Tumeonyesha Kupamba Kwa Kutumia Sticker Za Katuni Rahisi Sana Karibu Mziwanda Bakers @mziwandabakers8297
Пікірлер: 37
@magrethmbaga1089 Жыл бұрын
Hbr mziwanda tafadhali naomba no ya simu mpenzi ninashidaa nawe mno
@darmanbecks5592 Жыл бұрын
Nafurahi saana dada ..mm ni mgeni ila nimepata mambo mengi mnoo kutoka kwako😍❤️
@user-ho5ko3fs3t11 ай бұрын
dear mm nauliza jins yakutengeza iyo cream ya kupambia please
@HusnaAlly-xt1yy Жыл бұрын
Naitaji uniunge kwnye darasa lako
@sylviakosgei60332 жыл бұрын
Always watching you from Kenya,since I found your Channel my baking life has never been the same. God will always guide you. Kindly advice what do you consider on stucking cakes please
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Thank you You are most welcome On stacking tiers we use separators they can be sticks as well on modernised ones
@sylviakosgei6033 Жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 thanks alot what could be the standard measurement na height ya 2kg cake kindly
@gracefilbert35312 жыл бұрын
Hongera mziwanda bekari uko vizuri
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Shukran
@hajraadam43012 жыл бұрын
Shukrani
@irenelaurence4927 Жыл бұрын
Unafundisha kwa shingapi dada
@MA-kh2lr Жыл бұрын
Hii sticker ni ya Aina gani? Quality yake..vile.unaeka guiding ndio ishike
@ababbebebb472 жыл бұрын
Jamani me naomba kufundishwa jinsi yakuanda vitu vya kupambia my dear
@momjayden10472 жыл бұрын
Asante sana mpendwa nimejifunza
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Karibu
@sheillahkienge2846 Жыл бұрын
Kuna fondant za rangi ?
@mwajabukallage3621 Жыл бұрын
Naomba namba yako ndg
@mashakamohamedkharika8795 Жыл бұрын
Nataka kujifunza live
@sakinakilangi54242 жыл бұрын
Mis yuu
@stamymakwatila52512 жыл бұрын
Binafsi nipo bado kwenye icing sugar kila nikitengeneza huwa haigandi kwenye cake. Pili icing sugar huwa inakaa kwa gn mpk kukauka kwenye cake.
@christinasamwel1952 жыл бұрын
Naomba kujua hiyo fauntati ni kitu gani na inatengenezwa je
@christinasamwel1952 жыл бұрын
Mm najua kupika cake shida kwenye kupamba tu,nilikuwa naomba kujua jinsi ya kupata asa mahitaji yanayonitajika katika kupamba
@teddysarwat70232 жыл бұрын
Barikiwa sana dear kwa moyo wako. Je nikitaka kuja kujua kwa kujifunza kwa undani zaidi huwa unatoa darasa?! Na kama ndiyo gharama zako zikoje mamy?!
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
0768859358
@marychuwa8159 Жыл бұрын
Mziwanda naomba namba zako za simu
@janethfredrick6174 Жыл бұрын
Samahani naomba nikuulze me naanza hyo biashara NAHITAJI oveni je inakuaga sh ngap
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Inategemea na ukubwa unaohitaji hasa za biashara zinaanzia 400k
@joycchiwila84162 жыл бұрын
My napenda Sana darasa lako nipe namba au link ya kujiunga,uko vizur Sana.
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Karibu Instagram Mziwanda_Bakers
@veronikapaulo34892 жыл бұрын
Kupamba keki inanisumbua
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Utaweza tu
@najmasalim62722 жыл бұрын
Kama unagandish sticher kweny buttcream unafanyaj maan niligandish ikanyonya mafuta stickr ikaharbka
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Unawema kidogo tena kwa pembezoni
@brayufulala57482 жыл бұрын
Mimi jamanai nashindwa kulinganisha cake kabisa unakuta imepinda
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Pole ,jitahidi kukata level
@halimasaidhamis16572 жыл бұрын
Kupamba kwangu ndiyo shida ila kupika nimeweza natamani na mm niweze vixuri naomba unipe namba nikutafute dada nije shule kabisa