABAKA MALAIKA

  Рет қаралды 4,456,092

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

#TheStoryBook #SodomaNaGomorrah Hadithi kamili ya kisa cha Mji wa Washenzi Sodoma na Gomora, na jinsi Mungu alivyouangamiza.

Пікірлер: 1 800
@jugerulikira1698
@jugerulikira1698 3 жыл бұрын
*Akisha uta kuta mtu anasema eti Mungu ayupo🤔 kama wewe una amini kama Mungu yupo gonga like tujuwana*
@buyiyichangesdeus917
@buyiyichangesdeus917 3 жыл бұрын
Amen
@saidikhalfani8373
@saidikhalfani8373 3 жыл бұрын
Mungu yupo
@matumoomari1812
@matumoomari1812 3 жыл бұрын
Allah yupo na hukumu ipo waache tu waendelee kukufuru
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@suzanjohn4591
@suzanjohn4591 Жыл бұрын
Amen.
@itstwinshi2179
@itstwinshi2179 4 жыл бұрын
Nimependa sana hii episode. Inafundisha *MUNGU BABA hadhihakiwi yeye ndiye mwenye nguvu, uweza na mamlaka kuliko chochote wala yeyote* 👏👏
@abuuhemed48
@abuuhemed48 2 жыл бұрын
Quranshehminshaw
@emmanuelmbelele8954
@emmanuelmbelele8954 2 жыл бұрын
🙏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏
@jamesonkabage2887
@jamesonkabage2887 Жыл бұрын
P
@floramacheva5855
@floramacheva5855 Жыл бұрын
Waah 😭 Yesu kristo, utuokoe maana Wana wetu wanaishi haya maisha ya hiki KIZAZI Cha sadoma na komora, 😭😭😭uturehemu Mungu wetu
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@atusamwely7771
@atusamwely7771 4 жыл бұрын
Ata siku moja usiruhusu hasira ya bwana ikawaka juu yako .. Mungu atuhurumiee😥😥😥😥
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@yusuphmohamed5297
@yusuphmohamed5297 Жыл бұрын
Nikweli tuzidi kumuomba mungu natujitaidi kukemea mabaya ata kwakuchukulia Shelia Kali unimtian
@user-zy2ot3dm2p
@user-zy2ot3dm2p 2 ай бұрын
Amen
@rubylifestyle7463
@rubylifestyle7463 4 жыл бұрын
wangapi huwa wanasubiri the story book like hapa tujuane😍🥂
@extraordinaryfacts7199
@extraordinaryfacts7199 4 жыл бұрын
Sanaa
@injiniastudios
@injiniastudios 4 жыл бұрын
Yes
@stephenandayi1119
@stephenandayi1119 4 жыл бұрын
Mimi hapa,
@marzymarcy96
@marzymarcy96 4 жыл бұрын
Yes
@deogratiousmbilinyi9575
@deogratiousmbilinyi9575 4 жыл бұрын
Mambo
@rukiapatrick3376
@rukiapatrick3376 4 жыл бұрын
Tunae mkubali abdallah mtiga hapa tucoment na kulike hapa 👊👊👊👊
@longidastephen9279
@longidastephen9279 4 жыл бұрын
Mtiga abdalah tunaomba urudi uwendelee na simulizi hizi,kuna mtu amekuja kwenye nafasi yako haiwezi kbs hana sauti ya simulizi na msisimko wa simulizi!kwaujumla wakurudishie nafasi yako maana unaiweza vyema 100%
@josephbalayata4506
@josephbalayata4506 4 жыл бұрын
Toka jamaa aondoke stoory book at a aipandi walanini
@magrethlugiana7980
@magrethlugiana7980 4 жыл бұрын
Yeah up
@saraholuche1117
@saraholuche1117 3 жыл бұрын
Amen, imenikumbusha ya kwamba, mungu huchukizwa sana, wakati ambapo, binadamu hukosa, kutii neno lake, na kutenda jinsi ambavyo anataka, jameeni dhambi ni mbaya, na pia inamkasirisha mungu wetu
@tanephatanzania5356
@tanephatanzania5356 Жыл бұрын
Ameen
@user-tt6cg9ey6x
@user-tt6cg9ey6x 5 ай бұрын
Tuach mapenz ya jinsia mmoja
@ramamanyama2944
@ramamanyama2944 4 жыл бұрын
abdallah usiwe unakaa mda mref san kutuletea the story book tunapenda sn hil show gonga like apo chin kama unaikubal the story book
@mickdaddeus3634
@mickdaddeus3634 4 жыл бұрын
Dah imenifundisha sana the story book
@yusuphmussa3447
@yusuphmussa3447 3 жыл бұрын
Kwel
@MasudiChips
@MasudiChips 2 ай бұрын
Kweri
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 4 жыл бұрын
Daah mtangazaji God bless you! Very nice voice na presentation!! Asante kwa kutukumbusha Sodoma na Gomora walivoteketea
@swahiliandculture6599
@swahiliandculture6599 4 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa uchambuzi huu wewe ni Mjumbe wa Mungu... umeileta Sauti ya Mungu kama ilivyo... mwenye sikio na asikie Roho wa Mungu anena na watu wake.....ni kweli ushoga sasa unapamba moto... Mungu atusaidie na kutuokoa na vizazi vyetu. BARIKIWA SANA MTU WA MUNGU.
@khamismohamed3100
@khamismohamed3100 2 жыл бұрын
Ccpco jhcohvcppv cc. 😊😶😪✨😜💖😚🍏😄😙😶😙😚🙂😙😙😙😙✨✨😜😄💖💖💖💖😙😋😋😋😶😙😶😙😘🙂😙😚✨🙂💖💖😄😙😄😁😄😄😇😘😘😚😁✨🍎🍎🙂🙂😙😚😙😄😙😄😄😙😙😙😇😇😇😇😇😙😙😚😙😋😱✨😁😁✨✨😊😊✨✨✨😄💕😊💕✨💕😄😊✨✨😁😊✨😪😄😪🍏😄😋🤣😇😁😄💕💕😁💕😄😁😁😄✨😄✨
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@msafirimoses8815
@msafirimoses8815 Жыл бұрын
Amini
@martinaelia1768
@martinaelia1768 3 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NINAKUOMBA UNIUPUSHE NA KIZAZ HIKI CHA LAANA JALIA FAMILY YANGU IWE YENYE KUKUJUA WEWE NA KUJIFUNZA NENO LAKO KTK MAISHA HAYA YA DUNIANI, AMEEEN👏👏👏👏👏👏👏
@chrisboateng8458
@chrisboateng8458 4 жыл бұрын
Kama unasikiliza na kusoma coment kama mimi naomba like zenu MTIGA. Keep it up broo
@mwaminmussa9461
@mwaminmussa9461 3 жыл бұрын
Nawapenda sanaaaaa mnatuletea mambo mazur
@lescokaziulaya4456
@lescokaziulaya4456 3 жыл бұрын
Pamoja
@venisteveniste6974
@venisteveniste6974 3 жыл бұрын
Jiunge frimanson numéro whtpppp+25768361373
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@GeorgeMtei
@GeorgeMtei Жыл бұрын
Pamoja
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 4 жыл бұрын
Daaah! Mungu atuepushe na hiyo life style sodoma na gomora katika dunia hii ya Leo..... Plz like hapa kama una amini
@youngweezy3846
@youngweezy3846 4 жыл бұрын
Sebastian Abhiathan ndo tunakoelekea sasa
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Ombea mataifa haya, wala usitake like, simama mbele za Mungu, Bwana Yesu ili akuokoe na atuokoe sisi kwa ujumla. Ombea mataifa yote, usitake like. Itakusaidia nini??
@joycechaz2840
@joycechaz2840 4 жыл бұрын
Dah kumbe mashoga walikuwepo tangu enzi hizo!!! Mungu tusaidie
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
@@joycechaz2840 iko hivi: vyote uonavyo ktk sasa, vilishakuwepo tangu zama za zamani sana. Hakuna jipya. Kinachotakiwa ni kwamba, msilale usingizi wa kiroho. Soma1Wathesalonike5:6. Kisha umalizie kwa kusoma Yohana15: 7.
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
@@joycechaz2840 hakikisha unayasoma hizo mstari, kisha niambie maana kuna vingi nataka kukueleza.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Shukran sana kwa Maelezo, Nimejuwa Nini Maana Ya Sodama na Gomora.lnna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Msiba Mkubwa.
@emmanuelmbelele8954
@emmanuelmbelele8954 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏💞
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@aminihaji4856
@aminihaji4856 4 жыл бұрын
Allah atuepushe na uchafu huu pamoja na vizazi vyetu
@stephanoelphas4278
@stephanoelphas4278 2 жыл бұрын
Amen,tumesikia sauti ya Mungu kupitia sodoma na gomora,Jiji huu ulipigwa kwa sababu ya Dhambi,Amen🚌🎺🎸🎤🎻🏍👏👍👋🙏🍉🍌🍎☝👍🏆🎯🎹🎷🎧👾🎗🇹🇿🚗🚕🌦🔥🌪🌞🙏🙏
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
Hakika umezid kuniongezea Iman yangu nizid kuomba mungu ktk kila jambo, kweli mungu yup na anaona
@jenifaaloyce6910
@jenifaaloyce6910 4 жыл бұрын
Ameni
@anthaall4582
@anthaall4582 4 жыл бұрын
MUNGU Yuko wanaofaa yakwawo wanajuwa jicorake hariko juuyawo tujirekebishe
@lightnessshayo1783
@lightnessshayo1783 3 жыл бұрын
Kabisaaa M MUNGU NDO KILA KITU
@abdulimatimbwa3190
@abdulimatimbwa3190 3 жыл бұрын
Shangwe
@christophewilondja3736
@christophewilondja3736 3 жыл бұрын
Luk 19:2_5
@bossshilla3596
@bossshilla3596 4 жыл бұрын
Unajua sana Mtiga. Mungu atupe macho ya kuona!
@oscarmosha383
@oscarmosha383 3 жыл бұрын
mungu atuhurumie kizazi chaleo kimejaa uchafu na laana
@barakabakari8334
@barakabakari8334 4 жыл бұрын
Kisa hikinatufundisha mambo mambo mazuri sana tumche rabuka
@plantp.o1823
@plantp.o1823 4 жыл бұрын
DUUUH AYSEE MPAKA NMESHIKWA NA IMANI NA KUONA BORA 2RUDI KWA MUNGU JAMAN GUYS 2TUBU DHAMBI ZETU😢😢😢
@augustinomlowe8059
@augustinomlowe8059 4 жыл бұрын
Na wewe huwa unakula boga
@plantp.o1823
@plantp.o1823 4 жыл бұрын
Me silagi lakini ni mwenye dhamb pia
@gabrielkabuka4712
@gabrielkabuka4712 4 жыл бұрын
Kula boga ndo nini
@ramadhanimwanyumba2955
@ramadhanimwanyumba2955 4 жыл бұрын
@dogo leo jifunze kuandika vizuri, hata kuandika vibaya wakati unaweza kuandika pia ni UHUNI
@plantp.o1823
@plantp.o1823 4 жыл бұрын
Ramadhani Mwanyumba nifundishe kuandika mkuu😐😐
@johnrogasiani
@johnrogasiani 4 жыл бұрын
Kama habari hii imekugusa kama mm tushirikiane kusimamia amri za Mungu na tuishi maisha ya kumpendeza Mungu tangu sasa na hata milele, plz naomba like kama million moja endapo, kama unakubali ushauri wangu,, nawapenda wote, na ninawatakia amani.
@johnrogasiani
@johnrogasiani 4 жыл бұрын
@@reginambawi9010 nikweli Dada yangu yeye ni mwazo na ni mwisho ,atukuzwe milele na milele , nakutakia baraka na kibali lolote unalotaka kulitenda, mtangulize Mungu nawe utafanikiwa zaidi na zaidi.
@johnrogasiani
@johnrogasiani 4 жыл бұрын
@@reginambawi9010 asante na uwe na usiku mwema
@johncavishe353
@johncavishe353 4 жыл бұрын
Kweli wakat umefka tmrudie mwenyenz mungu
@dainesssindiho2968
@dainesssindiho2968 3 жыл бұрын
Unahak bro. God bless you
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@bakitakasanga1898
@bakitakasanga1898 2 жыл бұрын
Utuhurumie ee mungu sisi Ni wenye zambi utuepushe na adhabu Kali Kama uliyo wapa sodoma na gomola utuepushe na mabaya ee bwana mungu wetu mungu akupe maisha marefu wew uliye jitolea kwa moyo wako kutoa simulizi hii mungu utarehem sis Ni Wana wako utuepushe na mabaya amen
@latifahjanja6679
@latifahjanja6679 4 жыл бұрын
Hz story zinafundisha pia zinarefresh mind big up sana wasafi na the story book
@gracefabian6114
@gracefabian6114 4 жыл бұрын
Story imechelewaaa banaaa😭😭😭 Mtigaaa fanyaa kuwaishaa kdg aiseeh
@anonymouslyhidden95
@anonymouslyhidden95 4 жыл бұрын
Ee bwanaee ulete world war much love from Kenya please kama mnaungana nami jamani Like waonee
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 3 жыл бұрын
Bruno Niko hapa Makindu
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@calvincyprian5680
@calvincyprian5680 4 жыл бұрын
Sina mengi sana..ila unafany kaz nzur sanaaa; 1.unatukumbusha mambo muhimu juu ya maish yetu na uhusiano wetu baina ya sisi na Mungu 2.umekuwa sasa ni kiunganishi unatufanya waisalam kwa wakristo kujiona ni sawa kulingana na ufanano na ushahidi huo wa maandiko 3.unajarbu kudhihirisha na kuonyesha uwepo wa Mungu kwa wale wasio mwamini...!
@queenstarboy1823
@queenstarboy1823 4 жыл бұрын
Daaaah uyu mkaka ana sauti nzuri hatr yan imetulia hongera kaka
@fatumaabdallah566
@fatumaabdallah566 4 жыл бұрын
Naomba kwa Allah anitwae mimi na kizaz changu kabla iyo laana haijamkinai🙏🙏🙏
@dunduumaster4815
@dunduumaster4815 4 жыл бұрын
Kama huamini katika Kristo wembe ni ule ule
@fatumaabdallah566
@fatumaabdallah566 4 жыл бұрын
@@dunduumaster4815 jidanganye ivyoivyo huna ulijualo hata kuhusu uyo kristo😎
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Allah atakuhifadhi kwa unaloliomba kwake inshaallah
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
@@dunduumaster4815 Wewe subiri utakapo ufahamu ukweli utajuta sana
@jafariomary745
@jafariomary745 4 жыл бұрын
Fatuma Abdallah maneno yakwajwakwambiwabiwa
@zechyulewagreenapple5705
@zechyulewagreenapple5705 4 жыл бұрын
One love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@danielsaimon4718
@danielsaimon4718 4 жыл бұрын
198004141412500005.
@chief2177
@chief2177 2 жыл бұрын
Tuko pamoja
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@dullahmbabe3869
@dullahmbabe3869 4 жыл бұрын
Mungu hachezewi tumuogope
@RUBENOTIENO-bh8yo
@RUBENOTIENO-bh8yo Жыл бұрын
so good muendele hivyo hivyo tu hadi watu waone wana tenda thambi mbele za muenyezi mungu asanteni wasafi muendelee 😊
@hadijambwan8092
@hadijambwan8092 4 жыл бұрын
Kam hii story imekushtua gonga like twend saw
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Haipo kwenye Kuruhani kwani? Maana ipo kwenye biblia
@rashidambari3468
@rashidambari3468 4 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 ipo lakini kwenye Quran inahadithiwa kama kisa cha kaumu Luthi...
@sistitemu7346
@sistitemu7346 4 жыл бұрын
Palikuwa sheda sana! Itabidi sasa Mungu arudi tena
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 4 жыл бұрын
Yarabi Tusamehe sisi na waliotutangulia
@tyromonster5699
@tyromonster5699 4 жыл бұрын
@@juliusmwinga4051 kwel
@rukiamwakinyo5324
@rukiamwakinyo5324 4 жыл бұрын
Haya ni yakweli kabisa Allah atuepushe na haya mabalaa
@afrovisuals-ksv894
@afrovisuals-ksv894 4 жыл бұрын
Aamin insha Allah @Rukia Abdallah
@fatwimabintathmanbinthawa8155
@fatwimabintathmanbinthawa8155 4 жыл бұрын
Amiin Yarabi🤲🏼
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 жыл бұрын
Aamin inshaallah
@aminaramadan184
@aminaramadan184 4 жыл бұрын
Amiin
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 4 жыл бұрын
Ni kweli lakini kwasasa hatuwez kuepuka dhambi ileile ndo ipo katika kizazi hiki Teena sfari hi ndo imeenea kwa kasi..chamsingi Ni kumwambini mwenyezi mungu na kutoshiriki dhambi hizo
@dibah613
@dibah613 3 жыл бұрын
Wah mungu atuepushe mbali na moovu..shetani mbaya...Mshahara wa dhambi ni mauti..Ni vyema kutenda mema na kumwogopa/mcha mungu...mungu anapenda watoto wake bali afurahii maovu ni dhambi
@veronicaamela3479
@veronicaamela3479 2 жыл бұрын
Mungu anifungue kwa magojwa pia awafungulie watoto wangu kazi
@emmamarko2517
@emmamarko2517 4 жыл бұрын
daaaaah huwa namuelewa sana huyu jamaa kama na ww unamuelewa gonga like
@twalibabdulkarim6463
@twalibabdulkarim6463 4 жыл бұрын
ALLAH NI MKUBWA SANA......TUMUABUDU YEYE TUU...WALA TUSIMSHIRIKISHE NA VIUMBE WAKE...NA HAKIKA YA MUHAMMAD NI MTUME WAKE
@lusekelomwinsasu318
@lusekelomwinsasu318 4 жыл бұрын
Huyo allah ni nani? Maana hapo anaongelewa Mungu ambaye ni Jehova wewe unasema allah mkubwa ametoka wapi hapo?
@hemedramadhani7946
@hemedramadhani7946 4 жыл бұрын
Ipo siku tu utamjua Allah ninani
@CizaDangote
@CizaDangote 4 жыл бұрын
@@hemedramadhani7946 mwambie uyo mjinga
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 4 жыл бұрын
@@lusekelomwinsasu318 atakuwa ni Mungu wa waislama ndugu Kama ilivokuwa Mungu baali ko Kuna Mungu wengi ila sisi wakristo tunamjua Mungu wetu na sifa zake hazifanani na za Mungu Allah muongo.
@fatmafeisal442
@fatmafeisal442 4 жыл бұрын
@@canibalgazaboy8325 Hamna mungu wa waislam wala wa wakristo mungu ni mmoja ni ndio Allah s.w. na ndio mungu wa kila kitu ulimwenguni na mbinguni na hana mshirika wala msaidizi wa aina yeyote.
@PeterJulius-ej4lu
@PeterJulius-ej4lu 3 ай бұрын
Mungu ni mungu pekee tuomben mwisho uwe mwema amèeen ❤pia ishaalaaa
@mohamedkagoma7066
@mohamedkagoma7066 3 жыл бұрын
Subhanallah zama ndo hizi tulokua nazo sasahivi yarabi tunusuru wajawako tunusulie watotowetuh duh had I naogopa maana dunia sasahivi imejaaa kila aina ya ovu
@nyatindwagerald4607
@nyatindwagerald4607 4 жыл бұрын
Hapa lazima ujifunze kitu kwenye hii story Asante Mtiga
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 4 жыл бұрын
Tupe mastry tupate kufaidika kama umeikubali hii story book gonga like 👍tuende p1
@shabanally4378
@shabanally4378 3 жыл бұрын
Mmb
@Kimaro_Comedy
@Kimaro_Comedy 4 жыл бұрын
Hii sauti ni best sauti, eeebwana Mtiga wewe ni kiboko napenda The Story Book kwa sababu yako mzee, Nani yuko Hapa na mimi tunacheki story book 👇👇👇👇😍😍😍😍
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Dah machozi yananitoka enye mashoga wakinondoni shauli yenu😢😢😢😢😢
@saxenaofficial4168
@saxenaofficial4168 4 жыл бұрын
Kama unailudia story hii mpaka leo 2020 tuwe pamoja nipe like zako hapa
@angelmwandata2233
@angelmwandata2233 4 жыл бұрын
Wangap wameludia kuisikiliza na kuangalia hii story kama mimi like tujuane jmni
@titreevents8790
@titreevents8790 4 жыл бұрын
Story zako nzuri sana kila mtu anazipenda sasa tunasubilia naya SAMSON
@charityhalisi7212
@charityhalisi7212 4 жыл бұрын
Hakuna jipya chini ya jua.... Vyote tunavyovyiona vilikuwepo! Mungu niokoe mm nimekutenda dhambi
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Nawe ushafanyaga kma hivi 😁
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Hii habari imenitoa machozi kwelikweli. Dahhh nimejikuta chozi yanidondoka, kuwahurumia walimwengu. Kweli Mungu wetu ana huruma ya ajabu. Sijawahi kuona huruma kama ya Mungu. Mungu aliwahurumia sana hawa watu lkn watu hawa kwa kiburi wakaendelea kufanya machukizo mbele za Bwana Mungu wetu. Hawakuwa na utii. Uwiiiii hadi nashindwa kuandika. Lkn ikafikia hatua Mungu Baba muumba wa Mbingu na nchi akakasirika. Ndugu mpendwa wangu, hasira ya Mungu haiwezi kufananishwa na kitu kingine cha aina yoyote. Nakuomba usiwahi kuomba hasira ya Mungu itokee. Mungu ni mwema jmn, Bwana ni mwema siku zote. Hadi sasa bado anasubiri tutubu dhambi zetu. Mungu Baba wa Mbinguni, tusamehe makosa yetu. Ameeeeen. Hivyo ndugu, na marafiki na wengine wote, tuogope dhambi. Ujue siku Bwana akikasirika ujue umekwisha.
@irenekerubo9791
@irenekerubo9791 2 жыл бұрын
Ni uzuni
@faimagulam9142
@faimagulam9142 Жыл бұрын
Amen,,,Mungu yupo hakika nahukum ipo
@khamissathumany8392
@khamissathumany8392 4 жыл бұрын
Wangap wanapenda the story book like tujuane
@nicholaswafulawanyonyi9412
@nicholaswafulawanyonyi9412 3 жыл бұрын
hello
@francistunakwishabilakujua8826
@francistunakwishabilakujua8826 3 жыл бұрын
Hadi nimeshituka jamn
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@HABIBULLAH-nd9ft
@HABIBULLAH-nd9ft 4 жыл бұрын
Inapendeza sana kwa msuliaji mwenye shauku na hisia kama hii kusikilia historian za ukweli wa vitabu vya dini EUNDELEE HIVYO EWE MTIGA ABDALLAH.
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
#ewe MTIGA ABDALLAH
@Jamie-292
@Jamie-292 9 ай бұрын
Yu, have, to know about God bcoz wengi, wenu, you want to blike, at, that time
@AdacharityColeman
@AdacharityColeman 4 жыл бұрын
Nimeona watu wengi mkiandika Mungu kwa herufi ndogo maana yake ni vimiungu ama kamungu . hata majina yetu yanaanza kwa herufi kubwa sembuse jina la Mungu mwenyezi na muumbaji wetu. Tafadhali tujifunze jambo hilo. Asnteni kwa story yenye kutukumbusha kumcha Mungu
@firdauskombo2650
@firdauskombo2650 Жыл бұрын
Ulichosema ni ukweli kaka watu wasicheze na Muumba
@thomasedward4878
@thomasedward4878 Жыл бұрын
Muomben mumewang maana anaelekea hukohuko Mungu tusamehe sana
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 8 ай бұрын
@@thomasedward4878😳😳😳Lord have Mercy 🙏🙏🙏
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 6 ай бұрын
@@thomasedward4878 ya Rabby 🤔
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 4 жыл бұрын
Hakuna kipya chini ya jua, OMBI: :eeeh mwenyezi Mungu ulipaswa kuweka remote controller ili kwa wale watakao kwenda kinyume na mapezi yako basi na warudishwe ktk mstari, ila kwa sasa umetuachia Uhuru mno ndio maana tumegeuka mabaradhuri/hayawani. Huruma yako iwe juu yetu na kwa kizazi chetu maana janga hili ni kama mchwa utafunao fenicha taratiibu..🙏🙏
@timotheomassawe1102
@timotheomassawe1102 4 жыл бұрын
Hakika
@isayagidion4714
@isayagidion4714 3 жыл бұрын
The story book inatukumbusha kumrudia Mungu tuache dhambi wapendwa ipo siku haya tutashuhudia dahaaa mpaka ninaogopa
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@asiaissa976
@asiaissa976 3 жыл бұрын
Asante sana ndugu mungu atunusuru na tabiya chafu amiin
@joxiahmendez1325
@joxiahmendez1325 4 жыл бұрын
Kama unaamini akina Amberuty na bobyrisk walitoroka kutoka Sodoma na Gomora weka likes!....
@user-us9gl8jg4l
@user-us9gl8jg4l 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@billylovebilly9418
@billylovebilly9418 4 жыл бұрын
Hahahaha akini mecheka atariiii
@nadyakisho811
@nadyakisho811 4 жыл бұрын
😀😀😀😀Duuuuu
@timotheomassawe1102
@timotheomassawe1102 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@timotheomassawe1102
@timotheomassawe1102 4 жыл бұрын
Warudi huko wasijetuletea kisanga
@joharhamisi9140
@joharhamisi9140 4 жыл бұрын
Subbuhana allah allah atupe mwisho mwema amin
@nawihadj6674
@nawihadj6674 4 жыл бұрын
Jina la Mungu andika kwa herufi kubwa
@VerifiedComment
@VerifiedComment 4 жыл бұрын
@@nawihadj6674 allah sio Mungu.
@snoda8056
@snoda8056 4 жыл бұрын
Aamin Yaarabul Aa'lamin
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 жыл бұрын
Aamin
@mshedyjr460
@mshedyjr460 4 жыл бұрын
Amin
@josephngwale6251
@josephngwale6251 3 жыл бұрын
Ambao tunapitia leo hii story ya Sodoma na Gomola Like zenu plz
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@youngchella4322
@youngchella4322 4 жыл бұрын
Xo talented hyu jamaa wanaocheki hapa neno la Mungu gonga like✊
@manofgodbabazero9237
@manofgodbabazero9237 4 жыл бұрын
Leo wa Kwanzaa... Plz like Naomba kwa heshima ya kuwa wa Kwanzaa plz like......
@SammyNjorogeVisionary
@SammyNjorogeVisionary 4 жыл бұрын
To be honest I like the voice of this man
@mudrick_
@mudrick_ 2 жыл бұрын
Nice
@alexjohn1189
@alexjohn1189 3 жыл бұрын
Kama umeangalia historia hii mwezi kam huu gonga like twende sawa wapendwa
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 2 жыл бұрын
Daaah 😭😭😭 ya Allah tunusuru vijana wetu sikuiz imekuwa fashion watu kutembea kwa jinsia moj wanawake wameona fashion kuingiliwa nyum ya maumbili dah 😭😭😭
@margrethemanuel7501
@margrethemanuel7501 Жыл бұрын
Hadi naogopa hii lawiti lawiti ya watoto, wanaume kuoana, Mwenyenz Mungu turehemu
@wilsonmutethia9276
@wilsonmutethia9276 Жыл бұрын
MUNGU wangu namba ukaniurumie mim na family nyangu pamoja
@Simonkasero-ij6sz
@Simonkasero-ij6sz 10 ай бұрын
​@@wilsonmutethia9276mi Hy KO Jo use use pi of ln l of la
@westgagus6417
@westgagus6417 4 жыл бұрын
Na tumeacha katika mji huo ishara iliyo wazi kwa watu wanao tumia akili zao. -Alqur'an, sura ya 29, Aya 35.
@nuratumary67
@nuratumary67 3 жыл бұрын
Alafu kuna mijitu inakuja hapo inauliza allah ni nani 😱 innalilahi waina ilaihii rajiun,,,IPO cku watamjua allah ni nani
@mrpeace5170
@mrpeace5170 4 жыл бұрын
Kama unawakubal wasaf media weka LIKE
@abdallahmohd7163
@abdallahmohd7163 3 жыл бұрын
Hxucjh
@neemagabrieli-ff4mq
@neemagabrieli-ff4mq 10 ай бұрын
Mungu ni mwenye huruma sana wangetubu huenda wangesamehewa hata sasa tunaitaji kutubu sana maana pia huku wapo wengi sana tunahitaji kutubu juu sahii ni nyakati za mwisho
@winifridathomas5081
@winifridathomas5081 3 жыл бұрын
Ee mungu tuepushe na family zetu tusikubwa na sodoma 🤲
@sudymalema2313
@sudymalema2313 4 жыл бұрын
Haya ndoo yapo sasa mungu yatupasa tumuombe mungu atunusulu🙏🙏🙏
@tonijr8229
@tonijr8229 4 жыл бұрын
Sudy Malema a wapi saiv mbna Hamna uovu mzeee .....fuatilia vzr ishu ya sodoma na gomora ndo utaona saiv Hamna dhambi .....we fikiriw hadi Mungu alishindwa kuvumilia sio poa
@jamessuka5845
@jamessuka5845 4 жыл бұрын
anina
@snoda8056
@snoda8056 4 жыл бұрын
@Sudi Malema, Umesema Kauli thabiti
@zedfahmomyy8809
@zedfahmomyy8809 3 жыл бұрын
Amein
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Amen 😭😭😭
@amrimalumbo1712
@amrimalumbo1712 4 жыл бұрын
Kila MTU gonga like duh mnapenda like ushambaa tupe story Baba
@fatumamkuzi1475
@fatumamkuzi1475 3 жыл бұрын
Mungu tumbe mwisho mwema Amiin yarabb 🤲🤲
@dottosebastianophilipo2693
@dottosebastianophilipo2693 3 жыл бұрын
Story hii nairudia mara kwa mara coz ninajifunza kitu kikubwaa saana be blessed
@Pratnumzsimba
@Pratnumzsimba 4 жыл бұрын
Kiukweli tumuogope mungu dhambi ni mbaya sana tumuombeni sana mungu atuepushe na hiki kikombe
@alkenyjanson4778
@alkenyjanson4778 4 жыл бұрын
Story tamu!!!!! Duuu awa wasafi wanatimiza subscribers milion moja soon
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
Ni kweli lakini tazameni SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@pioneerchunga6347
@pioneerchunga6347 4 жыл бұрын
Yesu kristo ndie njia na wokovu wa binadamu U kwake pekee
@aklamramadhan1042
@aklamramadhan1042 3 жыл бұрын
Unakosa kumsifu aliye kuumba unamsifu asiye umba....sa Kama yy n muokoaji mbona hakujiokoa akiwa msalabani
@aminamohd604
@aminamohd604 3 жыл бұрын
Hauna swaga
@sadickchakka6350
@sadickchakka6350 3 жыл бұрын
Watu Wang wanaangamia Kwa kukosa maarifa
@pioneerchunga6347
@pioneerchunga6347 3 жыл бұрын
@@aklamramadhan1042 Kwa upendo wake ndio ulimshikilia msalabani. Hii ni kwa sababu alikuwa na uwezo wa kujiokoa kwa kuwa yeye ni MUNGU.
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 3 жыл бұрын
@@pioneerchunga6347 acha izo Yesu sio MUNGU, bali amepewa mamlaka makubwa kuliko kiumbe chochote, anaweza hata kufufua naweza fanya lilote la kimungu,.
@NiceErasto-ni8wi
@NiceErasto-ni8wi 4 ай бұрын
Thank you God bless my family 🙏🙏💞💓🙏🙏🙏
@estheronyoro1452
@estheronyoro1452 4 жыл бұрын
Sauti yako iko poa kwakusimulia story 🔥🔥🔥👍
@mirrabeloduor2016
@mirrabeloduor2016 4 жыл бұрын
I wish we could download and watch it offline sometimes when we less busy. I love it
@wilsonkarisa5029
@wilsonkarisa5029 Жыл бұрын
Sodoma na Gomora
@mariamathumani1781
@mariamathumani1781 2 жыл бұрын
Wapendwa wa Mungu hebu kila mmoja wetu akiulizwa tangu azaliwe umempa nini na je,umejiaandaaje katika maisha yako
@SubilagaKabango-bu8tu
@SubilagaKabango-bu8tu 11 ай бұрын
KWA kweli ukuu wa Mungu ni wa pekee! Maana jinsi alivyoumba Dunia na vyote vilivyomo Inatiisha!
@yussufabdul-rahman5601
@yussufabdul-rahman5601 4 жыл бұрын
Laanatullah, hasbiyallah waniimal wakil mungu atuepushia cye na kizaz chetu😖🙏
@abdurrahimislam4083
@abdurrahimislam4083 4 жыл бұрын
YUSSUF ABDUL-RAHMAN Allahum Amn
@user-pe5ko5mp3b
@user-pe5ko5mp3b 2 жыл бұрын
Amen tumepaza na tumeskia sauti ya mungu kitokana na hadithi hii.Tuache dhambi na tutubu.
@calvarytv7338
@calvarytv7338 3 жыл бұрын
Mtegemee mungu kwa kila kitu
@festovenas502
@festovenas502 4 жыл бұрын
Nakubali stor book mko juuu
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 4 жыл бұрын
Allah atuepushe cc na familia zetu Aamiin
@alfredmosoti114
@alfredmosoti114 2 жыл бұрын
Thanks bro, Hii ni hadithi ya kusikitisha lakini kweli.... Yafaa hii habari itufunze kwamba , hatuwezi kufanya dhambi na kuepuka adhabu ya Mungu..... Ingawa tunaweza kuwa na ujanja ya kujuficha adhabu ya serikali na binadamu, MUNGU /ALLAH hawezi kudanganywa.......!!
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 жыл бұрын
Yarabi Mungu we tunusuru waja wako 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@mudkhamis3078
@mudkhamis3078 4 жыл бұрын
Aamin
@stevohjohn1569
@stevohjohn1569 4 жыл бұрын
Sauti tamu...story tamu....more love from +254🔥
@sashaaishajamani1979
@sashaaishajamani1979 4 жыл бұрын
Anhansante Kwa story nzuri mungu atufanyie wepes yasijirudie tena all the best kaka
@goodluckjohn492
@goodluckjohn492 4 жыл бұрын
Mungu anaangamiza wasioskia
@shabanshaban7742
@shabanshaban7742 4 жыл бұрын
Mungu nimwema
@mdindaoscar3631
@mdindaoscar3631 4 жыл бұрын
Daaah! Saut ya mshikaji mirraldiayo Cha Mtoto
@sokoinesokoine7468
@sokoinesokoine7468 4 жыл бұрын
Astaghfirullah shirki huwezi kuonesha ya Malaika na Mitume ya M/ Mungu.... istoshe ukaenda mbali zaidi ktk kukufuru kuigiza sauti ya M/Mungu.... M/mungu subhaanahuu wataala alimzungumzisha Nabii Musa... lkn kuna ikhtilafu kua hayakua haya maneno tunayoongea mm na ww.. anajua mwenyewe alioumba mbingu na ardhi ni aina gani ya maneno... so bora kwako kutoonesha picha wala sauti... sauti yako inatosha kusimulia... ( tusijepata ghadhab za M/mungu na ndio ikawa sababu ya kugharakishwa waliokuemo na wasiokuwemo
@sokoinesokoine7468
@sokoinesokoine7468 4 жыл бұрын
@@farajijuma9204 Sikiliza kwanza kisha utauliza.. Au umejuaje nilichokisema km hukusoma comment yng... so sikiliza kwanza kilicoemwa dhen uulize
@ericksadock8176
@ericksadock8176 4 жыл бұрын
a.I.c
@aminajacobs76
@aminajacobs76 2 жыл бұрын
Very nice explanation dear.
@irenetarimo1162
@irenetarimo1162 3 жыл бұрын
Mungu sio wa mchezo
@allykaite369
@allykaite369 4 жыл бұрын
Hahaha...et mashoga lakini wababe kama umeisikia kama mm nipe like zangu
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Wasafi media is the best indeed! 😍😍😍😍😍
@UfunuoSt
@UfunuoSt 2 жыл бұрын
SODOMA na Gomora imerudi Tena tazama. kzfaq.info/get/bejne/mt15mb1z35jGeXk.html
@benjaminsepetu9335
@benjaminsepetu9335 3 жыл бұрын
Hasira ya Mungu mataifa hayawezi kustahamili kabisa
@mohammedikingazi5166
@mohammedikingazi5166 4 жыл бұрын
Naam stor nzuri mungu akuzidishie kaka
@princedan6198
@princedan6198 3 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa
KISA CHA KICHOCHORO CHA KWENDA PEPONI (Simulizi Ya Mnara Wa Babeli)
14:14
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 107 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
MTOTO NYOKA  ( FULL EPISODE 1 - 5 )
46:45
IYAGAMBA VFX
Рет қаралды 586 М.
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 2,6 МЛН
The Story Book : Firauni na Kufuru Zake
44:34
Wasafi Media
Рет қаралды 1 МЛН
NDEGE ILIYOPOTEA KUZIMU NA KURUDI TENA DUNIANI BAADA YA MIAKA 37
13:58
Wasafi Media
Рет қаралды 3,1 МЛН
KRRISH FULL MOVIE IMETAFSILIWA KWA KISWAHILI NA DJ JUMA KHAN
2:14:19
SAYFAN MUSSA
Рет қаралды 169 М.
Идеальный день ребёнка😂
0:11
МишАня
Рет қаралды 1,7 МЛН
ХЕЧ БУЛМАСА МЕХНАТГА БИТТА ЛАЙК БОСИНГ #2024
0:10
Муниса Азизжонова
Рет қаралды 3,1 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
0:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 1,6 МЛН
Выгнал училку 😂 #shorts
0:59
Julia Fun
Рет қаралды 2,1 МЛН