Riyama kapungua mwili anakaaa vizuri saaaana tu wamependeza jamani
@joharishabani28933 жыл бұрын
Anashingo nzur
@catherinemapendo44973 жыл бұрын
Sana
@judithkilawe61783 жыл бұрын
Pendeza Sana nyie
@asiamkwama43893 жыл бұрын
Mume wake ndio anapenda huo mwili sasa apungue kweni wee unambeba?
@dorisjessy59603 жыл бұрын
@@asiamkwama4389 soma message uielewe usijibu bila kuelewa message. Nani kasema Nina shida na mwili wake..nimefurahia tu kumuona kwenye muonekano huo sijasema vibaya wala nimefurahi tu
@rehemaahmed81943 жыл бұрын
Da riyama Wewe si zawadi ya watanzania pekee Hadi Kenya pia.pambeee.....
@sarapaulo47183 жыл бұрын
So kweli huyu ni wetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 hatunaga vitu vibovu
@smoothieramadhan79003 жыл бұрын
@Sara Paulo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌
@elizabethmwandu69373 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 😀😀😀
@prettyaysha78923 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 mmmmh jamani msiwe wachoyo kazi zingine niushabiki ndio kuwainua hajasema Riyama ni mkenya 🇹🇿🇰🇪
@sarapaulo47183 жыл бұрын
@@prettyaysha7892 Nkwel lkn wakenya wanatudharau sana watanzania
@khadijaangore44083 жыл бұрын
Asaalam alykum my mummy Rihama nakupenda sana , mungu akujaalie kila la kheir katika kazi. 💋💋💕💕💖❤💞💞💞👌👍👍💪
@lickymaker58573 жыл бұрын
Jmnn uyo kaka namuona km Black Panther#Chadwick Boseman#
@thedmomo63503 жыл бұрын
Kweli
@fadyaalmansoor77953 жыл бұрын
MashaAllah mungu aibariki ndoa yenu nakupenda sana Riama 🇰🇪🇰🇪❤❤umepungua MashaAllah shingo imekuwa ya twiga 👌
@lissamsalu123453 жыл бұрын
Nampenda Sana rihama nimecheka sana
@agwalubifaridah70793 жыл бұрын
Mmependeza 👍👍❤
@mamazuluofficial14943 жыл бұрын
Nampenda sana uyu Mama from Rwanda Na mimi ni mchezaji wa filamu hapa Rwanda😘
@hasinarashid50593 жыл бұрын
Jamaaan nampenda mm huyu dada😘😘 siku nikikutana nae ntazimiaa nakupendaa riyama
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Mm napenda riyama Aliy anavyo zungumza tu Maashaa Allah
@tatungole4123 жыл бұрын
Yani mke na mume kam mtu na rafik yake had raha😁😁😁😁
@anitanahimana21153 жыл бұрын
Njo kawaida. Sana. Dugu
@anitanahimana21153 жыл бұрын
Njo kawaida. Sana. Dugu
@alicemushi53533 жыл бұрын
Kweli raha
@emmy85sweetie993 жыл бұрын
Maashalah mmependeza sana Allah awape afya na mapenzi motomoto
@ab3ab3133 жыл бұрын
Mumependez kbs Mashallah❤❤❤
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
Napenda hilo cheko lake tu 🤣🤣
@jkizondoswahilibites4343 жыл бұрын
Nakuponda sanaaa dadangu!! Allah akuhefadhi Allahuma Ameen yaa rabb
@elizabethsakina23063 жыл бұрын
Nimerudiliya iyi interview 3 times 🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣😂wambiye ivi marehemua kafufuka kwa iyo nyumba ya urisi hai uzwii 😂🤣🤣SNS tunamtaka Riyama kwenye chill na Sky please 🙏🤣😂
@halimaleila23233 жыл бұрын
Mashaallah. Mumependeza, ♥️♥️
@ireneboniphace94943 жыл бұрын
Nakupenda sana riyama wangu Mimi kuchamba2 napagawa napenda seen hiyo yauchambaji congratulations
@superdeeboy61003 жыл бұрын
Ongeren mume na mke pambee💕💕
@anitanahimana21153 жыл бұрын
Mashaa Allah. Liyama. Na mumeo.muko vizuri. Tupe vitu. Mam tume kumisi. Sana
@greeneraston97283 жыл бұрын
Kawakomesha waandish wa habari badala ya kuuliza vitu by msingi
@janeschurmanns73643 жыл бұрын
Haswa wamezidi umbea wanakuwaga na maswali ya uzushi
@uwitekamimy34313 жыл бұрын
Riyama Anazidi Kupendeza na Kuonekana Mtoto ❤🤗
@yagalbyyaayuni72473 жыл бұрын
Aki tena hazeeki kabisa ...MASHA ALLAH
@sophiahmedza9293 жыл бұрын
Nko hapa nasubiri iyo namba ya fundi 🏃♀️🏃♀️🏃♀️wa nguo
@susannmoses47733 жыл бұрын
Mashallah 💕💕❤💝💝💗❣💜💓💞💕💕❤💖💝💖💕💞🥰💞💕💓💓❣💗sooo beautiful 😍 ❤ 💕 Mungu awaeke
@halima72553 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️nakupenda ss dada Reama 😂😂
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Maashaallaah mmependeza sana hongereni naomba mungu mdumu milele mzidishie upendo sikuzote
@khadijamwakutwaa80233 жыл бұрын
AMIN AMIN AMIN YA RABBY AL AMIN 🤲🤲🤲🤲
@mohameeddoaan22963 жыл бұрын
MashaaAllah MashaaAllah Allah awe kheri
@jorgettemwajuma54283 жыл бұрын
Riyma ally umepungua umekuwa vizuri sana
@ShSh-my8cw3 жыл бұрын
Likuwa yuwaumwa
@jorgettemwajuma54283 жыл бұрын
@@ShSh-my8cw masikini wee Allah ampe shiffa
@ShSh-my8cw3 жыл бұрын
@@jorgettemwajuma5428 amiin
@mwakahassan76853 жыл бұрын
@@jorgettemwajuma5428 amin
@reginanjeri27 Жыл бұрын
Much love from 🇰🇪ni navyo ipeipenda hii couple !
@aminanamoyo833 жыл бұрын
Waooo mmependeza sasa mashallah ❤🇨🇭🇹🇿
@yasminoluoch1693 жыл бұрын
Namis kuona movie zako rihama
@husnajafari89453 жыл бұрын
Riyama my lov kpenz chetu jomon unarud uttn mashallah allah akupe umri mrefu
@mwakahassan76853 жыл бұрын
Amin
@aziza90932 ай бұрын
Riyama nimtu wawatu hakuna anayakuchukiy❤❤
@rahmarajab36883 жыл бұрын
Nampenda Sana Riama
@shadyandizeye94533 жыл бұрын
Mashaallah 🤲🤲
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Dariama cheko lako hiloooo,nakumiss kwenye huba tu