UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA

  Рет қаралды 84,977

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Жыл бұрын

MATENDO 12
1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
2 Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane.
3 Alipoona kuwa kitendo hicho kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea, akamkamata Petro. (Hiyo ilifanyika wakati wa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu).
4 Baada ya kutiwa nguvuni, Petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. Herode alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya Pasaka.
5 Basi, Petro alipokuwa gerezani, kanisa lilikuwa linamwombea kwa Mungu kwa moyo.
Malaika anamtoa Petro gerezani
6 Usiku, kabla ya siku ile ambayo Herode angemtoa Petro hadharani, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili. Alikuwa amefungwa minyororo miwili, na walinzi walikuwa wanalinda lango la gereza.
7 Ghafla, malaika wa Bwana akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha gereza. Malaika akamgusa ubavuni akamwamsha akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo iliyomfunga mikono ikakatika na kuanguka chini.
8 Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
9 Petro akamfuata nje lakini hakujua kama hayo yaliyofanywa na huyo malaika yalikuwa ya kweli; alidhani alikuwa anaota ndoto.
10 Walipita kituo cha kwanza cha ulinzi na cha pili, halafu wakafika kwenye mlango wa chuma wa kuingilia mjini. Huo mlango ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. Wakawa wanatembea katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha Petro peke yake.
11 Hapo ndipo Petro alipotambua yaliyotukia, akasema, “Sasa najua kwa hakika kwamba Bwana amemtuma malaika wake akaniokoa mikononi mwa Herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa Israeli waliyotazamia.”
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 2 200
@hamidarose9019
@hamidarose9019 Ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi , hakika wewe umetumwa na roho wa mungu , mungu aendelee kunipa kibali cha kuweza kukusikiliza , kwan moyo wangu umechoka sana , nipo ktk gereza lisiloelezeka , naomba msaada wako mtumishi , nazizidi kudidimia kiuchumi , kila nikifanyacho hakuna nachofanikiwa , mm ni wamagonjwa kila kukikucha , roho za kichawi zimenizonga kila sehemu ya maisha yangu , niokoe kwenye hili gereza 🙏🙏
@LatifaShabani-jl8ew
@LatifaShabani-jl8ew 8 күн бұрын
Najua nmechelewa kupata haya main ila nime niko kwenyechangamoto ya familia tangu changamoto ya chini mshikaji kabsa mtu wa kukushika mkononi nmebanwa kwenye kona kabisa
@LatifaShabani-jl8ew
@LatifaShabani-jl8ew 8 күн бұрын
Naomba uongee na mm kwa kina
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 Жыл бұрын
Sina chaguo Naamini umeomba Mengi kwa Ajili yangu kwaniliyokuwa nikiyapitia😭😢 maana Imani yangu Inaniambia Tayari Mungu Amemtuma Malaika wake kwa Ajili yangu Utunzwe na Bwana Yesu Mtumishi wa Mungu Na Ubarikiwe sana Na nitarudi kwaajili ya Ushuhuda kwaatakayoyatenda kwangu 🙏🙏🙏
@harrietmukhemba7680
@harrietmukhemba7680 Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
@renfridakomba7499
@renfridakomba7499 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, nipo ktk mahusiano ambayo sio sahihi ila nashindwa kutoka naomba niombee niweze kutoka
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
​​@@renfridakomba7499 Omba Toba kwa kuingia kwenye hayo mahusiano Halafu Anza kujitoa Kwa kutumia damu ya Yesu, FUTA Kwa damu ya Yesu km umeingizwa kwenye maagano yyt usiyoyajua Zaburi 51,Isaya 1:18......tubu Halafu Kiri ,sema nafutaa Kwa damu ya Yesu haya mahusiano
@leontinaaugustine4337
@leontinaaugustine4337 Жыл бұрын
Mtumishi naomba maombi Kwa ajili ya changamoto yandoa nimarayakwanza kutuma ombihili la ndoa nilikuwanikiomba nawewekupitia yutyubu naomba msaada Kwa hili
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu roho ya talaka iondoke kwa familia yetu niombee mtumishi wa Mungu
@user-oe1cg6tw7y
@user-oe1cg6tw7y 7 ай бұрын
Ni kweli mtumishi wangu unaloongea baba Mimi naitajtaji mtu aniombee kweli kanisa Asante Kwa roho mtakatifu amen
@ZakayoMaasai
@ZakayoMaasai 27 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumshi wa mungu kwakubari naneno ya mungu iyi ndoto nimeota mara nyingi sana laki tusidi tuombean maana bila mungu atuwezi chochote
@termankalendo1439
@termankalendo1439 Жыл бұрын
Nawapenda sana watumishi wamungu.munatutia moyo kila wakati God bless you always
@ElinuruKaaya-fz1vi
@ElinuruKaaya-fz1vi Ай бұрын
Asante nashukuru kwa maombi y jioni hii yameribiki sana ubarikiwe
@bitihaywajean3563
@bitihaywajean3563 Жыл бұрын
Amen mtu wa Mungu, kwa Imani yote yawezekana
@Mr.HassanHussen
@Mr.HassanHussen 3 ай бұрын
Mimi nataka Mungu anisaidie kuiokoa familia yangu ilio katika maisha magumu na vita vya waovu amina🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@liberathaaugustine472
@liberathaaugustine472 19 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nimejifunza mengi nawaombea watoto wangu uwafunike Kwa dam ya yesu naamini mungu ni mwema ktka maisha yangu bariki biashara zetu bwana yesu asante mungu.
@zedrickwanjaza5263
@zedrickwanjaza5263 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu akika umeiguza moyo wangu ni zedrick kutoka western Kenya
@kawirajoseph8910
@kawirajoseph8910 Жыл бұрын
Mimi ni mjane bwana amekufa juzi nafanya kazi Kwa nguvu dio watoto wangu wasilale badala nihinuke katika kibiasara ina zorota tuu niombee nitoke katika umaskini Amen
@AliceBarasa-ko9ul
@AliceBarasa-ko9ul 2 ай бұрын
Bwana asifiwe pst ni Alice mim mmoja ninaye pitia mambo mengi sana Sina ndoa usiku silali mchungaji naomba uniweke kwa maombi
@user-el8mg4pq2d
@user-el8mg4pq2d 11 күн бұрын
Nimekutana na neno hili leo nasikia kuinuliwa leo tena, asante sana mtumishi Mungu aendelee kukutunza, naomba maombi yako juu ya familia yangu hasa mama yangu na ndugu zangu hatuelewani kabisa mpaka mambo ya uchawi yanaingizwa. Rehema ya Mungu ionekane juu yetu,
@ShilwaMwampina
@ShilwaMwampina 11 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe asanteeeee Sana kwa ujumbe naomba iniombee Mingu aniondolee roho ya makufuru
@herielizakayonyari71
@herielizakayonyari71 Жыл бұрын
Amen .Amen nashukuru kwa Mungu anavyoktumia tunapata ufaammu wa nano la Mungu na maarifa na nguvu iliyomo ndani ya nani la Mungu 37:41 37:41
@mercychesang9749
@mercychesang9749 Жыл бұрын
Nakusia nikiwa Saudi Arabia nashukuru kwa mafunzo Yako umenifuza mengi mungu hakubariki sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-ff3dy3ox6v
@user-ff3dy3ox6v 6 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishiwa mungu naomba mungu anitoe kwenye gereza la madeni yananikosesha amani
@EmunguPaul
@EmunguPaul 7 күн бұрын
Nashukurukwaufariji muchungaji laneno mungu akuinueju Sana nikonakufata APA Congo mji wa tenke Jimbo la Katanga asante kwaneno
@mariabasso7466
@mariabasso7466 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniombee mambo yangu yamefungwa kila nitakachokifanya hakionekani,na natamani mungu anijalie mume wangu nifunge ndoa
@edithaabel7858
@edithaabel7858 10 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu hakika neno hili limeyagusa maisha yangu, nami nimepokea maombezi haya na asante sana Mungu akubariki na madhabahu hii idumu daima katika kutukomboa🤲🙏
@ntumbagiselle8285
@ntumbagiselle8285 3 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@user-nd3hy7ot4w
@user-nd3hy7ot4w 28 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe! Asante Kwa neno, naomba uniombee mtumishi niondokane na madeni najitahidi yaishe ndio yanaongezeka,mme wangu aache ulevi nimeomba sana na kufunga, pia nahitaji mtoto nimefunga na kuomba miaka zaidi ya 20 naliombea na kufunga nimebaki nashukuru Mungu tu naomba maombi.
@dativaoscar2723
@dativaoscar2723 Жыл бұрын
Ameen ameen ameen Ubarikiwe sana, Sina la kusema zaidi ya uweza wake Mungu 🙏🙏🙏🙏
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 10 ай бұрын
Nahitaji maombi mtumishi napitia magumu Ila naamini mwenyezi mungu
@elizabethwanjiru9543
@elizabethwanjiru9543 8 күн бұрын
Baba watoto wangu kwa ajiri ya kazi pastor unanibariki sama
@furahazero6559
@furahazero6559 Жыл бұрын
Acha Mungu anifungulie njia nyepesi nitoke hapa EE Mungu wayakobo Niko mbele Zako msalabani Na nyenyekea unitangulie unifinike Na damu ya mwanao yesu Christo Amen
@omegashuma6584
@omegashuma6584 Жыл бұрын
Nimimi mtumishi nipo chini sana kiuchumi nahotaji mtu anibebe kiroho
@victorwesamba2520
@victorwesamba2520 10 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢 Mungu nikumbuke na family yangu roho yavumasikini nimekataa roho ya ugovi Kwa mausianovyangu aut😢😢😢
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 10 ай бұрын
Mtumishi uliyoyaongea yote haya ndio ninayopitia mimi, naamini kupitia maombi haya MUNGU atafanya jambo jipya kwenye maisha yangu 😭😭😭😭😭😭😭 naweza kuwa na furaha siku 2 mwezi nalia Mungu nisaidie
@user-lk9kn4ny4j
@user-lk9kn4ny4j 9 ай бұрын
Amen mtu wa Mungu naamini wewe ni Malaika aliyetumwa kwangu maana mimi na ndugu zangu tunapita ktk magonjwa na maisha magumu mno lkn kupitia madhabahu hii naamini Mungu atatufungua . Amen🙏🏿
@muhondomusabuli1590
@muhondomusabuli1590 Ай бұрын
Amen amen mtumishi wamungu bwana asifiwe sana asante❤.
@SusanAshle-zj8do
@SusanAshle-zj8do Жыл бұрын
Hallelujah... I receive in the name of Jesus Christ...God bless you 🙏🙏
@aminamfikwa2121
@aminamfikwa2121 Жыл бұрын
Kuumwa kwa mtoto kila wakati hasa kifua
@aminamfikwa2121
@aminamfikwa2121 Жыл бұрын
Naombea na mtoto mwingine hasikii kila unalo mwambia
@angellokibassa4850
@angellokibassa4850 7 ай бұрын
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 10 ай бұрын
Thank you Lord
@RodahShimela
@RodahShimela 4 күн бұрын
Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu,nimekuwa nikiomba kwa ajili ya magojwa ambayo ya aniandama lalini sijapata Msaada .Naomba uniombee mtumishi wa Mungu
@JoanNekesa-ox8it
@JoanNekesa-ox8it 2 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu niombee katika Maisha yangu ya ndoa kupanda mtoto
@rodahshikhaya8628
@rodahshikhaya8628 Жыл бұрын
Ndoa familia imesambaratika kabisa, naitaji mtu wa kusimama na mimi kwa jina la yesu amen. Rodah from Kenya.
@FaustaShirima
@FaustaShirima 11 ай бұрын
Mungu ndio kimbilio nanguvu rodah nami nautwa fausta shirima kutoka Arusha Tanzania nitakua naww katika maomb Mungu atarejesha furaha yako na Aman yako itarejea
@rodahshikhaya8628
@rodahshikhaya8628 11 ай бұрын
@@FaustaShirima Amen
@stevelebanon8231
@stevelebanon8231 Жыл бұрын
Kweli kabisaa ninahitaji mtu wakunisaindia kwa maombi 😢..kwa ajiri ya doa yangu 😢🙏
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 24 күн бұрын
Mungu naomba unitete kwa kira hari ninayo ipitia kwa jina la yesu kristo amen
@Aminafatuma-wb6th
@Aminafatuma-wb6th 17 күн бұрын
Asante mtumishi kwaneno nzuri ninahitaji msahadaa was maombi.
@aksamsemwa5302
@aksamsemwa5302 Жыл бұрын
Ameeen napokea uchumi mzuri, elimu, watoto, afya njema, kwa jina la Yesu
@lilianmagava6854
@lilianmagava6854 Жыл бұрын
Mungu anitoe kwenye magumu ninayopitia
@zawadsimon7940
@zawadsimon7940 Жыл бұрын
Eemungu nakuomb uniepushe n watu wabay kwenyefamiliy yang amina
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 11 ай бұрын
Ni kweli kabisa nahitaji mtu atakayenisaidia juu ya Afya yangu na afya za familia yangu
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 11 ай бұрын
Natamani Mungu anitie kwenye gereza la magonjwa mm pamoja na familia yangu
@ElizabethSimon-uu7wh
@ElizabethSimon-uu7wh 13 күн бұрын
Mtumish wa mungu unafundish ile kweli ya mungu ni kweli tunapoteza muda ,miez, miaka kwa kuomba vibaya mpaka tunakata tamaa ya kuomba Tena Asante mungu kwa kukutumia ww kutufundisha jinsi ya kuomba vizuri na bila kupoteza miez mwaka na muda
@user-tm6st9qh2l
@user-tm6st9qh2l 5 күн бұрын
Nilisimamishwa job bila sababu naitaji mungu anisaidie Asante ndungu.
@mbusuromwita4724
@mbusuromwita4724 Жыл бұрын
Amen naomba Mungu anitoe kwenye gereza la magonnjwa yote ktka mwili wangu na familia yetu na ukoo wetu ,gereza la madeni yasiyoisha , ,naamini Maombi haya yatafungua Kila kitu
@josykogei7647
@josykogei7647 Жыл бұрын
Natamani kufunguliwa nielewe neno la mungu pia kupokea uponyaji
@evelinamnyawami3751
@evelinamnyawami3751 19 күн бұрын
Naomba mtumishi umwombee Kaka yangu Fanuel ana utajiri wa mdomoni,kwa kuwa ajua Sana kutoka mawazo yanayovusha wengine lakini yenye kabaki vikevile,ninatumia Sana kwa kuwa kwenye familia ndiye mkubwa,hakuna achofanya ni kazi ya kuzungukazunguka kwa marafiki.Kwa kweli inaniuma Sana,Nina imani Mungu atamfungua kwenye hicho kifungo,katika jina la YESU na kwa damu ya YESU.
@agnesjoseph2671
@agnesjoseph2671 Ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu! Nimebarikiwa na maombi yako yamenigusa kwakweli naitaji mtu!
@dafrozasimwanza700
@dafrozasimwanza700 Жыл бұрын
Amen mungu akuinuwe sana mtumishi wa mungu
@kisandosamy4924
@kisandosamy4924 11 ай бұрын
Ule ni mimi lutumishi ninaitaji
@lindanyakile2345
@lindanyakile2345 11 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu nahitaji mtu wa kunibeba ktk MAOMBI maana nakufa na tai shingoni sababu ya uvimbe shingoni ktk mshipa wa damu zaidi ya miaka 12 sasa na pia nimezurumiwa haki zangu zote Kwny ndoa ya miaka 25
@adelasumaili8149
@adelasumaili8149 Жыл бұрын
Namimi naitaji msahada wamaombi kwashida ninazo pitiya katika maisha yangu mimi nilikuwa napenda sana kusoma neno la mungu naku funga siku moja moja nakuhenda ibadani kila ifikapo Sunday lakini kwasasa Sina hamu tena yaku soma neno lamungu nakwenda ibadani amu imenitoka kabisa lakini namshukuru mungu sana kwaku kuleta wewe mtu mishi wake ambaye maombi yako inayo patiya watu nguvu zakusimama imara bila kukata tamaha naamini iposiku kwaimani yangu nita funguliwa milango Asante sana na mungu aku bariki Amina 🙏🙏🙏🙌🙌
@lwambamiriam586
@lwambamiriam586 Жыл бұрын
Mimi ni maman miriamu Niko apa kongo naitaji maombi maisha yangu ikokatika jifungo jyagiza Mimi pamoja namume wangu
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Amen amen
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
Hatamm nahitaji MTU wakunibeba n mefungu sana
@adnesadnes8268
@adnesadnes8268 Жыл бұрын
N mm Mtumishi niko Lebanon napitia changamoto sana nilikuja mwezi wakumi namoja lakini bass aliye nitoa kenya akanirejesha kwa office nimekua napitia shida mm nahitaji kurudi kenya plz nmeomba sana hatanakosa chakuomba tena nahitaj msada nrudi kenya sina msada wowote naomba
@blandinathomas4519
@blandinathomas4519 Жыл бұрын
Najua Mungu kupitia mtumishi wako, utafungua vifungo vyote katk maisha ya familia yangu na biashara yangu itakuwa kiuchumi
@eldakayingi8330
@eldakayingi8330 2 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe mchungaji, hakika nahitaji mtu wa kusimama na mm kwenye maombi
@kijangajhoan645
@kijangajhoan645 10 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,, nimebarikiwq na ujumbe,, ukweli nami nahitaji msaada wa mtu wa kusimama nami ktk maombi,, nae ni wewe uliekubali kusimama,, Nahitaji maombi juu ya afya yangu na kiuchumi maana mambo yangu yamefungwa sioni upenyo
@ziadabakari642
@ziadabakari642 8 ай бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe Mimi naomba kusaidiwa ktk maombi ,maradhi mwilinimwangu na kwa watotowangu hayaishi ,sipatikazi, maisha ya uchumi magumu, mtihani ktk ndoayangu haiishi,nilishapoteza mtoto mmoja na mpakaleo sijapata naumwa tu maradhi mengi .watu wanatuchukia bila sababu naumiasana mtumishi naomba msaada.
@martherteresa8108
@martherteresa8108 Жыл бұрын
Ningependa mungu aniondolee gereza la kupendana na wanaume wa wenyewe ,anipariki na ndoa yangu mwenyewe ,anibariki na kifedha 😢🤲🙏
@agnessmapolu5003
@agnessmapolu5003 Жыл бұрын
Mngu nitoe kwenye gereza lá umaskini namagonjwa ya mapepo
@marymaria6544
@marymaria6544 Жыл бұрын
Amen
@user-dq5kw4tk5n
@user-dq5kw4tk5n 10 ай бұрын
Pastor ubarikiwe sana wewe MUNGU amekutumia kusaidia maisha yangu na maisha ya wengine asante sana
@julianamasanja9434
@julianamasanja9434 Ай бұрын
Na mm naomba uniombee pastor
@user-iv5ec5gj1v
@user-iv5ec5gj1v 2 ай бұрын
Asante sana mchungaji , nashindwa hata niandike nini mimi magumu kila kukicha yananiandama mimi
@user-bm5gs7ek7n
@user-bm5gs7ek7n 8 ай бұрын
Mungu anitoe kwenye gereza la madeni umaskini ndoa na mume wangu atolewe kwenye gereza ulevi uzinzi umaskini kutokufanikiwa na kumtoa kwenye ggereza la uchawi
@celinaduka3346
@celinaduka3346 Жыл бұрын
Naomba msaada wa Mungu anitoe katika gereza ya Magonjwa, Madhabahu ya kutofanikiwa ,kukosa Amani katika maisha yangu Mungu afungue familia yangu katika mateso.. Amen
@matildakilufi7739
@matildakilufi7739 Жыл бұрын
Amina 🙏🏽 Naomba Mungu aniondolee roho ya mauti kwenye familia yangu, magonjwa ya kufanana ya akili yaliyofatilia watoto wangu waliotangulia mbele za haki, yasiendelee kwenye vizazi vijavyo vya uzao wa tumbo langu Nahitaji mtu wa kusimama na mimi kwenye maombi. Mungu akubariki sana Mtumishi 🙏🏽
@espesifa5661
@espesifa5661 Жыл бұрын
Amina mimi na zarauliwa saaanaaa na mme wangu kwajili ya wamalaya mpaka hameniacha mimi na watoto na hameenda kuhishi nao bali ni mengi saaaaaaaanaaaa
@akhanntahena2544
@akhanntahena2544 Жыл бұрын
'
@benardnzale6025
@benardnzale6025 Жыл бұрын
Being from Kenya,I am always inspired by the preaching of Innocent Mashauri.Mungu akubariki sana
@millieholmst6628
@millieholmst6628 Жыл бұрын
Kenya🇰🇪
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 Жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU. Nahitaji mtumishi wa kuniombea mm napitia changamoto ya kila ninachofanya hela siioni nazidi kushuka madeni yameandamana nami
@user-mq9fr3st5w
@user-mq9fr3st5w 11 ай бұрын
Gereza la.kesi za kusingiziwa na kuchukuliwa mshamba yangu na viwanja vyangu viludishwe
@user-mq9fr3st5w
@user-mq9fr3st5w 11 ай бұрын
Maombi wazazi wangu wapone na watembee waongee kwa jina la yesu
@user-qt7py1yy4p
@user-qt7py1yy4p 8 ай бұрын
Mtumishi naomba Mungu atutoe familiar yetu kwenye liana magomvi na umasikini
@AnjelaKavishe
@AnjelaKavishe 10 күн бұрын
Asante mtumishi kwa maombi yako yamenijenga
@GressGress-fd9xl
@GressGress-fd9xl 16 күн бұрын
Bwanayesu asifiwe mtumishi wa mungu naomba uniombee nimekuwa mtu wakuumizwa kila mausian nikifikia ndowa panatokea vurugu naitaji furah ya kutuliya na maisha mazuri nilee watoto wangu na kila nikifanyacho nifanikiwe katika kazi yangu nisaidiy mtumishi nimechoka na maisha
@miriamisaya3878
@miriamisaya3878 Жыл бұрын
AMEEEN AMEEEN AMEEEN 🙏🏼
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Жыл бұрын
Shalom Mtumishi Ni kweli kabisa Mimi na Watoto wangu tunamuhitaji MUNGU maana Mimi Ni Mama Mimi na Watoto wangu tuna matatizo makubwa Ni kweli tunahitaji Maombi ya nguvu
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Жыл бұрын
Tunapitia magumu Nina Mtoto wangu yupo Ujermani na ndio Msaidizi wa hatma yangu kafukuzwa kazi haya na mdogo wake kaolewa Mume wake pia kafukuzwa kazi wote Hawa wanawatoto nahuyu mdogo wake alikua amefungu Saloon lakini Wateja hakuna haya na mdogo wao wa mwisho nae pia Hana kazi inayoeleweka Mimi Mama sasa Niko njia panda kote naona Giza Mtumishi Naomba msaada wa Maombi
@deborahkelvin4528
@deborahkelvin4528 Жыл бұрын
Namshukuru Sana MUNGU Kwa Maombi haya Roho Mt ameyaleta kwaajili yangu na familia yangu Asante Roho wa MUNGU
@hildakahaso849
@hildakahaso849 Жыл бұрын
Naomba kufunguliwa katika pingu na minyororo pamoja na watoto wangu na mume wangu na jamii yangu yoote madhabahu ya ukoo kuteseka katika masomo yao naomba Mungu atukumbuke ameen
@hildakahaso849
@hildakahaso849 Жыл бұрын
Gereza ya mashetani magonjwa umaskini,madeni,ndoa uzinzi naomba kufunguliwa,masomo ya watoto wangu,huduma ya mtoto wangu
@termankalendo1439
@termankalendo1439 Жыл бұрын
Amen let the will of God be done in jesus name
@user-li2ux2zn3g
@user-li2ux2zn3g 12 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe.nahitaji maombi yko mtumishi wa Mungu Maisha yg ni magumu.
@zenyangonea
@zenyangonea Ай бұрын
Mungu naomba uokowe ndoa yangu na watoto wangu mungu wewe ndio unaye nijua vemaa nikuhitaj😢😢
@emohsteve2186
@emohsteve2186 Жыл бұрын
AMEN 🙏🙏
@rehemakiteu
@rehemakiteu Жыл бұрын
Naomba Mungu aguse maisha yangu
@evalynependo3824
@evalynependo3824 Жыл бұрын
Amen and hallelujah Hallelujah Hallelujah
@maggiemlawa1562
@maggiemlawa1562 11 ай бұрын
Haleluya nmeponywa nafsi na kweli namhitaji MUNGU nimezunguka sana ktk mambo mengi bila kupata upenyo🙌🙌
@FatumaKashindi
@FatumaKashindi 9 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe sana nahitaji maombi sana juhu ya dowa yangu mimi niko marekani nimemuhacha mume wangu Tanzania nateseka sana nahitaji msahada wamaombi 🧎‍♀️👏👏
@FatumaKashindi
@FatumaKashindi 9 күн бұрын
Nahitaji msahada wamaombi yenu
@ElizabethBahaati
@ElizabethBahaati Ай бұрын
Natamani mungu anibariki na mtoto ju nilikuwa nikilala Kuna nyoka huwa yuwaja na mkono wa kulia kumbe huwa anatumwa akule mayayi wa watoto wangu asante paster Nene lako limenigusa nimepàtà imani🙏🙏
@DorkasiTimotheo
@DorkasiTimotheo 4 күн бұрын
Niombee mtumishi wa Mungu nahitaji ni Mjue sana huyu Mungu na uwepo wake ukae ndani yangu
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 10 ай бұрын
Ameeeeeeeeen
@peninahchizi3629
@peninahchizi3629 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu yote unayo yasema tunayapitia kwenye family yetu
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 Жыл бұрын
Bwana YESU kristo asifiwe. Naomba maombi yako kwaaji ya uchumi wangu yaani mtaji wangu umeishia huku ninamadeni mengi naomba mwenyezi MUNGU anisaidie na kunivusha kwenye hili.
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 Жыл бұрын
Naitwa ZAWADI BETUEL KIMARO nipo dar manispaa ya kinondini kata ya kawe.
@kentkizzy
@kentkizzy 9 ай бұрын
mm naitwa latifa ninayopitia nmengi naomba mungu anisaidie kila unacho kiongea kinaniusu mm baba niombee
@MussashilindeLichard
@MussashilindeLichard 26 күн бұрын
Amin tunashukur mtumishi wa mung kwa neno hill mungu atusaidie amen mungu atufungulie milango ya amina
@liberathaaugustine472
@liberathaaugustine472 19 күн бұрын
Asante mtumish wa mungu unipe nguvu ya kukutambua wewe mungu wangu ukani itie ñguvu ukatuponye na magonjwa yote.ktk familia yangu nakuomba bwana yesu ukatupe afya njema na familia yangu.
@JoyceMajeno
@JoyceMajeno 25 күн бұрын
Amen mtumish WA mungu ninaomba mungu anitoe kwenye chamangamoto hizi nnazipitia
@user-oe1cg6tw7y
@user-oe1cg6tw7y 7 ай бұрын
Natamani kweli mungu atutoe kwenye laana ya familia gereza la umasikini naomba ndoa yangu ilindwe na mungu pia watoto walindwe na mungu na kuwapa hatima Yao shetani ashindwe ktk jina la yesu AMENI
@NaomyDaudi
@NaomyDaudi 4 ай бұрын
ameen mtumishi nashukuru kwa mafunzo yako barikiwe san baba ,naomba uniombee niweze kuwa na ujasiri wakati wa kuomba maana kila nikiomba najawa na wasiwasi pleaz mtu wa mungu nahitaji maombi yako pia sometime nashindwa kusoma biblia nikichukua bliblia nafunua then najikuta nimesinzia naomb mtumishi uniombee
@Christina-dz7ff
@Christina-dz7ff 13 күн бұрын
Aminaa 🙏🙏 mungu akubariki mtumishi wa mungu
@NaraiThomas
@NaraiThomas 3 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniombee kwa ajili ya roho madeni nikimaliza hili nakopa hili, moyo umechoka niombe initoke hii roho ya tamaa ya madeni
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c Ай бұрын
Amina kwa damu ya Yesu Kristo
@JohnCharles4252-wc3lv
@JohnCharles4252-wc3lv 7 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubaliki mtumishi wa mungu Kwa mafundisho yako yakujenga kiroho,kimwili pia na Mimi naomba unisaidie kuniombea maisha uchumi nichangamoto kwenye familia yetu na wazazi wangu wamtumikie mungu na mdogo wangu wamtegemee bwana mungu wao.naitwa John Charles nimeokoka nampenda yesu kama bwana wangu na mkozi wa maisha yangu.
@gfcgghh9138
@gfcgghh9138 Ай бұрын
Amen amen, barikiwa zaidi ❤❤❤
@user-qc1bk5zn8w
@user-qc1bk5zn8w 10 ай бұрын
Naitaji maombi kwako innocent biashara yangu inayumba Sana
@minzaharuni2820
@minzaharuni2820 5 ай бұрын
Amina napokea uponyajinkwa jina la yesu
@EstherKatungu-cp8fm
@EstherKatungu-cp8fm Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu nahitaji uniombee. Ndoto zangu zinapotea kabisa na kuoniombea nguvu za maombi. Mungu aniwezeshe kuishi maisha matakatifu
@lutegemahano817
@lutegemahano817 Ай бұрын
Nimeomba sana mtumishi wa Mungu kuhusu uchumi wangu sioni jibu
@MildredKeya
@MildredKeya 9 күн бұрын
Mtumishi wa mungu bwana yesu asifiwe mm naomba unibebe kwa maombi nimefanyia watu kazi za nyumba kwa miaka mitatu sijawai kuendelea kwa hizo pesa zenye wananipea maisha yangu imekuwa magumu sana watoto wangu wanatedeka sana mtoto wangu mdogo amesumbiliwa na magonjwa kwa miaka sita nimejaribu maombi kwa makanisa nimeshindwa SS nimeamua ww ndo utanishindia kupitia kwa maombi yako
@user-cz1lo7im4p
@user-cz1lo7im4p 2 ай бұрын
Amin Mungu niondolee shida yenye napitiya
@lilianmoshi2245
@lilianmoshi2245 4 ай бұрын
Amina nikatoke kwenye hivyo vifungo kwa kina la YESU
@everlynemabialo
@everlynemabialo 14 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mutumishi wa mungu mimi naomba kusaitiwa kwavita via makanisa
@EVALISTERABEDNEGOITUNDA
@EVALISTERABEDNEGOITUNDA 17 күн бұрын
Amina Amina Mungu ni mwaninifu
@aminambuligu4571
@aminambuligu4571 Ай бұрын
Ameeeen,Neno limenigusa kabisa,Nahitaji kushikwa mkono kabisa.
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 3 ай бұрын
Haya maombi yameyagusa maisha yangu mtume mme wangu anaumwa sana hata mimi naumwa naitaji musada wamungu kupitia wew mtumishi wake naamin tutapona amee
@LynetWatson-fj7in
@LynetWatson-fj7in 2 ай бұрын
Amen amen napokea msimu mpya
@norahogero8217
@norahogero8217 Ай бұрын
Mtumishi was Mungu kwa kweli umenibariki sana Naomba Sana unibebe kwa maombi Mimi ni mgonjwa miguu inaniuma Sana siwezi kutembea naumwa
@FistonWilly
@FistonWilly 6 ай бұрын
Ahksante pastor innocent M. Kuhusu Maombi haya Yamato gusiya Changamto nimekwisha pitia Yesu christo Akuongezeye Nguvu Uendeleye kutusaidiya Kwa kutu kwamuwa ktk Maombi haya Kwa wakati mwingine,Amina
@user-zg3mv9dg6w
@user-zg3mv9dg6w Ай бұрын
Mimi niko hapa jwa hiyo massage mangu niobe sana mti yayeyuke in Jesus might name Amen
@ZaifathAhmadnapokea
@ZaifathAhmadnapokea Ай бұрын
Mtumishi wa mungu niombee kuusu afya yangu, niombee mwana wa mungu, nimepofuka jicho Moja lakulia kwa ajiri ya situroko ya kichwa .
@mercyndunge7119
@mercyndunge7119 3 ай бұрын
Amen nashuku kwa uu unjumbe naomba msaada wa maombi ya mbiashara yangu
@LucyMakini
@LucyMakini 3 күн бұрын
Amina
@JaphetyJaphetyshemhilu
@JaphetyJaphetyshemhilu 18 күн бұрын
Mimi naomba mungu anivushe katika mapito magumu naaniokoe na pepo la pombe na kamari mtumishi niombee kweli Kila nikipata hela sifanyii kazi yeyote mungu aniokoe kabisaa
@SesiliaNyakunga
@SesiliaNyakunga Ай бұрын
Amina as mtumish wa bwana
@alicembonde202
@alicembonde202 18 күн бұрын
Shallom mutumishi wangu ....mimi maishanyangu nikama hayo ya petro naomaba mbaombi yako Mungu anifungue in jesus name
@MmMm-tt1wi
@MmMm-tt1wi 4 ай бұрын
nataka msaada ktk maombi🙏🙏🙏
@MicalSemu
@MicalSemu 3 ай бұрын
Mtimishi wa mungu Asante kwa neno la Leo,naomba Leo ninapoenda kutafuta kazi nipate kazi mzuri na ya kudumu napata kazi nasikia ninapoanza kujijenga TU hapo ndio gafla magonjwa visirani vinatokea naninafutwa kazi naomba uniombee.
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 3 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sanaaaana
@user-kl9cz3tr3b
@user-kl9cz3tr3b 8 ай бұрын
Namuitaji mtu mtumishi ni mm Debora niomba Sana mda mrefu sijafanikiwa kwenye shida yngu ya ndoa mwenzangu amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hajulikani,hasikiki ni miaka kumi nanane sasa niombee mtumishi ni mtanzania Niko Kenya kwaajili ya kumtafutia maisha mume wngu wa ndoa kabisa .
@velmah_96
@velmah_96 8 ай бұрын
Mungu asikie kilio cha moyo wako.Nitakukumbuka kwa sala zangu
@dazboy-sl7cm
@dazboy-sl7cm 15 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 21 М.
LIVE: MAOMBI YALIYOBEBA MAJIBU YETU // KUFUNGUA MBINGU
54:15
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 10 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 121 МЛН
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 75 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 1,3 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 27 МЛН
Jinsi MADHABAHU inavyotenda kazi katika maisha yako || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/06/2024
3:05:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 18 М.
Cose Incredibili che Accadono quando lo Spirito Santo Entra in te
21:40
Gesù nella Mia Vita
Рет қаралды 59 М.
MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa
6:06
Maombi Ya Asubuhi
Рет қаралды 485 М.
HATUA MUHIMU ZA KUKUSAIDIA KUKUA KIROHO
17:37
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 6 М.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 172 М.
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2023
43:05
NYIMBO ZA KUABUDU
Рет қаралды 1,6 МЛН
Dormi nella bontà di Dio: Preghiere della buonanotte dai salmi per aiutarti a dormire bene
2:19:49
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 42 М.
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 121 МЛН