#LIVE🔴 MASHEIKH WENGI HAWAIJUI HII DUA | UKIISOMA INAJIBU MUDA HUO HUO - SHK ZAID MAKBUR
Пікірлер: 398
@ImranSaid-zw5yc3 күн бұрын
Mashallah ubarikiwe kila la gheri na Allah
@zainabzainab24222 жыл бұрын
Jamani wainuwrni mashekhe wetu.gonga like
@samillally1062 жыл бұрын
Masha alahi
@zawadioman2494 Жыл бұрын
Mashallah
@yasmeeenmusajuma65314 ай бұрын
Mashadha
@rahmahasan32Ай бұрын
Masha Allah tabarak Allah sheikh
@Aida-qh3jq8 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu yaarabi
@user-pg8nz2ob6l8 ай бұрын
Shukran sheikh wetu ALLAH akulipe kila la kheri
@aminathabagome4827 Жыл бұрын
Manshaallah Allah akulipe kheri kwa kutuletea faida hizo na akulinde na Shari za binaadam na mashetwani
@michellenorbert8705 Жыл бұрын
Allah atujaalie elim ya mengi kupitia mashehe wabobez kama huyu panapo tafik yake amin
@najmashabani9075 Жыл бұрын
Rajabu mungi mtoto wa yombo mungu akukilalakher katika maisha yako
@NyirahabimanaNasimuАй бұрын
Assalamu alaykumu warhamatullah wabarakatuh sheikh niko rwanda naomba uniombeye dua sifanye kitu nifanikie kazi nimekosa nina madeni nimeshindwa kulipa sheikh
@nuruddin5074 Жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER SHEIKH WETU. NASI ALLAH ATUJAALIE TUSHIKE HIYO DUA INSHALLAH
@abdullahiabdikarim4312 Жыл бұрын
Mashaallah, ustadh Allah akubariki una maudui mazuri
@HamisHusseinBwenya-nc7pj Жыл бұрын
Hongera kwa mawaidha yako mema yenye hekima na busara.Mungu akupe kipaji zaidi na zaidi Insha-Fallah!!
@ashashaban64842 жыл бұрын
MASHALLA MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH SHEIKH
@dayanamajora33272 жыл бұрын
MAAASHALLAAAAAAH, nimejifunza mengi hapa kutoka kwa shekhe...1.IMANI 2.HURUMA. 3. TUSIHUKUMU. TUSIJAJI VIBAYA KWA KUSKIA TU.5.6. AFANYAE MABAYA TUSIMLIPE UBAYA. TUMUACHIE ALLAH mwenyewe, SHEKHE kazika MWIZI/JAMBAZI. SHEKHE ALLAH akuweke 😍😍
@ramadhanmwakuyu14342 жыл бұрын
MashaALLAH! MUNGU akupatie maisha marefu uzidi kutupatia Ilmu
@rehemamwachindi6569 Жыл бұрын
🤲ya Allah akujaaliye khair hapa dunia na akhera aamin 🙏
@khadijashabani5509 Жыл бұрын
Alihamdullah shekh mwenyezi mungu akupe maisha marefu duniani uzidi kutuelimisha
@user-wc5oc9di2m7 ай бұрын
maashallah tabarakallah shukran shekh kwa elmu uliotupa ya dua
@khadijasaid4046 Жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah allah akulipe kheri
@maryamally30852 жыл бұрын
Mashallah Allah akujaalie Afya njema na a maisha marefu na akulinde na mabalaa.
@mamseif69242 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah akukinge na husda uzidi kuelimisha mpk mwisho wa uhai wako 🤲🙏
@ahmedhamisi3282 жыл бұрын
Masha Allah shekh shekh Zaid mungu akuzishie umri uzidi kutupa nasaa
@hamoudslim36222 жыл бұрын
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini ? Jibu utalipata hapa 👇🏼 kzfaq.info/get/bejne/mbuEjc1mzsXLfIE.html
@asyayahya4729 Жыл бұрын
Amiin ya Rabil Alamin
@aishatimamy375 Жыл бұрын
Mo moo m
@fhyubhhh28812 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah shkh may Allah bless you Ameen
@sophiamwinyi3520 Жыл бұрын
Masha Allah shelke umetupa elimu na faida za dua
@barkaabdallah24072 жыл бұрын
MashaAllah Allahu Akbar Allah akuhifadhi akupe umri mrefu uliojaa rehma na neema 🤲
@rinompemba59262 жыл бұрын
In sha Allah 🤝🤝
@zuhuramagowa7862 Жыл бұрын
Aamiin
@mwanaidimakalamangi8002 жыл бұрын
Mashaalwah sheikh wetu kwa kwel umeniongezea iman nyng tuzd kujitegemeza kwa allwah na kumtegemea na kuwa na ikhlasw allwah akubark utupe faida nyng tupate kuelimika Zaid na kupata elmu kubwa sana
@jenabmakobeh36942 жыл бұрын
ALLAH
@zuwaaomar82532 жыл бұрын
Mashallah shekh ALLAH akuzidishie elimu yako atupe na ss pia
@aishadaba70452 жыл бұрын
Biismika Allahhummah Ameen
@ramaamri8312 жыл бұрын
Jazakallahul-khayr
@raelnaumi62632 жыл бұрын
Mash Allah sheikh tunaomba Allah hatusamee sin zentu🙏🙏🙏🙏
@evacekasaija3912 Жыл бұрын
Allah akuppatie janah kama mini sikia maswali yako macho I natoka yarabi fika uganda otusaidie
@miraj48504 ай бұрын
Mashallah Leo nimepata faida inshallah
@salmaalkyumi6030 Жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@saumukalindo9 ай бұрын
Shekhe mwenyezi mungu akuweke yaani nimecheka na nimelia kwa mawaidha yako.
MASHAALLAH ASANTE SHUKRAN SHEIKHE KWA UKUMBUSHO MUHIMU ALLAH AKUZIDISHIENI UMRI WENYE AFYA NJEMA MASHEIKHE WETU NYOTE NAKUPENDENI SANA KWA AJILI YA ALLAH
@samiamohammad6686 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah kwess maraa
@adislahlovo74092 жыл бұрын
Maaashallah allah awalipeni kheri masheikh zetu ktk kazi hii kwani ni jambo zuri ktka kazi hii
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n522 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/aq-ibKxylsrcf5c.html
@hamoudslim36222 жыл бұрын
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini ? Jibu utalipata hapa 👇🏼 kzfaq.info/get/bejne/mbuEjc1mzsXLfIE.html
@asianassoro92172 жыл бұрын
Ewemwenyezi mungu nifungulie milango ya rizikina unipe itaji la moyo wangu
@asianassoro92172 жыл бұрын
Mashallaaah
@saidahasman3474 Жыл бұрын
Allaah akuhifadhii nimepata faida kuhusu hii mawaidha
@noorynmohammedy60632 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu Mwenyez Mungu atupe kherry ya duniani na ahela.
@amenaallahawazidishieumrin62352 жыл бұрын
Shukuran jazakka Allah khery
@user-oo3qv5ij1q7 ай бұрын
BARAKA LLAHU FIIH MAASHA ALLAH
@najmashabani9075 Жыл бұрын
Mashaallah mtoto wa yombo mungu akuponye na maaradhi
@fatumaramadhan78852 жыл бұрын
MAshalla ❤️❤️Allah aklipe
@meemmeem8 Жыл бұрын
Mashallahu Jazaka llahu
@saidsaid-ur1md2 жыл бұрын
Nimekubali scheikh . God bless
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv8 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@sadaralmas41852 жыл бұрын
Alhamdulillah rabbil,alamiin.
@matikamwagilomwagilo5312 жыл бұрын
Jazakallahu kheri shekhee Aminaaaa
@adidjauwimana74752 жыл бұрын
Manshallah tabaraka Rahman. Allah akupe umri mrefu 🙏 umenielimisha na umenitowa stress nimefurahi
@jacobponga15402 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh wetu, hasby Allahu Wani'mal Wakil🤲🤲
@HauwaaHemed-br4uu Жыл бұрын
Jazakallah hairy
@sephukipingu423 Жыл бұрын
Munguakupe uhai uzidi kutupa nasaha katikawisilam
@husseinkazungu51012 жыл бұрын
MashaAllah shukran sheikh
@kalthumhussein93292 жыл бұрын
🙏🙏🙏🥰🥰🥰💫 Shukran jazillah shekhe
@qwqw16652 жыл бұрын
Nataka niijue mana mwenyezi mungu ndiokilakitu jamani🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lailakibalu5922 жыл бұрын
Alahuma aamina mashaallah
@issasayu30752 жыл бұрын
Mashaallah sheikh zaidi makubuli mungu akujalie umri mrefu ili tupate faida nyingi kutoka kwako
@sumayyahally8662 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah shahe kira rahery kwako nimepata faida kubwa sana katika haya mawaiza Allah akueke shehe wetu uzidi kutuelimisha asalam aleykum warahumatunllah wabarakaatuh
@ZainabuSaguti Жыл бұрын
Mashallah 🙏 jazakuml_khayri
@josuzajsk3982 жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka arrahmaan
@tatuhamis84112 жыл бұрын
Allahuma ameen...natamani nijifunze Sana ilim hii
@salmarajab5872 жыл бұрын
MaashaaAllah laa KUWWATA ILLA BILLAHIL ALIYYUL ADHIIM
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Shukran.Mungu akupe kher.
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@hajatihajati53572 жыл бұрын
Jazaka Llah kheri shekhe wetu
@fathiyaanwar4535 Жыл бұрын
Shekh wangu duwa mie sikuisha.
@idayusuf32842 жыл бұрын
Masha allah, sheikh Allah akujaalie afiya
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n522 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/e9ailct2rN24gHk.html
@hamoudslim36222 жыл бұрын
Uwepo wa warabu bara la afrik mashariki ulianza lini ? Jibu utalipata hapa 👇🏼 kzfaq.info/get/bejne/mbuEjc1mzsXLfIE.html
@evacekasaija39122 жыл бұрын
Asante Sana nakwomba ojje uganda
@user-du2fy5sd5u8 ай бұрын
MashaAllah TabarakahAllah
@fattyy9802 жыл бұрын
Mashallah allahubaarik
@Nuratlugha-ef9uw11 ай бұрын
Mashaallh shukran
@robinsonmungisha12333 ай бұрын
A w w nilikuwa nampebda mume wangu sana Tena sana ila kusikiya alizini na mke wawatu Tena nimeambiya na watu wengine yeye Kanificha angenambiya ukweli ningendeleya na mpenda ila akaficha niliumiya sana nilifika nachukiya kuona nimzinifu alafu ule mwanamke akawa anatuchonganisha mimi na mume wangu nikaomba talaka yangu ju mume hakuwa kweli alikuwa mnaki mm sipendagi mtu muongo maisha yangu nilimchukiya sana mume wangu ju hakuwa mkweli nilifurahi kuona Amenipa Tanaka sheikh niliona Ata watoto wangu ataweza kuwazini nilifanya ukweli?
@robinsonmungisha12333 ай бұрын
Tena mume alikuwa hatuliyi uzinifu alitiya mbele shiki na uongo anatowa uongo huku anarudisha huku nilimchukiya kweli sana mungu anise mume mwema niombeye duwa shekhe allah anipe subra nipate mume mwema amina amina asinine mume sutra mzizi Tena hafanyi kazi kuka Anaona sex ndani nilinde name duwa yako Kwang inshaallah
@hassanatymuumini81212 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@user-qg2sw9bj2i Жыл бұрын
SUBHANALLAH,naomba tuandikie kwa kiswahili hii dua
@habibayussuf99582 жыл бұрын
Masha Allah sheikh... Mola akujalie marefu insha Allah.
@hudhud20222 жыл бұрын
Allahuma Amiin YAARABIY
@tumajunior60802 жыл бұрын
Shukran jazzakallah khairan Allah akulipe kheri hapa duniani na akhera ameen
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n522 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/aq-ibKxylsrcf5c.html
@zuweynamasoud22002 жыл бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@YusoufMjr2 жыл бұрын
Sheikh zaid mungu akuweke in shaallah
@itapendezamedia6302 Жыл бұрын
Maashaallah. Barakaallah. Fiiiiik
@ashazuber65482 жыл бұрын
Wallah nimefurah mno masha Allah
@rinompemba59262 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝
@suraiya3151 Жыл бұрын
Ameen InshaAllah 🤲
@asiajadidi791 Жыл бұрын
Amini ishallah
@dktabbaimran20022 жыл бұрын
Allahu Akbar
@ashazuber65482 жыл бұрын
Masha Allah
@ramadhaniamour48342 жыл бұрын
Maa shaa llah alhamdulilah
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@stamelistameli84612 жыл бұрын
Namuona sheh mungi hapo nipo mascat dua ya ahrkaya nilikuwepo nawasalim asalam alykum wote mashehe wangu
@SwalehAnjere8 ай бұрын
Masshallah shiekh...
@rehemaidd7722 жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadhie
@rinompemba59262 жыл бұрын
Masha Allah 🤲
@hamoudslim36222 жыл бұрын
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini ? Jibu utalipata hapa 👇🏼 kzfaq.info/get/bejne/mbuEjc1mzsXLfIE.html
@shefahamedee96452 жыл бұрын
Manshaallah manshaallah manshaallah
@hamoudslim36222 жыл бұрын
Uwepo wa warabu bara la afrika mashariki ulianza lini ? Jibu utalipata hapa 👇🏼 kzfaq.info/get/bejne/mbuEjc1mzsXLfIE.html