Shekh Ubarikiwe Mno Uko vizuri Mno asiyekuelewa ni shetani na chawa tu Umetoa Elimu
@lwitikomwakatumbula567221 күн бұрын
Shekh upo vizuri sana haupoi hauboi nimecheka sana Yani kama unachekesha ivi lakini ndio ilimu inaingia ivyo Mungu akutunze shekh watu 😂😂😂
@sadamshantiwa974921 күн бұрын
Sheikh uko vzr umeiva nimekukubari.
@osama-k4p21 күн бұрын
Motooooo
@reginamwendwa670921 күн бұрын
Shekhe big up nimekukubali
@minazsaid247021 күн бұрын
Sema baba sema tunakuelewa 🙌
@user-bx3ko9ft5t21 күн бұрын
She nime kuelewa uko vizuri sana
@NicIbrahim21 күн бұрын
😢😢😢😢
@rogersiddy21 күн бұрын
Kwa elimu hii maaskari kama haijawaingia basi akili zimehama kwakweli maana nyinyi ndo msaada mkubwa kwa ccm wanawategemea nyinyi tu hawana nguvu ccm
@user-qz2cs5wm5u21 күн бұрын
Wewe na shehe ponda ktk mashehe wote nyinyi ndio mtaingi peponi
@DjJohnBashir-oy7cx21 күн бұрын
Chadema wote ni wasomi
@MonicaBeni21 күн бұрын
Yule mama nani? Naye siana chawa hahaha mama naniiii!!!
@erickmsigala13821 күн бұрын
Huyu shehee amenivutia sana hoja zake tunakuhitaji uje Iringa kuna mpumbavu anajiita Mchungaji kajiuza !
@user-qz2cs5wm5u21 күн бұрын
Shehe njoo kwetu kimbiji kigamboni
@sospeterodhiambo686921 күн бұрын
Kwa kweli leo nimejifunza kitu kikubwa kwa huyu sheikh Chochote cha serikali kinazidiwa na za binafsi
@rogersiddy21 күн бұрын
Dah kumbe elimu hiyo hiyo ulioishika wewe namimi nimeishika vile vile nimejifunza vyema kbs✌️💪
@giftkalenge41821 күн бұрын
huyu jamaa aje na huku Kanda ya Nyasa has njombe
@JumaGishanga20 күн бұрын
Mtoto wangu amesoma shule ya kata amefaulu naambiwa nilipe ada laki Tisa nitazipata wapi kama nilikosa ada ya shule binasfi je hii ccm haina akili kwanini inatutesa masikini