KIREDIO ALIVYOWAIBUKIA STUDIO COUPLE YA MEET US, TAZAMA TIMBWILI LILILOTOKEA

  Рет қаралды 201,507

Wasafi Media

Wasafi Media

5 ай бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 611
@shuweikharashid4175
@shuweikharashid4175 5 ай бұрын
Huyu demu atakuja kupigwa na kitu kizito sana emu km umepigwa na kitu kizito gonga like hp
@oscarhumphrey7692
@oscarhumphrey7692 5 ай бұрын
Ata Kuja kwetu sisi mafisi
@user-kl9xp2el3z
@user-kl9xp2el3z 5 ай бұрын
Tena mimi nilipigwa chakutosha😂
@SalvinJastin
@SalvinJastin 5 ай бұрын
Jaman jamanii wanaumee
@Vision2012Tv
@Vision2012Tv 3 ай бұрын
Achana nae uyu haelewi
@user-mc3qu2sz4j
@user-mc3qu2sz4j 2 ай бұрын
Kitamurambaaa😂
@myTanzanianplate
@myTanzanianplate 5 ай бұрын
Kiredio wewe ni wetu na tupo pamoja...fanya kazi yakoo❤❤
@msagatijulius
@msagatijulius 5 ай бұрын
Tuko nae mpaka wamvunje kiuno 😅😅😅...
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 5 ай бұрын
​@@msagatijulius😅😅
@user-mc3qu2sz4j
@user-mc3qu2sz4j 2 ай бұрын
Kabisa 👍👍👍👍
@yohanamussa4134
@yohanamussa4134 5 ай бұрын
Wanalazimidha interview kujisafisha. Kiredio fanya kazi yako
@armanichicandow1225
@armanichicandow1225 5 ай бұрын
Huyu demu ndo amependa, na hana pa kwenda akiachika. 😀😀😀 mwanamke anateseka sana huyu
@SobiTz
@SobiTz 5 ай бұрын
Kiredio tuko pamoja naww 😅✌️
@nedcopascal4640
@nedcopascal4640 4 ай бұрын
Tunasubiri tupo pamoja 😂😂😂
@MwajumaSeif-ry1kt
@MwajumaSeif-ry1kt 4 ай бұрын
Ni kweli uyo mkaka ni Muong kiredio yupo perfect
@jastinlazaro2840
@jastinlazaro2840 3 ай бұрын
Una uhakika😂😂😂 yan wabongo bn
@MarthaJoseph-pp6ir
@MarthaJoseph-pp6ir 5 ай бұрын
The guy anaonekana kabixa Yuko na fear kweny muonekano wake hayuko stable nimuongoo masikin we dada 😭😭💔 utakuja kumia vibaya
@user-qh8kl9mu5w
@user-qh8kl9mu5w 5 ай бұрын
Dada anajikuta kakolea, bt nimemsoma huyo dada sio mjinga😢😅😅
@hoglamumbee344
@hoglamumbee344 3 ай бұрын
His body and facial language speaks alot
@user-ef8jh7ql7z
@user-ef8jh7ql7z 5 ай бұрын
Kiredio n wetuu......pambana brooo tunakukubalii sana
@atienograce7564
@atienograce7564 5 ай бұрын
Hata ndoa badoooo mambo yameshakuwa moto!! Tutafika kweli?...🤠
@paulmutailuka2417
@paulmutailuka2417 5 ай бұрын
Huyu jamaa aise anamna kuna jambo linaendelea kwakweli ktk mahusiano yake.
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
Huyu dada mpuuzi sana, Unatia huruma mwanaume unaweza lala nae ukamka nae na bd akakusaliti fatilia
@user-us1ne8hu1l
@user-us1ne8hu1l 5 ай бұрын
Tatizo hamna mwanaume ambye acheat lkn akikuhexhm nakukutunza xhukuru mungu
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 5 ай бұрын
Jidanganyee 😅😅😅😅 Wanaume sisi tunafanana 😂😂😂
@LuluMtalika
@LuluMtalika 2 ай бұрын
Kabisa yan
@Irene-bt6tv
@Irene-bt6tv Ай бұрын
Hawa viumbe hawaaminiki kbsaaa wapuuzi woteee🙌🙌🙌🙌
@shedy_marie
@shedy_marie 11 күн бұрын
Iyo mambo ukiyawaza huez olewa dear mengine Bora uko na aman
@nuratynurdin-vd7zw
@nuratynurdin-vd7zw 5 ай бұрын
Dada kaza wew ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe japo wanasema hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja wasikuvurugie furaha yako kipenzi nawapenda sana inshaallah mwenyezi mungu awape maisha marefu na yenye furaha endelevu
@elizamlewi389
@elizamlewi389 5 ай бұрын
Ai laik that dear ❤😂
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 5 ай бұрын
Hahaha 😂😂😂"lazima hili penzi liharibike huyu anamdanganya huyu dada" kiredio😂😂😂
@RosemaryEdward-yw9tv
@RosemaryEdward-yw9tv 5 ай бұрын
Huyu dada awajui wanaume vizuri jamani mh namuonea sana huruma mwanaume wake mwenyewe macho juu juu.
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 5 ай бұрын
😂😂😂😂bora angelala nyumbniiiii.........maaan hawajui kbsa
@user-sd8cq3ds7n
@user-sd8cq3ds7n 5 ай бұрын
Kuweni makini na wanaume weupe😂
@nehemia397
@nehemia397 2 ай бұрын
​@@user-sd8cq3ds7ntumefanyaje mkuu
@eddyeddy2907
@eddyeddy2907 5 ай бұрын
Namba uliyoisevu unaweza kuiblock then utaikuta very simple. Ila huyu Dada inaonekana ni mgeni kwenye mahusiano.
@magdalenabenedict2089
@magdalenabenedict2089 5 ай бұрын
Uyu dada atapigwa na kitu kizito the guy hayuko real
@ikundamallya6866
@ikundamallya6866 5 ай бұрын
Alf huyu dada anaonekana hana raha
@magdalenabenedict2089
@magdalenabenedict2089 5 ай бұрын
Huyu jamaa amepanick thats means ni kweli alichofanya
@samaloyce6982
@samaloyce6982 5 ай бұрын
kupanic sio kipimo cha kusema hlo jambo n kweli, hali hyo hutokea katika jambo lolote usilolitarajia
@beatuskamanyisa7611
@beatuskamanyisa7611 Ай бұрын
Huyu dada apewe ulinzi😂😂😂
@donathasimon9292
@donathasimon9292 5 ай бұрын
Kiredio Songa mbele achana nanhao watu Upendo unanguvu sanaaaa hawawezi kukuelewa leo
@SarahShalua-ij8qg
@SarahShalua-ij8qg 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂kiredio ndugu yangu we noma yan ona sura yake haina nuru ni kweri kabisa huyo dada hana ile nuru kabisa yan ila huyu dada atakuja kulia kweri
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 5 ай бұрын
Huyu dada anajikaza tu lkn usikute hana amani ya moyo 😂😂 na pia blacklist unaweza kuifuta usikute jamaa alifuta tu kule
@majaliwamajaliwa4407
@majaliwamajaliwa4407 5 ай бұрын
Pia block list unaweza kumtoa mtu asie jua kutoa anipigie nimpe maelekezo kiredio yupo sawa
@owdenisaga4361
@owdenisaga4361 5 ай бұрын
Utamtoa mtu number itarudi but kwenye iOS hata uki unblock number bado inabaki kwenye block list
@hadijaabdallah8614
@hadijaabdallah8614 5 ай бұрын
Futa halafu nenda kwenye block list utaikuta ipo imetulia😂
@Dareaziz
@Dareaziz 5 ай бұрын
Kiredio Hana lengo baya
@LuluMtalika
@LuluMtalika 2 ай бұрын
Kabisa yan
@angelketya
@angelketya 5 ай бұрын
Mdada ataumia vibaya mno 😢😢 Yaani alivyosema mtoto tutalea hiyo anaumia sana
@LuluMtalika
@LuluMtalika 2 ай бұрын
Tena snaa anumia wanaume hawaaminiki kabisa yan kipenzi
@diva_20162
@diva_20162 2 ай бұрын
😂😂😂dida hakwepeshi uwiiii😊😊 ila huyo dada atakuja kupigwa na kitu kizito 😂😂😂
@JemimaMdota
@JemimaMdota 3 ай бұрын
Wanaume hoyeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌 nawasalie mie huwa najua kitu kimoja chamsingi heshima na kutoa rahana
@user-se9xi3kp4f
@user-se9xi3kp4f 5 ай бұрын
Hawa ndo wale wanajifanya kwenye social media Wana enjoy lakini ukija kwenye real life inaonekana kabisa huyu dada anajifanya ana amani lakini hana amani
@dayvanny_graphics2172
@dayvanny_graphics2172 5 ай бұрын
Pole sana mbwa wewe😃😃we wanaume hautujui vizuri
@ShelynevaMsigwa
@ShelynevaMsigwa 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@marthabuhele8429
@marthabuhele8429 2 ай бұрын
Pole Dada wadada tunatakiwa kupenda mwisho asilimia 50,80 zote hizo za nn utalia mumy na aibu juuuuuu
@aishanjovu3127
@aishanjovu3127 2 ай бұрын
We nd mm
@blandinapeter7004
@blandinapeter7004 5 ай бұрын
Dada jiandae kulia pole sanaa
@mussaayubu1167
@mussaayubu1167 5 ай бұрын
Niko pamoja na hawa wachumba kwann kuwafuatilia kiasi hiki Kwan shida nn alafu kiredio ni mwanaume kwann anamuandama mwanaume mwenzetu kiasi hiki hapa nahisi kuna kitu tofauti na haya tunayoambiwa
@Raj-gs2oj
@Raj-gs2oj 5 ай бұрын
Wanaytak c wametka waixhi kisanii
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 5 ай бұрын
Siku ile aligoma leo kishaweka mazingira sawa anakubari kirahisi...rahim kicheche na anaonekana tu Katika mazingira ya kawaida dada ana kazi ya ziada na anajua hilo
@user-vk1xj2nl1j
@user-vk1xj2nl1j 5 ай бұрын
Dida uyo mwanaume kabla ajawa na usiano na huyo dada akuwahi kuwa na husiano nyuma ?asijifanye mwaminifu huyo tunawajuwa sana wanaume ndani nje
@pulikisia7963
@pulikisia7963 5 ай бұрын
Ila kiujumla watu wanapenda mahusiano ya watu yavunjike.Watu hawapendi watu wakipendana.Kama huyo dada amemridhia huyo kaka pamoja na infidelity zake ni sawa tu.
@ceciliamsesa179
@ceciliamsesa179 5 ай бұрын
Simsimamii yeyote but huyo Rahim mshamba , blacklist namb inafutwa vzuri tu . Na huy dada mwanaume so wa kumwamin kias icho apo anakuona kajinga flani tu 🤣🤣
@ashaahmad720
@ashaahmad720 5 ай бұрын
subir kimlambe hakijamramba bado
@ceciliamsesa179
@ceciliamsesa179 5 ай бұрын
@@ashaahmad720 Yetu macho🤣🤣
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 5 ай бұрын
Mimi na block kila siku na ukianblock unaifuta vizuri
@ceciliamsesa179
@ceciliamsesa179 5 ай бұрын
@@paskaziasholla7471 Yaa ndo ivo
@DickPoul-re3lr
@DickPoul-re3lr 5 ай бұрын
Kiredio nitakutengenezea sanamu no one can do what u can do na kama akitokeaa kuna vitu vidogo vidgo ata kosaaaa upewe maua yakoooooooo
@user-nz7ln2yw4i
@user-nz7ln2yw4i 5 ай бұрын
Uyu dada atalia vibaya mnooooo😂😂😂😂😂😂😂😂
@jacquelinegg327
@jacquelinegg327 5 ай бұрын
Dadeki
@aishanjovu3127
@aishanjovu3127 2 ай бұрын
Anajiendekeza😂
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 5 ай бұрын
Mwanangu bado haujaishi usiwaamini sana wanaume hata baba zako wametutenda sana cendi mwanangu usiwaamini utajajuta
@EVERINAAHUNGU-cv3dq
@EVERINAAHUNGU-cv3dq 5 ай бұрын
Jmn mam unaongea Kwak uchungu
@rukiammanyi-qm9iz
@rukiammanyi-qm9iz 5 ай бұрын
Sasa kama.hamjui Irene sku ile ya challenge kwa nn akimbie kuonyesha ile blocklist yake kama sio kweli
@majaliwamajaliwa4407
@majaliwamajaliwa4407 5 ай бұрын
Kiredio yupo Sawa siku ya kwanza ulikimbia
@elsabio11
@elsabio11 5 ай бұрын
Sawa alikimbia yeye kiredio kwanini haoneshi hizo chat za DM
@shedy_marie
@shedy_marie 11 күн бұрын
Nawapenda km couple goal mmeamua kuweka online bas mm nan nipinge god bless you 🎉❤
@user-oc2jm7pd3n
@user-oc2jm7pd3n 5 ай бұрын
Asa kiredio mpumbavu kwer asa anapenda mausiano yavunjike ndiyo nin ata mungu apendi kutenganisha bari kupatanisha uyo kiredio mpumbavu afai anatakiwa apigwe
@user-iq7gq7mn7u
@user-iq7gq7mn7u 5 ай бұрын
Kaniboa sana
@jacquelinegg327
@jacquelinegg327 5 ай бұрын
Pole dada Candy,,,,nipo nimekaa pale nasubiri majibu ila weka akiba ya Maneno usijimalize hao ni wanaume dont forgot
@HafidhaAmiri-td8su
@HafidhaAmiri-td8su 5 ай бұрын
Tena mwanaume ni muislamu na yeye ni mkrosto😂😂😂😂😂FEAR MEN💔😂😂
@user-dt7mt6yf9g
@user-dt7mt6yf9g 5 ай бұрын
Nakasubr katakavyokuw kanalia😢😢
@NuhHamisy
@NuhHamisy 5 ай бұрын
Daaaah jamaaaaa katupigaaa 😅😅😅😅😅 kiredio watete tyuh wanawake
@rayahamisi118
@rayahamisi118 5 ай бұрын
Wanaume waooo😊
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 5 ай бұрын
Huyu dada anafikiri wanaume ni watu wazuri, atajutaaa baadae 😢😢
@vumi8371
@vumi8371 4 ай бұрын
Jamani 😂😂😂😂😂
@SuzanaSanga-hi6ss
@SuzanaSanga-hi6ss Ай бұрын
Yaan nataman siku nije nijue ukwel zaid ya huyo 🍭🍭🍭🍭🍭🍭🍭
@user-if8oh2rm3p
@user-if8oh2rm3p 5 ай бұрын
Dida mm mpk chooni nilikuwa napelekwa na nachambwa😅😅😅😅lkn mama uyo dada aweke akiba ya maneno
@MgeniOmmy
@MgeniOmmy 5 ай бұрын
😂😂😂
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 5 ай бұрын
Jmn kiredio waachani watu wa watu....kama wanadanganyana watajua wenyewe
@JudithAdonis
@JudithAdonis 5 ай бұрын
Yaan, cjui huyo kiredio anapata nn......maana amekazana
@getruda-oy8mo
@getruda-oy8mo Ай бұрын
Humu nimempenda mama Dida nimesema mamaa bicoz miminimtoto kwake japo hajanizaa but hua akusemaa kitu jua nikweel💯👁️
@marthababere2444
@marthababere2444 4 ай бұрын
Huyu dada Ana wazazi🙄🙌, wanajiskiajeee..! Huyu kaka amelipa mahari, amemuoaa? 💔 Woiiii
@chingaboy1149
@chingaboy1149 5 ай бұрын
Sasa hapo mzozo wanni wahusika wanakataa mbea anashadidiaa tatizo nni kama usenge huyu kiredio
@hidayaMlowe-rk1kn
@hidayaMlowe-rk1kn Ай бұрын
Huyu candy inaonekana yeye Ndio kapenda na hanauhuru wa kufganya vitu maana adi kuongea anazuiwa ila litakuja kumkita jambo kunakitu hakiki saw ahapa
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 5 ай бұрын
Amna mapenzi hapo,
@nanaritho6850
@nanaritho6850 5 ай бұрын
Yaaanni kiradio kajidhalilisha vibaya sana
@user-iq7gq7mn7u
@user-iq7gq7mn7u 5 ай бұрын
Ndyo
@ONJAHWorldwide
@ONJAHWorldwide 5 ай бұрын
Saaaaana.. kazi za kike anafanya yeye
@user-xt9kh3sp2o
@user-xt9kh3sp2o 5 ай бұрын
Binadamu hatupend furaha ya binadam wenzetu ndo tatizo watu wengi wanayoyapitia wao na wenzao wapitie ndo wanavyotaka
@user-li4ii9tn1l
@user-li4ii9tn1l 5 ай бұрын
Dada usimwamini mwanaume hivyo dear kubari nitumia nafasi yako kipenz kijanja anaweza tamani njee
@favouredlizzy3124
@favouredlizzy3124 5 ай бұрын
Huyu rahim anaongea sana ni tapeli huyu na candy atalia mnooooooo tuko hapa 😅😅😅😅😅😅😅
@nyakimimbiyalimba2705
@nyakimimbiyalimba2705 5 ай бұрын
Mimi bwana angu nilikua nafanya nae kazi muda wote tupo wote sijui ata ali cheat saangapi nyie nakuja kushtuka mtoto ana miaka3 uyu Dada mbona kama kapenda sana
@pendombinga3584
@pendombinga3584 5 ай бұрын
Jman mwanaume kucheat ni kawada sna kwan shida hk wp wazee wt walikuwa wanawanawake nje ya ndoa zao lkn muhimu upendo ma heshima tu jmn waache mahusiano y wtu
@stellahsimon4460
@stellahsimon4460 5 ай бұрын
Kbsss
@hamidawamba
@hamidawamba 5 ай бұрын
@@pendombinga3584kusema kucheat ni kawaid ndio kunawafanya wacheat
@user-iw1qp1cu8u
@user-iw1qp1cu8u 5 ай бұрын
❤❤❤kiledio
@zayvanclassic7960
@zayvanclassic7960 5 ай бұрын
Mambo niyapendayo 😅😅😅😅😅nyiee simuamin mtt w mama mkwe😂😂😂😂😂
@rahultz_
@rahultz_ 5 ай бұрын
😂😂😂😂kama kuna mtoto anakuja tutampokea😂😂😂kuna kitu nishashtuka
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 5 ай бұрын
Namba ulioiblock ukaifuta inabakia block list bila jina na uki unblock inapotea maana kwenye cm ushaifuta mnatufanya mazuzu
@user-es7xd3bg7c
@user-es7xd3bg7c 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@levi_wane
@levi_wane 5 ай бұрын
Mmejisumbua kuangalia block Kwan kabla hajaja hapo haja futa namba Wala ku unblock?
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 5 ай бұрын
Mimi cha kuwashauri mtafuteni big man stivo mwenye KZfaq channel inaitwa comrade flavor….anauwezo wa kurudisha txt zilizofutwa
@sarahkimaro75
@sarahkimaro75 5 ай бұрын
Kabisa yule ni hatari😊
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 5 ай бұрын
Duuhhh
@MustymediaTv
@MustymediaTv 5 ай бұрын
Dawa ya kiredio ni kula demu wake yule mwenye shepu
@MushagalushaMigabo
@MushagalushaMigabo 5 ай бұрын
Haaaaa
@user-zq8tu4ed1c
@user-zq8tu4ed1c 4 ай бұрын
Mwenye maneno mengi siku zote ni muongo🙌
@nuratynurdin-vd7zw
@nuratynurdin-vd7zw 5 ай бұрын
Kwenden huko jamn msiingilie mapenzi ya watu achen waachane wenyewe ila sio kwa maneno yenu😏😏
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 5 ай бұрын
Kiredio analiwa na mapopo huyu 😂😂😂 Yan anataka akampange huyo Ireen kwa maslah yakaz yake ,,,Asiharibu penz lawatu.
@user-tb9ju7wc2y
@user-tb9ju7wc2y 4 ай бұрын
Pamoja kiredio
@SaidyHamza-it1tg
@SaidyHamza-it1tg 5 ай бұрын
Mwana umme anamuaa mwana umme mweziee duuh
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 5 ай бұрын
NJAU unafurahisha sanaaaa, et hili penzi lazima livunjike😂😂😂😂
@deusmbuge5740
@deusmbuge5740 5 ай бұрын
Hizi radio hazina maadili kwa maono yangu!.
@elsabio11
@elsabio11 5 ай бұрын
Iko hvyo
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 5 ай бұрын
Ungeliangalia kama haina maadili?? Si uangalie efm?? Umeitwa Wasafi na nani? Mwenyewe bundles za kuunga
@jescaallen3616
@jescaallen3616 5 ай бұрын
Haha
@catherinedeogratiusmgumba6183
@catherinedeogratiusmgumba6183 5 ай бұрын
Rahimu kujisifia sifia ndo zake😂😂pole sana candy
@edyboychamiliion1360
@edyboychamiliion1360 5 ай бұрын
Uyo juma anaweza kuamua ngumi mtu mwenyeye mavi yake hawezi kuyazuia😂😂😂
@himidiwekabuje8402
@himidiwekabuje8402 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@WinfridaJohn-rm6gc
@WinfridaJohn-rm6gc 5 ай бұрын
Yaani kiredio kakasirika kabisa
@user-nv1yy4nk3m
@user-nv1yy4nk3m 3 ай бұрын
Jmn achana na mahusiano ya watu jmn khaa ata Kam mwanaume anamwanamke mwngne n kawaida kubadrsha mboga kikubwa office ipo kwa candy bx
@ashaahmad720
@ashaahmad720 5 ай бұрын
huyu kaka bn kwann utengenezewe stor wew
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 5 ай бұрын
Msitudanganye, uki unblock number unaweza ifuta. Pia kama mshikaji angekuwa real asingemkimbia kiredio siku Ile. huyu jamaa ana namna hata kama si huyo Irene basi makando yapo ila asituongopee huyo aliyenae ndio huyo tuu. Kumkamata huyo jamaa ilikuwa rahisi sana kama mngemsikiliza kiredio. Na hata mm siwezi muhoji MTU then nikupe chats zetu. Mwisho kama wanahabari mmefeli. Sababu musndishi au mtangazaji ni kama mwanasheria katika kuuchokonoa ukweli.
@jumaahagu4764
@jumaahagu4764 5 ай бұрын
;,*o🎉 no😊
@MansaMusa255
@MansaMusa255 5 ай бұрын
Unatumia tecno,
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 5 ай бұрын
Kabisa huyo kaka kafuta uwenda alitoka block Kisha akafuta txt zote
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 5 ай бұрын
Yeah coz amekutwa ameblock wengi
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 5 ай бұрын
Jitulize kima ww
@sarahsalum9963
@sarahsalum9963 5 ай бұрын
Uyo raheem tapeli
@user-og8ks4px1k
@user-og8ks4px1k 5 ай бұрын
HASWA
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 2 ай бұрын
Sannaaa😂
@vumiliamatchu370
@vumiliamatchu370 5 ай бұрын
Uyo dada ni mjinga kweli
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 ай бұрын
Tena hajitambui hata kdg mwanaume maneno meng anamzidi uyo katoa iyo number kwenye block kaifuta
@vumiliamatchu370
@vumiliamatchu370 5 ай бұрын
@@dorcaskidoti249 yaaani kimesha nikera icho ki binty aiseeee 🤣🤣🤣kina mwamini mwanaume 🤣🤣🤣mwanaume ni waku mwamini kweli ?🧏‍♀️🧏‍♀️🧏‍♀️🧏‍♀️🧏‍♀️🧏‍♀️🧏‍♀️🧏‍♀️🧏‍♀️
@sarahadolf9722
@sarahadolf9722 5 ай бұрын
Ata asipo mwamini afanye nn au kuna wanaume waminifu kumzid au
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 5 ай бұрын
​@@vumiliamatchu370lafa uyu😂😂😂
@imma_billy
@imma_billy 5 ай бұрын
Ila watu wanazingua! Eti uki unblock huwezi kufuta!!! Ulisikia wapi? Au mnatufanya kama hizo iPhone hatuna? Watu tunawa block na kuwa unblock kila siku na number zao tunafuta… Hapo Kiredio hana ushahidi na Huyo jamaa anayetuhumiwa hayuko real. Na watangazaji wote hawana ujanja wa kujua namna ya kutafuta ukweli wa jambo. Lakini hao wapenzi wajaribu kujitenga na mitandao ya kijamii + media wajenge kwanza mahusiano yao.
@lidyamhova8528
@lidyamhova8528 5 ай бұрын
Mausiano ya show off
@CalvinSamwel-dj6sc
@CalvinSamwel-dj6sc 5 ай бұрын
Mbona ata mm uwa na block na namba nafuta ata uende setting vipi huwezi kuona ila away wanaonekana kuwa wametuongopea
@rashidyusuph5962
@rashidyusuph5962 5 ай бұрын
Nyie hamjaelewa maboss,wanasema blocked number inaeza kufutwa,isionekane kwenye block list wakati bado iko blocked? Sio kwamba ui unblock then isifutike,nope! Eleweni wanachoongea
@imma_billy
@imma_billy 5 ай бұрын
@@rashidyusuph5962 hata ikifutwa bado inakuwa inaonekana. Me mbona zipo nilizoblock na nimezifuta ila kwenye block list naziona?!
@HaithamMuky
@HaithamMuky 5 ай бұрын
Blocklist ya whassap inabaki kumbu kumbu
@user-sj7gj3xl1u
@user-sj7gj3xl1u 5 ай бұрын
Mmmm 🎉🎉🎉🎉❤❤
@hawababy120
@hawababy120 5 ай бұрын
Uyo rahim anaonekana mtundu tu.huyo demu iposiku atarudi analia wasafi
@pinkyg8861
@pinkyg8861 5 ай бұрын
Wanajuana hawa
@user-jo6fv1nc8b
@user-jo6fv1nc8b 4 ай бұрын
Raheem just agree kuwa unae ustake kukataa kubali candy ni muelewa mtoto ni baraka usimkatae
@ProsperAmad
@ProsperAmad 5 ай бұрын
Duuh kiredio umepata aibu 😂😢kweli
@eliambowe2576
@eliambowe2576 5 ай бұрын
Hahah hii ya moto mbona kama mwenetu wamemweka kitimoto 😅
@nathanielmkaanga4693
@nathanielmkaanga4693 5 ай бұрын
Hii story imesukwa kabisaa, wamejitahidi sana kufanya maigizoo… Watatufaa hawa kwenye JUA KALI 😂😂😂
@user-rg4gl8wv8x
@user-rg4gl8wv8x 5 ай бұрын
Hamna kupanga apo, kiredio ndo choko uyo, yupo kwa ajili ya kuvunja mahsian ya watu tu
@marrystellagoodluck4268
@marrystellagoodluck4268 5 ай бұрын
Mmmh huyu kaka muongo Ana tetemeka na pressure juu
@hadharaally6523
@hadharaally6523 5 ай бұрын
Kiredio mbabaishaji ata kma kachiti sio ttz mapungufu pia candy unachotkiw n kuangalia akiw anaplay part yk vzr t bs inatsha dunia hii mam hhhh injoy candy n akija mtot ata km wetu atalea mwenyewe n balaa lake hhhhh
@MaryamSuleiman-xs5ph
@MaryamSuleiman-xs5ph 5 ай бұрын
Ila huyu kiredio ana usenge mwingi sana
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 5 ай бұрын
Kiredio hana point 😢😢😢
@MercyMariki
@MercyMariki 5 ай бұрын
Dida nakupenda bureeeeee ❤❤❤
@BradyHarry-qm5xg
@BradyHarry-qm5xg 5 ай бұрын
😃
@sumaboy5140
@sumaboy5140 5 ай бұрын
Hapoo kiutu uzima kiredioo kafeli ni muongooo
@pendombinga3584
@pendombinga3584 5 ай бұрын
Sana mnafki sn ngoja sku afilwe
@elischarles1615
@elischarles1615 5 ай бұрын
hhahahaaaaa muongo
@saidhaitham
@saidhaitham 5 ай бұрын
Kujikaza mbele za watu ilhali moyoni yanauma uo ni uongo😂😂😂 uskute apo dem roho jujuuu lkn tuu wat elf 9 mia 9 na 99 wanamkodolea anaon aibu
@oscarhumphrey7692
@oscarhumphrey7692 5 ай бұрын
We fala Sana
@godlistenobed9299
@godlistenobed9299 5 ай бұрын
Ugombanishi tu😊
@washededeh7377
@washededeh7377 5 ай бұрын
Imagine hao wote apo wasafi wanatumia iphone na wanatoa ushahidi wa uongo regards kublock number, eti haifutiki.. kama hamjui si mseme hamjui😅
@user-ws3cj2td2q
@user-ws3cj2td2q 5 ай бұрын
Duuuh kiredio had unakeraa
@canisiusjohnkayombo4996
@canisiusjohnkayombo4996 2 ай бұрын
Yan mwisho wakupenda ni asilimia 20 ikizid sana 40,kumuamini mtu inatakiwa iwe asilimia sifuri,iyo nguvu ya kumpenda mtu asilimia 100 mnatoa wapi,hahaha ndo iyo unakuta ukiachwa unajirusha kwenye ghorofa mara unajinyonga hahah
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 104 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 87 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,2 МЛН
MAUMIVU MAKALI KWA LOVE JUAKALI
4:11
Mr Uky
Рет қаралды 38 М.
IRENE NI NANI?? MKE AMTUKANA MUME WAKE, UMEBADILIKA SANA
9:28
GIGY MONEY NA DIVA WARUSHIANA MANENO MAKALI STUDIO, UGOMVI MKUBWA...
7:29
AIBU! AKOSA IPHONE 14 KISA KUCHEAT, KAJA NA BWANA MWINGINE
7:40
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 204 М.
Heavy package 🤭🤣 #demariki
0:25
Demariki
Рет қаралды 4,7 МЛН
Слепой парень помог раскрыть тайну 😱
0:45
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 1,9 МЛН
Cunning GUYS 🤣
0:15
dednahype
Рет қаралды 11 МЛН
Хотел вывести 🤣❤️
0:54
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 938 М.
БАЧОК ПОТИК
0:22
KINO KAIF
Рет қаралды 2,9 МЛН
Когда покупки идут не по плану🤯
0:32
FilmBytes
Рет қаралды 2,6 МЛН