LAZIMA UWE NA UFAHAMU WA KIMUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 15,286

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

2 жыл бұрын

Vazi hubeba utambulisho wa mtu. Kama ambavyo kupitia vazi la mtu unaweza kujua mtu ni nani, vilevile vazi hubeba utambulisho wa mtu kiroho. Kuna vazi ukivalishwa basi kuna aina za roho za giza zitakufuatilia.Kwa mfano ukivishwa vazi la kukataliwa basi roho za kutoonekana,roho za mauti, umasikini no zitakufuatilia tu.
Katika vita hii ya Mfalme wa Shamu na Israeli,jeshi la Shamu lilipewa maelekezo kuwa wasimuue yeyote bali yule mwenye mavazi ya kifalme,mauti ilikuwa ndani ya vazi na ndio maana Yehoshafati(mfalme wa Yuda) alinusurika kuuawa maana yeye ndiye aliyekuwa na mavazi ya kifalme na Mfalme aliyekuwa anatafutwa amevaa mavazi ya kawaida.
Mfalme wa Israeli alikuwa na maarifa juu ya hiyo vita na akajua kabisa kuwa kitakachohusishwa ni vazi ambalo ndilo litakalomtambulisha na hivyo mauti kumfuata. Kuna vazi toka uvalishwe rohoni basi maisha yako yameharibika kabisa, kukemea hiyo changamoto bila kuvua hilo vazi ulilovishwa ni ngumu sana kuona matokeo.
#PastorSunbella#Ufahamu#WaKiMungu

Пікірлер: 14
@isaacktweve3773
@isaacktweve3773 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi.
@Empressever254
@Empressever254 2 жыл бұрын
God bless you my mentor 🙏🙌🙌
@mauricesikuta6352
@mauricesikuta6352 2 жыл бұрын
God bless you man of God
@Jenifa818
@Jenifa818 2 жыл бұрын
Amina babaa
@langolambinguni8653
@langolambinguni8653 2 жыл бұрын
Ameni
@petronilangula3525
@petronilangula3525 2 жыл бұрын
Amen Amen.
@ntulisuzan897
@ntulisuzan897 Жыл бұрын
Amen Mtumishi
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 жыл бұрын
Amina 🙏 kubwa .tunaomba mpokee sm lakini mtumishi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amen
@murekatetegermaine6559
@murekatetegermaine6559 2 жыл бұрын
Mimi nashukuru sana asante mcungaji mwenyezi mungu akubariki.sana
@lavendanekesa5404
@lavendanekesa5404 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
Amen
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 жыл бұрын
Amen
UFAHAMU WAKO JUU YA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
26:28
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 23 М.
USITAMANI MAFANIKIO YA MWINGINE - PASTOR SUNBELLA KYANDO
10:00
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 406
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 119 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 6 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 81 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 41 МЛН
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 3,9 М.
NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
28:59
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 492 М.
Namna unavyoweza kubadilisha ufahamu wako
17:50
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
FIKICHA MACHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
18:57
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 4,5 М.
HOFU NI PEPO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
16:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 10 М.
MATOKEO YA NAFSI NA HISIA VIKITEKWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:36
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 3,4 М.
MAARIFA YANAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA -PASTOR SUNBELLA KYANDO
49:26
YESU ANAFUFUA VILIVYO KUFA  NA KUOZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
21:39
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 30 М.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 119 МЛН