LIVE MAKAMU WA RAIS AKIKABIDHI MAGARI KWA WAKUU WA WILAYA TANO ZA MKOA WA KIGOMA.

  Рет қаралды 5,249

SMILE MEDIA

SMILE MEDIA

18 күн бұрын

MAKAMU WA RAIS DR.PHILIP MPANGO AMEKABIDHI MAGARI MATANO KWA WAKUU WA WILAYA ZA KIBONDO,KASULU,KIGOMA,KAKONKO NA UVINZA.
DR,MPANGO AMEWATAKA WAKUU WA WILAYA KUTUMIA MAGARI HAYO ILI KUWAFIKIA WANANCHI MBALI MBALI KATIKA NA KUTATUA KERO KWA WAKATI.
ZOEZI HILO LIMEFANYIKA IKULU NDOGO YA KIGOMA. #live #viral #habarimpya #kitengetv #ikulumawasiliano #diamondplatnumz #breakingnews #quotes #simbasc #sisi

Пікірлер: 6
@KonakuzeKilishahu
@KonakuzeKilishahu 15 күн бұрын
Wooow hongera sana Kigoma
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 14 күн бұрын
Yaani hayo magari ni yanini Sasa,zaid ya ufisadi tu
@marickmtz4861
@marickmtz4861 16 күн бұрын
Yeyey huyu huwa ni kigoma2 ndo anafanyaga kazi
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 16 күн бұрын
Acha wivu😅😅😅😅😅😅
@marickmtz4861
@marickmtz4861 16 күн бұрын
@@audaxbizimana8084 sio wivu wewe fatilia kwaumakini utaona .mm nimefanya uchunguzi kwa umakini wa hali ya juuu
@Boaz-Gwanko
@Boaz-Gwanko 14 күн бұрын
Wivu wa nini sasa tulieni😂😂😂😂
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 116 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 4,9 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 580 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32