LUKA AMUULIZA FEMI 'KWANINI UNANIPENDA', ALICHOJIBIWA, AMPA HELA HAPO HAPO!

  Рет қаралды 333,639

Wasafi Media

Wasafi Media

5 ай бұрын

LUKA AMUULIZA FEMI 'KWANINI UNANIPENDA', ALICHOJIBIWA, AMPA HELA HAPO HAPO!
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 171
@elolam7
@elolam7 5 ай бұрын
Wale ambao mwaka huu tunaenda kuwa matajiri si kwa ajili yetu ila kwa ajili ya utukufu wa Mungu.. nikuone kwenye comment please!... Sema chochote tajiri mwenzangu❗hii ni kwa matajiri tu❗💰💵💴💷💳
@user-xh3bp4il8j
@user-xh3bp4il8j 5 ай бұрын
Amen
@oliverkazahura5073
@oliverkazahura5073 5 ай бұрын
Amen 🙏
@fabrakepisamwel7888
@fabrakepisamwel7888 4 ай бұрын
Hi Tajiri mwenzangu, kwa ajili ya Heavenly Father's Kingdom ❤
@nancyenock5601
@nancyenock5601 3 ай бұрын
Na ikawe kwa Kila mwenye nia
@user-op7yu8nq6k
@user-op7yu8nq6k 3 ай бұрын
Amin tajiri mwenzetu
@francesframa4150
@francesframa4150 5 ай бұрын
Wanawake hakawii kusema 50 yakusukia akasahau kama anakipara😂😂😂
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Sasmank11
@Sasmank11 3 ай бұрын
Dah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hadi mbavu zinauma
@PiliSalehe-lt9ul
@PiliSalehe-lt9ul 2 ай бұрын
😂😂
@user-zw1rk1bq7l
@user-zw1rk1bq7l Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-hl7hm7dt5w
@user-hl7hm7dt5w 4 ай бұрын
Nice couple Femi and Luka❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@hamzasakapala9939
@hamzasakapala9939 3 ай бұрын
Luka hajui namba ya manzii ake
@nurumohamed5830
@nurumohamed5830 5 ай бұрын
Nice couple Femi na Luka❤❤
@ndera_boy_tz_acter4578
@ndera_boy_tz_acter4578 3 ай бұрын
Vipara vinangaa sana saizi ikitoka bunji ije movie ya vipala watupu bwana isarito By ndela boy tz kaka wa mtaa🇹🇿
@user-kr9pd4xh3d
@user-kr9pd4xh3d 3 ай бұрын
Uyu lucas ananimaliza nikimuona i feel somet❤❤❤hing
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 5 ай бұрын
WE UTAKUJA KUSKIA WAMEZAA TU,,,,HIYO HAIDANGAMYIKI WATU MNAPOGANDANA MUDA MWINGI KILA MTU HUANZA KUMPENDA MWENZIE AUTOMATICALI,,MI SO MSHAURI LAKINI STAKI KUDANGANYWA.
@ZalhathamohdSaid-qn4jj
@ZalhathamohdSaid-qn4jj 5 ай бұрын
ukweli
@user-mv2ff7by1r
@user-mv2ff7by1r 5 ай бұрын
@@ZalhathamohdSaid-qn4jj😂
@doreenmashele8975
@doreenmashele8975 29 күн бұрын
Nimependa neno kupandana hahahahahaha
@jersonmpeka4984
@jersonmpeka4984 3 ай бұрын
Zawadi sio ela tu ata busu ni zawadi tosha Tena kubwa kuliko ela
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 5 ай бұрын
Huyu MWAMBA nimemkubali SANA. Pale aliposema BILA woga NILISHAWAHI KUSALITI DUH 🙄🙄✔️
@koleshsingratory3019
@koleshsingratory3019 4 ай бұрын
Nyie wanaume wa aina hii ndo mnafanya maisha yawe magumu wallah😊
@ramayonline2281
@ramayonline2281 5 ай бұрын
Napenda kuujua ukweli kuhusu Femi na Luca,hawa ni wapenzi……????😮😮😮😮😮😮
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 5 ай бұрын
Hao mbwaa ni wapenzi , wanaficha tu😂
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 5 ай бұрын
Film tuu ndo inaunganisha hivo😂😂
@annakbunga8377
@annakbunga8377 5 ай бұрын
Niwapenzi kweli
@ramayonline2281
@ramayonline2281 5 ай бұрын
@@annakbunga8377 Nashukuru
@ramayonline2281
@ramayonline2281 5 ай бұрын
@@MdNasr-jm8pj thanks
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 5 ай бұрын
Hivi hofu ya mungu maanaake ni nn? Unnawezaje kuvaa maziwa wazi ALAFU unasema hofu ya mungu?? Hofu ya mungu kivipi?
@Naahlyan
@Naahlyan 5 ай бұрын
Tuna taka mnaume mwenye hofu yamungu ili atubadilishe iki sitak atufanyi ila tukipata mwenye moyo wa shetan ushetani utazid
@livematchcentre21
@livematchcentre21 5 ай бұрын
Matikiti kuondoka matikiti kuondokea 😂😂
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 5 ай бұрын
Ulizaliwoo nazoo
@mrh2812
@mrh2812 5 ай бұрын
😂😂😂😂​@@auntiemylee3157
@theblack_6754
@theblack_6754 5 ай бұрын
Binadamu tuliumbwa Uchi, kama Mungu angetuumba tumevaa basi hata ayo maziwa kuwa wazi ingekuwa keso kwake"""
@kakasteve7117
@kakasteve7117 5 ай бұрын
Wanawake waajabu sana. Ukimwuliza yeyote kuhusu aina ya mwanaume anayemtaka atasema hivi alivisema femi. Anipende, anithamini. Yaani wao wanataka kupendwa tu. Hawataki kupendana. Yaani wanataka wathaminiwe wao tu. Sijawahi kusikia mwanamke akasema nataka mwanaume ambaye tutathaminiana. Wanasema aniheshimu, anipende, anithamini na anijali. Lkn wao kutujali sisi waka hawana mpango
@deborahmsemwa9363
@deborahmsemwa9363 5 ай бұрын
Kupenda ni kazi ya mwanaume kazi ya mwanamke ni kumtii mmewe
@user-jj9vb4zv5g
@user-jj9vb4zv5g 4 ай бұрын
Mwanamke hajaumbwa kupenda bali kutii.
@Lee-ng5wh
@Lee-ng5wh Ай бұрын
Mwanaume anatakiwa kumpenda mwanamke na mwanamke anatakiwa kumheshimu mwanaume
@raphaeldominiko
@raphaeldominiko Ай бұрын
Luka Nampenda Shem Wangu Bhn Mungu Akupe Maisha Marefu
@mcgabby
@mcgabby 5 ай бұрын
Pumbavuuu sura inayo sema mwanaume awe na hofu ya Mungu Sasa🙌
@mrmeshack
@mrmeshack 4 ай бұрын
shida ni sura kaka
@OfficialdjzeroOfficialdjzero
@OfficialdjzeroOfficialdjzero 3 ай бұрын
You deserve the best 😂😂😂 bro umetisha sn Jembe😊😊
@hadijastebo9019
@hadijastebo9019 4 ай бұрын
Luca nimekubali
@Ms05195
@Ms05195 5 ай бұрын
Nilikuwa nimesubilia namba iyo
@user-fg7yc3jp8f
@user-fg7yc3jp8f 5 ай бұрын
❤❤❤
@saidjuma-nd7zq
@saidjuma-nd7zq 2 ай бұрын
Nice mungu awabariki
@ddicksonssamson1781
@ddicksonssamson1781 5 ай бұрын
Nmeumia sana kusikia hampo kwenye mausiano😢
@thompsonkiputa6842
@thompsonkiputa6842 5 ай бұрын
Hujakalili namba ya mpenz wko..? Shtuka mwaisa
@user-xg7ph7bz7p
@user-xg7ph7bz7p 5 ай бұрын
Sema wanaume tutafute pesa
@user-xx7ig7pl9h
@user-xx7ig7pl9h 3 ай бұрын
Asante Mungu kwauweza wako
@umasainimedia
@umasainimedia 4 ай бұрын
Familia.
@AlamwabelaAlamwabela
@AlamwabelaAlamwabela 3 күн бұрын
Kizaz Sana luka
@zalinamangi8039
@zalinamangi8039 2 ай бұрын
Angekuwa na nywele nahs angependeza Sana ,,sasa alivonyoa zungu hivyo ndo Nini.😢
@user-pg9wy7sw6q
@user-pg9wy7sw6q 5 ай бұрын
Ni wapenzi au nn mbna sielewi
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 5 ай бұрын
Kwan hawa ni wapenz kweli ama ni jua kali tuu😃😃😃
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 5 ай бұрын
Huyu femi ni msouth Africa/bushwoman
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 5 ай бұрын
😂😂😂🎉🎉
@mariammalimi9551
@mariammalimi9551 5 ай бұрын
😂😂😂
@salumungassa9217
@salumungassa9217 5 ай бұрын
Mond ata mpa kazi wasafi tv
@ChrisSuave
@ChrisSuave 5 ай бұрын
Na kipara chake kama Mke wa Will Smith😂
@SteveRonny-kg8wn
@SteveRonny-kg8wn 5 ай бұрын
Mavaz sio sababu m2 akose hofu ya mungu,
@gasperchacha1838
@gasperchacha1838 4 ай бұрын
Unavaa kulingana na hofu uliyonayo. Ukiwa na hofu ya shetani unavaa kishetani, ukiwa na Hofu ya Mungu , unavaa kama mwenye hofu ya Mungu. Dress code matters, mavazi yanamzungumza mtu ni wa aina gani, hata wewe unajua
@user-wk5en1fm1f
@user-wk5en1fm1f 4 ай бұрын
Kweli chaliangu utasikia Wana totoz
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
Akikutana na bwanaake wa mwanzo analika bila kikwazo na anaweza kurudiana nae na kukuacha, onyo usiwekeze nguvu nyingi kwa demu
@irenematari6218
@irenematari6218 5 ай бұрын
Kwani ni wapenzi ukweli??
@carolinemahenge1674
@carolinemahenge1674 5 ай бұрын
Hofu ya Mungu Ww unayo😅
@wanyalukoloculturaltours5045
@wanyalukoloculturaltours5045 5 ай бұрын
Wanaendana sanaa
@JumaKalolo
@JumaKalolo 4 ай бұрын
🎉
@RaphaelMalogo
@RaphaelMalogo 3 ай бұрын
Wana wake wote shikamoo
@user-dg7pr8fs1j
@user-dg7pr8fs1j 4 ай бұрын
Uzuriii ni kwamba wamefanana hdi vichwaa mashaallah kasoro rangiii ya kichwaaa hhhhhhh
@WinnieChrispin
@WinnieChrispin 19 күн бұрын
Ok
@DorinSam
@DorinSam Ай бұрын
💔🍎
@josephdimosopantaleomadegh7599
@josephdimosopantaleomadegh7599 2 ай бұрын
Awo so wapenz ila uyo Dem anampenda jamaa ludia jamaa alipoulizwa kuusu kuchiti akakubali kuwa alichit demu akashituka
@MyblessedShots
@MyblessedShots 5 ай бұрын
Oaaaa wasafi Hiyoo TV mbovu mnipe mimi
@mshambaused3840
@mshambaused3840 4 ай бұрын
Una 👀👀👀👀😂😂
@MaryamMaryam-ru1qt
@MaryamMaryam-ru1qt 2 күн бұрын
Hahahaha
@allenrajabu6384
@allenrajabu6384 5 ай бұрын
Sasa inakuaje mwamba hajui namba ya mpenzi wake kwa kichwa???
@CandyVois
@CandyVois 5 ай бұрын
❤kwani mapenz yet yalianzia jua kali
@BeboyMrkonk-hx2ur
@BeboyMrkonk-hx2ur 3 ай бұрын
Kaka me naimba naomba msaada wenu
@franssmoses6791
@franssmoses6791 5 ай бұрын
Wana wakilisha vipara au xx mbn atuelewi
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 5 ай бұрын
kila siku media tour mbona sielewi lengo hasa ni nini au mnatangaza viparangoto wenzetu!???
@user-ep4kd3rv6y
@user-ep4kd3rv6y 5 ай бұрын
😂😂
@aysha9932
@aysha9932 5 ай бұрын
😃😁😃😃ila Kuna watu walvurugwa jamn😃
@ramyramso
@ramyramso 5 ай бұрын
Hofu ya MUNGU mh ukitoa sadaka uanze kwako kwanza je wewe unayo hofu ya MUNGU
@user-ez4ht1vd1g
@user-ez4ht1vd1g 19 күн бұрын
Imeingia kweriiiii!!!
@drimzmjeshii4701
@drimzmjeshii4701 4 ай бұрын
Mwananume ajue kukupenda kwa icho kipara😂😂😂
@user-mm4jg3he5p
@user-mm4jg3he5p 2 ай бұрын
Kweli mwanangu haujadanganya
@user-tz3wh6gv2d
@user-tz3wh6gv2d 5 ай бұрын
Hawa ni wapenz au inakuaje mashabiki 2nahitaji kujua
@dangomc_niger
@dangomc_niger 5 ай бұрын
mkishaa jua iwasaidie nn
@user-is7dm1vu6x
@user-is7dm1vu6x 5 ай бұрын
Luka na Femi ni wapenzi ila isarito na mulky 😂😂😂 sijui kabisa
@aminasuleyman5834
@aminasuleyman5834 5 ай бұрын
Ni wapenzi kweli kabisa
@kijokombao5345
@kijokombao5345 5 ай бұрын
Imeingia eeh..!?😅
@umizaubongo
@umizaubongo 4 ай бұрын
Hamtaki hasara mnanyoana wenyewe kwa ngumba😂
@shandixter639
@shandixter639 4 ай бұрын
Si kupenda kwao Femi ako na tatizo sijui inaitwa ugonjwa kwani...
@rashidally7285
@rashidally7285 4 ай бұрын
Imeingia eeeh😂😂😂
@ankojohn003tv7
@ankojohn003tv7 5 ай бұрын
mtaachana 2
@MukandoriChella
@MukandoriChella Ай бұрын
Eti Luka mgumu huo 😅😅😅 femi weye😂😂😂Tangu lini Na kula héla ya lucka ?😅😅😅😅femi🎉🎉🎉
@Kifaru_updates
@Kifaru_updates 4 күн бұрын
Hatali😊
@user-fv5dn2hh8q
@user-fv5dn2hh8q 20 күн бұрын
Tuko pamoja sana
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 5 ай бұрын
Mapara 😂😂😂 mwanamke kunyoa para unachsha😂😂
@user-ph2xv2jz8d
@user-ph2xv2jz8d 5 ай бұрын
Amekua kama Shaolin soker😂😂
@doreenmashele8975
@doreenmashele8975 29 күн бұрын
Roho sio mavazi😊
@user-in5mr7rd5x
@user-in5mr7rd5x Ай бұрын
Jaman mme pendeza
@gijoelisha
@gijoelisha 5 ай бұрын
😅😅kimeumana
@ebiyatMwampashe
@ebiyatMwampashe 2 ай бұрын
Uenda mimi ningekosea Kwan ningemks
@francenipala
@francenipala 5 ай бұрын
Mambo ya mirad hayo
@PiliSalehe-lt9ul
@PiliSalehe-lt9ul 2 ай бұрын
Maskn mwenyew katoa ela uku kiroho kinakuumu
@matildakyambile5239
@matildakyambile5239 2 ай бұрын
Bunji na Idaya
@ConfusedAlien-xk3sh
@ConfusedAlien-xk3sh 5 ай бұрын
Nawapenda hawa watu
@aminakasim1198
@aminakasim1198 5 ай бұрын
Mmmmmmmmmh,
@AgustinoMaxmillian
@AgustinoMaxmillian 2 ай бұрын
😂😊
@AgustinoMaxmillian
@AgustinoMaxmillian 2 ай бұрын
😂
@jeaninentabangana5972
@jeaninentabangana5972 5 ай бұрын
Muowane tu
@user-md4wq6lg7d
@user-md4wq6lg7d 4 ай бұрын
Luka usikubsli
@matildakyambile5239
@matildakyambile5239 2 ай бұрын
BUNJI Mwenyewe
@fevactv
@fevactv 5 ай бұрын
hata namba ya mpz wake hajaishika
@kwangahudispensary7238
@kwangahudispensary7238 5 ай бұрын
Kwan n wapenz
@rehemahassan7475
@rehemahassan7475 5 ай бұрын
Kwan hawana mahusiano hawa 🙄🙄
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 5 ай бұрын
ni wapenz hao
@HermanJoseph-mi2og
@HermanJoseph-mi2og 5 ай бұрын
Wanatuchoraaa tuu
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 5 ай бұрын
mbona huyu mdada kapiga para tena
@jumaseif2452
@jumaseif2452 5 ай бұрын
Wapo ktk filamu ya JUA KALI....FEMI ANAUMWA CANCER KATIKA KUIGIZA SO LUKA NAE KANYOA KUMSUPPORT WOTE MPAKA MAMA YAKE NA RAFIKI YAKE FEMI
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 ай бұрын
Cene ikimtaka anyoe kipara
@user-iw1qp1cu8u
@user-iw1qp1cu8u 5 ай бұрын
❤❤❤
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 46 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 97 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 10 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 59 М.
BONGO NYOSO: MPOKI MUUZA ALKASUSU
6:22
BONGO NYOSO
Рет қаралды 126 М.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 252 М.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
29:56
YahStoneTown
Рет қаралды 326 М.
GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...
7:29
😆 @SantiOficialll @SantiFansshort @CAMILOAGUILLONN
0:15
Santi
Рет қаралды 6 МЛН
Сын вернулся с войны и сделал сюрприз 🤯
0:17
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 987 М.
Парковка ТАКСИ от клоуна!
0:22
Клаунхаус Kids
Рет қаралды 4,5 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
0:16
LOL
Рет қаралды 12 МЛН
#Kritikachannel#Shorts video 🙏🙏🙏
1:00
Kritika Channel
Рет қаралды 51 МЛН