MAAJABU ALIYE IBIWA NG'OMBE 70 WEZI WAPATIKANA/NABII KIBOKO YA WACHAWI HAKIKA NIKIBOKO YAO

  Рет қаралды 90,249

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

9 ай бұрын

MAAJABU ALIYE IBIWA NG'OMBE 70 WEZI WAPATIKANA/NABII KIBOKO YA WACHAWI HAKIKA NIKIBOKO YAO

Пікірлер: 336
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub
Ndugu zangu mbona munamacho lakini amuoni namuna masikio lakini amusikii Eee, Yesu Kristo tujalie tuweze wafuasi wako
@mazoyajr.5970
@mazoyajr.5970 7 сағат бұрын
Ila hii dunia ina WAPUMBAVU wengi sana aiseee!! Kuna watu wanaabudu hapa na Amina wanaitikia kabisa!
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054
Mbona watu wanamjua huyu Aliyoibiwa Ana Ata kifalanga cha kuku Utapeli wa mitandao 😂😂😂
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa 😭😭😭😭
@demanyoxalex
@demanyoxalex
Hakikaaa wewe Ni kiboko
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908
kuna baazi ya kemiko ukichanganya pamoja moto unawaka acheni uwongo sio kwamba mungu hawezi kuwasha moto sio huoo uwoo wakutengeneza
@SaidMkome
@SaidMkome 7 сағат бұрын
Wajinga ndyo waliwao
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873
Malaya wa kiokongo hakuna Mungu wa hivyo danganya wajinga weza mko
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 7 сағат бұрын
kumbe bongo pia kuna wajinga nilijua ni kwetu kenya tu😂😂
@user-hn2wf6zb1t
@user-hn2wf6zb1t
Baba naitwa Agnes Anthony naomba unifungue katika maisha yangu na ndug zangu napata shida sana naomba baba unisaidie
@user-oq7rl7rd6n
@user-oq7rl7rd6n
Anae tusi mchawi baba uko vizuri sana wafe hao imeandikwa usiache mchawi aishi
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620
Imani hizi batili tuspokuwa makini tuangamia MUNGU wangu wa mbinguni ☝️
@niyiesther6571
@niyiesther6571
Ameeen. Na Mimi alieina vyangubkatika ulimwengu wa roho arudishe. Maisha ninaishi sisi yangu. Niko Burundi. Na uimbaji wangu hauendi fasi Mimi na familia yangu. Umaskini ni mwingi
@iddyissa8110
@iddyissa8110
Yaniii hizo setting ata mtoto mdogo haaa ayamatatizo ya wanadam 😂😂😂 mungu atuhurumie tu 😅😅😅 nimecheka mie
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587
kutengenesha kipindi nyie pastor waongo mbele ya kiama mtajibu😢😢
@richmwaij3368
@richmwaij3368
Jihadhalini na manabii wa uongo wengi watakuja kwa jinalangu na kusema mimi nikristo watanganya wengi sana watafanya miujiza ya uongo, kuweni makini ndugu zangu unabii wa yesu kristo mwana wa Mungu wa pekee umetumia naiangamie kwa kukosa maalifa
@pambanassoro
@pambanassoro
Amen amen mtumishi tengeneza maisha yetu maana tumekuwa katika kipindi kigumu juu ya Dunia hii amen mungu akuinue sana
@SstanMbalazi
@SstanMbalazi
GOD LET YOU TO HELP THE WORLD
@user-pk2lq6bf8l
@user-pk2lq6bf8l
Amen baba 🙏
@SalmaYusuph-jb1sx
@SalmaYusuph-jb1sx
Bwana yesu asifiwe baba nabii nakufatilia sana naomba nisaidie niongezewe mshahala npo Oman nafanya Kaz mwez huu niongezewe mshahala
TAZAMA MAMA ALIYEKUWA AKIMROGA MKWEWAKE AJITOKEZA BAADA YA MAOMBI YA NABII KIBOKO YA WACHAWI
22:06
BABA AMTOA KAFALA MTOTO WAKE/MAMA AMTAKA MWANAE ARUDISHWE
9:48
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 104 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 26 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 15 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
KIJANA ALIYE SHUTUMIWA KUIBA MILIONI SABA (7) KIBOKO YA WACHAWI AFICHUWA UKWELI
7:06
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 19 М.
BWANA UTUHURUMIE.Misa yenye hisia kali.
2:42
Tyson Kisogole
Рет қаралды 8 М.
MAMA ALIYEFIWA NA BABA YAKE AFUFULIWA NA NABII KIBOKO YA WACHAWI/MAITI YAFUFUKA
13:27
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 68 М.
KIJANA ALIEDANGANYWA NA MKEWE KUWA AJAZAA SIRI YAFICHUKA YALIYOJIRI KIJIJINI KWA MAMAAKE PART-1
13:32
NDUGU WAWILI WASHEA MUME NA KUMZALISHA MMOJA NA KUKIMBIA NYUMBANI
10:41
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 49 М.
HALIMA ALIYESINGIZIWA NA BOSS WAKE KUWA  AMEIBA MILION 5 UKWELI WAFICHUKA  PART-1
15:52
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 46 М.