LIVE: MAOMBI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU // ASUBUHI YAKO YAJA

  Рет қаралды 22,222

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

10 ай бұрын

Zab 56:3
Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe;
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 350
@gracehose8840
@gracehose8840 9 ай бұрын
Naomba Baba unikumbuke na familia yangu usinipite Yesu kristo
@jescamongi3583
@jescamongi3583 8 ай бұрын
Mungu wajua kuketi na kuondoka kwangu tena umelifaham wazo langu toka mwanzo🙏🏽🙏🏽🙏🏽 hakuna mwingine zaidi yako. Hakuna wa kulingana nawe🙏🏽🙏🏽 Matendo yako kwangu ya ajabu sana. Amen
@lovikimaro4925
@lovikimaro4925 2 ай бұрын
Ameen mtumishi asb yangu inakuja
@user-oe1gq7gq6c
@user-oe1gq7gq6c 4 ай бұрын
Mimi nitasimama katika zamu yangu kwa uwezo wa Mungu katika jina la Yesu nipate kujjibiwa haja ya moyo wangu
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 Ай бұрын
Eeeh Bwana tafadhali naomba uyakumbuke maombi yangu na unikumbuke mimi na familia yetu katika jina la Yesu Amen
@RamadhanMkao
@RamadhanMkao 9 ай бұрын
Najiuganisha na madhabahu ya bwana mungu nikubuke kwa uzao wangu nakataa magojwa nakataa roho ya mauti kwa watoto wangu kwa kazi yangu kwa masomo ya watoto wangu mungu wakubuke katika jina la yesu kristo amen
@user-oe1gq7gq6c
@user-oe1gq7gq6c 4 ай бұрын
Napokea kufunguliwa mimi na familia yangu na kupata ulinzi wa Mungu katika jina la Yesu
@janelucas9616
@janelucas9616 8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu naomba unisaidie nivuke hapa nione asubuhi yangu
@WinnyMmbaga
@WinnyMmbaga 2 сағат бұрын
Najifungamanisha na maombihaya eemungu ukayasikie maombiyangu nisaidie mungu
@user-lf7tz4rz1x
@user-lf7tz4rz1x 8 ай бұрын
🎉amen kwa jina lako Mungu napokea asubui yaja napokea Amani ,Baraka,Upendo asubui ikawe ya tofauti akika wewe ni Mungu muweza wa vyote peke ako wa stahili Matendo yako ni ya ajabu❤ Futa machozi yangu 😢 akuna mwingine wewe Mungu wa wastahili nijibu aja ya moyo wangu Mungu wangu
@ProsperNgabirano-pn2xy
@ProsperNgabirano-pn2xy 9 ай бұрын
Amina na mim naomba Mungu anapo gusa wengini aniguse anijibu maombi yangu Amina
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 4 ай бұрын
Najiunganisha nami kwenye maombi haya kufunguliwa familia yangu uchumi wangu watoto wangu
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 8 ай бұрын
MUNGU. Najiunganisha Mimi Na Mamaangu Monica Bibi yangu baba naomba ukanene juu yao ukapite Kwenye Miyoyo yao uwaponye baba ugojwa unao wasumbua. Nijibu na Mimi ombi langu baba naomba mwanaume sahihi kwenye Maisha yangu baba😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gracehose8840
@gracehose8840 9 ай бұрын
Asante Mungu Kwa siku hii ya 27 ni Kwa Neema tuu Asante Yesu
@faridadauda3227
@faridadauda3227 9 ай бұрын
Amen, sitabaki kama nilivyo bali nitavushwa na kuketishwa pamoja na wakuu. Asubuhi yangu yaja, tena haitakawia, no matter what, Ninavukaaa, Amen
@maernov4257
@maernov4257 9 ай бұрын
Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 Ай бұрын
Asubuhi hii iwe ya mafanikiwe kiuchumi komboa faamilia yangu amina
@homeandaway2811
@homeandaway2811 9 ай бұрын
Asante sana Mungu kwa imani na uvumilivu, najua asubuhi yangu inakuja, Amen
@AgnessMafuwe
@AgnessMafuwe 2 ай бұрын
Bwana naombq unifungue kimwili na kiroho,ufungue familia yang ,ndoto zang, kwa jina la Yesu kristo amina
@maahorichirizah2981
@maahorichirizah2981 8 ай бұрын
My morning is coming 🙌 Amen Amen Umri umeenda lakini Mungu tu Ndie anapeana baraka Thank you God 😊 🙏
@rehemasumuley-yv3wh
@rehemasumuley-yv3wh 6 ай бұрын
Kwa Mungu hakuna umri mkubwa mkumbuke Ibrahim na sara
@annafimbo5917
@annafimbo5917 9 ай бұрын
Asante Mungu kwa siku hii yaleo kunijalia uzima na afya mimi ja familia yangu
@gloriabayeka423
@gloriabayeka423 7 ай бұрын
Najiunganisha na ibada hii mafundisho na maombi asubuhi hii ya Leo, nikabarikiwe ma Mungu akanitoe katika magumu ninayoyapitia na madeni niliyonayo, na changamoto nyingi ninazozipitia na watoto wangu. Kuna changamoto zinajirudia nashindwa kupiga hatua, naomba mungu akanione asubuhi ya Leo na kuniondolea magumu ninayopitia, nakataa magonjwa na mauti zote katika maisha yangu na watoto wangu, Amen
@user-mg3yl1vw4o
@user-mg3yl1vw4o Ай бұрын
Amen wewe Ni mungu mweza yote baba rejesha vyote adui alibeba.najiunganisha na madhabahu haya amen
@consolataanyambilile-mr5ph
@consolataanyambilile-mr5ph 8 ай бұрын
Najiunganisha na maombi pamoja na mafundisho haya Mungu unikumbumbuke maombi yangu ili cku yangu iwe kama nilivyoiombea, Asante Mungu
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
nakufata vizurisana bwana yesu akulinde kwenye mazabahu ili upate kutupatiya neno lakutujenga ili tupate kubadirika katika maisha yetu
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 Ай бұрын
Mungu ninajiunganisha na maombi haya nikafunguliwe mimina familia yangu amina pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi
@johnnyika9949
@johnnyika9949 2 ай бұрын
Nimeguswa sana na masomo Yako naomba mungu anisaidie katika mahali nilipo
@marymueni7891
@marymueni7891 9 ай бұрын
Najiunganisha na madhabahu .Damu ya Yesu ikanene juu ya watoto wangu,ndoa yangu na familia yangu.Naunganisha mtoto wa kwanza Evans ambaye ameingilia ulevi na madhabahu. damu ya Yesu ikamnenee
@SolomonTweve
@SolomonTweve 5 ай бұрын
mungu nataka niaze na wew kila unaponipa pumzi lako oh bwana tends ajambo baba
@HappyjosephMapunda
@HappyjosephMapunda 6 ай бұрын
Ameeni najiungamisha na maombi haya ya asubuhi naomba mungu ukanitowe katika vita yesu ukanipitishe kwenye magumu katika jina layesu
@jadymshary2035
@jadymshary2035 9 ай бұрын
Baba Mungu nyoosha mkono wako unifute machozi ,nakuombaaaaà
@doreenjane3215
@doreenjane3215 9 ай бұрын
Naomba kuwa pamonja namungu nisiondoke Kwake,naakuwe pamonja nami mungu nisaindie
@user-cz1lo7im4p
@user-cz1lo7im4p 3 ай бұрын
Amen Mungu usinipite namie uniguse kupitia mazabao hii nione muujiza baba yangu
@AlexMollel-nf7ct
@AlexMollel-nf7ct 7 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mutumishi wamungu naomba uniombee nafika mailing nakatatamaa sijuu kwanini nakatama
@nchimbilusda7259
@nchimbilusda7259 7 ай бұрын
Najiungamanisha na Madhabahu hii, Ee Mungu ukayajue Maombi yangu yapokee na kuniponya , namkaribisha uwepo wa Roho Mtakatifu mahali hapa ,
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 8 ай бұрын
Pokea. Maombiii yangu baba. Umrii unaenda. Baba. Nahitaji kuwa na family. Kuwa. Na Mwenza wangu. Tuzae watoto 🙏🙏🙏
@lucygichuru7214
@lucygichuru7214 8 ай бұрын
Aijalishi nayapitia mangapi namini asubui yangu yaja eeh mungu usinipiti natembea na hi neno asubui yaja Amen😭😭🙏
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri Ай бұрын
Najiunganish na madhabahu hi maombi yangu yakakumbukwe na hasubuhi yangu ifike kwa jina la yesu kristo
@catherinemagori595
@catherinemagori595 4 ай бұрын
Cku ya Leo ikawe ya baraka na mafanikio katika maisha yangu.muujiza mkubwa unitokee Leo hii katika jina la yesu
@julietwambua9890
@julietwambua9890 7 ай бұрын
Ombea mzee wangu abadilike akue mkristo kamili
@eveabasi2469
@eveabasi2469 9 ай бұрын
EE mungu wangu inua Imani yangu nikujue zaidi, niondolee aibu na fedhea iliyoko mbele yangu
@hobokelamwansisya1615
@hobokelamwansisya1615 9 ай бұрын
Amen hakika nmepokea Kwa damu ya Yesu asubuhi yangu inakuja hakika najiungamanisha na hii madhabahu usiku huu amen 🙏🙏🙏
@renaldamchaki3306
@renaldamchaki3306 6 ай бұрын
Najiungamanisha Mungu na maombi niwezeshe kuzishinda dhambi.
@mayranehemia9469
@mayranehemia9469 9 ай бұрын
Hakika hufananishwi na chochote BWANA. 🙋🙋🙋🙋Utabaki kuwa Mungu Maishani Mwangu. 🙌🙌🙌.
@FausterLawrence
@FausterLawrence Ай бұрын
Naomba tumwombee mwanangu uponyaji anaenda hospitali leo kutibiwa BWANA YESU AMPONYE
@ramadhanimziba2037
@ramadhanimziba2037 9 ай бұрын
Hooo! Mtumishi wa MUNGU wa Mazabao ya SIRI ZA BIBLIA Mungu akubariki sana uishi maisha marefu ili uendelee na kaz yai kutupa vitu vinavyo gusa maisha YETU
@user-wk1rn6oe6m
@user-wk1rn6oe6m 9 ай бұрын
Najiunganisha na mathabau ya mungu mimi na watoto wangu wote mungu tusaidie pamoja na kakangu
@RachelMallya-gx1sv
@RachelMallya-gx1sv 8 ай бұрын
Nikumbukea hasubuh ya Leo kweny maisha yangu na biashara yangu
@ramadhanimziba2037
@ramadhanimziba2037 9 ай бұрын
Eee, Mungu wa Mazabao ya SIRI ZA BIBLIA naomba uniokowe unitowe katika mateso
@user-ff3dy3ox6v
@user-ff3dy3ox6v 29 күн бұрын
Asante mtumishi wa mungu mahubiri yangu yanazidi kuinua imani yangu sikatii tamaa kamwe hata km napitia kwrnye magumu naaminimungu hataniacha Ubarikiwe
@KitsaoJaphet
@KitsaoJaphet 2 ай бұрын
Naomba nijue maombi iletayo mtabibu nifundishe mtumishi wa Mungu.najiunga leo
@JulitaAndrea-nu6pz
@JulitaAndrea-nu6pz 3 ай бұрын
@Baba .Mungu unapowadhuru wengine Yesu wangu Naomba usinipite Naomba unitete .,
@greacembwnwilibati8197
@greacembwnwilibati8197 8 ай бұрын
Najiugamanisha maombi asubuhi hii naomba mungu unisaidie niweze kukujua neno lako na nimalize siku hii ya Leo salama asante mungu Kwa kunifikisha mm na watoto wangu na family yangu asante mungu Kwa Neema yako 🤲🙏🙏🙏🙏🙏
@gracehose8840
@gracehose8840 9 ай бұрын
Kila kitu kigumuvktkt maisha yangu Asubuhi Yangu inakuja Asante Mungu asubuhi Yangu inakuja
@user-pb8di5pf6j
@user-pb8di5pf6j 2 ай бұрын
Naomba mungu anikumbuke mm na familia yangu
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 8 ай бұрын
Najiunganisha na. Maombi haya Pamoja na mafundisho Haya MUNGU ukanikumbuke na mimi. Asubhi hii ya Leo naomba ukanijibu na maombi yangu were Bwana 🙏🙏
@jokerquaver7151
@jokerquaver7151 9 ай бұрын
Najiungamanisha na maombi haya damu ya yesu inifunike na baraka zake zinimminikie
@gracehose8840
@gracehose8840 9 ай бұрын
Ubarikwe mtumishi wa Mungu naendelea kukutumani Mungu Wangu
@user-ri7fd9mn4t
@user-ri7fd9mn4t 6 ай бұрын
Asante mungu asubuhi yangu yaja yenye balaka amen
@gracehose8840
@gracehose8840 9 ай бұрын
Yesu kumbuka watoto wangu wasio na kazi Napokea kazi zao kwani nakutumaini wewe Daima
@theonestinakaizilege9974
@theonestinakaizilege9974 Ай бұрын
Najiunganisha kwenye maombi yangu ya Leo naomba mwanangu Lillian apate mume sahihi pia uchumi wangu ukaongezeke wateja wakanizidie amina
@JoyceSimon-ms7lu
@JoyceSimon-ms7lu 5 ай бұрын
N@jiunganisha na maombi pamoja na mafundisho mungu kumbuka maombi Yang
@user-ks7gs9cb3g
@user-ks7gs9cb3g 9 ай бұрын
Asante mungu kwa kunifungua katika kifungo kwa naiona nuru kwenye giza nene
@VictoriaTarimo-rx9xp
@VictoriaTarimo-rx9xp 7 ай бұрын
Naomba umwombee mumewangu anaumwa anaitwa colmani mushi
@tumainimatanda8214
@tumainimatanda8214 9 ай бұрын
Mungu anatenda
@KogaDenha-yy8lt
@KogaDenha-yy8lt 8 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu naomba mungu akaingilie katika magumu ninayopitia
@JustineKabimbi-uo2so
@JustineKabimbi-uo2so 9 ай бұрын
Baba iyi mafundisho ni yangu naomba munisaidiye sana na maobi yenu aksanti bwana yesu asifiwe
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 9 ай бұрын
Najiungamisha na madhabahu ya siri za bibLia Mkono wa Mungu na damu ya yesu ikanibariki katika kazi yang niweze kuongezewa mshhara,familia yang ikawe na furha wazazi wang awajalie afya njema na upendo utamalaki kweny maisha yao ,wadog zangu shulen wawe vichwa wasiwe mkia mpenz wang mungu amjlie katika biashara zake amuongezeh kipato zaid ya kile anachopata sasa mwenyez mungu aniponyee ugonjwa unaonisumbua kwan unanikosesha @mani Eee mungu kanijalie ,kanibariki kabla ya Mwaka huu kuisha 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Amen
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 9 ай бұрын
Asubuhi yangu inakuja ,my morning is coming in name of Jesus 🙏🙏Amen🙌🙌🙏🙏🙏
@gfcgghh9138
@gfcgghh9138 2 ай бұрын
Amen amen amen,my morning is coming in Jesus name 🙏🏽
@user-tn8mo8vg3s
@user-tn8mo8vg3s 9 ай бұрын
Namshuru sana Mungu Kwa namna anavyokuongoza na jinsi anavyozudi kujinua juu yetu maana hata sasa anatenda kwetu aminaa
@annafimbo5917
@annafimbo5917 9 ай бұрын
Napokea asubuhi yangu iliyo njema kwa jina la Yesu Kristo
@GastoMkini
@GastoMkini 2 ай бұрын
Amina MUNGU anapobariki wengine NAMI anikumbuke awabariki pia nanyi nyote umu ndani Asante pasta innocent.mimi ni mgeni odi umu ndani
@user-ic2rl7gz5z
@user-ic2rl7gz5z 7 ай бұрын
Amen Mungu nikumbuke mimi nauzaowatumbo langu watoto wangu wapata wabwana wapate mandowa kwadamu yesu wapate visa sa Canada na esthere apate cotrat yafasianafanyiya kazii Tunaitajimusaada yamaombi Mungu a bariki kazi yamikono yangu
@EmmyKapessa
@EmmyKapessa 9 ай бұрын
Ee MUNGU wangu nikumbuke
@RamadhanMkao
@RamadhanMkao 9 ай бұрын
Naomba kibali Cha kazi Cha uzao wangu mungu nikubuke kila aibu basi mungu niogoze wewe mungu wangu nikunuke siku ya leo
@NafunaLydia-yr8xh
@NafunaLydia-yr8xh 7 ай бұрын
My morning is coming in Jesus name Amen 🤲🤲🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@nchimbilusda7259
@nchimbilusda7259 5 ай бұрын
Najiungamanisha na Maombi haya asubuhi hii🙏
@georginantemi8598
@georginantemi8598 9 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi unanena niliyopitia kweli yesu ndio njia pekee
@abelubamba7409
@abelubamba7409 8 ай бұрын
Asubuhi yangu inakuja
@Lya-pl3vk
@Lya-pl3vk 3 ай бұрын
My morning is coming. In Jesus name 🙏🙏🙌
@ClaraMharuka
@ClaraMharuka 5 ай бұрын
Nashukuru sana kwakujifuz mtumishi niombee namm naitaji Mungu akah kwenye maisha yangu
@NaumiBaya-wr7ri
@NaumiBaya-wr7ri 9 ай бұрын
Na muonba mungu usiku muchana akainikoboe nadamu iliyo mwangika musalabani hakumwangika bure pale msalambani ili kutusafisha Dhabi zetu amen
@jadymshary2035
@jadymshary2035 9 ай бұрын
Asubuhi yangu inifikie kwa jina la YESU
@gracehose8840
@gracehose8840 9 ай бұрын
Mungu wangu anajua mapito yangu ila Asubuhi Yangu yajaaa
@suzzymussa89
@suzzymussa89 9 ай бұрын
Asubui yangu hunikumbuke mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
@MicalSemu
@MicalSemu 3 ай бұрын
Naomba mungu anikumbuke na kazi nzuri.
@YunusuKhaikan
@YunusuKhaikan 9 ай бұрын
Najiungamanisha na ibada ya asubuhi MUNGU naomba utembee NAMI siku ya leo
@gabrielhonlat4043
@gabrielhonlat4043 6 ай бұрын
Baba nabarikiwa sana na hekima yako mtu wa mungu
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Najiugamaisha na MAOMBI pamoja na mafundisho haya MUNGU
@gracehose8840
@gracehose8840 9 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii Asante Yesu kristo
@user-cp1zx5dy2o
@user-cp1zx5dy2o 3 ай бұрын
Amen mungu nikubuke na mm hapa pamoja na family yangu 😢😢🙏🙏
@user-ic2rl7gz5z
@user-ic2rl7gz5z 5 ай бұрын
Yesu nisahidiye miminauzao watumbolangu yesu wangu patiya watoto mandowa wapemavisa y’a Canada naesther visa y’a ubeljiji nakuomba yesu tusaidiye saidiauzaowatumbo langu
@emilypatrick5509
@emilypatrick5509 9 ай бұрын
Nko ndan ya madhabahu mm na familia YANGU in JESUS MIGHT NAME
@phabianmtewele9461
@phabianmtewele9461 3 ай бұрын
Najiungamanisha Baba usininipite unapozuru ŵengine ktk family uchumi nakukujua zaidi ndio kiu yangu kuu
@user-ug1we4xg9n
@user-ug1we4xg9n 9 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu nikumbuke na Mimi niweze kupata ndoa nipate mwenza wa maisha
@user-bz5cl1wl5p
@user-bz5cl1wl5p 9 ай бұрын
Asubui yangu inakuja in Jesus name amen
@user-pc2er9mw3i
@user-pc2er9mw3i 7 ай бұрын
Najiunganisha na maombi haya mafundisho haya mungu akumbuke maombi yangu ili asubuhi hii ikawe na utukufu wa mungu naelekea kwenye biashara yangu na mengine yote afungue
@leonardobulalu
@leonardobulalu 9 ай бұрын
Najiunganisha na maombi pamoja na mafundisho haya MUNGU akakumbuke maombi yangu ili asbhi yangu ikawe yenye utukufu wa MUNGU
@user-nq6tp1gj7g
@user-nq6tp1gj7g 9 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@ChristinaSaid-ms9cv
@ChristinaSaid-ms9cv 9 ай бұрын
Nimebarikiwa na neno la mungu
@agnestirugana6707
@agnestirugana6707 8 ай бұрын
Asante Mungu naomba nikujue zaidi
@user-ev6rb4qb3y
@user-ev6rb4qb3y 7 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@user-ev6rb4qb3y
@user-ev6rb4qb3y 7 ай бұрын
Mungu shusha balaka kwa watu ote 🙏🙏🤍
@user-sw9pu4td8g
@user-sw9pu4td8g 8 ай бұрын
My morning is coming i believe my father ❤❤
@samuelabonifas5441
@samuelabonifas5441 9 ай бұрын
Nakushukuru mungu wangu kila tuamkapo bwana unatupa nguvu mpya na kutupa mafundisho mazuri ya kututia nguvu tuamkapo
@AnjelaKavishe
@AnjelaKavishe Ай бұрын
Najiunganisha na familia yangu.
@CholelaRobert-lm7ro
@CholelaRobert-lm7ro 7 ай бұрын
Amina sitabaki kama nilivo asubuhi yangu yaja naiona kesho iliyopangwa na Mungu
LIVE: MAOMBI YA KUANGUSHA NGOME ZA ADUI MAISHANI MWAKO
31:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 9 М.
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 87 М.
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 57 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 12 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 706 М.
MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU
40:20
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 25 М.
NENO LA SIKU | Mathayo 13 | Maombi Ya Kuvunja Vifungo Vya Ndoto
37:09
LIVE: AHADI ZA MUNGU ZINAZOAMBATANA NA SADAKA ZAKO // Tuesday 07,2024
1:30:51
LIVE: HAKIKISHA HAUPISHANI NA MUUJIZA WAKO // MNGOJEE BWANA
58:18
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 7 М.
BWANA ATAWAPIGA ADUI ZAKO MBELE YAKO // MAOMBI
16:53
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 29 М.
JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MUNGU
16:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 61 М.
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 57 МЛН