Neema juu ya Neema…a whole movement.Allah akuhifadh akuzidishie palipo pungua akufungulie milango zaidi na zaidi ya Kheyr,barka,neema na furaha.Na muhim zaidi akulinde kutokana na hasad na balaa za aina yoyote Sheikh Othman( Allahuma ameen)🤲🤲
@saidkipalo442729 күн бұрын
MAASHALLAH MAASHALLAH ALLAH akuhifadh Shekh Othman Michael hakika ni mfano wa kuigwa
@user-ov5xc2sy3qАй бұрын
Mashallah mashallah mashallah natamani ningekuwepo kwenye furaha ya idi lushoto Tanga milima ya kwetu furaha yanidosha machozi nakumbuka enzi zetu
@shadhilmakameАй бұрын
Allah aendelee kukupa afya zaidi ....Sheikh tulikumiss wengine zikipta siku mbili bila kuona videos zako inatwia shida wallah
@ShamimHassan-qm1et25 күн бұрын
Eti maajabu gar limejifunua 😂😂😂😂😂nimechek hatar mashallah shekh wetu allah akulinde ktk kila hatua zako tunakupenda kwa ajil ya allah❤❤😂
@muddymuzungu4357Ай бұрын
Maa Shaa Allah sheikh! Na sisi atujaalie pia
@athumanikhamisi3377Ай бұрын
Maasha allah
@falidiamiiamii-jz5pfАй бұрын
Subhanallah iyo Qaswaida inavtia san na inamaudhui makubw san kwakwl nimefrah
@sulekhan7119Ай бұрын
Sheikh kijana wako amemudu Soni mombo.mashaalah
@HaxnatiXhekhanАй бұрын
Mashaaallah 🙏 Jambo la kher jaman
@falidiamiiamii-jz5pfАй бұрын
Sh Othman tunakpend kwel km eanavykupend wt wk
@user-mi7cd8ch1bАй бұрын
Ma Sha Allah nampenda huyu shekhe kwa jiri ya Allah wote nawapenda?
@rahimmussa7292Ай бұрын
Tunaotoka Tanga ndy tunajua raha ya ukienda nyumban unaweza ukajihisi mfalme masha Allah
@yusufuheri6524Ай бұрын
Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam
@user-mi7cd8ch1bАй бұрын
Kumbe nimekosea ni tanga ma Sha Allah kwa watani zetu mirima sawa tunafananah
@user-mi7cd8ch1bАй бұрын
Hii morogoro maeneo ya kiloka mbaka mkunyuni nahangaria nikiwa Oman kwetu nakujua milima kama yote