Nipeni hata like tatu tu kwa vile leo nimekuwa wa kwanza ❤
@joelnanauka10 ай бұрын
Hongera sanaaaa
@Senetalkim10 ай бұрын
Wa kwanza leo
@user-pw9xf8fs3x10 ай бұрын
Asaante 🎉 mwalim Wang nimezichukia hizo
@ShabanMlela-pw2ti10 ай бұрын
For first time ,na comment likeee pls
@joelnanauka10 ай бұрын
Hongera sana, Tuendelee kujifunza
@user-ob1qs6tu2y10 ай бұрын
umesema kweli kabisa
@user-gy1lb9fo2b10 ай бұрын
Ahsante
@pilichuli444910 ай бұрын
Kaka unatuokoa sana mungu akubariki
@fundivigaetzchannel189910 ай бұрын
Ahsante sana MUNGU akutunze uzidi kutuherimisha naitwa Eradius Oscar from Mwanza nyegezi 🇹🇿
@mohammedrashid290610 ай бұрын
Ahsante Brother
@GodfreyThomas-sh4jp10 ай бұрын
Ukweli
@luebernard447910 ай бұрын
Asante sana😊❤
@user-kb1xk5cs2z10 ай бұрын
Asante sana napata maarifa mengi sana kupitia wewe ubarikiwe
@Francsimba6410 ай бұрын
Marafiki wa kimazingira i get it
@mwajumabinwa60410 ай бұрын
let’s start now 🙏
@daudiissa925610 ай бұрын
Bado naendelea kujifunza kwako god bless you
@user-xx8ev3dr3z10 ай бұрын
Ni kweli kak baadhi ya marafik wanatokan na mazingira ya liyokutanisheni Naitwa ramadhani kutoka tabata
@beatrixmalakasuka121410 ай бұрын
unajua sanaaa
@samsonsseiph10 ай бұрын
Nimechelewa leo oooh 3hrs
@AuleliaEbino-wl7px10 ай бұрын
Amen..😊
@JescaAbel-lo3on10 ай бұрын
Ubarikiwe Sana kaka❤❤
@faudhiasalum727910 ай бұрын
Kaka Yangu Ubarikiwe sana
@JohnDaud-sv1oc10 ай бұрын
Nimekuelew Sana Kaka yangu mungu akubariki
@mwajumabinwa60410 ай бұрын
Asante sana
@rajanestofficial423710 ай бұрын
Joel ishi miaka mia tuzidi kupata madini
@Udindigwa10 ай бұрын
Amina
@academiazsoft10 ай бұрын
Thank you very much
@rollahngimbwa697810 ай бұрын
Shkran San kk Joel 🙏🙏 balikiwa sn
@pikanaauntzuu146610 ай бұрын
Asante sana professor ni kweli hata mi sipendi kumfanya kila mtu ni rafiki nakuwa na urafiki na mtu kulingana na mazigira hasa tukikutna kwenye kazi baada ya hapo siwezi kuendelea kuwa na urafiki nao labda km amenivutia kwakua tunaenda kutabia ana mambo mengine ambayo mimi binafsi nayape da kwa mtu ambae napenda awe rafiki yangu bac naweza muomba tukaendelea kuwa marafiji
@eliardjames758110 ай бұрын
Nipo karibu na mafunzo yananipa nguvu ya kuendelea🇹🇿
@belingtonminja708810 ай бұрын
Brother Ulipofika number mbili Umeenda namber tano. Embu jaribu kusikiliza vizuri. Thanks