No video

Leo Masterio: Nilitongozwa na Riyama.

  Рет қаралды 139,157

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Msanii wa Rap bongo Leo Mysterio amekiri kwamba anamridhisha mke wake kwa kipato chake alichonacho na anaamini ameridhika kwa kuwa hajawahi mlalamikia.
Hata hiyo Riyma alingilia mahojiano ya mumewe na alikiri kwamba yeye ndo alimtogoza mumewe na Leo kusema hali hiyo ilimshtua kwa kuwa Riyma alikuwa amemzidi umri na hakuwahu kudate na mwanamke anayemzidi umri.

Пікірлер: 61
@mwanaishasilima4483
@mwanaishasilima4483 5 жыл бұрын
Maashaa Allah .Allah awape.umrimrefu.ameen
@hawaafrica803
@hawaafrica803 5 жыл бұрын
Interview yako nimeipenda mkaka unajielewa nawatakieni maisha mema
@jamilahrali1467
@jamilahrali1467 5 жыл бұрын
I love you guys and you look good together,......
@subirakathrin8944
@subirakathrin8944 5 жыл бұрын
Mapenzi hayana mwenyewe unaweza penda kijana au mzee bora heshima
@hawaafrica803
@hawaafrica803 5 жыл бұрын
Mwanaume kichwa kipo vizur sana mashaallah
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 5 жыл бұрын
Aisee mnapendezeana sana jaman mungu awajalie sana
@mwanaiddaud4224
@mwanaiddaud4224 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Nimewapenda bure😘
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 жыл бұрын
Nawapenda sana
@mashauzclassic7504
@mashauzclassic7504 5 жыл бұрын
Mtangazaji mbea sana wacheni hayo nayo
@nassrapatrickpatrick5545
@nassrapatrickpatrick5545 5 жыл бұрын
Huyu mwanaume anajielewa Sana dahaaa
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 жыл бұрын
Kumbe mme wa riama anajielewa hivo
@daniellaurante1646
@daniellaurante1646 5 жыл бұрын
Jaman mapenz hayana umri kweli ndo nimeamini na mapenz hayana macho nikama kipofu
@ansyfalesy1457
@ansyfalesy1457 5 жыл бұрын
Na mm nawapendaga sana hawa watu jamaniii,, wanaheshimiana sana na wanapendana sana, mungu awalinde
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Umeona Dani hee ni kweli kabisa mim mwenyewe nasemaga hilo
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Ndio wanaheshimiana sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Haha wanachekesha wanavituko
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 5 жыл бұрын
Hiyo picha imependeza haha ndio mtu ulisema mtu mzima wanasemaga hivyo nimemzaa nani
@salhakhamis4629
@salhakhamis4629 5 жыл бұрын
Jaman mjmependeza kwel
@judysnasambu3349
@judysnasambu3349 4 жыл бұрын
Nkupenda tangu kitambo
@mwanaidisalehe4563
@mwanaidisalehe4563 5 жыл бұрын
Nimewapenda bule jaman 😀😀😀😀
@aliyahmduda7456
@aliyahmduda7456 4 жыл бұрын
Nawapenda jaman
@aishamother9943
@aishamother9943 5 жыл бұрын
Nimependa sana
@annamachota2661
@annamachota2661 5 жыл бұрын
umenifanya na mimi niolewe na yule dogo penda sana nyie
@onairfrp5187
@onairfrp5187 5 жыл бұрын
Mbona lio yuko kama chizi hiyo minywele
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 жыл бұрын
Zakubandika izo sio zake
@sistersade9039
@sistersade9039 5 жыл бұрын
jamani TZ kuna shida ya umri wa mwanamke? mpaka watangazaji hawawezi kuficha huu ujinga mpaka kumfanya mtu ajione anamapungufu kwajili ya age yake?...... munayo kazi
@rukaiyasalim1019
@rukaiyasalim1019 5 жыл бұрын
Na kweli maana mtu unamwita mtu mzm mbele yake jambo sio zuri, kwani cha ajabu nini mtu kuolewa na kijana kwa ni sunnah
@nataemsuya
@nataemsuya 5 жыл бұрын
Bora ukose Mali kuliko akili.... Yani ndio vitu vinanibore kujadili umri wa mtu
@floramsssawe8234
@floramsssawe8234 4 жыл бұрын
Ujingaaa
@jacklinemollel9792
@jacklinemollel9792 5 жыл бұрын
nawapenda bure
@magrethkawa4841
@magrethkawa4841 5 жыл бұрын
Life goes on doesn't matter what!!!!💖
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 жыл бұрын
Riyama mtu mzma🤣🤣🤣pamoja na utu uzma wake lake analipa bbyface wameendana. Mungu awajalie watoto insh
@mwaijahabdalah7586
@mwaijahabdalah7586 5 жыл бұрын
Aiseee da riyama umenishinda tabia,love u my dda
@suleimanjuma7526
@suleimanjuma7526 5 жыл бұрын
riama mume mwambie akate rasta.anapendezaaaaa
@sashacute6304
@sashacute6304 5 жыл бұрын
Riyama nakupenda
@annitabobo5438
@annitabobo5438 5 жыл бұрын
Age is just a number just style up and move on with so called umri. They love each other that what matters
@mariajohn1286
@mariajohn1286 5 жыл бұрын
love your couple
@azizaabdi1265
@azizaabdi1265 5 жыл бұрын
Riyama jamanii hahaaahaaaaaa
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 5 жыл бұрын
Aziza Abdi karibu
@aishamohamed7986
@aishamohamed7986 5 жыл бұрын
Riyama nakupend xana jmn ww kaka endelea tu kumpenda
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 жыл бұрын
Hahahhhhhhahha riyama
@mumdecutymariammariammunga7501
@mumdecutymariammariammunga7501 5 жыл бұрын
😂 Riyam a
@evelynmac4359
@evelynmac4359 5 жыл бұрын
Kaka unajielewa hatar
@rabeccashabani8785
@rabeccashabani8785 5 жыл бұрын
I enjoy riama's interview always. I love you guys
@rosedaniel1981
@rosedaniel1981 5 жыл бұрын
Ahahaha hata me kuna mtu humu ndani namuelewa sijui nimwambie
@amnaalmarzooqi2097
@amnaalmarzooqi2097 5 жыл бұрын
Mwambie au mm huyo!!!!!.,kama ni mm nicheki kwa number hii 0735 - 103040
@jacobpatrick7936
@jacobpatrick7936 5 жыл бұрын
Bora uniambie tu
@saumushabani1628
@saumushabani1628 4 жыл бұрын
Mwambie
@mathnasaeed3806
@mathnasaeed3806 5 жыл бұрын
ata mtume alimuowa bi khadija Dada Riyama umepita mule mule dadaa waache na wivu wao na wakae wawasubir waliozaliwa nao pacha wafanane umri na watangazaji wa Tanzania mnagubu heee km umri tatizo na hayati muheshiwa mengi alimuowa mdada mdogo na kazaa nae mapacha mambo ndivyo yalivyo hivoo na vijisuna waislam tunavifata jamanii punguzeni gubu iloo
@claveryboniphacemaingu9230
@claveryboniphacemaingu9230 5 жыл бұрын
Naiyo ndio inayo yakiwa walimwrngu hawakosi lakusema hata kama Leo angekuwa mkubwa wangesema tu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Mapenzi hayana mwenyewe unaweza penda kijana au Mzee,Pendaneni daa Riyama Penzi halina Umri.
@anithaflorian1157
@anithaflorian1157 5 жыл бұрын
Wa kwanza Leo jaman
@ummuismail7597
@ummuismail7597 5 жыл бұрын
apo sasa kamzaa nani oooh mtu mzimaa
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 5 жыл бұрын
Chezea majina ya riyama weee kwa kushushua
@khadijaamani7292
@khadijaamani7292 5 жыл бұрын
Hapo Sasa
@andrewmakwi1415
@andrewmakwi1415 5 жыл бұрын
Sjapenda japo namkubar ila kwa hili mmmh
@mamakokukoku2318
@mamakokukoku2318 5 жыл бұрын
kuluan raja
@happyelias4536
@happyelias4536 5 жыл бұрын
Lo! Majibu yako rihama umejua kunichekesha
@sashacute6304
@sashacute6304 5 жыл бұрын
Hahahaaaa
@frolaevance604
@frolaevance604 5 жыл бұрын
Sasha Cute mtangazaj nae kazid jmn duu,mtu mzima riyama kwahy alitak uyo kak awe naye yey???
Riyma Ally: Unene hanifanyi nisimudu kitandani.
4:42
EastAfricaTV
Рет қаралды 313 М.
Riyama Ally alivyokutana na Mwanaume aliyemuoa / Sanaa na Maisha yake
29:34
Gangana Info Channel
Рет қаралды 6 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 10 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
HII HAPA SIRI YA COLLABO ZA JAY MELODY NA GENIOUS JINI
2:47
Baritone Tz
Рет қаралды 226
HUYU NDIE NASSOR AHMED MAZRUI
22:40
Marhaba Online TV
Рет қаралды 3,8 М.
Salama Na RIYAMA Ep 32 | UTAKWENDA UTARUDI Part 1
34:34
YahStoneTown
Рет қаралды 180 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 10 МЛН