Ni tamthilia inayo onyesha visa na mikasa katika maisha ya jamii yetu inayotuzunguka. Fuatilia tamthilia hii kupitia Azam Tv kila siku ya Ijumaa hadi Juma Pili.
Пікірлер: 45
@irenemassawe435Ай бұрын
2024 narudia hii tamthilia mara mbil mbili
@fatmaismail768328 күн бұрын
Yaan hii tamthilia niliipenda sana
@glorydaniel862416 күн бұрын
Azam wairudie hii
@elroyaladyzu34921 күн бұрын
Naipenda mno hii movie jsmn❤❤❤❤❤❤❤
@azizaomary25688 күн бұрын
Naipenda sn Tamthilia hii❤❤
@RamlaKassim-k6t2 күн бұрын
Mm naipenda sana
@AmourNasoroАй бұрын
Jaman jaman kombolela ni kiboko ya Dunia mzm jaman
@omanOman-qf7pwАй бұрын
Tamthilia pendwa❤
@judnesstemba72527 ай бұрын
Natamani ingekuwa kama jua kali
@user-up9ol9rc7o11 күн бұрын
Napenda sana hii
@yahayakassimu Жыл бұрын
aisee nacheka sana yaan wewe Bi star na mwenzio Siwa mnavituko balaa.
@user-co2ed6dj6p7 ай бұрын
Jamani hawa watoto ni wa mzaz unawezaa kulia
@aliabushiri27 күн бұрын
Tamsilia nzuri
@tiffahtiffahbaaby6161 Жыл бұрын
Kombolela niliipenda saana
@mudrickbarton891119 күн бұрын
Classic kabisa hii
@ngumbaohalimah6511 ай бұрын
Kila masaa. Aangalia hizi😂😂😂😂
@fatmahussein60856 ай бұрын
😂😂😂😂hiii kombolelaa Haishii ham ya kuiangaliaa
@majalinktv26794 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-ku3xg1em2x6 ай бұрын
Safiiii😊😊😊😊😊😊😊
@user-cl9dz6kk7u12 күн бұрын
Naipenda sana hii tamdhilia 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@user-zm7pc6lw1z9 ай бұрын
Nakubal Kaz kaz
@user-nj5we3ln6z8 ай бұрын
Jamani kwa siku naangaria zaidi ya mara 15
@user-xd8wt1mk9q Жыл бұрын
Raha mpk basi
@khadijaamour765417 күн бұрын
Umeshibaa😂😂
@mariamsadiki916011 ай бұрын
Siwa jmn Dera unalvua ili upigne n mwanao hahahaaa