Pastor David Mbagga, Mimi ni Muislamu, Nakukubali Pastor, Mafundisho Yako Nayafuatilia, Yamenijenga Sana Kimwili, Kiakili, Na Kiroho. Asante Sana Sana, Mungu Akupe Nguvu (Power) Ili uweze Kutufungua Mpaka Tuwe Huru, Na Ili Tuweze Kuutafuta Na Kuupata Ufalme Wa Mungu Kwanza NDANI Yetu Ili Na Mengine Yote Mtaongezewa. Ameen, Mungu Akubariki Sana Pastor.
@joycemugaka3039 Жыл бұрын
Barikiwa mchungaji tangu nilianza kufuatialia mafundisho yenu from 2019 hakika maisha yangu yali badilika na kupokea nguvu ya roho mtakatifu mm ni mkenya nakuzikiliza kutoka Qatar injili lasima ifike pande zote dhuniani
@scolastikapeter5892
Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi Mbaga
@hezekiamhapa7395
Amina pr Mungu akubariki Sana unatubariki sana
@joyikaya7429
Amina. ZIDI KUBARIKIWA PASTOR.
@jydsonnzanzu1090
Asante kwa mahubiri mutandaoni,nashukuru hapo congo
@labankoech3116
❤❤aki mafundisho tamu kupita halua zeeka pole pole pr 🙏🙏♥️♥️🎇🎆
@fatemajohn3195
Ameen ubarikiwe sana pastor
@RamadhaniSelemani-tr1gd
Barikiwa sana pasta mmbaga wew vkiwa na pasta peter nimebarikiwa sana kwa mahubiri yenu mungu azidi kuwapa nguvu sana mim no bahati baraka kutoka mkoan Kilimanjaro wilaya ya same mwembe
@eddiejoshua3818
Amina mchungaji Mungu akubariki. Hadithi ya Mchungaji mtini imenitia moyo kweli kweli.
@marykainyu4191 Жыл бұрын
Muchugaji mungu hawe wewe na akuogezee Sababu nilikuwa nasema beleni sitaweza .lakini umenitoa bali nasikiza nikiwa Saudi kutoka kenya.injilii iede mbele 2023 ameni.
@damasbunzalicharles673 Жыл бұрын
barikiwa pr kwa masomo yako mazuri yanatubariki sana
@user-ro1jw9od7v
Pastor ubarikiwa cna
@margaretwanjiru9096 Жыл бұрын
Amin Amin Amin
@gladysmwende7500
Amen
@PrincessSally777 Жыл бұрын
God i need your presence!!
@dianarobert7953 Жыл бұрын
Mungu akutunze pastor, asantee kwa mwendelezo wa somo makini, nazidi kubarikiwa sana.
@sarahemukule3230 Жыл бұрын
God bless you pastor mahubiri yako yamenijenga kiimani
@eustina0 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa kila jambo asnte pr Mungu akubariki uingiapo na utokapo