Amen!! Hili somo ni langu kabisa. Nimepata amani kusikia Msaada upo msalabani.
@dicksonmatende3 жыл бұрын
Msaada uko pale msalabani oooooooooooooohhhhhhhhhhh halleluya
@musambwambo57983 жыл бұрын
Amen mtumishi kwa neno na mafundisho mazuri Mungu akutunze kwa ajili ya watu wake...God bless you
@enessikatiti3792 жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa mungu kwa ajili ya sasa na milele wewe ni hazina ya wengi natamani akulinde
@merryadam-re3tg Жыл бұрын
Mungu akubariki mwalimu. Naimani kupitia maombi haya nitafunguliwa🙏
@denislutego703510 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@sarahmghamba7043 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi!Mungu akupe maisha marefu kwa ajili ya kufundisha vijana wetu.
@lightnessclementebrighton49903 жыл бұрын
Ameni ubarikiwe mwalimu
@neemamaganga97743 жыл бұрын
Asante bwana Yesu kwa kumpa mtumishi wako neno linalotupa kutambua umuhimu ktk kufanya maamuzi ya kuoa au kuolewa. Na maisha ya baadae. Amen
@beamamuya99172 жыл бұрын
Amen hakika hakika hakika bora vijana wote wangaliipata injili hii daima ndoa zetu zingepona na jina la Bwana litatukuzwa milele
@happypallangyo66552 жыл бұрын
Powerful daddy nakuombea maisha marefu sana 🙇♀️🙇♀️
@maryemanuel61223 жыл бұрын
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiogopa sana kusikiliza hili neno kutokana na mapito yangu hasa kwenye mahusiano ila leo nakaza moyo nitasikiliza TU.na MUNGU anisaidie kuelewa🙏🏾
I'm grateful for the unique message on the right time.Be blessed God's servant
@vailethnicolaus68133 жыл бұрын
Nashukuru sana mwalimu kwa mafundisho yalojaa nguvu ya Roho mtakatifu, yenye hekima na busara, nimejifunza mengi, nimechukua hatua ya kuomba upyaa maana nimegundua mistake nyingi nilizofanya, naamin Mungu atafanya jambo jipya kwangu. Ubarikiwe
@sylviaisack85942 жыл бұрын
Ubarikiwe
@naomiobeld-hq1eu Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishii wa Bwanaa .kuna vituu vipya nimevipata kupitia somo hili ee Mungu nisaidiee,endelea kutuombea mtumishii
@amosgidion34303 жыл бұрын
Hakika Vijana Tunahitaji msaada wa YESU KRISTO kwa kiasi kikubwa ili kukuta nishwa na wenza, walio sahihi, ( ukizingatia ni mke mmoja/ mme mmoja,} Ee Yesu nahitaji msaada wako kupata mke sahihi! AMINA AMINA
@emmaherman88033 жыл бұрын
Mungu atakupa
@lugendokikuni46813 жыл бұрын
Mungu Yesu akupe uzima na uzima.
@EzekielDonald-of2zq10 ай бұрын
Asante Mungu kwa ujumbe huu. Nimepata kitu kikubwa sana cha kunisaidia. Ubarikiwe mtumishi.
@magrethgordon89353 жыл бұрын
Amen I have learned alot today 🙏🙌😌
@dianakiyaulilo71632 жыл бұрын
Amina mwalimu nimejifunza jambo
@cathysappareltz3 жыл бұрын
This message was meant for me...Asante Mwalimu..Endelea kutufunua...
@happypallangyo66553 жыл бұрын
God bless you Daddy
@paschallusana3353 жыл бұрын
Mungu akupe Maisha marefu mwl Christopher, asantesana unanilisha vzr
@samwelmbilinyi82083 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya watumishi wako wanaotuleta kwako.
@dainesskarigo55212 жыл бұрын
🙏🙏🙏Amen Nimebarikiwa sana.
@mercydeo40403 жыл бұрын
Amen Asante Mungu kwa ajili ya SoMo hili limekuja kujibu maswali yangu ,ubarikiwa mtumishi wa Mungu
@hidayaswai31193 жыл бұрын
Moyo wangu umepakua kitu chake na kuelewa vizuri. Mungu akubariki mno
@MagdalenaAyubu-ox5fz Жыл бұрын
Amen Mungu nisaidie na Mmi nipate Mume huu Mwaka na awe na Hufu ya Mungu
@MatindeKaziniАй бұрын
Nimepata hili somo Kwa muda sahihi maana ni Kama mzani wangu ulikuwa unalemea pande mbili mungu azid kutupigania
@marianguli55293 жыл бұрын
Amen! Tufundishe wanao baba! na Mungu akubariki
@orandifrank41773 жыл бұрын
Asante BABA tuwekee mafundisho kama haya kila wakati sisi tulio mbali nanyi
@monucesthela61513 жыл бұрын
Asante baba Mungu akubariki sana kwa mafundisho
@joymarah73292 жыл бұрын
Am learning alot here thanks servant of God 🙏
@RechoLory6 ай бұрын
Mtumishi mungu akulinde kweny maisha Yako na azidi kukupa nguvu ya kuhubiri injili
@jobthomas77753 жыл бұрын
Asante sana mwalimu nimebarikiwa sana Mungu aendelee kukutunza
@gervaspeter6913 жыл бұрын
Amen..ahsante baba...nimebarikiwa mno
@mariamollel68173 жыл бұрын
Somo mzuri Sana asante baba ubarikiwe
@mariamagnesia79992 жыл бұрын
Asante mwalimu kwa somo lako zuri.nakukubari sana.mungu akupe maisha marefu
@WilliamPeter-tu3pc11 ай бұрын
Nashukuru Mungu kwa kufunguliwa ubarikiwe mtumishi wa mungu
@amosijosaphati4921 Жыл бұрын
Amina mtumishi Mungu akufundishe zaidi
@anishiemgala82032 жыл бұрын
Asante Mungu kwa Neno hili limeniponyaa🙏🙏🙏
@ericmarcus96903 жыл бұрын
Good teaching, God bless you abundantly.
@marytabu49042 жыл бұрын
Asante yesu.
@upendolyimo26393 жыл бұрын
Thanks Lord nazidi kupata madini.Mungu akubariki na kukulinda Mwalimu
@camillagervasi69302 жыл бұрын
Mungu akutunze Mtumishi was Mungu
@user-jv2eb5st4z Жыл бұрын
Tanzania inabalikiwa nawa watumishi wa kweli wa MUNGU
@naomyemmanuel20543 жыл бұрын
Nabarikiwa mno asantee mwalim
@nationrazalo8551 Жыл бұрын
Ubarkiwe nimejifunza na kuongeza uelewa juu ya Mungu
@priscangowi86262 жыл бұрын
Mungu akizid kukubariki mtumishi akakutumie kwa kadir ya matakwa yake
Mke au mume hatafutwi Bali mnakitanishwa Marko 10:6-9
@jamesjoseph68253 жыл бұрын
@@catherineraphael9391 hukutanishwa kwa njia ya maombi, that's why kaomba aombewe😆
@rehemakigengeanyosisye80592 жыл бұрын
Asante barikiwe
@albertcharles61743 жыл бұрын
Amina mtumish wabwana nabalikiwa sana
@loveness67323 жыл бұрын
Ahsante mtumishi kwa somo hili... at the right time. Wakati huu wa quarantine.
@emangidion29213 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki
@alphoncewambura92702 жыл бұрын
Asante Yesu kwa somo Zuri la ndoa
@irenemassawe12573 жыл бұрын
Mungu akubariki baba kwa somo la wakati
@saidngussa51713 жыл бұрын
Baba somo zuri MUNGU akupe maisha marefu
@priscashairock26793 жыл бұрын
Somo zuri limenivusha kwenda sehemu nyingine..barikiwa Mtumishi
@elizabethkivuruga53512 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
@silaleopard72637 ай бұрын
Teacher of the teachers ubarikiwe
@user-vn3tp4tc3f7 ай бұрын
Asante Baba Ubarikiwe.
@victoriaedward39592 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu somo zuri
@agnespaschal55923 жыл бұрын
Glory to God! This teaching is very good and upbuilding. Thank you so much, father in Christ.
@ericmarcus96903 жыл бұрын
God bless you abundantly.
@dominicamwacha7 ай бұрын
God bless u dady
@lulubetwel125 Жыл бұрын
Asante Baba ubarikiwe
@hilgathjoshua88043 жыл бұрын
AMEEN AMEEN
@frankilomo55773 жыл бұрын
Amen mtumishi umetupa Mwangaza wa Maisha ya ndoa
@chimpayeruzemvya81763 жыл бұрын
powerful 🙏🙏
@silasjoseph90332 жыл бұрын
Hallelujah 🙏
@vivianlyimo6702 жыл бұрын
Have Mercy On me Ooh Lord And Let your Will be Done Lord 🙏🏻
@lybjohn24402 жыл бұрын
Mafundisho mazuri barikiwa sana mtumishi
@neyskitchen Жыл бұрын
God bless you Man of God 🙏
@mwakamtungirehi47732 жыл бұрын
God bless you
@christinekaradis24632 жыл бұрын
Amen you said dady
@euverusjohn5393 жыл бұрын
Nakukubali sana mwalimu natamanigi sana niwe naenda na wewe popote
@givenisrael50113 жыл бұрын
God bless u
@jubilethfestourio4503 жыл бұрын
Hallelujah
@keeptimenimrod37703 жыл бұрын
Ameen
@mibokichannel40063 жыл бұрын
Somo zuri sana haswa
@nuruthomas67311 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@dominicamwacha7 ай бұрын
Mtumishi asante kwa somo naomba uendelee kuwa unatoa masomo km haya ili tupone
@tumainigeraz6918 Жыл бұрын
Asante mtumishi
@emmanueldavid58323 жыл бұрын
Asante kwa Neno
@jescajohn7617 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana sana Tena zaidi ya Sana na hili neno
@anithajaphet45873 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa neno la wakati
@tumainisampeta55703 жыл бұрын
Mungu akuongezee siku za kuishi ili uzidi kufundisha vijana
@tinasteve51813 жыл бұрын
Amen
@victorymaganga14853 жыл бұрын
Powerful, Dady🙏🏾🔥🔥
@lucaslaizer3543 жыл бұрын
duuuh somo zury sana
@priscajames89152 жыл бұрын
Barikiwa sana
@estherfredrick15112 жыл бұрын
God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
@Udindigwa2 жыл бұрын
Amina Baba
@veronicapascal-mm4lj Жыл бұрын
Amina mtumishi
@asuntadamas92843 жыл бұрын
God bless yu Man of God
@filminjulias96733 жыл бұрын
Vijana MUNGU atusaidie
@victoriacharles32333 жыл бұрын
Ameeen
@josephpaul9723 жыл бұрын
Nakupenda baba
@jaquelinemetili73903 жыл бұрын
Mungu tusaidie
@estherfredrick15112 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 Haleluyaaa
@sikujuasteven43233 жыл бұрын
AMEN
@phoubermanjau77378 ай бұрын
nimebarikiwa hakika mwnynzi akubariki kwa kweli
@jonasmpita22063 жыл бұрын
kwa waliooa somo linaingia mpaka kwenye damu haswaaa
@jengatech_tanzania Жыл бұрын
Amen Amen
@capteinchuimchafu78942 жыл бұрын
Daaah yaan hili Kama ndo Somo linanilenga mmi vile maana nna mwanamke wa dini tofauti lakin tunapendana Basi daaahsheeda ndgu hawataki kbca nmuoe yaan daaah balaa tupu