ufugaji bora tv ni kituo kinachotoa huduma za mafunzo ya kilimo na mifugo, pia namna nzuri ya matumizi ya local cage.
Пікірлер: 26
@muhyanakathembo7701Ай бұрын
Shukrani baraka kwa mafundisho mazuri kuhusu ufugaji wa kuku.nimara ya kwanza mimi kukusikiliza aksante. Nitapima kutumikisha. Mimi ni kathembo MAMbO Muhyana RDC ville de Beni Commune beau Q Mulekera.
@andersonkalindira33884 ай бұрын
Nakubali sana kazi yako mkuu... tangu unitengenezee cage ya kuku 300 aaaah alo kaka nimeanza kuona matunda ya juhudi zangu zilizosaidiwa na cage zako aseee we ni mtu na nusu
@UfugajiBoraTV4 ай бұрын
🙏 karibu Sana
@blessingchetachukwu978816 күн бұрын
Hello
@UfugajiBoraTV16 күн бұрын
Hello ☝️
@sarahkamau42642 ай бұрын
Am in kenya
@UfugajiBoraTV2 ай бұрын
Your welcome
@vmokullo94352 ай бұрын
Ninahitaji kujengewa Banda nyumbani kwangu
@UfugajiBoraTV2 ай бұрын
Sawa tupigie simu
@vascomwalongo4514 күн бұрын
Hizo kelele za bati.....je haizathiri Kuku? Haziwapi Kuku stress?
@UfugajiBoraTV4 күн бұрын
Hapana hazina shida na hizi ni bati za mwanga (plastic) hazina kelele Sana.
@sibongilemthiyane23702 ай бұрын
Hi i like your structure. How big is it
@UfugajiBoraTV2 ай бұрын
Use WhatsApp to contact us
@kongani.gladys94492 ай бұрын
@@UfugajiBoraTVhii
@elibarikingowi5872 ай бұрын
unapatikana wapi?
@UfugajiBoraTV2 ай бұрын
Dar es salaam
@sweetberthawilliam65873 ай бұрын
Tupe bei ya cage
@UfugajiBoraTVАй бұрын
Tupigie simu
@josephmwatonoka85393 ай бұрын
muwe mkiwrka na bei kuliko kuongea sana
@UfugajiBoraTV3 ай бұрын
Ndomana tunaweka namba za simu piga Ili upate bei vizuri boss hutuwezi kuweka bei za cage zote.
@vmokullo94352 ай бұрын
Mimi Niko Dar, unagika?
@UfugajiBoraTV2 ай бұрын
Sawa tupigie simu
@vmokullo94352 ай бұрын
@@UfugajiBoraTV contact plse
@UfugajiBoraTVАй бұрын
Welcome
@IDIDIJOHNАй бұрын
Ya kuku 300 inaweza gharimu sh. Ngapi kwa kukadiria