LIVE:MPINA AFICHUA MAMBO YA KUTISHA, RAIS SAMIA/AMEDANGANYA BUNGE MARA 18/ USHAHIDI KWA SPIKA

  Рет қаралды 116,395

Uhondo TV

Uhondo TV

Ай бұрын

#uhondotv #uhondotv

Пікірлер: 600
@francisboydmwakyusa230
@francisboydmwakyusa230 Ай бұрын
Tanzania 🇹🇿, ahiitaji waongeaji wazuri bali watendaji wazuri. Miaka 60+ ya uhuru bado tuwe na watendaji waongo ktk ya wasomi wote hawa. Mimi namuelewa sana mdogo wangu Mpina. Akili makini hailali BIG UP.
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 Ай бұрын
Mungu akulinde nchi hii ukiwa mkweli ni changamoto Mungu akutetee mheshimiwa Mpina
@user-ws2uw5rd8i
@user-ws2uw5rd8i Ай бұрын
Mpina hongela Kwa kazi nzuri najua wapo wengine wanaumizwa nahayo nakupa kazi nyingine fuatilia mtu aliepewa tenda ya kuingiza sulphur nchini
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Ай бұрын
Hatuhitaji malumbano sisi tunahitaji maendeleo
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 Ай бұрын
Maendeleo hayatakuwo bila uadilifu wa viongozi wetu.​@@blandinamwarabu5025
@josephlyahbo
@josephlyahbo Ай бұрын
Anastahili PhD ya heshima
@VicentMjema
@VicentMjema Ай бұрын
Huyu mwamba watu wa jimbo lake naomba uchaguzi ujao mumchague tena msifanye makosa
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
Hata pesa nafasi ya kugombea na chama chake CCM, wanamsubiri tu
@babukije268
@babukije268 Ай бұрын
Kwani huyu jamaa ni chamagani anastahili heshima ni mzalendo wakweli nakuombeni wananchi wa jimbo lake mpigieni kura kwa asilimia mia
@charlesmandela6173
@charlesmandela6173 Ай бұрын
P​@@margarethsolomon9823
@magesadani9058
@magesadani9058 Ай бұрын
I appreciate you so much hon. Luhaga Mpina
@user-fm3ew9tu9y
@user-fm3ew9tu9y Ай бұрын
Ukweli ni kama Moto wa kupima dhahabu,,,,, kweli ni Moto na wewe ni Dhahabu endelea kuwa imara
@billgussy6099
@billgussy6099 Ай бұрын
Spika na wabunge wote wa ccm ni majipu ...yaaan walikua wana mshangilia Bashe na Spika alikua anamtetea kwa nguvu zote
@user-wk3wo9hv3c
@user-wk3wo9hv3c Ай бұрын
Na hiyo ni wizara moja tu, vipi nyingine??
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx Ай бұрын
Tena cy majipu ya kawaida ni jipu la kwapa
@Master-ww7ur
@Master-ww7ur Ай бұрын
tena spika ndo jipu kabisaaa, ana PhD ya Sheria alafu hajui tofauti ya mkataba na makubaliano, hajui trab na trat😂😂😂
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
​@@Master-ww7urAnajua, anamlinda mkubwa wake
@malamlaaj9852
@malamlaaj9852 Ай бұрын
Walaji!! Walaji haooo! Wapigwe kwa sababu ya ulafi na ufisadi. Walitengeneza uhaba yeye na wenzake!! Bashe Msomali mgumu kama damu ya kisomari... Alisema wazi Mkuu WA majeshi kwamba nchi imevamiwa na watumishi wasio raia na uchungu na nchi. Mpina Kamua jipu . Kamua baba kwa uchungu WA kweli .
@deogratiasrutabana2387
@deogratiasrutabana2387 Ай бұрын
Nashukuru sana Mungu Taifa letu sasa lipo rasmi katika utawala wa Biblia ndio maana hata Mtumishi wetu mkuu wa Mungu Rais Samia Suluhu Hassan amesema dhamila itoke ndani ya Moyo ikimaanisha wanaoongozwa na Roho hawapo chini ya Sheria. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Rais wetu kwa kupokea wokovu na kumkubari Yesu Kristo kuwa Bwana mwokozi wa maisha yako. Mungu akupe maisha marefu in Jesus Christ Name.
@oscarkayuni9086
@oscarkayuni9086 Ай бұрын
Kama itampendeza Mhesh Rais amweke mbunge huyu kuwa waziri wa kilimo na na makonda waziri wa fedha nakuambia Tz itanyooka kama rula na wevi watakoma
@babanatalis8401
@babanatalis8401 Ай бұрын
Hakuna waziri hapo yeye abakie mbunge
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 Ай бұрын
Asimpe uwaziri,amwache awakosoe hivyo hivyo.
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 Ай бұрын
Mpina kwetu maana yake Yatima na naona unapigana peke yako kama Yatima, Mungu akulinde.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 Ай бұрын
Wataungana na Makonda na Waziri wa Ardhi Slaha
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
​@@blandinamwarabu5025Vijana Hawa watainyoosha TANZANIA HAWA WANA NIA YA DHATI
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Ай бұрын
Wanaoshiba visivyo haki hawawezi kumuunga mkono. Laiti wabunge wangekuwa wanafuatilia na kuhoji mambo kama mpina, wangegeshimiana. Mpina hana kosa na Mungu ataweka wazi yote siku ikifika.
@africayetutv329
@africayetutv329 Ай бұрын
Jamani Tanzania Tanzania , Mpina Mungu akupe ulinzi na akubariki Hakika tutamkumbuka Jpm
@worldherotv
@worldherotv Ай бұрын
Yaan unambariki kwa sababu anatetea viwanda vilivyofanya kusudi ili sukari ipande bei?
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
​@@worldherotvwe zwazwa saaana unafikiri vikifungwa watu watafanya wapi kazi? Kwa vile babako mwinyi eeehh
@hantiayman3994
@hantiayman3994 Ай бұрын
​@@florencemeza6540vikifungwa kwa nini, yaani ww ni mtu wa ajabu sana. hakuna aliyesema vifungwe lkn hakuna atakayekubali bei kupandishwa kiholela kwa kigezo cha kufunga viwanda, lazima kuwe na udhibiti. Mpina anatumika na matajiri, mabepari na manyung'unya ndio hutufanyia haya yote na kusababisha kupanda kwa gharama za maisha hasa kwa watu wa chini. yaani udhibiti kwa wezi ni muhimu sana kufanywa. haikubaliki kubisa
@KomboHamisi
@KomboHamisi Ай бұрын
Hivi kwani ni mpina yupi wakati wa awamu si ndio yule alikuwa akipima samaki kwa rula na kutaifisha ngombe za wananchi?
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
​@@KomboHamisialikuwa kazini
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Ай бұрын
Mungu akubalikiki sana
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Aaaaaa inamaana hawatu kwanini?wanajua majizi
@kepharichard4183
@kepharichard4183 Ай бұрын
Magufuli njooo uone Serikali uliyoiachaa, Mafisadi wamerudi tenaaa😢😢😢😢😢😢😢
@davidmwatonoka1973
@davidmwatonoka1973 Ай бұрын
Mungu ingilia kati kuiokoa nchi yetu ,wale wote wanaohujumu nchi wafilisiwe kabisa , Yesu tenda jambo jipya waibishwe wafedheheshwa wasiwe mbele Wala nyuma , mlinde mpina Kwa uwezo wako Amina
@ErnestTarimo
@ErnestTarimo 14 күн бұрын
A very excellent work done by the Mheshimiwa to enlighten us with detailed evidence on the evil games being played by the most unexpected leaders. Anxiously waiting for the actions to follow. Hongera sana Mheshimiwa.
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 Ай бұрын
Mambo mazito hayo. Tutashuhudia hatima ya hili jambo. Kuna huyu, Makonda, Silaa (Ardhi), Polepole, nk. Kumbe kuna wazalendo nchi hii. Mungu ibariki Tz kwa ajili ya vijana na vizazi vijavyo.
@jayson.chanel.9870
@jayson.chanel.9870 Ай бұрын
YAANI ASILIMIA 90 YA COMENT ZILIZOKO HUM NIMEGUNDUA KWAMBA WATANZANIA HAWANA FURAHA NA VIONGOZI WETU😢
@lidariot
@lidariot Ай бұрын
Kwani hata we huoni tunapigwa ama
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
​@@lidariothakika
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
Sisi ni nguruwe!! Tunalishwa kila kitu!!! Watu wanajilimbikizia fedha Mali, Kuna KIFO.
@alexandermakanta9468
@alexandermakanta9468 Ай бұрын
Taarifa Yenye Utafiti na Ushahidi wa Kutosha...Kwako Mh.Speaker.Tunaomba Ifanyiwe Kazi
@ephraimmakaranga1795
@ephraimmakaranga1795 Ай бұрын
Wananchi tunataka wabunge kama hawa MH mpina Mungu akubariki sana Kwa kusema kweli
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Ай бұрын
Wewe ni mwambaji wa Tanzania aluta continua mpina, , wanaogopa kukupata uwaziri ,
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 Ай бұрын
Mpina kaka yangu, Mungu akubariki sana, na kukulinda, maana mtu kama wewe, hawakutaki, MUNGU akulinde sana na kukulinda 😢😢😢
@STEVENMWASALEMBA-dk8yb
@STEVENMWASALEMBA-dk8yb Ай бұрын
Jesh la mtu mmoja bigup brooo
@godfreyernest268
@godfreyernest268 Ай бұрын
Bashe hafai
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq Ай бұрын
Huko ndo kuupiga mwingi sasa siyo uongo uongo eti wanaupiga mwigi kweli nimeamini uongo kotena ukweli kisoda
@worldherotv
@worldherotv Ай бұрын
Kwa hiyo unamsifia kwa kutetea viwanda vilivyokua vinauza sukari bei ghali kwa kusudi
@user-vy8tb2hq9w
@user-vy8tb2hq9w Ай бұрын
Ukiwa mkweri unafamya kazi ya mungu na mungu ana tumia kinywa chako kufikisha ujumbe❤
@yahyahamadi9259
@yahyahamadi9259 Ай бұрын
Mm nashukuru sana koiongoz wangu kwa uzalendo wako wa kazi na ukweli kwa maufaa ya watanzania ningependa nakuomba serekali iangalie pya uchafu uliopo ngaz za wilaya na mitaa nimkubwa mnoo mpaka wananchi wanakasirikia chama na serekali kwa ujumla viongoz wamekua waongoo sana kiongoz wangu tufikishie hilo tafadhali shukrani
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 Ай бұрын
Naona awamu hii si ya kuchukua hatua zozote dhidi ya viongozi wa juu na hasa mawaziri.Angalia report zote za CAG zimechukuliwa hatua gani
@user-ws2uw5rd8i
@user-ws2uw5rd8i Ай бұрын
Mpina nenda upinzani kisha gombea uraisi tutakupa kula zetu kisha tuwashughulikie Hawa watu
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 Ай бұрын
Tusubir kwanza wasiporudisha jina lake afu kije kiume
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Ай бұрын
Sio kweli awezi kupata uraisi ngumu iyo wanaweza nchi zengine sio Tanzania .ccm inatawala mpk yesu aje .the rest is history
@user-eh5fw5gj4c
@user-eh5fw5gj4c Ай бұрын
Ndio mana tunadaiwa trillion 91😂😂
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 Ай бұрын
MUNGU ANA WATU WENGI NA MPINA AMEWEKWA NA MUNGU
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Ай бұрын
Wewe upo kwa Nani!?
@user-vp3ec6qv8n
@user-vp3ec6qv8n Ай бұрын
Yaan huyu ni magufuli piwa namkubali sana hy mm ni mpinzani lkn huyu namkubali sana viongozi ndio wanalitafu nna hili taifa letu mpaka linaisha tatzo hapa ni huu mfumo walio uweka na hawataki katiba mpya
@JeremiahMwakanyamale
@JeremiahMwakanyamale Ай бұрын
Humo bungeni masomi yemejaa yanashangilia tu,ujinga huo unapoendelea,,,hongera sana mbunge mwenyeuchungu na nchi yetu.
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 Ай бұрын
Mbunge makini sana Mpina Mungu akubariki
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Unfortunately he is alone
@magesadani9058
@magesadani9058 Ай бұрын
Absolutely
@ahmedmakame1687
@ahmedmakame1687 Ай бұрын
Kupambana na wahuni kazi sana Mungu akulinde wasikupoteze kama mwenda zake JPM
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Ай бұрын
Umeongea vizuri sana hapo pa mwendazake
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Nimejikuta nakumbuka Deo filikunjombe
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Ай бұрын
Asilimia kubwa ya wabunge kazi yao ni kupongeza na kupiga madex tu hawapo kwa ajili ya watanzania Mwenyezi Mungu akulinde mpina ww ni miongoni mwa mbegu chache alizoziacha hayati JPM
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 Ай бұрын
Hawataweza kumwangamiza Mpina kwa uwezo wa Mungu, Amina
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 Ай бұрын
​@@jumaabdalla3374Amina,huyu ni zao Bora Sana la JPM, asante Mpina, Mungu akulinde na urudi Bungeni tena 2025.
@johnmlangi6890
@johnmlangi6890 Ай бұрын
Asante sana Mhe. Mpina, kwa kutujuza yaliyojificha juu ya vibali vya Sukari! Hapa ndio tunajua ukweli juu ya Kauli ya Mkubwa eti " Kila mfanya Kazi ale kwa Urefu wa Kamba yake😅? Wizi mtupu, Sijui km atawajibishwa maana Wabunge wote ni wa nyumba moja!
@zaym7769
@zaym7769 Ай бұрын
Namkubali sana huyu mbunge. Wasukuma mko vizuri sana
@worldherotv
@worldherotv Ай бұрын
Kwamba ulifurahi sukari kupanda bei kwa sababu viwanda vilifanya ubwanyenye
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
​@worldutawagundua tu wapigaji kwa kutetea upupu herotv
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Ай бұрын
❤❤❤
@freduallughano2301
@freduallughano2301 Ай бұрын
Ni kwa sababu uswahili si jadi yao chunguza makabila ambayo hajaathiriwa na uswahili watu wao wakoje.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
Cancer!!!
@HadaikaNgabona
@HadaikaNgabona Ай бұрын
Umewakalia vibaya sana aseee.
@loycep7785
@loycep7785 Ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka Mpina msema kweli ni mpenzi wa Mungu Viongozi wanafoji tu kwa uongo wanafaidi wao jasho la watanzania kodi yao hao ni wa kutumbuliwa tu ili wamrudie Mungu na kutubu
@abdallahkamangu8725
@abdallahkamangu8725 Ай бұрын
Kaka Mpina unapiga spana mbayaaa. Watu kama ninyi humo mjengoni tunawahitaji sana. Kama nchi tungekuwa mbali sana tukiws na watu 10 tu wa namna hiyo Bungeni.
@stephenkisandu5803
@stephenkisandu5803 Ай бұрын
kwa mambo haya yote, uongo na uthibitisho wake wote, MH bashe akijibu, basi anawajibu pia wa kujiuzuru nafasi yake. HII NI SUPER EVIDENCE, sijui atachomkaje. BIG UP MH. MPINA
@ttv5401
@ttv5401 Ай бұрын
Hongera sana mpina umechana mkeka
@martinmkoma-zl1iv
@martinmkoma-zl1iv Ай бұрын
Viva mpina
@Alute-son2003
@Alute-son2003 Ай бұрын
Congrats Mpina ....afu kuna waongeaji wa uongo wanapongezwa hadharani
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Ай бұрын
VIVA MH. MPINA....WATANZANIA TUNAKUELEWA...U MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@jojujjokyussa4699
@jojujjokyussa4699 Ай бұрын
Mpina hongera sana.
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k Ай бұрын
Hongera mpina,sema.wameanza kukuhujumu kwa kukuletea wafiraji mkoani kwako.Ccm mwaka huu mnalo.
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Ай бұрын
Mamaeeee
@user-ws2uw5rd8i
@user-ws2uw5rd8i Ай бұрын
Magufuli alimwelewa sana mo na alimbana sana
@user-od4xf5hu8y
@user-od4xf5hu8y Ай бұрын
Bravo Mr your dealing with those who spoil our wealth in this country.
@FideryGoodluck-gf3ec
@FideryGoodluck-gf3ec Ай бұрын
Fidery nikiwa rusumo ngala muhaga ukovizuri mungu akulinde umeacha mambo ya kubebana nahuyo mwenzake wanawaza kugombea uraisi 2025
@abdallahally842
@abdallahally842 Ай бұрын
Waziri wafedha kasamehe msamaha wa kodi wa wastani wa bilion 500 duh ndomana wananyodo na dharau na kufadhili matimu ya mpira natamani magufuli angekuepo hakika wangekua washatumbuliwa kwa ufisadi mkubwa ewe mungu mpe macho raisi samia aone hawa wanavo mlamba kisogo kumsifia sana kua machawa kumbe majizi wanamharibia nchi
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 Ай бұрын
Hakuna wizi mkubwa wa namna hiyo Rais asijue na kama hajui basi aonyeshe kwa vitendo kwa kuwajibisha na Kurdish Kodi la serikali cc wananchi tumbane Rais hiyo pesa ya serikali kodi letu lirudishwe.
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 Ай бұрын
Safi sana mpina!! Hongera Kwa kuwaumbua hawa mafisadi wa rasimali zetu
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Yaani nchi hii kama hatuna uongozi.Mambo ya hivyo kabisa no kuhujumu nchi hii
@horizondpq4133
@horizondpq4133 Ай бұрын
Unapiga kazn mpina mpk kazi inapigika🤝💯
@nestor384
@nestor384 Ай бұрын
Mbunge kama huyu wangekuwa 50 tu nchi hii isingechezewa aki amama! Hakuna mpumbavu hata mmoja angeuza bandari zetu, hakuna mtu angegawa gawa na kuuza misitu yetu, Wamasai wasingefukuzwa katika ardhi yao ya asili.. Nchi yetu iko hatarini! Mbunge bora kuliko wote kwa sasa Mbunge smart and intelligent kama huyu Mungu mlinde na muepushe na kila lililobaya huyu mbunge wa taifa, ame-sacrify maisha, akili na muda wake kulitumikia taifa.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
Yaani wapo WENGI WENGI MNO!! Wewe Unafikiri Maprofesa waliopo huko hawayafahamu haya!! Ni waoga wanawaogopa hao.
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 Ай бұрын
Mkuu wa Majeshi, aliisha onya kuwa kuna wakimbizi ambao wameteuliwa kuwa na maamuzi makubwa yanayoweza kuliadhiri Taifa Kiuchumi na Kiusalama. Bashe ni miongoni mwao mwenye asili ya Somalia Ni bahati mbaya kuwa anayewataua (Rais) aliisha waeleza wateule wake kuwa " wale kadiri ya urefu wa kamba zao". Hivyo tusitegemee hatua zozote za kinidhami dhidi ya Waziri Bashe na Waziri wa Fedha. Kwani wanakula kadiri ya urefu wa kamba zao.
@alimuse6980
@alimuse6980 Ай бұрын
Pia nyie wauza madawa ya kulevya duniani tz guruwe wewe
@matiredms917
@matiredms917 Ай бұрын
Wewe ndiye kondoo jinga na malaya wa kisiasa.​@@alimuse6980
@barakaabel482
@barakaabel482 Ай бұрын
Luhaga Mpina uko vizuri
@olipaabongo6307
@olipaabongo6307 Ай бұрын
Mungu akulinde Mh. Mpina. Ukweli wezi niwengi huko.
@PauloSheppy
@PauloSheppy Ай бұрын
Naomba sana Mpina afuatilie na kwenye mchele maana kuna mchele umetoka nje ya inchi umepeleka kushuka kwa mchele wa hapa inchini hasa mchele Africa na Taifa letu huko ni kuua bei za mchele wdtu
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Ай бұрын
Watanzania tuambiwe ninj?ndio tuelewe ccm imechoka?tunahitaji mabadiriko watu kama hawa wananyongwa kabisa kwakuwa wanawatesa wananchi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Ufisadi ni wao, wizi ni wao, uongo ni wao!! Lo hawajali kitu chochote, wamekuwa na jeuri iliyopitiluza,, wanadharau na kiburi cha kijinga..
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
​@@sylvestercameo6263 Wizi ni nafsi ya mtu inawezekana mimi na wewe ni wezi zaidi lakini hatujapata nafasi. Hata huyu Mhe. Mpina ni CCM. Nampongeza Mhe. Mpina kwa kusimamia alichoamini.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
@@hajihassan5433 Nielswe vizuri, nimeongelea tabia za watu binafsi, yaani wezi, mafisadi, n.k. Sijahusisha tabia zao na vyama vyao vya siasa. Japo ni vigumu sana kumpata Mtakatifu katika kundi la mashetani!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
@@hajihassan5433 Sijahusisha tabia zao na vyama vyao vya siasa, japo ni vigumu sana kumpata Mtakatifu katika kundi la mashetani!
@sleymanshaffih-vj5pq
@sleymanshaffih-vj5pq Ай бұрын
Huu mchuano wa @mpina na @bashe mpaka mtu ang'olewe meno ndo utafikia tamati maana sio kwa mnyukano huo.
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx Ай бұрын
Mungu akulinde baba
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 Ай бұрын
Hivi mnatufikiriaje?
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Ай бұрын
Mzalendo wa kweli Mpina.. Serikali ikuangalie wewe ni hadhina ya taifa
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Ай бұрын
😂😂😂eti imuangalie wakati hapo ashakuwa adui
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 Ай бұрын
Mungu akulinde,huku ni kujilipua mh,umeamua kuweka mambo hayo wazi na watanzania wote tumejua tulikosa sukari kwa mbinu ya Bashe apige zake.ni hatari
@user-ws2uw5rd8i
@user-ws2uw5rd8i Ай бұрын
Haya anayozungumza mpina ni kweli maghala ya mo yamefulika sukali wanatelemsha usiku na mchana ingekuwa kipindi Cha magufuli wote wangewekwa ndani
@iddykapembe6817
@iddykapembe6817 Ай бұрын
Asante sana Mpina,, Mungu azidi kukulinda, unatufungua macho watanzania, Mpendwa mama yetu Samia piga chini huyo Bashe na washirika wake wasikutie doa katika utawala wako ambao tunaukubali, chonde chonde mama , tekeleza mapema
@zachayojohn7065
@zachayojohn7065 Ай бұрын
Tunaomba Mhe.Mpina apewe ulinzi kwani anasema kweli l. Ndo maana tunadaiwa trioni 9 na ripoti ya CAG haifanyiwi kazi!
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu Ай бұрын
Sorry hapo, ni trillion 90
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Ай бұрын
Tumlinde sisi wenyewe lkn sio rahisi apewe polisi wa CCM wa Samia.
@jordanmillinga982
@jordanmillinga982 Ай бұрын
Bravo Mh. Mpina.
@user-tt8ew7tf8e
@user-tt8ew7tf8e Ай бұрын
Kwanini mnaotoka kanda hiyo huwa mnajua mambo mengi sana ya mhimu nchi hii na mnajiamini sana
@zachariajustine873
@zachariajustine873 Ай бұрын
God bless Mr. Mp mpina
@DavidJosia
@DavidJosia Ай бұрын
WEWE UNAYEMPINGA MPINA UNAMGAO ACHA USHAMBA MPINA CHAPA KAZI MZEEE
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee Ай бұрын
Haya Bashe waziri ajibu ukweli huo.
@user-eh5fw5gj4c
@user-eh5fw5gj4c Ай бұрын
Nilichogundua kuna viongoz wanatamani kusingekua na sheria ili wajiamulie tu
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Ай бұрын
Kabisa, Viongozi wazembe wapigwe spana hadi wanyooke
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
Huyu ndugu ana WALINZI KWELI!!!!! Vinginevyo Kwa hili, mh!!!
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee Ай бұрын
Mpina MUNGU akusaidie
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 Ай бұрын
Hongera Mh. Mpina Waziri wa fedha, Kilimo, Je taasisi ya Rais, usalama wa taifa walikuwa wapi?
@nedkatunge5702
@nedkatunge5702 Ай бұрын
Safi sana tunahitaji wabunge wenyevubongo mpana kama wewe piga kazi tuko nyuma yako 2025 ugombee uraisi
@zaym7769
@zaym7769 Ай бұрын
Mpina apewe ulinzi mkali 🙏
@user-ws2uw5rd8i
@user-ws2uw5rd8i Ай бұрын
Huyo Bashe aliwanunulia mabwana shamba na mabibi shamba pikipiki aina ya boxer inaingia akilini boxer ni pikipiki za mjinihazifai Kwa barabara za vijijini na msambazaji wa boxer ni mo
@shamtaus6721
@shamtaus6721 Ай бұрын
Gombea urais wa Tanganyika.
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 Ай бұрын
Huyo msomali na mnyiramba wawajibiswe kabisa kutokana uwongo wao huuu Mpina Mungu akulinde
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Tuwafanye kama ANC Africa kusini,naona wapo Kwa ajili ya kuhujumu nchi na siyo kuongoza nchi.Nonsense
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Waacheni wanyiramba ni muda wao,saivi wana barabara za lami kila kona
@AndrewWamahe
@AndrewWamahe 20 күн бұрын
Uko vizuri maana vielelezo (ushahidi unao )
@Kanyawela
@Kanyawela Ай бұрын
Uyu ni mbunge wa wananchi kwaiyo tunapewa mrejesho toka kwa mbunge wa wananchi lakini nahofia chama chake kitaanza hoo hauko sawa kana kwamba aende kutekeleza ya chama badala ya wananchi
@casmirmsigwa89
@casmirmsigwa89 Ай бұрын
GOOD WORK BROTHER
@DandasiKundi
@DandasiKundi Ай бұрын
Napenda sana wabunge wenye hoja mwenyezi akulinde mbunge
@ahz6907
@ahz6907 Ай бұрын
Huyu sasa ndio rais sio makonda...hell no.
@oscarmisiru9725
@oscarmisiru9725 Ай бұрын
Hivi URAIS huwa unatolewa km zawadi!!?
@jide830
@jide830 Ай бұрын
Mungu nakulilia wewe😭😭😭😭🙏🙏🙏
@GodfreyKiyeyeu
@GodfreyKiyeyeu Ай бұрын
Mpina wew kiboko,unamkosoa wazgiri,jamaani mpeni uwaziri mpina jamaani❤❤❤❤❤
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 Ай бұрын
Kwa maelezo ya Mpina, sasa spika wa bunge usituangushe, yafanyiwe kazi adharani
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Ай бұрын
Wasukuma sio waoga kabisa
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 Ай бұрын
Usilte ukanila , huyo Bashe ni kabila gani? Ongea hoja.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
​@@stephenndagalla8183bashe ni mkimbizi wa somalia
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Ай бұрын
Wasukuma mko vizuri saana kwenye uongozi,,,saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaf❤❤❤❤❤
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Ай бұрын
Sana sana kabisa
@geofkabo7843
@geofkabo7843 Ай бұрын
Wasukuma wanadam ya israel
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando Ай бұрын
Tunamshukuru mpina Kwa kututoa polini kutuleta barabaran
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Ай бұрын
Hivi,Wizara zetu ngapi zina maelezo ya uongo zinapokuja Bungeni?
@fredgonga
@fredgonga Ай бұрын
Ukikaona ka bashe utadhani kasomi hatari kumbe bure kabisa 😂😂
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Kinaongea kwa ufundi fulani hivi utadhani anasema kweli.
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Ай бұрын
Arafuu kingeleza kingiiii cha brabra
@hawagondwe2056
@hawagondwe2056 Ай бұрын
Cjui mh Rais ataiona hii sms @Samia suluhu Hasani bashe ni waziri jeuri mno na haisaidii serikali
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl Ай бұрын
Huyu jamaa Ni zaidi ya FBI😂
@EnockNanyaro-lk1zi
@EnockNanyaro-lk1zi Ай бұрын
Hii nchi viongozi wanaoiweza ni wasukuma tu mm nishaliona hilo hawa jamaa Wanahuruma sana na masikini. Pia wapo makini sana
@Nyanda506
@Nyanda506 Ай бұрын
Safi sana kaka mpina ..Wabane hao majizi mpaka yakimbie😊😊😂🎉
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw Ай бұрын
Huyu jamaa ni mwamba,mungu amjalie
@ThomasErro
@ThomasErro Ай бұрын
mpina Mungu akulinde maana ukweli unaua, nakuombea kwa Mungu awe nawe daima
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d Ай бұрын
Mbunge pekee anayesema ukweli bungeni ambaye hana uchawa wowote ule. Yuko kwa ajiri ya maslahi ya taifa. Bunge kwa sasa limebakwa, halina meno ni kusifiaaa tu kiukweli nchi inapigwa vibaya mno na cha ajabu watakutana na kumjibu mpina kwa uongo mkubwa
@jumamrange
@jumamrange Ай бұрын
Tanzania Ina akiba ya viongoz wazalendo lkn hatutaki kuwatumia, ila wote mnaoyafanya hayo, mungu anajua hukumu yenu
FULL SPEECH: President Tinubu Addresses Nigerians, Promises Better Future
23:00
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 28 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 717 М.
RIGATHI; Geriai kũnyingata muone
2:48
Inooro TV
Рет қаралды 983
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 28 МЛН