No video

Kutana na mbunifu wa majiko yanayotumia mawe Tanzania

  Рет қаралды 1,541

Nukta TV

Nukta TV

Күн бұрын

#habari #tanzania #majiko #mkaa #ubunifu #cooking #live
Nishati ya kupikia ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya binadamu duniani kote, hiyo ndio huwezesha mapishi ya aina mbalimbali za vyakula tunavyokula ili kuimarisha afya na kuwezesha utendaji wa shughuli za kila siku.
Raymond James (25) maarufu kama Mr Majiko, ndiye mbunifu wa majiko hayo yanayotumia mawe, umeme kidogo pamoja na chenga za mkaa mbadala zinazotokana na vifuu vya nazi.
Kijana huyo mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, ameiambia Nukta Habari kuwa kukosa ajira ndio sababu kubwa iliyommchochea kubuni majiko hayo ili aweze kujiingizia kipato kitakachomuwezesha kuendesha maisha.
Kwa habari zaidi:
Soma: nukta.co.tz/
Twitter: / nuktatanzania
Facebook: / nuktatanzania
Subscribe kwa makala zaidi za kina na kiuchambuzi @Nukta TV

Пікірлер: 17
@likee_opil_mshatietesha7029
@likee_opil_mshatietesha7029 10 ай бұрын
Karibu tufanye kazi kaka
@Lucasmodric696
@Lucasmodric696 2 ай бұрын
nitumie namba yako
@MadameEmmyJuma-lj7fg
@MadameEmmyJuma-lj7fg 3 ай бұрын
Mm nahitaji ila namba yake haipatikani nampataje sasa😢😢
@PETERCHARLES-xz2eh
@PETERCHARLES-xz2eh 11 ай бұрын
Ninapataje namba zako ninahitaji Hiro jiko
@NuktaTV
@NuktaTV 11 ай бұрын
Habari, wasiliana na Raymond kwa simu namba 0767743318
@bakarmsangi963
@bakarmsangi963 11 ай бұрын
Duuur watanzania tuna vipajiii tatiizo nihawa wengine wanajilazi ilaa kijanaa mwenzetuu uko safii sana na ubunifuu wakoo inabidii uletee mikoani na utoee elimii kuhusuu hilo jiko utapiga helaa
@NuktaTV
@NuktaTV 11 ай бұрын
Asante sana, wasiliana na Raymond kwa simu namba 0767743318
@witnesssabato5457
@witnesssabato5457 11 ай бұрын
Big up sana bro
@NuktaTV
@NuktaTV 11 ай бұрын
Thanks
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 11 ай бұрын
Hongera
@NuktaTV
@NuktaTV 11 ай бұрын
Asante, wasiliana na Raymond kwa simu namba 0767743318
@PETERCHARLES-xz2eh
@PETERCHARLES-xz2eh 11 ай бұрын
Ukovizuri kijana
@NuktaTV
@NuktaTV 11 ай бұрын
Asante sana
@Maryam-kl6gj
@Maryam-kl6gj 11 ай бұрын
Nahitaji jiko nakupataje?
@NuktaTV
@NuktaTV 11 ай бұрын
Habari, wasiliana na Raymond kwa simu namba 0767743318
@edwinjhilbajojo2429
@edwinjhilbajojo2429 11 ай бұрын
Hapa sasa ndo tunahitaji kufahamu utaratibu wa kisheria ili kupata brand itakayolinda ubunifu wake,,,SIDO, na wengine wanaouhisika,,,mda mwingne umskini unatuponza kwa sababu ya uzembe wetu,,,kongole kwako jamaa
@NuktaTV
@NuktaTV 11 ай бұрын
Asante sana
Mwanzo mwisho wa Hayati Bernard Membe
6:48
Nukta TV
Рет қаралды 131
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 51 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 6 МЛН
MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 MBULU DC
33:21
Manyara RS TV
Рет қаралды 1,3 М.
HISTORIA YA MBUNIFU WA UMEME MZEE PWAGU KUTOKA NJOMBE SEHEMU YA 1. | KUITWA IKULU | USIKOSE!
29:26
🆃𝗵𝗲 𝗦𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗿𝗱 Ⓐ
Рет қаралды 668
SIDO Waahidi Kuendeleza Tanzania Ya Viwanda
7:41
Global TV Online
Рет қаралды 24 М.
Tazama Teknolojia Mpya ya Nishati ya Umeme Mbadala
9:47
Daily News Digital
Рет қаралды 1,6 М.
MTANZANIA ABUNI JIKO LINALOTUMIA MAWE BADALA YA MKAA.
4:19
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 51 МЛН