Kwanini Afrika ni bara tajiri! Mahojiano ya DJ Sma na Kijana mwenye PhD, Dr Naoll yanafungua akili

  Рет қаралды 14,461

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

9 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 91
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 9 ай бұрын
DJ Sma Mungu akubariki Sana Sana. You are doing a noble work for Africa. You are the true son of Africa. Ubuntu.
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 9 ай бұрын
Namuona magufur kwenye kichwa cha mgen wetu kutoka Ethiopia big up DJ smaaa
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 9 ай бұрын
Maguful alikuwa waziri katika nyakati tofaut alikuwa na nafasi ya kufanya maajabu pia hasa wizara ya ujenzi 😌
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 9 ай бұрын
Halafu mwamba kma hujijuwi watu tunanakukubali sana nimewasikia huko wakikusifia yaani mmetajwa wawili tu ndo ambao mpo kwa kuchambuwa vizur piga kazi tunakuelewe sanaa
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Wapi huko?
@allahisone6386
@allahisone6386 9 ай бұрын
​ ALLAH AKUPE AFYA NJEMA
@markodaniel2662
@markodaniel2662 9 ай бұрын
Nasisi uku Canada tunamkubali sana jamaa, kwakweli nimchambuzi mzuri sana.
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 9 ай бұрын
Kbs jamaana weza san
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 9 ай бұрын
@@djsma255 😆😆hakuna Jina huko walosoma Quba tumeelewana
@kishoshamisungwi
@kishoshamisungwi 9 ай бұрын
Barikiwa bro: hata nilikuwa naamini Africa nimasikini, kumbenikinye chake kabisa Africa Africa nitajiri sana, Hata JACK MA akiwa south africa alisema kwanini alichelewa kuja Africa najilaumu, akasema wafrica niwajasiliamari namba moja duniani maana tunakilakitu, jamani finance intelligence ni muhimu, mimi kuanzia sasa siamini kama mimi nimasikini hata familia yangu na watoto wangu ninawambia kilasiku sisi matajili
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 9 ай бұрын
Yaani huyu jamaa ananikumbushia Magufuli. God bless you.
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 9 ай бұрын
Maguful alikuwa waziri katika nyakati tofaut alikuwa na nafasi ya kufanya maajabu pia hasa wizara ya ujenzi 😌
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 9 ай бұрын
Hiyo mimi najua siku nyingi kwa sababu nchi za magharibi zinategemea vitu vingi kutoka kwetu hata magufuli alisema Africa sio maskini hivyo viongozi wetu kwenye majukwa ya siasa ndio kauli zao kukatisha wananchi tamaa Africa ni tajiri kuliko mabara yote
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 9 ай бұрын
Leo umenikosha dj kwa simlizi nzuri sana yakujenga watoto wetu wabadaye aki bravo
@IsaacParuz
@IsaacParuz 9 ай бұрын
Utajiri au umasikini ni Inshu ya mindset.. Tunapaswa kujikubali kwanza
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 9 ай бұрын
Bro napata Hisia za kuemdlea kuwa mwafrika kupitia madarasa yako
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
🙏
@Wildwonders000
@Wildwonders000 9 ай бұрын
lets give this man his flowers
@karimurashidi3095
@karimurashidi3095 9 ай бұрын
Hapo kaka Sina Cha kuzungumza umetisha sana zaidi ya dj sma big up kwako kiongoz
@superangeltv4615
@superangeltv4615 9 ай бұрын
Dj sma tupe connection na iyo kijana
@stevewanga957
@stevewanga957 9 ай бұрын
mazee huyo jamaa kichwa...much love from 🇧🇭🇧🇭
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 9 ай бұрын
Asante sana braza,nakupata nikiwa boda ya kasumulu 🇲🇼 na Tanzania 🇹🇿.
@rajdaboy
@rajdaboy 12 күн бұрын
from Nairobi Kenya tu pamoja 🙌🙌🔥
@ramiahassani5603
@ramiahassani5603 9 ай бұрын
Mmetisha Sana! Na hapo kwenye kutumia pesa ambazo hana kwa kununua vitu ambavyo havimfai ndio kamaliza kabisa!
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
💯
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 9 ай бұрын
Marehemu Magufuri alishakataa kwamba sisi ni maskini wazungu wanatupumbaza tu
@amaradiombera2198
@amaradiombera2198 9 ай бұрын
Asante sana mkuu
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 9 ай бұрын
Wametumia lugha nyepesi sana. Nimeelewa Sana.
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 9 ай бұрын
🙏 Asante
@edsonjoseph5383
@edsonjoseph5383 9 ай бұрын
Jamaaa Huyo kutoka Ethiopia n kichwa na kuwa vitu ametufungua macho
@josephmwavangila1633
@josephmwavangila1633 9 ай бұрын
Sure 👏 👏
@dn.n4983
@dn.n4983 9 ай бұрын
Ni kweli kabisa mikopo hiyo itakiste mikopo
@ibrahimnaftar9037
@ibrahimnaftar9037 9 ай бұрын
Nakubal san unavochambua maad dj
@IsaacParuz
@IsaacParuz 9 ай бұрын
Asante Sana chief zidi kubarikiwa
@NishimweJohn
@NishimweJohn 9 ай бұрын
Asante kwa kutufungua hakili ❤
@NishimweJohn
@NishimweJohn 9 ай бұрын
Dj sm
@muzmurtarik3277
@muzmurtarik3277 9 ай бұрын
kila nikikusikiliza hua napata kitu kipya nda kichwa changu Allah akupe maisha marefu yenye kheri na ww
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Amin kwa sote
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 9 ай бұрын
Pia somo la Uzalendo ni muhimu kulianzisha mashuleni kuanzia ngazi ya Chekechea mpk Vyuo Vikuu mfano Russia Watu wao wanaipenda nchi yao kulingana na Uzalendo uliopandikizwa toka Bolshevik revolution ya October 1917 chini ya Muungano wa Watu watatu Vladimir Lenin,Leon Trotsky na Joseph Stalin
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Ni kweli ndo mana Dr akasisituzia elimu...kwenye elimu lazma tufundishwe historia sahihi na uzalendo...
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 9 ай бұрын
@@djsma255 Ingawa Inasemekana vitabu na baadhi ya nyenzo muhimu za kujifunzia zilichomwa moto kipindi Cha Biashara ya Utumwa ili kuruin African History ila tunatakiwa kupull up our socks na kujikuna tunapoweza ili Vizazi vya baadae viendeleze tulipoishia pia nimependa ulivyoongelea historia ya China ya Great Leap Forward (GLF) Sera ya Rais Mao Ze Dong
@josephmkindi4633
@josephmkindi4633 9 ай бұрын
Wakwanza leo naombeni like,tuliommis DJ SMAA🎉😊😊
@comics3437
@comics3437 9 ай бұрын
Huyu jamaa ametifungua macho aiseee
@nashonpharessnashon1774
@nashonpharessnashon1774 9 ай бұрын
Nilimsikia mbunge wa kawe (gwajima) akizungumza kuhusu kuweka agenda ambayo kila rais atakayeingia madarakan aifate hiyo,
@Fgldesigns
@Fgldesigns 9 ай бұрын
Aliongea kitu cha muhimu ila ndo wameshasahau sahivi
@Frankomazua
@Frankomazua 9 ай бұрын
Nimejifunza pakubwa
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 8 ай бұрын
Kiukweli nami nimejifunza kitu dj sm uko vizuri tuelimishe bwana
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 9 ай бұрын
Iyimakala imenijenga san kabisa ubalikiwe san sma wewe nino1ishallah from 🇧🇮👊
@niyongendakosamuel858
@niyongendakosamuel858 9 ай бұрын
SA🇿🇦 💪
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 9 ай бұрын
KAZI poah kabisa.
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 7 ай бұрын
ASALAM ALAIKUM MWANA FYUZz. Dahh.. alhamdullilaahh vijana wa zama hizi, zina fanana sana. Umo umoo kaka.
@nairaidid4936
@nairaidid4936 9 ай бұрын
Brother's ☝️🙌🙌🙌✌️😉
@dn.n4983
@dn.n4983 9 ай бұрын
Huyu Rais wa afrika kama makufuli janani kweni open your Eyes wa africa
@Richzones
@Richzones 9 ай бұрын
Nakubal san we mtu kitu kinachofanya nikukubal mpak mwisho wa dunia ni ushahidi wa kila nachokiongea maan binfs watu wanao bwabwaja sjawah kuwaelewa.
@Dieumerci-ot3ug
@Dieumerci-ot3ug 8 ай бұрын
Kaka nafatilia sana habari zako kwakina Naomba Akunti yako ya Facebook nizungumze nawewe Niko. DRC 🇨🇩
@menasjohn6837
@menasjohn6837 9 ай бұрын
Hakika nimefunguka sana😊
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 9 ай бұрын
Dj SMA chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 9 ай бұрын
hata magufuli alikuwa akituambia tanzania sio masikini, hata ukiangalia takwim zote duniani mbaya huwa wazungu wanazisukumizia afrika , utasikia watu wasio kuwa na furaha wapo afrika, watu masikini afrika, wasio na ilimu, wagonjwa wa akili , yaani tafiti zote mbaya afrika ndio inaongoza kwa mujibu wao alafu tafiti zote nzuri zipo kwao , ukisikia vita vya kisaikolojia ndio hivi, wao ndio wanapanga hella gani iwe juu na dhamani na hella ya taifa gani ziwe chini, etii hella zote za afrika hazina dhamani lakini hella zote za ulaya zinadhamani afrika kama sio uwongo ni nini,wazungu wazungukeni.
@J_Pabloescobar0806
@J_Pabloescobar0806 9 ай бұрын
We akili mingi sana ndugu angu unaangalia mbali sanaaa
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 9 ай бұрын
@@J_Pabloescobar0806 shukran Sana
@Fgldesigns
@Fgldesigns 9 ай бұрын
Kabisa kila kibaya kwetu wakati watu waafrika in wachache kuliko China Na India lakini vibaya kwetu vizuri vyote Ulaya sijui wanatuchukuliaje hawa watu
@ismailimatola3727
@ismailimatola3727 9 ай бұрын
Uyu jamaa kwanza, mimi binafsi naweza nikasema au niseme atujawai kufikiwa na mgeni mwenye samani kubwa Tanzania uyu ayo anayo yasema mengi kichwa changu yanaamini ayo na ndio maana Tanzania tulipokampata rais dkt Magufuli Mimi binafsi nilikuwa mfuasi mkubwa sana kwa sababu alichokua anakifanya kilikua kinanipendeza
@hermanjustine6369
@hermanjustine6369 8 ай бұрын
Tunakusubiri hapo kwenye historia ya China
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 9 ай бұрын
Yani ukiangalia Africa nchi zetu zinatia aibu mnoo kuna nchi hazina kitu hata kupata mchanga wa kujenga wanasubili msimu wa mvua mfano Bulgaria wanasubili mvua inyeshe lakini angalia miji yao mizuri sanaa lakini sisi kila kitu kipo tena rahisi kupata angalia miji yetu sasa.
@abdulikimangaboy8265
@abdulikimangaboy8265 9 ай бұрын
Kwaiy dj SMA inabidi utupe nn maan ya umasikini maan wt wng hatujui Abdul ktk znz
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Sawa inshalah
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 8 ай бұрын
Kuna mtu niliwahi kubishana nae inst ujinga huu nchi fulani tajiri nyengine masikini 😂😂😂 natamani aje hapa asikilize
@AbuuBakari-iv7kn
@AbuuBakari-iv7kn 9 ай бұрын
Asalamaalekum khakika mim c,mpenz w coment kW mitandao n miongon mea viumbe hai wanaokusikiliz n nnakuelwa kadri y uwezwng ALLAH akuzidishie kheqma zenye faida Dunian n Akhera .pweynt yang kuu kuhusu neno maskin kW Africa hususa c.c wabongo utaamn Anachotamka kiongz hp n kweli, Kulikuja janga la corona Taadhari y wabongo hususa wenyekipato cha Kat n cha juu niliwan
@AbuuBakari-iv7kn
@AbuuBakari-iv7kn 9 ай бұрын
Niliwaona wakiingia madukani n kkusanya Michele mftar ngano .....!! swali kW c,c language.....!hkun zide y kumtemea ALLAH Vila kuchoka kiukwl kk unakaz ngum cn kutuelmisha maana shulen tumeenda ila hatujasoma ukiulila mengne kwel /sikwel pambana kk ALLAH atakulpa .
@AbuuBakari-iv7kn
@AbuuBakari-iv7kn 9 ай бұрын
Niwierdhi kW kiubganishi ujumbe kukosea kwn hii n 9t niko n uchovu mix usingz .maan nkutapo klip y broo kakaangu huyu sipend kupoteza Darsah ama kipnd kuna maisha najifunza kupitia shauri zke ALLAH amempa kipaj n akamuezesha atufikishie tusionacho kW mwenyekujifunz ataifadhi n kupt fida ila mwenyekujifanya ajua atamalz bndo n kuptz mda kujifnza kW mtu kipji n subrah ichukue n fax kwn plan (A) binadam huzaliwa nayo ila plan (B) ipo kama Quraan ukiitaji ikuongze kwkutie kiklicho andikwa utaweza kuona faida n c,hasara .ndo hivyohvy plan B, kwn kW upeo wng mdogo plan B,nikamat y kichwa yenye ulinz mkubwa cn haishaur kilaki2 ila kW 7bu maalum n hupewa nafasindogo CN ktk akili y binadam Ila haijawykosea n hataikikosea n %10 au%5 n hukupa matumain utaweza ila inaitaji subrah y kimwil n kiakil c,vinginevyo.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 ай бұрын
👊👍✌️。
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 9 ай бұрын
❤ djsma nakumbuka rais Alie pita alisema akitoka madarakani anataka rais anae kuja awe na miaka 45 sikumwelewa Leo nimekuelewa ulivyo zungumzia kuwekeza kwenye vijana
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Vijana ndio watako ikomboa Africa
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 9 ай бұрын
@@djsma255 ni kweli Africa ukiongea ukweli wanakupoteza badala ya kupigania nchi zetu tunakuwa mamluki tunajizarau sisi kushobokea utamaduni usio na faida kwetu Kama sisi tukienda nje watajuwaje ni watanzania mtihani
@francismichael1258
@francismichael1258 5 ай бұрын
Fuse kitunguu imetoka bado?
@cfacomtazfinanceafricaltd1824
@cfacomtazfinanceafricaltd1824 9 ай бұрын
Mpendwa, Assalam Alaikum, Mimi nakualika tuonane ili pia uwajue wafuasi wako waliowaumini wa uhimaya huru wa kifikra ndiyo rasilimali awali iliyofifishwa na mifumo pandikizwa ya ukoloni mamboleo iliyotamalaki mitazamo ya kada yote ya wasomi Afrika. Tukutane tujuane.
@noahlameck1564
@noahlameck1564 9 ай бұрын
Mwamba komaa sana unakubali kinoma sana nipo kwenye haisi chuga nakusikiliza wazee wanakukubali sana takutumia picha
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
🙏🙏🙏
@J_Pabloescobar0806
@J_Pabloescobar0806 9 ай бұрын
@dj sma wengine tuko njee ya nchi tunahitaji na namba yako ya wtsup pia fanya kutusaidia
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
Ndio hio hapo iliopo mwisho wa video
@Kefafundi5
@Kefafundi5 9 ай бұрын
Yaonekana ushanunuliwa tayari na upande wa pili, utajiri gani tulio nao, ulikua watupa amasa kua tuzinduke twanyonywa saai eti wasema kua utajiri ni malazi na kuvua 😢😢
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 ай бұрын
Ki vp anunuliwe? Africa ni maskini? Au kwako umaskini na utajiri ni nini?
@djsma255
@djsma255 9 ай бұрын
😂😂😂 kwani kunasehem nimekataza tusizinduke, hi interview niyakutuzindua, sema uelewa wako mdogo, hujaelewa mantic ya interview
Jinsi Mtego wa Madeni unavyotumika kufyonza rasilimali za Muafrika - DJ Sma
17:32
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 68 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 4,6 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 33 М.
Meet Flaviana Matata
2:46
Malaria No More
Рет қаралды 10 М.
VIGEZO NA SIFA ZA MWOMBAJI WA PASIPOTI MPYA YA KIELEKTRONIKI
9:20
MBINU ZA KUSHINDA JOB INTERVIEW
7:16
The HR Tanzania
Рет қаралды 8 М.
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Makambakotc
Рет қаралды 9 М.
YAFAHAMU MENO BANDIA
4:11
Alexia Hospital
Рет қаралды 3,3 М.