LIFE WISDOM : PRESHA ZA MAISHA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 8,697

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 ай бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 37
@user-ho2iu3ou9y
@user-ho2iu3ou9y 2 ай бұрын
Kaka kuhusu presha hapo umetugusa wengi kama nawew ni miongoni weka like hapa
@Delphinusdeodatus-xu6nf
@Delphinusdeodatus-xu6nf 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefuu kaka joel!!
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 2 ай бұрын
Ahsante Kaka Joel
@nelsoncosmas5639
@nelsoncosmas5639 2 ай бұрын
Broo MUNGU akupe maisha marefu
@marceljosee8046
@marceljosee8046 2 ай бұрын
Dah We ni genius bro nakukubali sana
@avitus-thobias
@avitus-thobias 2 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako maana nazidi kukua, one day nitakuja na ushuuda mkubwa,
@iizalaw6674
@iizalaw6674 2 ай бұрын
Shikamoo presha, asante kaka kwakunifundisha yaani hapa nimejiona sehemu nyingi aloooo😢
@Fati-pt8ps
@Fati-pt8ps Ай бұрын
Umenigusa nimekua mwepesi maana hio pressure imenikamata mwaka namiezi mitatu sasa naishi nayo
@Shedrackh
@Shedrackh 2 ай бұрын
Ubarikiwe kaka Joel
@happinsskato4941
@happinsskato4941 2 ай бұрын
Asante sana kwa kutupa maarifa ubarikiwe .. ila tunaomba hiyo bit iwe inasikika kwa mbali sana maana tunashindwa kukusikia vizuri.
@user-ec1ib2do7x
@user-ec1ib2do7x 2 ай бұрын
Hongera sana kaka,na asante sana ,kuna presha ntaiepuka ni ktk mafanikio na mahusiano pia.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 ай бұрын
Amen kaka Joel Nanauka. Mungu akubariki sana
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 2 ай бұрын
❤❤❤asandi pro mungu aendele kukupa ujuzi zaidi
@GodfreyLazaro-nr7hi
@GodfreyLazaro-nr7hi 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mungu amekutumia kuniponya
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 2 ай бұрын
Kweli nikilegalega kidogo mambo ya Mungu daaa nakuwa na wakati mgumu hapohapo nakumbuka kuwa nipo nje ya reli narudi
@user-tx9mq2tr6j
@user-tx9mq2tr6j 2 ай бұрын
Mungu akupe nafasi ya maisha malefu
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 2 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu
@user-xt5vs7cm2k
@user-xt5vs7cm2k 2 ай бұрын
Kaka ubalikiwe sana one love
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 2 ай бұрын
Amen... barikiwa kaka Joel 🙏
@fridamwalongo9892
@fridamwalongo9892 2 ай бұрын
Barikiwa sana kaka Joel Nanauka
@FATMA06-oz3zs
@FATMA06-oz3zs 2 ай бұрын
Ubarikiwe mno kiongozi🙏🙏
@franciscamoshi7671
@franciscamoshi7671 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa kutuelimisha
@MarryJulius-wq3eg
@MarryJulius-wq3eg 2 ай бұрын
Amina kaka
@ramadhanmkenda5918
@ramadhanmkenda5918 2 ай бұрын
Thanks brother
@batsondeux1173
@batsondeux1173 2 ай бұрын
Appreciate to you
@nyiranzimami728
@nyiranzimami728 2 ай бұрын
Joel ninaitaji nambasako zasimu mimi naitwa Debora
@khajirmussa
@khajirmussa 2 ай бұрын
Kweli kaka Joel ....unapoacha kutegemea Mungu lazima utapitia wakt mgumu ambayo utakufanya urudi kw Mungu wako
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 2 ай бұрын
Kwelikweli
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 ай бұрын
Asante sana brother Mungu akubariki, ila nilikuwa naomba kama itawezekana back graund ya bit inakuwa inazidi kidogo
@KasminaCreation
@KasminaCreation 2 ай бұрын
Mafunzo yako ni mazuri ila naomba urekebishe mziki.mikizi ni mkubwa kuliko sauti na inasikika kwa mbali
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 2 ай бұрын
Thanks and see you at top
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn 2 ай бұрын
Asant nimejifunza kitu
@JosephKimelo
@JosephKimelo 2 ай бұрын
Iyo Hali inanikuta sana Mimi sijui hata nifanyee nini
@karimujuma74
@karimujuma74 2 ай бұрын
ata mm inanikuta sana
@msalaba6768
@msalaba6768 2 ай бұрын
Ya kwangu mimi!imesababishwa na kurudiarudia makosa. Suluhisho ni!nini?
@AgnessBaran
@AgnessBaran 2 ай бұрын
Kaka Joel ni kweli unayoyazungumza Ila mm nasumbuliwa sana kufanya decision kila decision nafanya kwa presha
LIFE WISDOM : UJASIRI - JOEL NANAUKA
14:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 488 М.
LIFE WISDOM : HATUA ZA KUELEKEA UKUU WAKO - JOEL NANAUKA
11:11
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
LIFE WISDOM : BAADA YA KUKOSEA - JOEL NANAUKA
13:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Joel Nanauka - Vitu Vinavyozuia Watu Wasifikie Malengo Yao
35:09
LIFE WISDOM : FANYA MABADILIKO HAYA UFANIKIWE - JOEL NANAUKA
14:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
LIFE WISDOM : FUNGA JERAHA, ZUIA DAMU - JOEL NANAUKA
11:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 488 М.