Baba hakika hata huko uliko tunaamini upo pamoja nasi vijana wako wewe ni baba yetu Tabzania
@africanchocolate42164 жыл бұрын
🤩 Magufuli ali takiwa awe Raisi wa Tanzania 🇹🇿 pindi tu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipo toka madarakani!
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Asante Baba magufuri Mw/MUNGU 🙏 akupe maisha marefu Zaid Ww ndyo kiongoz tulye kuwa tunamuhtaj
@hamsouledi174 жыл бұрын
Mr Magufuli ungwna wako unaleta faraja kwa sura ya kisiasa Africa.
@danieljulius47084 жыл бұрын
Raundi hii ni kunyooshwa tu bila kupepesa, imebakia kwa wabunge watoa rushwa za chumvi na nyamaaa, this is maguuuu brother, a new pan africanist of this era.
@mayrfrimi47594 жыл бұрын
Baba magu tunaomba pia kule Kilimanjaro, kuna uwanja uko maeneo ya soweto, ni pori la miaka mingi , inasemekana kilinunuliwa na muingereza , na hakifanyii chochote , tunakiomba sisi wana Kilimanjaro tukiendeleze .
@bizuwena6234 жыл бұрын
INGEKUWA KASI HII KAIANZA WAKATI HUU TUNGESEMA MSIMU WA KURA UMEFIKA.LAKINI KASA HII MWANZO MWISHO.SAFI SANA
@sadothisalvatory10054 жыл бұрын
Aisee mh shimiwa Raisi Endelea baba yani Mimi Nakukubali sana Raisi
@majidayubu82214 жыл бұрын
Kama na wewe ni mpinzan kama mimi ila unamkubali magu gonga like kama zote magu myaka mia
@daevywizzy1924 жыл бұрын
Best president ever 🙏 🙏 🙏 🙏
@shawaribakari12263 жыл бұрын
Maguful nilikuaa nakupendaa Sana lkn mungu nakupendaa Sana Tena Sana zaidiii yetuu 😭
@leokamil62844 жыл бұрын
Raisi asante sana yaani nakupenda kwa kuwapasha viongozi wanaojifanya wajuaji .Badili Wizara hiyo huyo kalewa madaraka
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
Mh Amiri Jeshi Mkuu Magufuli anajua story zote ‘ usimfiche kabisa ..!...Sasa shughuli mnayo...!
@tebogolucia68894 жыл бұрын
Safi sn magufuli mungu atakulinda unapiga kazi sana wewe unafaa kutawala miaka ata 30 unajua sn christiano simba Johannesburg
@Mimi-wf7mb4 жыл бұрын
Katika mawaziri wa Magu hapa kwa lukuvi alipatia. Anapoga kazi balaa. Alipewa wizara yenye changamoto za kila rangi. Anaishughulikia vilivyo. Mungu ampe nguvu kwa kweli
@leokamil62844 жыл бұрын
Yaani Mheshimiwa Raisi leo natamani ningekuwa ningeomba nikuone maana kura yangu nakupa maana ww ni kiboko yao 👏👏👏
@richardboaz-mashagospel23464 жыл бұрын
Magufuli atawale tu, mpaka apate umri wa miaka angalau 80 ndio angalau apumzike! Lakini kwa sasa aendelee tu.☺
@basilisamsaka84694 жыл бұрын
Lukuvi amejitahidi sana jamn migogoro mingi ya ardhi ameitatua,asiaibishwe kwa hili jamn
@manyotaskipper57654 жыл бұрын
Kwa UTENDAJI HUU WA MAGUFULI acha MBOWE AJIFANYE KATWEKA MAANA HANA HOJA YA KUZUNGUMZA
@salumjuma31524 жыл бұрын
Hatari magu noumah na huku Zanzibar mtuletee mtu kama huyu