KnowledgeTv by ESRF S01E24 - Shamba Kitalu(Green House) na Bwana Dominic Haule, Mkurugenzi IMADS

  Рет қаралды 14,128

Knowledge TV

Knowledge TV

8 жыл бұрын

Shamba Kitalu kwa lugha nyingine ni Green House

Пікірлер: 41
@dkalhajijbmatatala9392
@dkalhajijbmatatala9392 5 жыл бұрын
MAA SHA ALLAH, IMETULIA SANA HII,, PENYE NIA PANA NJIA ::
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Asante sana Dr
@violetkirita6089
@violetkirita6089 7 жыл бұрын
@Knowledge TV ni vizuri kwa vipindi kama hivi mwisho wa maelezo ukaweka number ya simu mahali wanapopatikana Nafikiri ndo itakuwa na tija zaidi kuliko kuwacha wasikilizaji hewani haipendezi
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Namba yetu ni 0767 11 1173
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 5 жыл бұрын
Ina coast bei gani kujenga shamba kitalu (green house)
@dominickhaule4847
@dominickhaule4847 2 ай бұрын
HABARI. BADO UNA INTEREST NA SHAMBA KITALU AU UNATAKA VIZIMBA
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 7 жыл бұрын
kwa kweli nimefurahi sana kukuta hii kitu online. Tafadhali nilikuwa ninaomba namba ya huyu mtaalamu. Ninataka kujikita sana katika kilimo na pia hata kutoa ajira kwa watu wengine. Nia yangu ninataka kulima nyanya, pilipili hoho, vitunguu na kadhalika.
@abelndenza1044
@abelndenza1044 6 жыл бұрын
Hamidu Dongo
@abelndenza1044
@abelndenza1044 6 жыл бұрын
naomba mamba ya mawasiliano
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Namba yetu ni 9767 11 1173
@hefintus
@hefintus 5 жыл бұрын
James nmekusoma. Uko vizuri brother, next time nakuleta shambani kwangu
@josephgeorgematiku1064
@josephgeorgematiku1064 5 жыл бұрын
@@dominickhaule DR DOMINIC NAMBA YAKO MBONA MUDA MWING HAIPATIKANI KIONGOZI. NAOMBA UWE NA NAMBA AMBAYO NI HOTLINE,ILI TUWEZE KUKUPATA MUDA WOTE AU KAMA UNA NAMBA NYINGINE NAOMBA UTUWEKEE HUMU. TUNAKUHITAJI SANA.AHSANTE SANA. NAMBA YANGU NI 0625493066 NA 07154657. ZOTE HIZO ZIPO NA KWENYE WHATSAPP PIA.
@bertham.kabalika2810
@bertham.kabalika2810 7 жыл бұрын
Nimevutiwa sana na fundisho hilo. Nahitaji kujikita kwenye kilimo naomba nijue nitakupataje ili nifike chuoni kwako.
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Tupo Iringa na Dar. Piga simu no 0767 11 1173
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Piga simu no 0767 11 1173
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Domy haule namba zako,za Voda tunaambiwa HAIPO tunakupataje?aisee
@richardndunguru9994
@richardndunguru9994 7 жыл бұрын
mnapatikana wp
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Piga simu no 0767 11 1173
@richardndunguru9994
@richardndunguru9994 7 жыл бұрын
hv green house inagarimu sh ngp
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Kuanzia shs 10 mil
@tumainikikaka2323
@tumainikikaka2323 4 жыл бұрын
Unaweza kupata hiyo kitu kwa shilingi ngapi ?shambani kwangu mzee nisaidie jibu
@dominickhaule4847
@dominickhaule4847 2 ай бұрын
inategemea size. Kuanzia shs mil. 10
@mbkim6215
@mbkim6215 4 жыл бұрын
How much this green house
@yusuphnyato6378
@yusuphnyato6378 6 жыл бұрын
me ni kijana pia ambae nimejiajiri kwa kilimo cha nyanya na nilikuwa naomba namba zenu ili na mim niweze kupata hayo mafunzo
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
No yetu ni 0767 11 1173
@allyrutunga4452
@allyrutunga4452 7 жыл бұрын
nahitaji elimu hii
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Piga no 0767 11 1173
@makynicky2970
@makynicky2970 8 жыл бұрын
ningependa kununua hiyo neti nitaipata wapi
@deokissoma9230
@deokissoma9230 7 жыл бұрын
naghe marko
@isayamtuli1826
@isayamtuli1826 7 жыл бұрын
Deo Kissoma naomba namba zenu yangu ni 0714161409
@dkalhajijbmatatala9392
@dkalhajijbmatatala9392 5 жыл бұрын
SEHEMU NYINGI WAUZA, ILA BOLTON, NIWAKONGWE KWA UUZAJI WA GREEN HOUSE, NK...
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Piga no 07667 11 1173
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
@@dominickhaule naomba nichukue namba nikutafute, Very nice
@makynicky2970
@makynicky2970 8 жыл бұрын
nisaidie jinsi yakupata na jinsi yakujenga
@rabiasamma5780
@rabiasamma5780 6 жыл бұрын
maky Nicky Kama bado unahitaji najua kampuni inayofunga kwa Bei nafuu
@mourenedayness5909
@mourenedayness5909 6 жыл бұрын
Nisaidieni na mm
@mourenedayness5909
@mourenedayness5909 6 жыл бұрын
Ris samma naomba no yako unielekeze vizuri kwa hao mawakala
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Piga no 0767 11 1173
@dominickhaule
@dominickhaule 5 жыл бұрын
Piga simu no 0767 11 1173
KILIMO KWA NYUMBA KITALU GREENHOUSE
30:37
Kilimo Biashara
Рет қаралды 21 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 724 М.
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
Low cost greenhouse farming
17:13
AIRC National Documentaries
Рет қаралды 1,6 МЛН
CONTROLLING WHITEFLY IN TOMATO - JINSI YA KUPAMBANA NA NZI WEUPE KWENYE NYANYA
7:52
Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF)  - Kijana Leo Episode 012
55:02
Jakaya Mrisho Kikwete Foundation
Рет қаралды 1,6 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН