Kwaya: Mt.Thomas More Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro Wimbo: Litukuzeni Jina La Bwana Mtunzi: Arnold D. October Follow Us On: INTAGRAM: / kmtm_mzumbe #thomasmorechoir#kanisakatoliki#katolikikwaya
Пікірлер: 29
@JOSEPHDUNIA-qi3ol4 ай бұрын
Hongereni Sana St. Thomas More Choir kwa Kazi nzuri ya Uinjilishaji, Hakika Mnaifanya Kazi Mungu Atukuzwe Milele Daima Ndani ya TMCS Chuo Kikuu Mzumbe.⛪✝
@Misol0034 ай бұрын
❤️❣️Yaaan Thomas More hamjawahi kupoa God bless you for the awesome song❤️❣️❤️🤍💕💞🌹
@DeogratiusKitebo4 ай бұрын
Wooow, Wimbo wenye tafakari ya wema wa Bwana MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU ili kazi yake itukuzwe milelee😍😍😍
@KelvinKamugisha-wq8qp4 ай бұрын
Aminaaa sanaaaa kwa wimbo mzuri mzidi kubarikiwaa
@kelvinjohn24294 ай бұрын
#in God we trust
@EmmanuelPeter-lo2mp4 ай бұрын
Mungu atukuzwe milele
@adamuhashimu7204 ай бұрын
Hakika Bwana ni Mwema Tulitukuze Jina lake siku zote za maisha yetu❤❤❤ Nimeupenda plus free organ yake Mungu aibariki Thomas More Daima
@karolytumaini9954 ай бұрын
❤❤ Wimbo mzuri Sana Mungu azidi kuwapa nguvu Katika utume wenu
@fridoliusrushunju90934 ай бұрын
Hakika jina lake litukuzwe mbarikiwe sana wanathomas kwa Wimbo mzr,
@nyaki55104 ай бұрын
Mambo ni moto Kongole Kwa vijana hawa jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mpewe maua yenu
@sarambise4 ай бұрын
So amaizing❤
@adamuhashimu7204 ай бұрын
Hongeren sana Wana Thomas More Mungu awabariki Mungu abariki utume wenu❤❤❤ Lazima nijiunge nanyi
@ROBERTNYAKI-ce6fy4 ай бұрын
HAKIKA BWANA NI MWEMA SIKU ZOTE . MUNGU AZIDI KUINUA UTUME HUU WA UIMBAJI. HAKIKA TUNABARIKIWA SANA NA KAZI HIZI NZURI
@user-dl2og5ld6v4 ай бұрын
Mungu awazidishie wema na fadhili zake ili kutimiza matakwa ya bwana
@user-su9di3dj9v4 ай бұрын
Wow hakika kila mwenye sikio amesikia
@philipokisizi-ps3dw4 ай бұрын
Kazi nzuri
@Lilian-nd8ih4 ай бұрын
😍 Amina kwa kazi nzuri 🌹🌹🌹
@irenendanzi62424 ай бұрын
🎉🎉❤
@JosephPaul-qm1gu3 ай бұрын
Hakika jina la mungu litukuzwe milele kwa kuwa ni kuu Wimbo mzuri sana na ujumbe wakutosha