Joel nanauka Mungu akubariki Sana sema amen nafurah.Hakika umenifungua akiri
@ayofrica_Ай бұрын
Nimekuelewa ila kuna watu hatuna both of them.
@user-om7pl9xm4s3 ай бұрын
Exactly sir %% respect 🤔🤝✍️
@HalimaAmadi3 ай бұрын
Swali la (1) ningechagua kuishi katika ndoto zangu kuwa muigizaji mkubwa duniani, (2) ningetamani kufungua vituo vya ma single mom ili kila anaefikwa na hiyo hali nimsaidie juu ya kipaji chake au ujuzi wake iwe rahis kwake kulea watoto wake, (3) napenda kufanya nilicho nacho ili nifikie pale ninapopatazamia, asante sana
@user-ky8ym2oz4d3 ай бұрын
Asante mwalimu
@ShukraniMpembela3 ай бұрын
Tunashukuru Kwa maarifa🙏
@shukranjulius95263 ай бұрын
Hakika Mungu akubariki sana kaka ❤
@johnbanda66013 ай бұрын
Barikiwa sana kaka...umenikumbusha na kuniamsha akili yangu.
@erickathanas3 ай бұрын
Thanks bro Joel somo limenibadilisha kaka
@user-is5xi3ve2r3 ай бұрын
smart one from GOF
@nikolausmnanka93623 ай бұрын
Upo vizur kaka
@ruubenjr-gr5qx3 ай бұрын
asante kaka
@DieudAmour-yr3iy3 ай бұрын
Asant sana kwa Video hii coz kujua haya ni mwanzo wa kuishi tena
@elijahbuantai47663 ай бұрын
Nice one bro
@GTSReal3 ай бұрын
I'm waiting for this very much
@KalabaKlb3 ай бұрын
Cha kwanza kwangu Mimi nita baki kuwa mufanya biashara mukubwa duniani, pili siwezi kubali kuondoka duniani kabla sija jenga vituo kazaa vya watoto yatima, tatu niku wafunza wengine ili wafanikiwe,najitambuwa kuwe mimi ni baraka kwa wengine,, niyale tu kaka Joël Nanauka, kitabu cha kutimiza malengo ndicho nakitaka kk
@EdsonPaulo-mn1hd3 ай бұрын
Nina uhitaji wa vitabu vyako lakini sijui namna ya kupata naomba unisaidie Kaka
@joelnanauka3 ай бұрын
0762 31 21 71 tuwasiliane
@AdamLeoStudios3 ай бұрын
Au kama upo dar es salaam nenda pale Flyover ya ubungo kituo cha njia panda ya chuo kuna duka pale mimi huwa nanunua pale!
@girukwishakaclaudine53743 ай бұрын
Natamani kupata kitabo chako lakini niko bali sasa nitakipa vipi?
@ayofrica_Ай бұрын
❤
@javanskiti59113 ай бұрын
🙏🙏
@20presenter3 ай бұрын
Namna gani nitapata vitabu vyako aisee maan najua kupata pengine siwezi labda umbali lakini soft ntapataje
@KalabaKlb3 ай бұрын
👂
@neemaryan99473 ай бұрын
Asante kaka Joel naomba kuuliza kati ya passion na professional kusudi la maisha ya mtu linaingia wapi hapa kati ya hivi viwili?
@Geoffreystanley-tk2tj3 ай бұрын
Kusudi la maisha ni passion, na passion ni kitu ambacho huwezi ukaki control kihisia yani kinakusumbua kichwa na huwezi kukaa mda mrefu bila kukifanya na kukiacha mfano unakuta mtu anapenda kucheza mpira yani hata asipolipwa moyo wake unajisikia amani na ndani unasukumwa kufanya ivyo mara kwa mara hata kama ukakatazwa lakini proffessional ni kitu unachojifunza au kusomea mfano ukaenda kusomea udaktari hiyo ni proffesional na unaweza usiwe na passion ya udaktari ila ulienda tu kwa sababu nyingine.
@neemaryan99473 ай бұрын
@@Geoffreystanley-tk2tj Asante sana Geoffrey
@Glatus10003 ай бұрын
Neno
@musaniwabouwambajimana69753 ай бұрын
Naitaji kuongeya nawewe
@Sumay2283 ай бұрын
Kusaidia wahitaji
@mchattachattanoga77953 ай бұрын
Kaka kunakitabu kinaeleza hii tropic naweza kupata nijifunze zaidi
@franciskamau30573 ай бұрын
Where do I get your books in kenya?
@CatherineJacob-yt5sy3 ай бұрын
Ningechagua kuwa model, Ningekuwa na uwezo wa kuwa na biashara ili niweze kuwasaidia watu ambao naona kabisa wanahitaji msaada
@paulinalerise6843 ай бұрын
Ndugu, natamani kukutana nawe, niongee nawe kwa nusu saa tu, ili nijifunze kitu. Naamini kukutana nawe ana kwa ana utanielewesha vema. Inawezekanaje? Tafadhali naomba utaratibu wa kufuata....
@emanuelavaleriani86463 ай бұрын
Mimi nachukia uchafu nimesafiri mikoa mingi nikipita kwenye miji naona taka kila kona, mitaro ya maji taka sio salama huwa nachukia sana, najiuliza hawa viongozi na wananchi hawaoni