KUTOKA KUGONGA KOKOTO HADI KUMILIKI KIWANDA.

  Рет қаралды 4,410

Sambaza Ufahamu Online Tv

Sambaza Ufahamu Online Tv

Күн бұрын

MITEMA YOUTH DEVELOPMENT GROUP
Ni kikundi cha ujasiriamali kinachofanya uchakataji wa usagaji kokoto kwa mujibu wa historia waliyonayo walianza na ugongaji kwa kutumia nyundo na baadae walipata muhisani aliyewapatia mashine na sasa wamejiongeza kwa kuanza kupanua wigo kutoka kwenye usindikaji kokoto hadi kuanza na zoezi na kupiga tofari.
tuandikie maoni yako pia tujue ulichojifunza kutoka kwenye kikundi hiki cha wajasiriamali.
Usisahau Ku-subscribe Channel yetu hii pia ku-turn on Notification ili uendelee kuwa pamoja nasi kwa kufurahia kuhabarika na kujifunza kwenye huduma zetu.

Пікірлер: 8
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug Ай бұрын
Kazi mzuri
@user-wf3sz3lu2m
@user-wf3sz3lu2m 5 ай бұрын
Daa nawapataje hawa nijifunze kitu
@sambazaufahamuonlinetv
@sambazaufahamuonlinetv 5 ай бұрын
Fanya mawasiliano ya simu Andika sambaza ufahamu Tanzania kupitia Facebook alafu piga hizo namba za simu watakusaidia kuwapata.
@anjiwikeulomi2852
@anjiwikeulomi2852 2 жыл бұрын
Nzurii hongera wanakikundi
@seifhamood8993
@seifhamood8993 Жыл бұрын
Kazi nzuli
@sambazaufahamuonlinetv
@sambazaufahamuonlinetv Жыл бұрын
Shukrani
@divtv3226
@divtv3226 2 жыл бұрын
Saafi sana kwa ufahamu HUU...
SIRI YA KUMILIKI KIWANDA KWA MTAJI WA KUANZIA MILIONI SITA
18:20
TanTrade Tanzania
Рет қаралды 26 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 191 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 43 МЛН
NAMNA YA KUPATA CHETI CHA KIWANDA KIDOGO
15:03
BRELA ONLINE TV
Рет қаралды 647
Mbinu ya Kisasa ya Kufyatua Tofali
13:20
UoI TV
Рет қаралды 6 М.
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 191 МЛН