KITI CHA RAIS SAMIA KANISANI CHAZUA GUMZO

  Рет қаралды 14,371

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Жыл бұрын

Wapo wanaohoji: Kwanini rais abebewe kiti hadi kanisani? Mbona watangulizi wake walikalia benchi za kanisani? Na mbona kiti chenyewe kinaonekana si cha Ikulu? Na mengine mengi. Tazama, sikiliza.

Пікірлер: 114
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 2 ай бұрын
Kweli mkuu
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 Жыл бұрын
Mh Rais asikubali kutukuzwa maana mungu Ana wivu na utukufu wake
@Zaburi-
@Zaburi- Жыл бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Jpm alikuwa alikuwa anakaa kwenye benchi
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 ай бұрын
Yy alikaa kweny bench kwa ajil ya ubada. Hata huyo mama akiwa msikitini anakaa chini kabisa
@salmajafari6838
@salmajafari6838 2 ай бұрын
Lkn magufuli hakuenda na kiti msikitini, hiyo ni heshima mbaya kwa viongozi na nyumba za ibada
@butungo1
@butungo1 Жыл бұрын
Very well-argued Ngurumo Ansbert
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 Жыл бұрын
Ni ulimbukeni tu, yeye ni Nani abebewe kitu cha Ikulu kuja kanisani? Je kitu hicho kinapelekwa Musikitini? Je atainamaje kwenye maswala wàkati nyuma yake kuna kitu? Waombe wake waache tabia hiyo ya kumtukuza Samia hana sifa yoyote ya utukufu. Makanisa na Misikiti INA utukufu wake inapaswa kuheshimiwa.
@papaamashana3962
@papaamashana3962 Жыл бұрын
Hongela mwamba
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Жыл бұрын
God bless your people
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 Жыл бұрын
Maoni yako ni sahihi kabisa.
@raychelrecho8143
@raychelrecho8143 Жыл бұрын
nakukubali mno mzee ngurumo lete madini?!
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 Жыл бұрын
Dah!!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
wamefanya makosa sana mbele za Mungu
@Hamy1109
@Hamy1109 Жыл бұрын
Hiyo nembo ipo kwenye bendera ya Rais. Ila kuwekewa kiti kanisani hilo sina comment.
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 ай бұрын
Wewe siyo usalama😂😂😂
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Kwanza nchekeee
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Жыл бұрын
Kuna wakati askofu ameingia kwenye ibada na ulinzi mkali kule Bukoba akizungukwa na mapolisi na mabunduki kule Ntakijoga okitoba 2022.
@estambuya3901
@estambuya3901 Жыл бұрын
Nimeshangazwa sana na kiti Cha rais kanisani.
@salummussa9871
@salummussa9871 Жыл бұрын
Usipotoshe watu muacheni rais wetu mpendwa ajenge nchi yetu ,,Yuko vizuri
@evonsanga3784
@evonsanga3784 Жыл бұрын
Salumu mussa hebu kuwa mstaarabu ww siyo mkristo
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Kanisani ni mahali pa kunyenyekea kumtukuza Mungu peke yake, hata ufalme wowote wa dunia ukiwa pale ni sawa na watu wrote,wala haifai kuhitimisha ibada kwa hotuba zao! Kuna namna ya kupandikiza mamlaka makanisani kwa shinikizo la kisiasa,na hii ni hatari sana kwa imani za watu!
@edwinsuperrutagemwa1486
@edwinsuperrutagemwa1486 Жыл бұрын
Mwalimu Nyerere angekaa kwenye benchi kama waumini wengine. Nakumbuka katika kanisa la St Peter's oysterbay ndo ulikuwa utaratibu wake
@salummussa9871
@salummussa9871 Жыл бұрын
Mh rais unataka aende kanisani kusali wakati unajua ni meislamu? Usipotoshe watu ,,mh rais huenda kanisani kikazi Wala si kusali.
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 Жыл бұрын
Kweli kabisa ndio maana wanazeeka namwona hata mama kazeeka sana labda mjukumu mengi akiachia utaona atabadilika atakua nyonyo akisha stafu mtaona
@wakatv2021
@wakatv2021 Жыл бұрын
kiti kinachoonekana kina nembo ya rais ambayo huwekwa pia kwenye bendera ya Rais. kuna bendera ya taifa na bendera ya rais. pia kuna nembo ya taifa na nembo ya Rais. wajuzi zaidi watufafanulie. Ni kuhusu nembo tu; hilo la kubeba kiti cha Rais ni jambo jingine.
@epimackjohn6354
@epimackjohn6354 Жыл бұрын
VIONGOZI WA DINI WALIANGALIE SANA ! Ina maana haamini USALAMA pale kanisani ? Hicho kiti cha URAIS NI kidoooogo Sana kwenye nyumba ya MUNGU MUUMBAJI wake . Cha msingi USALAMA uangaliwe Tu kanisani hakuna utukufu WA binadamu kiumbe cha MUNGU kwenye nyumba ya MUUMBA wake anayeweza kumuita sekunde yeyote !
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Uyo kapelekewa kiti kanisani
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
walikuja navyo kutoka kwao. Ila hakuna anayejua siku yake ya kufa yote tunajidanganya tu
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Ni kweli!
@shambogokitundu754
@shambogokitundu754 Жыл бұрын
Hiyo alama nyuma ya kiti ni nembo katika bendera ya Rais..Bibi na Bwana ni kitu kingine...nembo ya serikali ile.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Sawa. Mimi sielewi. Nahoji ili wanaojua walete majibu. Asante!
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 Жыл бұрын
Walikuwa wanaingia hata na mbwa....hii ni laana
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
Wanapoapa hushika Biblia/Kruan Sasa leo wakienda kwenye nyumba hizo za ibada, hicho kiburi cha kujiweka juu kinatoka wapi???
@adam-saffi211
@adam-saffi211 Жыл бұрын
They were told to do so, blame the president, she is up there, ameula
@omarikessy2339
@omarikessy2339 Жыл бұрын
Mkuu nimekuelewa point yako lakini nafikiri ni kwa sabau ya usalama tu na wala si kwa ajili ya utukufu au utofauti na wengine
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Usalama gani?
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Жыл бұрын
You're very right bro mbona rais wa marekani anapo safiri lzm asafiri na magari yao kwani hizo nchi wanazoenda hamna magari? I think it is just for security reasons if lm not wrong,
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Inanekana na mbiguni mapokezi ni tofauti,make Kuna jambo ambalo Mimi siamini kabisaa,wanapo sema eti kwa mungu akuna zambi ndogo,sio kweli ,aliye baka mtoto ndogo na Alie Iba kuku ukumu nimoja ,apana apana
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Wanaogopa kufanyiwa kama Diana Bundala
@levidavid1156
@levidavid1156 Жыл бұрын
wapo baadhi ya waisilam hushadadia ujinga snaa kama hayoo
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Wameamua kujifanya miungu watu, kunamtu alie mlazimishia kuja kanisani?asije tena ,ametuzalilisha .
@twendetuishi2316
@twendetuishi2316 Жыл бұрын
Je msikitini huwa anaenda na kitu au na janvi lake la kuswalia?shida ni watu wanao mzunguka
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
Ndio nature ya ibada za kiislamu msikitini zilivo..
@healingclinic978
@healingclinic978 Жыл бұрын
Viongozi wa kanisa wamekuwa chawa wa wanasiasa mbona msikitini apelekewi kiti ?
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 ай бұрын
Hata kanisan hapatakiwi viti yesu tu hamkumuelew
@adam-saffi211
@adam-saffi211 Жыл бұрын
Samia ni zaidi ya Mungu bongo, tunamwabudu
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
Mbona unakufuru???
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Samia amekuwa kama rais wa uganda. Mseveni. Ndiye anatembea na kiti chake
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Kwani alienda kuabudu mbona hata nyimbo za konde boy hua zinaimbwa kanisani na kuchezwa au hlo c kosa vp nyinyi kwani alienda kuabudu au
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Жыл бұрын
KAMA USALAMA WA TAIFA WAMEAMUA KUBADILISHA KITI NYIE MNAUMIA NINI? KZBADILI KITI NAMBA USALAMA SIO KUJITUKUZA. NA MUNGU HANA SHIDA. SAMIA NI SAMIA NA HAO WENGINE NI MAAMUZI YAO ACHENI MIDOMO. KAMA KUBEBA KITI NI USALAMA WACHA WABEBEE
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Daah sasa hapa cioni la kulalamikia kwani alienda kuabudu au yeye c muislamu kwani na hata watu wakawaida mbona wanakaa ktk vitiujue bado cjaelewa hyi huyo alienda kuabudu au mbona hata myimbo za konde boy zinaimbwa kanisani vp hata au kosa ni kiti tu
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Msikitini huwa anakaa chini
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
Ndio nature ya msikitini kulivo, hakuna kuingia na viatu na wala hakuna kuingia na kiti unless uwe mgonjwa huwezi kusimama kwa ajili ya ibada..
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Жыл бұрын
Unachokiongea bro nisawa kabisa lkn kwa usalama wa raisi hata ungekua ww ni rais wa nchi ingekua ni hivyo hivyo tu na hizo services unazosema sio kwa rais Samiya tu l think all over the world, raisi wa marekani anapo safiri husafiri na magari yao kwani huko wanakoenda hamna magari?hayo masuala ya kiti kanisani kwakweli l know nothing about it.
@healingclinic978
@healingclinic978 Жыл бұрын
Samia ni rais ajabu duniani yaani yeye ndie anakila kitu kipya
@johnmamba682
@johnmamba682 Жыл бұрын
Magufuli hakutembea na kiti kwenye nyumba za ibada hiyo ni itikadi za kikwete
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 ай бұрын
Unafiri hata uyo samia msikitini anakaa kwenye kiti
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 ай бұрын
Unafiri hata uyo samia msikitini anakaa kwenye kiti
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 Жыл бұрын
Mm sion tatizo, unless kuna jingine behind
@allyiddi5866
@allyiddi5866 Жыл бұрын
Tatizo lako nini hiyo nembo umeitoa hapo ni ya baraza la Mapinduzi usituletee umbea wako huwa viongozi huandaliwa viti bila kuangalia mambo hayo unayo tueleza tangu na tangu viti hivi maalumu vipo kila mikoa huwepo ikulu na ndiyo hivyo utumika
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Sawa. Asante kwa maelezo.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
mbona msikitini haendi na kiti chake binafsi??
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
Msikitini hakuna viti... ni mikeka!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@TamuzaKale yeye si mfalme? aende na kiti chake msikitini
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Labda anapelekewa mkeka wake msikitini
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
@@ramadhanmahongole9293 Povu la nini? Tulitakiwa kuafahamu KANISANI alifuata nini... Sidhani kama alienda siku ya ibada...
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@TamuzaKale kwani kanisa linafunguliwaga na kuhudhulia waumini bila ibada?
@adam-saffi211
@adam-saffi211 Жыл бұрын
You wait katiba itabadilishwa ili awe wa maisha Kama Uganda na Rwanda. She is worse than a communist dictator
@kifakaraomar6598
@kifakaraomar6598 Жыл бұрын
WE MZEE LABDA KUNA ULICHOKUWA UMEPANGA NA WABAYA WA RAIS SAMIA ILI KUMDHIRU SASA INTELGENSIA IMEKWENDA KINYUME NA MALENGO YENU UMEBAKI KUTAFUTA UPUUZI WA KUONGEA , KWANI KWENDA NA KITI CHAKO NI HARAMU KANISANI ?, HALAFU TAMBUA SAMIA SIYO MKIRISTO, ANAKWENDA TU KWA MASHINIKIZO YA SIASA ZA KIKATOLIKI
@henrykilonge5117
@henrykilonge5117 Жыл бұрын
Hujui unacho kisema haku utukufu mwingine zaidi ya mungu Wala ulinzi imala Kama ulinzi wa mungu amelaniwa yeyote amsujudia mwanadamu
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 2 ай бұрын
Tz wajinga ni wengi,ila huyu jamaa anawaelimisha wajinga
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
hebu Acheni ujinga kwanza yeye ni muislam la pili yeye ni kiongozi kwani.tatizo lake ni nini? Mbona alienda mskitini akakaa chini , Kwenye boti alikaa Kwenye viti vya boti,
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Yule ni rais mwenye Iman nyingne hawez kufuata utaratibu wa Iman nyingne Ila mmwkosa vya kukosoa kisa chuki za kidini
@songamberetv2219
@songamberetv2219 Жыл бұрын
Usalama wa Rais ni muhimu sana ata msikitini ata uku waarabuni kiongozi wa nchi akiingia msikitini lazima ataingia na msala kama ni muswala i don't know sorry kwa waislam na wale wanaomuzunguka ni protocol yake kwahiyo waafrika tunakosea sana hapa duniani hakuna nyumba ya mungu zaidi ya roho zetu uko misikitini makanisa kuna wachawi kuna watu wanajilipua na mabomu so protocol lazima ihakikishe kiti kitamu fit Rais na kitamuruhusu kuka mda murefu kwasababu ibada inaweza kuchukuwa hata 3h lakini msikitini hutuba haizidi 40min
@jonathanntare4787
@jonathanntare4787 Жыл бұрын
Endelea Mungu hadhihakiwi, je Magufuri alikuwa anakwenda kanisani na kiti ??
@songamberetv2219
@songamberetv2219 Жыл бұрын
@@jonathanntare4787 😂😂 huwezi kujua afya ya mtu kuna watu maisha yao hayawaruhusu kuka kwenye banch kama ni kumudhihaki mungu ivi padri anaka kwenye kiti kimoja na waumini? Izo akili zenu za mgando
@gidongailo7174
@gidongailo7174 3 ай бұрын
Kwahiyo anatembea na kiti? Mmmh nchi hii jamani?
@abrahamabrahamkatavo5528
@abrahamabrahamkatavo5528 Жыл бұрын
Mm sijaona ubaya wowote. ugaidi unaweza kufanywa sehemu yyte.
@rajabbege3776
@rajabbege3776 Жыл бұрын
Wewe mchonganishi kwani hujui imani nitofauti hapo Amekwenda kiserekali hakuja kusali hivyo lazima awakilishe Nchi nahao maraisi uliyo wataja wamekalia mabechi ya makanisani wao walikwenda kusali walikuwa na imani sawa makanisa. Onyo kwako kuwagawa watu kimani mwisho leo tafadhali sana iwe mwanzo na mwisho.
@hassanthabit4021
@hassanthabit4021 Жыл бұрын
Frau;Samia Aliwahi kwenda kwenye msiba alikataa kiti alikaa chini vp ile hujaona mzee Wew !@#&%*?
@harunmruma2291
@harunmruma2291 Жыл бұрын
Sioni hoja hapo, ni chuki tu
@captioncapition2574
@captioncapition2574 Жыл бұрын
Angeacha kwenda pia mngesema anabagua bora Sasa msimualike kabisa kwenye dini zingine tofauti na dini yake nakitu yealipelekewa tu
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Chadema mnachuki za kidini San na mwenyezimungu atampa maisha marefu san
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Wew naye akili yako sijui ni ndogo kiasi gani! Sasa hapo mambo ya udini yako wapi??? Hivi huwezi kuona mambo ktk uhalisia wake mpaka uyahusishe na dini???
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Zee nafk San hili yule ni rais Tena mwenye Iman nyingne Fara ww mzeee
@jofreymsigwa85
@jofreymsigwa85 Жыл бұрын
Matako yako ww
@nasibukiraghnja995
@nasibukiraghnja995 Жыл бұрын
Una elimu ndogo sana ya kumtambua Mungu lkn pia hujui rais ni nani?ww ni kituko
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Жыл бұрын
Sasa kama viti vyenu kanisani mnavipaka mafuta ya nguruwe je, tunamshkuru kwa kufika "kanisani" suala la kwamba kaja na kiti chake kwetu wa Tz sio tija heshima alotuonyesha tunamshkuru Mhe Rais wetu kipenzi chetu wa Tz Mama Samia Suluhu Hassan (Muislam) La ilaah haila la Muhammad Rasul llah.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Mafuta ya nguruwe kanisani yanatafuta nini?
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Жыл бұрын
Unafikiri Mungu ni mwislam?Una chuki na moyo wa kishetani uliopandikizwa na waarabu wanaochinja wanadamu wenzao hapa duniani.Wewe ni mtumwa wa fikra.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Mnamchukia San mama Samia kwa ajir ya dini yake Ila mkafie huko mama Samia ni rais Tena wa Iman nyingne hawez kufuata utaratibu mwingine
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Ni rais wako mwenyewe, hayupo mtanzania alie piga kura.
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
Kwa sababu yeye ni Rais kwa hivo itabidi mukubali
@healingclinic978
@healingclinic978 Жыл бұрын
Yeye ni rais mbona msikitini aendi na kiti
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
@@healingclinic978 Msikitini watu hawakai kwenye kiti uelewe hivo mtapata tabu sana
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 Жыл бұрын
Ni porojo ya Mtaani tu hizo Muongeaji Hujui Sayansi ya Ujasusi Kaa Kimya .Kwa Taarifa yako Ulinzi Unazingatia Mazingira Na Nyakati
@fr.deogratiasmahinbali3306
@fr.deogratiasmahinbali3306 Жыл бұрын
Samia kwenda Kanisani kufanya Nini?? Alibatizwa lini? Kupekeka kiti bibafsi Kanidani ni kwa Amri ya Rais mwenywe.. Hawa Marais wa Tz hawa a Dini, ni usanii tu. Oho! Kwani hujui, hata Maaskofu wa Katoliki wanapata RUZUKU za Ikulu. Rais wa Tanzania ni Mkuu wa Dini zote. Hawa Maaskofu wetu, "Let them be a cursed, Galatians 1:8-9.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Rais Samia Tena kawaheshim San alitakiwa asiende kabisa Mana yeye sio Iman yake
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM Жыл бұрын
Umeandika utopolo kabisa. Huo ni uchochezi wa kiimani.
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 Жыл бұрын
Alifuata nini kama sio kutaka sifa za UNAFIKI, Kama sio hivyo palikuwa na ulazima kwenda kanisani, angemtuma Makamu wake kumuwakilisha. Nadhani IPO haja viongozi kufuata KANUNI zilizopo kwenye Makanisa na Misikiti kuwa sio mahala pakwenda kujionyesha kisiasa ni sehemu za kufanya ibada. Musikitini ni lazima uvue viatu na utawaze ndipo uingie Musikitini hiyo nisheria, viongozi wanaingia bila kutawaza na hawa vui viatu. Hilo ni kosa Sawa na kuingia kanisani kisha hufuati vitendo vinavyo fanyika kanisani, wanapiga magoti wewe unasimamia, wanasimama wewe unakaa, hiyo ni kuzikosea nyumba za ibada heshima.
@husseinabdallah7475
@husseinabdallah7475 Жыл бұрын
Wakristo wana tabia ya kupenda uwawaru kwny ibada huwezi kumlazimisha Rais afanye unavyotaka wewe wakati yeye ni muislam,,
@epimackjohn6354
@epimackjohn6354 Жыл бұрын
Sawa HUWEZI kumlazimisha Kwa UISLAM Wake tushukuru hakuna kilichoharibika haya NI mambo ya kurekebishana siku zijazo ila URAIS kanisani Hakuna ,WATANZANIA NI NDUGU tusichukue Muda mrefu kulinyambulisha hili liwekwe SAWA Tu SKU zijazo ,KWANI huwa tunateleza mara ngapi na kurekebisha ?
@fillomuhenga4240
@fillomuhenga4240 Жыл бұрын
Mhe rais ni mtu mkubwa sana katika nchi na usalama wake ni mahali popote haijalishi Yuko msikitina au kanisani kumbuka anawasaidizi wa karibu kunavitu vingine si lazima tuvijue mhe rais hawezi kujitukuza kanisani na Hana sababu ya kujitukuza si kila jambo linahitaji ufafanuzi mambo mengine ni ya kiusalama zaidi uchambuzi mwingine hauna maana sana sioni kama unatija yeyote maisha ya rais huwezi fananisha na maisha ya mtu wa kawaida mungu bariki Tanzania
@chamyluna8030
@chamyluna8030 Жыл бұрын
Nadhani unajichanganya tu hivi Kwa akili zako Mama samia kaenda kanisani Kwa kuamini ukiristo? Acha ufala
@epimackjohn6354
@epimackjohn6354 Жыл бұрын
Alienda kanisani kufanyaje kama hakuenda kuamini UKRISTO ?Hapo alipoenda watu walikuwa wanafanya nini kama si kumuabudu MUNGU ? Kwa Hiyo alienda watu waone kuwa RAIS yupo pale kanisani na anamzidi MUNGU MADARAKA ? Pengine huwa NI BUSARA kukiri kama kosa limefanyika .
@epimackjohn6354
@epimackjohn6354 Жыл бұрын
Fala NI Yule anayetetea UFALA
@ophednzavilo3806
@ophednzavilo3806 Жыл бұрын
Yaani hadi mlinzi nyuma yake kweli?..yaani hapo hata ulinzi wa Mungu haupo ila wa binadamu ndo muhimi eti ee...Mungu anawaona hakika
USHINDI WA MWABUKUSI NA ATHARI SABA ZA DHULUMA YA DOLA KWA WANATAALUMA
12:02
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 20 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 30 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 139 МЛН
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 862 М.
SGR: NANI ALIJUA TUNGELETEWA MIKWECHE YA MABEHEWA YA ULAYA?
8:51
SK Media Online TV
Рет қаралды 14 М.
Piers Morgan debates UK leader of Islamic Extremist group Hizb ut-Tahrir
19:38
Sky News Australia
Рет қаралды 1,1 МЛН
SUGU AELEZA HALI YA WABUNGE 19 WALIOKO BUNGENI BILA UWAKILISHI CHA CHAMA
6:05
ZANZIBAR SI SHWARI - 02
13:14
SK Media Online TV
Рет қаралды 10 М.
BURIANI MZEE RUKSA, RAIS JASIRI MWENYE UPOLE ULIOTAMBUA  MIPAKA NA VIPAWA
21:16
R-ONE - SENSIZ / СЕНСІЗ (Official Audio)
2:51
R-ONE MUSIC
Рет қаралды 92 М.
Sadraddin - Taxi | Official Music Video
3:10
SADRADDIN
Рет қаралды 1,7 МЛН
akimmmich & bimo - SUIE TURA | official M/V
3:15
akimmmich
Рет қаралды 138 М.
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 16 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,4 МЛН
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
3:28
HYBE LABELS
Рет қаралды 32 МЛН