LIZER CLASSIC : HAIKUWA SAWA HARMONIZE KUONDOKA WCB / NILIMDANGANYA MARIOO KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ

  Рет қаралды 45,890

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

6 ай бұрын

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Пікірлер: 93
@user-ii1gz2it4c
@user-ii1gz2it4c 6 ай бұрын
Lizer mtu mpole Sana sis tulikuwa tunajuwa niwakwetu Burundi zamani tulikuwa tunalalamika kwamba diamond katuiba producer ila tunakupenda Sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪🙏
@VannlyTembo
@VannlyTembo 6 ай бұрын
Much love from 🇨🇩 nipeni like zangu
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 6 ай бұрын
Tunakupenda sana mkuu!❤❤❤❤
@user-hs2yk4wv6o
@user-hs2yk4wv6o 6 ай бұрын
Lesa best presenter
@user-bj6bs9do2f
@user-bj6bs9do2f 6 ай бұрын
Uyo Nimtoto Wa kigoma Mtaa Wa Regeza Mwendo Jilani Na Ujiji Gest Mtoto Wa. Mwalimu 🤣🤣🤣Laiza A.k. A Silaju
@hansperson1012
@hansperson1012 6 ай бұрын
Sema fanyeni mpango East Africa mtengeneze na muweke Dicoration bora studio yenu iwe kama wasafi na etv kwa sasa maana imekaa kizamani sana toka mwaka 2008 mpka sasa
@lyrics_forum
@lyrics_forum 6 ай бұрын
Lessa nadhani Anastahili kuwa Best Female Journalist in Tanzania 🇹🇿 🔥, Huyu Dada Anatangaza vizuri sana Nampenda sana aisee anafanya Kipindi kionekane Kipindi. Sema na Msafi hajakaa nae Kinyonge
@dudumankidume3046
@dudumankidume3046 6 ай бұрын
Laizer longtime tulikutana bujumbula nyakabiga ❤❤ much love brother
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
EEWEEEEEH_🤔
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 6 ай бұрын
Kwenye music ya Congo especially Rhumba, wanaotajwa wengi ni matajiri na unalipia kutajwa, na wengine wanalipa hela nyingi zaidi ili watungiwe nyimbo kabisa, ndiyo maana ukiangalia nyimbo kadhaa za Werrason, Koffi, JB Mpiana na wengineo utakuta jina la wimbo ni jina la mtu, na miongoni mwa watu wanaontajwa sana ni Didier Kinwani, Adam Mbombole, Robert Basende n.k.
@AmaniNangerembe
@AmaniNangerembe 6 ай бұрын
Ila mm namtaka uyo jurnalist wakike ni mrembo sn ❤❤
@jumafox-mu1dd
@jumafox-mu1dd 6 ай бұрын
Much love sana piwa unajua sana huna mapepe kabsa Yani unaskilz yakutosha sana na huu mwaka ni wako kabsa planet bongo umeibeba wewe sasaiv
@SOS_VILLA
@SOS_VILLA 6 ай бұрын
Comix lizer.... Best producer
@SurprisedAstrolabe-id9gc
@SurprisedAstrolabe-id9gc 5 ай бұрын
Laiser ni murundi 100% sema alitambulishwa kama mtanzania kwa ajili ya kazi nzuri aneyemfanyia Boss Diamond
@Kulindwa
@Kulindwa 6 ай бұрын
Harmonize kuondoka wcb ilikuwa jambo sahihi kwa amani yake, na matokeo yake ndio Kukua kwake huku
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 ай бұрын
Kukua ama kushuka? Harmonize kaenda na kiki za Kajala sasaivi kapoa balaa yeye na Vanny wote shimoni
@Kulindwa
@Kulindwa 6 ай бұрын
@@BigZhumbe kiki ni mbinu ya kibiashara kujiweka sokoni kwa ajili ya kuuza bidhaa zako, konde akili kubwa, anayatumia maisha yake binafsi kumpa namna za kuzaa bidhaa na wakati huohuo anayatumia kimatangazo..its marketing strategy kwa wasomi wa masoko wanaelewa
@em_vee_josh
@em_vee_josh 6 ай бұрын
Ayo lizer❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@youngnacho
@youngnacho 6 ай бұрын
Natamani Sanaa broo Siku Moja Unichapie Ngoma Ata Moja Mdogo wako
@john_1trader
@john_1trader 6 ай бұрын
Laizer una akili saaana waadishi wanataka kugobanisha ila unajibu maswali vizuri
@israelnibigira4990
@israelnibigira4990 6 ай бұрын
We ndo producer number One hapo bongo
@bizomenyimanaelias5455
@bizomenyimanaelias5455 6 ай бұрын
Huyu jama mrundi tu mi namjua Rumonga kabla hajaenda kufanyiya kazi Bujumbura
@user-lz7xm8mc6w
@user-lz7xm8mc6w 6 ай бұрын
Ongezeni maic Bhan mnapokezana vp
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi 6 ай бұрын
Time harmonize mpo gonga like hapa bs
@kjb_user0077
@kjb_user0077 6 ай бұрын
Sio time ni team
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi
@Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi 6 ай бұрын
@@kjb_user0077 nimekosea bhn ulimi hauna mfupa🤣
@ivankalisa9491
@ivankalisa9491 6 ай бұрын
Hhhhhg😂😂​@@kjb_user0077
@JumaVanny-wb1te
@JumaVanny-wb1te 6 ай бұрын
Lizer one 🔥
@masoudgonje9167
@masoudgonje9167 6 ай бұрын
Watangazaji bana😅😅 Fanyeni research na mjipange kabla ya kuuliza. Yaani mtangazaji badala ya kumuuliza swali anajikuta anamuongelea tena huyo huyo anaemuhoji😂😂 Okay! Okay!
@Mo-Melody
@Mo-Melody 6 ай бұрын
Jamaa nimkali kinoma🎉❤
@RazakiMmalinda-rl3ej
@RazakiMmalinda-rl3ej 6 ай бұрын
Laizer Tisha xn🙌
@user-on2bj1pj1k
@user-on2bj1pj1k 6 ай бұрын
Chitaki ni sina ya mdeko
@yahayashuta9608
@yahayashuta9608 6 ай бұрын
Laiza mwongo sana
@user-ei4ls8pq4s
@user-ei4ls8pq4s 6 ай бұрын
huo mtaala uko sawa
@smartproduction4487
@smartproduction4487 3 ай бұрын
I'm also a music producer in this world i always believe in this guy if i haven't refer any of my products to is products i will never let it go out i have to make sure that i mix like him i wish to meet lizer one day shout out to you my bro you deserve honor and respect sir salut
@pc_boy426
@pc_boy426 6 ай бұрын
Lizer prod number on(1)
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 6 ай бұрын
Jaman mbona nandy kaimba beketu beketu bayembe
@trienette6224
@trienette6224 6 ай бұрын
Eyoo laizaa❤❤🎉
@Official-bataboy
@Official-bataboy 6 ай бұрын
Tumechelewa kweli
@Officialsaria001
@Officialsaria001 6 ай бұрын
Fire
@witnaofficial
@witnaofficial 6 ай бұрын
Hey , nipo Congo. Hivi huyu DiamOnd alipata wapi akili yakufanya Wcb? Pia hiyo maisha yake ya wimbo yake wa mbagala Mbona ili kuwa mbovu tu.alipata wapi hela😮😮😮
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 ай бұрын
Hela aliokota kwenye barabarani akawa star kimiujiza 😂
@Teacher_01
@Teacher_01 6 ай бұрын
NI mim nilimpatia kwa masharti..
@duke6318
@duke6318 5 ай бұрын
Wee mtanzania kwa taarifa yako. Mbona unatubeba malenge.
@duke6318
@duke6318 5 ай бұрын
Wee mtanzania kwa taarifa yako. Mbona unatubeba malenge.
@JoerntonAnthony
@JoerntonAnthony 5 ай бұрын
We umevuta bangi
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 6 ай бұрын
Mbn mnamuuliz khuc Konde pkee jmn c Kuna Vanny boy au
@adozenaziz8362
@adozenaziz8362 6 ай бұрын
ayoo lizer
@thehonderis9560
@thehonderis9560 6 ай бұрын
Interview fulani safiii Sana congratulations baba from 254🇰🇪👍👌
@niyongendakosamuel858
@niyongendakosamuel858 6 ай бұрын
Si useme tuu ukweli kwani ukisema kwamba wew Ni murundi utapungukiwa nini kua proud na inchi yako bro
@afrodinova
@afrodinova 6 ай бұрын
Kwani amekwambia yeye ni mtu wa Burundi??
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 6 ай бұрын
​​@@afrodinova🤣🤣watu Wana shobo sana,,,Tz laizer wengi n wamasai
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
​ EEEEEH HASA MOSHI & ARUSHA
@yahayashuta9608
@yahayashuta9608 6 ай бұрын
Mulizeni laiza kipindi anafanya mangoma Na big fizzo na Q boy ilikuwa lini na amekuwa namyaka ngapi😳
@kennymakunja405
@kennymakunja405 6 ай бұрын
Kaka lazizer ofice yako ipo wapi kwa hapa.dsm.nakupataje...?.. Tufanye kazi.
@Kulindwa
@Kulindwa 6 ай бұрын
Konde boy yupo na uongozi unaojua sayansi na sanaa ya uzalishaji na masoko kwa afya ya bidhaa zake; wcb hawana elimu hiyo, hivyo alifanya maamuzi sahihi kuachana nao akiwa amejibeba zaidi kuliko kubebwa maana kwa miaka mitano ilikuwa agharamiwe nyimbo 15 kimkataba lakini aligharamiwa nyimbo 9 tu huku yeye mwenyewe akiwa amejigharamia nyimbo 50! Tafakari hapo!
@user-dn9ow7nd4m
@user-dn9ow7nd4m 6 ай бұрын
Naqubal xana East Africa Fm
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 6 ай бұрын
Ni kuishia darasa la VI na siyo la V
@nevers7561
@nevers7561 6 ай бұрын
Wallah laiza mina mjuwa Rumonge akija kusafa aliteseka kwa kweli asa tulikua tunamsumbua mkumbusheni RUMONGE Burundi
@user-qd1no3cg4n
@user-qd1no3cg4n 6 ай бұрын
Angalia kipindi Cha hivi ni kweli Cha wasafi tv na Lizer anainfelea yote ya Rumonge mpaka kwenda Bujumbura na kukutana na diamond
@nevers7561
@nevers7561 6 ай бұрын
Anapajuwa Rumonge uyo muuulize
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
​ 🎉🎉🔥
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 6 ай бұрын
Laizer atak kuitwa itwa kama we zombi we laizer
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 ай бұрын
Huyo signature yake ni Ayo Laaaizer
@mwananganzi
@mwananganzi 6 ай бұрын
Lizer
@user-ki5cq5do1v
@user-ki5cq5do1v 6 ай бұрын
Simba
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 6 ай бұрын
Huyo Dada ameolewa au bado?? Mbona nimewaza kumuvisha pete??
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
😅😅
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 6 ай бұрын
Ngoma nyingine zilibaki huko na boss wako anazitoa kama zake
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 ай бұрын
Unavyojidanganya? Mmakonde aibiwe wimbo asiongee na anavyopenda kiki
@chingaboy1149
@chingaboy1149 6 ай бұрын
😂😂😂tushasema mnarudi kwenu nyote nyinyi semeni nikaribu ila mtarudi mtanzania wowote anajulkana subirini daŵa ipikwe😂😂
@user-uj1rh4vm7g
@user-uj1rh4vm7g 5 ай бұрын
Unaka makabira wewe mbona unaongea vibaya
@user-ov6th5wn5n
@user-ov6th5wn5n 4 ай бұрын
Oya Rich msafi unajua sana kaka🔥🔥😂
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 6 ай бұрын
gud🎉🎉🎉🎉😢❤❤❤❤
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 6 ай бұрын
Mkataba wa maneno, simply ana maanisha yeye ni FREELANCER, yuko huru kufanya kazi na mtu yeyote
@k-frexxmpenzi
@k-frexxmpenzi 6 ай бұрын
Huyu mtangazaji wakike huwa mrembo sana,hebu mnipe namba yake
@user-yr1uy7qz3z
@user-yr1uy7qz3z 6 ай бұрын
Acha uwongo wewe ni mulundi tunakujua bro
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
MRUNDI WA MKOA GANII???
@scardee.7630
@scardee.7630 6 ай бұрын
Good
@ISBLion
@ISBLion 6 ай бұрын
🎉
@sammixit7260
@sammixit7260 6 ай бұрын
Lizer mon meilleur producteur🎉
@kigondipeter3372
@kigondipeter3372 6 ай бұрын
Tanzania mpo nyuma kielimu....njooni TZ mfanye Benchmarking.
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 6 ай бұрын
🤣🤣🤣oya umepigaje hapo cjakuelewa"Tanzania mpo nyuma kielimu,,,,Njoon Tz".Kwan Tz n wapi na Tanzania n wap🤣🤣🤣🤣
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
​ 😅😅Ndiooo_🤦🏿‍♀️ 😅😅
@emmanuelcuthbert2666
@emmanuelcuthbert2666 6 ай бұрын
Haya ndio mambo huwa yanatokea alafu baadae utasikia jamaa anajisikia kumbe kazi yako hajaisikia
@Bizzy176
@Bizzy176 5 ай бұрын
Ongezeni mike na nyie mnazingua studio ina mike 3
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE 6 ай бұрын
Mwanaume kutobo pua n ufala
@user-ih7os3ht6d
@user-ih7os3ht6d 5 ай бұрын
Huyo dogo alie vaa nguo nyeusi apo eastafrika mnalipa shingapi maana haujui kazi yake mm simpendi sana maana hajui kuhoji kabisa
@elysegatoto
@elysegatoto 6 ай бұрын
kwahio huu mpumbavi alivyoenda bongo sikuhizi anaanza kujiita mtu wakigona sio?? Burundi amepasahau lakini watu wasas kwel nihatali
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 96 М.
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор#cat  #топ
0:24
Лайки Like
Рет қаралды 1,7 МЛН
I meet Mr.Beast
0:15
ARGEN
Рет қаралды 26 МЛН
Поймали акулу
0:51
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,2 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 25 МЛН
貓媽媽🆚爆米花🌽🥷🍿 #aicat #shorts #cute
0:33
Cat Cat Cat
Рет қаралды 42 МЛН
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Gbeckett12
Рет қаралды 52 МЛН