Pia huyu mkuu wa wamaleki hapa Tanzania na ang'olewe atupiliwe mbali Kwani Hana mpango mzuri na Tanzania yetu, tunamfyekelea mbali yeye na wafuasi wake in Jesus Mighty name amen
@rosemvuoni1852 Жыл бұрын
Amina.Nawafuta maamaleki wote katika ulimwengu wa Roho katika maisha yangu
@simphoslyvia25702 жыл бұрын
Amen nimehis kupona ,amaleki wameshindwa Leo nimeweka upanga juu yako na vizaz vyao nimewafuta wote wanaozuia baraka zangu,naaachilia Amani na upendo katik family yangu Kwa damu ya Yesu .Mungu aendelee kukuweka mtumishi WA Mungu ishi Maisha marefu.Amina Leo niona uwepo WA Mungu kwangu kupitia maombi haya nimepata kupona na Amani yangu . Asante na mtumishi WA Mungu.
@kareganjagi8640 Жыл бұрын
Ameen 🙏🏾🙏🏾
@reymondgeofrey35609 ай бұрын
New revival and restoration church
@staralive92602 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Bishop J. Gwajima. Unamanisha yake anayoyafanya Kikwete, Samia na kifo cha Magufuli kitakachotokea ni kukosa walichokivuna kwa kuwaua na kuwanyanyasa watanzania katika nchi yao. Imekwisha hii, Bishop nimekupata sana!!
@ruthchikira39922 жыл бұрын
Asante yesu napokea nguvu .kila mwamaleki katika maisha yangu namfuta kwajina la yesu.
Kila amalekii kwa mafanikio yangu, kwa kazi yangu, kwa rlshp yangu, kwa Familia yangu, kwa watoto wangu, kwa mchumba wangu, kwa huduma yangu, kwa health yangu kwa mapato yangu nawafuuutaaaaa kwa Jina LA YESU kwa kua imeandikwa Bwana atawafuta nami nakubaliana na neno la BWANA ninawafutaaa, nawafyekaa out of my life and destiny AMEN 🙏
@kareganjagi8640 Жыл бұрын
Ameen
@RODENIMWINAMI-ok4ri Жыл бұрын
Amina baba yangu
@RODENIMWINAMI-ok4ri Жыл бұрын
Amine babe yangu
@user-xc4dq6ep1u10 ай бұрын
Ameeni ❤
@anettekandole83352 жыл бұрын
Amen hallelujah from Australia 🇦🇺
@barryhezron27642 жыл бұрын
Ameeeen 👏👏👏 uishi milele Masih wa Bwana 🙏🙏🙏Dude la Mbinguni!ohh hallelujah.
@russamunthali16062 жыл бұрын
Blnc all the best all the best the best
@monicanelisha12992 жыл бұрын
Hallelujah waamaleki ambao wako mbele yangu nawang'oa kwa jina la Yesu
@emmanuelemmason11072 жыл бұрын
Aisee Bishop umefanya nielewe biblia,,amen
@gracekisaka84612 жыл бұрын
Ameeeeen
@joycemmassi50462 жыл бұрын
Amen amen Bishop, Mungu akubariki, siku moja utalipwa kwa Kazi yako usipozimia moyo ( Mrs Joyce Joel) /Joyce Beda huyo!
@niyonshutijessy4512 жыл бұрын
Mucumgaji tunakupenda saana Mungu azidi kukulinda weee nifaida kwa watu wengi ubarikiwe saana
@emilydavidmdoe35522 жыл бұрын
Wooow,bendera ya Jehovah nisi.Imeinuliwa,acha iinuliwe juuu sana
@davisnkoba26832 жыл бұрын
Hakika Mungu yu mwema na ni mtetezi Kwa watu wake walio simama ktk kweli, Bishop Mungu yu upande wa Tanzania na nawe ni miongoni mwa waliosimamishwa ili watanzania waijue kweli na kweli iwaweke huru. Nafarijika maombi yanaonesha majibu wazi wazi maana wenye msimamo wa kweli wameendelea kuzaliwa na kuisema kweli ili Tanzania izidi kuwa sehemu ya wengine kujifunza duniani kote.
@nestor3842 жыл бұрын
I like the genius metaphoric model of fighting you use Sir.. Hakuna mtu mwenye upeo wakukaribia wako upande wa watesi. We want more of your kind.
@linusamos84872 жыл бұрын
👏👏👏👏👏💪💪💪AMEN BABA ANGU, vyote vilifanyika kwa NENO LA MUNGU, nimebarikiwa mno
@mysskibe2 жыл бұрын
Please livestream the 72 hours for us who are following from far, humble request 🙏🏿
@ruthchikira39922 жыл бұрын
Iam watching from dubai thanks dad for powerfull messege. GOD bless you.more grace man of God.
@emilydavidmdoe35522 жыл бұрын
Nimekuelewa baba yangu,umeua ili umiliki. Mungu tusaidie
@gracekahinga90182 жыл бұрын
Ameeeen
@faridabaton84262 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi,umepanua ufaham wangu
@veronicagwajima97852 жыл бұрын
Amen pasipo yeye hakuna kingefanyika, haleluya
@eatlawe2 жыл бұрын
Imeelewa vizuri na Myles Munroe on Kingdom teachings
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Hupenda Sana unavyo chambua maandiko mpaka naelewa Sana be blessed
Ninawafuta na kuwafyekelea mbali ktk jina la Yesu kristo aliyehai. Ninawafutaaaaaaaa km neno linavyosema,waabishwe wafefheheshwe Eeee Bwana Wa majeshi ya Israel
@marymwangesi53332 жыл бұрын
Waw!!! Powerful.... God bless you 🙏 More Grace 👏
@robertgaciiyia13932 жыл бұрын
Hakika neno lake Gwajima ni moto. Namombea mwenye enzi Masiha Mungu mwenye mguvu amhifadhi huyu mtu was Mungu miaka mingi m no. (Robert G.Ringera)-KENYA.
@gracekisaka84612 жыл бұрын
AMEEEEN
@hellenmuhando3860 Жыл бұрын
❤
@jema12322 жыл бұрын
Barikua sana mtumishi
@pendosamson72022 жыл бұрын
Ameeeeen Ameeeeen dady
@rehemamwakinyaka31672 жыл бұрын
Nafyeka ameleki wote wanao simama njiani kunizuia mm niinakotakiwa kwenda
@ezeckielsyantata12952 жыл бұрын
Nawafuta Amareki wote wa maisha yangu kizazi baada ya kizazi kwa jina la yesu
@shalifumajini91662 жыл бұрын
Amina baba.nakupenda sana
@IsayaMuriyanga10 ай бұрын
Oi 0:Oii
@mme.irenekilumanga6432 жыл бұрын
AMEN 🙏🏾🙏🏾.
@mussalwaho91202 жыл бұрын
Gwaji boy
@pastortimothyjoshua33042 жыл бұрын
Sio heshima kuita Gwaji boy ndugu ushauri tu lkn usifanye dharau kwa mtumishi wa Mungu