🔴 #LIVE : SIMULIZI YA VERONICA FRANK NDANI YA STUDIO MPYA EFM - SEPTEMBER 11, 2023
Пікірлер: 131
@calistherezekiel700111 ай бұрын
Dada vero jamani hongera sana mimi naomba upewe tuzo ya msimuliaji BORA wa simulizi Tanzania maana unatufundisha vitu vingi nakupenda sana dada Mungu akubariki 💐💐🌹🌹🌷🌷 maua yako haya hapa🙏🏼🙏🏼🙌🙌
@calistherezekiel700111 ай бұрын
Tunakupongeza sana kwakweli nanimefurahi sana kukuona my beautiful sister❤ I love you so much❤ 🙏🏼🙏🏼🙌🙌.
@stelamwakatulile245511 ай бұрын
Uyu Vero anajua mpaka ana kera
@calistherezekiel700111 ай бұрын
@@stelamwakatulile2455 we acha tu hatokea anaejua kusimlia kama yeye anajua anajua anajua tena 🙏🏼🙏🏼🙌🙌🇹🇿🇹🇿
@mamaraylatmamaraylat2 ай бұрын
Honger san jamn da vro unasaut nzur san jamn😘😘😘😘
@reyone687010 ай бұрын
Da Vero ninakupenda ,Mungu akubariki sana Kwa kuzidi kutuelimisha🎉❤😊
@thumnathumna594611 ай бұрын
My dear hongera umependeza .Nakufuatilia nikiwa Oman 🇴🇲🇴🇲 🇹🇿🇹🇿.Dada veronica ni kweli iyo imeenda.
@GracePatrick-zc2ebАй бұрын
Nakusalimu dada vero.naitwa hungi lissu.asante Kwa simlizi mzuri nmeipenda.
@JoyceAndrea-yt1vgАй бұрын
Jamani da vero asante kwa simulizi me Joyce wa sinza
@ImmanuelMollel-vt8fmАй бұрын
Ayse sauti yako na muonekano wako viko sawa mara nyingi nakusikiliza kupitia voda hadidh hongera sana❤❤
@zainabuselemanimsalama27037 күн бұрын
@@ImmanuelMollel-vt8fm kuna simulizi moja alisimulia Vero mdada alikua mfanyakazi wa ndani akapewa mimba na mtoto wa Bosi hawakumpa nafasi ya kulea mtoto wake akiamua kutoroka na mtoto wake kwa msaada wa mlinzi
@user-yc2cd6if1p11 ай бұрын
Dah hakika una kipaji Sana dada unacheza part zote za wahusika kwenye stor Yan vitendo mpaka saut
@shaluuanthony183611 ай бұрын
Upewe maua yako kipnz tunakupenda sana💐
@Thisisgrace97910 ай бұрын
Da vero umezidi kung’aaa na kuwa mzuri zaidi.
@jeniphermollel7406Ай бұрын
Dada vero we ni mlembo kweli❤❤
@DianaRichard-ze3is2 ай бұрын
Hongera dada vero kwasautinzr
@dominicmbuvi90110 ай бұрын
greetings from Nairobi Veronica frank, tunakupata loud and clear
@FurahaYohana2 ай бұрын
Dad velo nakupenda naitwa fulah àsher
@pesaboy-j4z19 күн бұрын
tupo pamoja tunawapata vizuri kutoka South Africa
@thuwaibaHassan10 ай бұрын
Waoo dada Veronica kwel mungu amekubariki kipaji cha sauti
@FRIDAFRANSАй бұрын
Dada Vero happy birthday 🎉🎉 hata mwanangu Leo ni siku yake ya kuzaliwa pia
@user-qm8jr6qx8k10 ай бұрын
Da Vero me nipo Oman na bado nakufatilia San mungu azid kukuweka
@lightymmary22lightymmary2711 ай бұрын
❤❤dada Veronica mremboo sana
@Veronica-xe3ss20 күн бұрын
Wajina wanguuuu❤❤❤ nakupenda sana
@happyyohana988111 ай бұрын
Waoo umependeza sana dada Veronica ❤❤
@AnnaJoseph-xr6xq11 ай бұрын
Mmmh jaman nilikuwa natamani nikuone kumbe n mrembo hvyooo jmn hongeraaa
@PrincessPherthАй бұрын
Jaman for the first time i see yoo❤
@yasintamichael11 ай бұрын
Naitw yasint napatikana kwamakam warais chanika, unasimulia vizur san pia hngra kwa saut nzuri
@sintermakei592210 ай бұрын
Wajina
@NeemaKatoto-un6ic10 ай бұрын
Ongela sana dada yangu mimi nakufaamu lakini naona kama unazidi kuwa mzuri mpenz mungu hakubaliki sana💐
@NeemaKiungo-qd8uf3 ай бұрын
Kumb ver we ni mzuli Ivo hongera una sauti nzuli da vero
@user-wq8qd1ny3t4 ай бұрын
Naku penda sana wajina wangu Veronika Mungu akupe maisha marefu
@enisajacob531711 ай бұрын
Dada Vero wewe ni mzuri mno Kama ilivo sauti yako
@MariamMsuya-n6y8 күн бұрын
Dada Vero jaman mbna mkasa wa kijana (nmemsahau jina)na mama white umeishaje Sasa kwasabab mwisho tulisikia mama white kafarik
@AdasaVincent3 ай бұрын
Dada Veronika m adasa nipo. Bunj nakupenda San mung akupe maisha marefu
@mwajumahassan248826 күн бұрын
Nipo na baba watotowangu tunafuatilia simulizi from moro tubuyu
@CoronaTesha9 ай бұрын
Waaao nakupata vizur Sana nikiwa msasani.Nafatilia Mikasa Sana tujifunza mengi.Ubarikiwe.
@user-un5zu6qq7g10 ай бұрын
Dada vero hongera sana kwakipaji cha pekee sana
@jumapiliissa483510 ай бұрын
Hongera sana ant vero na watuwote studio kwa efm mpya
@bahatigeorge615510 ай бұрын
Ahsante kila kitu kizuri hongera kwa bos umependeza mami❤❤❤
@KeleMtwale-od3ef10 ай бұрын
Naitwa kelle deo kutoka tabata na mpa pole sana dada modesta mungu aendelee kutupihania wanawake
@ZulfaDiscover-or6dr11 ай бұрын
Waooh kumbe kibonge
@andrew050211 ай бұрын
Kibonge mzuri lkn sio kibonge afu mbaya
@leilamo-bo8lpАй бұрын
dada vero nakupenda sana ❤
@user-ic9rg1nd1z2 ай бұрын
Nakupa mauwa yako dada Vero nakufatiliya sana
@alphonceombeni832 ай бұрын
dada Vero uwe una weka title bas ya stor zako ili iwe rahisi kuzion mpy
@user-dl4qs8qi9u10 ай бұрын
Dada Vero hongera Sana kwa kipaji Mungu azidi kukuweka daima
@aishajuma781311 ай бұрын
Nilikua nasikia sauti tuu kumbe ww❤❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🙏🙏
@andrew050211 ай бұрын
Dah nilijua nitakuwa wa kwanza kuview
@efrazialovenesshenerico32084 ай бұрын
Hello 👋 da Vero,,pamoja sana
@user-yl8ig4mh6l5 ай бұрын
Wa Dodoma Tanzania.. dada Veronika nakupata vyema kabisa
@user-yl8ig4mh6l5 ай бұрын
Wa Dodoma Tanzania. Dada Veronika nakupata vyema kabisa bila chenga 4:13
@user-fw4on3zn2s11 ай бұрын
Nimefurahi sana kukuona Veronika Mimi naitwa Jenifer kutoka kigamboni kibada
@user-mz2zb2nx8n11 ай бұрын
Efm hamnagajambodogo mkopoasana
@MichaelJohn-lb6uu2 ай бұрын
Veronica naitwa michael manyesha from manyara katesh nakufatilia
@HijaArahmani10 ай бұрын
Naitwa hija Mohamed nakupata live nikiwa kimara tembon nakupenda sana wewe mzuri sanaaaaaaaa mpaka unania duuuh
@user-hg4ly9eh8o10 ай бұрын
Shkm dad Veronica nakupenda sana.naitwa jackline pius
@user-so9wh1lu8x8 күн бұрын
Tupo pamoja ❤ jr
@MwanakheriMrisho2 ай бұрын
Ila da vero unakwama kweny matangaz tu aapo matangaz ni meng sana
@user-yp7fz8gx9v7 ай бұрын
Nipo Oman nakufuatili nakupenda
@godfreykaribabingwa250111 ай бұрын
Beautiful jomn daaaa
@joycelukumay495711 ай бұрын
🥰🥰waoh so cute " 👋 Vero
@fatihiyadossa37510 ай бұрын
Hongera da Vero naitwa fathiyah kutok kinondon nakupata san my dr
@alicewisdom40606 ай бұрын
Nakupata Vema Vero ma Josh toka Kisarawe2
@jofreyjuvenalis199610 ай бұрын
soo cute ❤
@MsuaMpinga25 күн бұрын
Mambo Vero Naitwa Edna Msele tuko pamoja
@ChidiMizinga2 ай бұрын
Vero nakukubal sana
@EvanceKamtelu20 күн бұрын
dad nipo nimetulia sitaki ata kutikisika Niko Makini sana kusikiliza
@RudinerMwambe2 ай бұрын
Tupo pamoja rudiner hapa...
@user-ik9zu1gc7t20 күн бұрын
da vero kilimanjaro tunakupataje???
@aishajuma781311 ай бұрын
Mungu awabaliki
@omaliathumaniomali558410 ай бұрын
Dada upovizury kwa kusimuria piga kazi
@AminaMuhamilawa22 күн бұрын
Da Vero umependeza San jmn mm iren nasubir jmn
@yassenccnho868011 ай бұрын
Naitwa Jackson nkupenda sana jaman verro ume olewa au bado
@TedyKapinga-yk7ge11 ай бұрын
Nimekuona Vero
@BoniphaceYusuph-zx1th10 ай бұрын
Huyu mtu anawatakia Nini wanawake wa uswahilini 😅
@user-dl4qs8qi9u9 ай бұрын
Dada Vero tuko pamoja
@TeddyMakassy5 ай бұрын
Jaman nauliza Efm kwa Tanga ni ngapi?
@aziza909310 ай бұрын
Dada napedasautiyako nikupeubora uliyonao ❤
@yusrakundema10 ай бұрын
Nimependa Sana kukuona❤❤
@matronmalimali680911 ай бұрын
Nimefurahi sana kukuona❤
@saumusalimuhassan249911 ай бұрын
Good story
@user-jy5oh4gk8t11 ай бұрын
Nakupenda San dad vero❤
@user-lo1ns9uw8b9 ай бұрын
Dada Vero kumbe mrembo
@danielmassawe4189Ай бұрын
Dada veronika mamb jonass
@SwafiatCute-cd3hw10 ай бұрын
Cute❤
@user-wr8fn7mp7x10 ай бұрын
Dada Veronika nakupenda
@khadijarashidy930411 ай бұрын
Penda sana dada vero❤❤❤
@SophiaHaluna4 ай бұрын
❤
@user-ri2xq5tw6v10 ай бұрын
Da Vero mrembo hvyo❤
@VanessaVicent-um1ui11 ай бұрын
Wow
@user-ux3xp3gd5g3 ай бұрын
Da Vero nakupenda sala Ila ombi langu ni kwamba naomba upunguze matangazo jaman plz
@AgnessJabe11 ай бұрын
Nimefurahi kukuona Veronica.
@shamsaseleman-i2e9 күн бұрын
Naitwa shadi toka tgt tuko pamoja mpaka tamati
@kondeboy36211 ай бұрын
Dada Veronica imekaa vizuli hongeleni kwani nimejifunza mengi kupitia Mikasa ya
@paulozabuloni-ni5uu10 ай бұрын
Nakupata mm Paulo zabuloni kumbe unaonekana dhu
@MaxmilianAlmasi-hl5nl8 ай бұрын
Nakuona mlemb maila kutk kisevule
@user-tm1ig8ym6x10 ай бұрын
Waoo veronica
@user-xq8jp8hp2n11 ай бұрын
Nimefurah sana kkuona
@tinnahagustinolyelu424710 ай бұрын
Mauwa hayo Vero umependeza saana
@ElizabethMlay-d1i13 күн бұрын
Tunangoja mkasa mpya
@Saidi-kiomboko11 ай бұрын
Hai Veronica nimefurahi sana kukuona
@MagrethMchimbu4 ай бұрын
Nipo hapa Magreth Nelson nasubilia lipot ya leo nipo dodoma
@MondesWilson-jr7rr10 ай бұрын
Da feronica Yani wewe kwer umeshika Tanzania kwa kipaji chako Yani hatar mtu hawez kufanya hifi😂💯💯💯💯💯