Maombi yangu ni Mungu amuweke mwakasege miaka mingi sana kuna ambao tunakua kiroho na pia tunapata kiu zaidi ya kuutafuta uso wa Mungu tukimskiliza. Huyu baba Mungu amemchukua level zingne za kiroho. Yesu akupe miaka mingu MWALIMU
@goated3801 Жыл бұрын
Manukwa kweli na kubadilika ama kukua ti mdomoni
@pikipiki_market Жыл бұрын
AMEN
@salvatoryherman65 Жыл бұрын
Ameniiii aleluya
@happyngonde29236 ай бұрын
Ninapopita ktka magumu, nikiisilikiiliza mafundisho ya mtumishi ya mwakasege napata nguvu mpya,🙏Mungu akutunze na afiche uhai wako ndani ya Damu ya YESU 🙏🙏
@mukambambale-df8hw5 ай бұрын
Mungu akupe mengine ya zaidi mwalimu
@getrudemalisa43502 жыл бұрын
Amen, nimebarikiwa Sana mtumishi Mungu akubariki sana nilikata tamaa ili kwa neno hili naamini Mungu atafanya kitu juu yangu na familia yangu
@betyanyas87802 жыл бұрын
Somo hili hakika limenilenga mimi na maisha Yale ninayoishi, nateseka ktk ndoa hii, ni naomba Mungu ambadilishe mume wangu, awe mtu wa kumcha Mungu, as he kutumia miadarati, lakini sijajibiwa na Mungu baba yangu, nitamrudia na kilio na unyenyekevu, nimuulize kwani I hajanijibu maombi yangu na Sasa ni km miaka mitano hivi ya mateso ndani ya ndoa yangu. Asante Sana mtumishi wa Mungu kwa neno hili, nimejifundisha mengi, barikiwa Sana. Amina... 🙏
@carinawolfram32802 жыл бұрын
Usijali Mungu ni mwema atakutendea
@saraphinasalila9202 Жыл бұрын
Akika mungu atakusaidia usikate tamaa kuomb
@myahudiog7 ай бұрын
Ww miaka mitano unateseka tu! Hii n mpya
@user-qz4bk5zc8z7 ай бұрын
Amen.
@rugetakimath7428 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Baba Kwa kusikiliza na kuitii sauti ya Mungu, Barikiwa milele
@heriethmoses70823 жыл бұрын
Somo limekuja wakati sahihi kwangu, Barikiwa sana mwalimu
@konsolatasabas49412 жыл бұрын
Balikiwa kwa somo zuli
@mwanaidimwanga213 жыл бұрын
Ameen...Ahsante Mungu kwa ajili ya utumish huu, na neno hili. Utupe neema baba ya kutokutazama matatizo yetu na ugumu wa maisha, bali utupe neema ya kuyaelewa na kuatamia maono uliyoyaachilia juu yetu. Uchungu, tabu, udhalimu, magumu yasitufanye tushindwe kuomba sawasawa na mapenzi na kulitimiza kusudi lako. Katika maisha yako ufalme wako uje.
@neemaenock63582 жыл бұрын
AMINA MUNGU ALIYEIANZISHA SAFARI YA MAISHA YETU ATUTETEE KWA DAMU YAKE YESU KRISTO TUNAMWAMINI ATATENDA TUSIKATE TAMAA
@magrethrupiah50573 жыл бұрын
Somo zuri sana. Mungu anabaki kua Mungu nyakati zote. Hata kama hajanijibu vile nilivyo tamani, bado anabaki kua Mungu mwema. Somo hili limenibariki sana sana sana.
@lilianmkelewele74893 жыл бұрын
Asante mungu kwa kumtumia mtumishi wako maana nilipata hili neno nikiwa katka mazo magumu muno nami naomba unijibu maombi yangu juu yayale yote niliyoomba naamini kupitia neno lako takatifu napokea kwa jina la yesu kristo ameni mbalikiwe watumishi🙏🙏🙏🙏
@marianajohn54152 жыл бұрын
Asante Mungu kwa somo hili kubwa sana kwenye maisha yangu. Limekuja kwa wakati sahihi sana . Asante Yesu wangu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@jacksonjohn84972 жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe Nashukulu kwa hili Somo Nimemuomba Mungu kwa Mda Mlefu ila ajanijibu Natumia Somo hili Kumuuliza tena Mungu Wangu Nina imani Naye
@marianajulius59262 жыл бұрын
Barikiwa sana baba,,,,Unatufundisha Mengi 🙏🏿Mungu wetu anajibu❤️
@atbakpblessedfml26423 жыл бұрын
Asante Roho Mtakatifu kwa kuachilia somo hili .Mungu .Mungu awabariki watumishi wake
@thomaskibada70563 жыл бұрын
Ubarikiwe baba tunajvunia kua nawewe katka nchi yetu ya Tanzania
@atuhaireakla39722 жыл бұрын
For the first time kusikia hii massage nimekua nikisema kama nina uwezo wa kuuliza mungu maswali nigeweza
@magrethrupiah505711 ай бұрын
Hili somo kila nikilisikiliza napata kitu kipya. Mungu anabakia kua Mungu hata kama hajajibu vile nilivyo tarajia. Yeye anampango mzuri sana na sisi wanadamu.
@joshuakapungu9382 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu hili somo nimelipata leo ila litanifungulia yote ninayoomba kila siku na Mungu atanyamaza tena sasa ni zamu yangu kujibiwa maombi yangu baba
@colethachaula592 Жыл бұрын
Hii ni kweli hata Mimi limenitokea kwenye maisha yangu, nina mdogo wangu anaumwa ninaomba mungu kupitia somo Hilo mungu amfungue apone ninaamini mungu anakwenda kunijibu Sasa.
@PendoPallangyoАй бұрын
Nina Imani hata mm atanijibu
@betreaceparali9725 Жыл бұрын
Mungu mtie Ng v mtumishi aendelee kutufundisha tusaidie kuelewa mungu nisaidie nijue kupambanua njozi au maono
@ruthuthomas23572 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu mwalimu 🙏🙏🙏❤️
@joycelanda89873 жыл бұрын
Amina mtumushi ,najiambatanisha na madhabahu hii Mimi na familia yangu ,naomba Mungu anijibu sawa na haja za moyo wangu! Amen.
@mwldanielelibariki45242 жыл бұрын
Ameeen baba Neema ya Mungu iendelee kuongezeka juu yako Mara dufu
@mellissauwase55142 жыл бұрын
God bless you 🙏🏽 From 🇷🇼Rwanda
@josephmbogo44393 жыл бұрын
Asanre sana Mwalimu Mwakasege kwa kweli neno hili kwangu linanihusu kabisa Eee Mungu wangu nakuomba usinyamaze nikuombapo ombi langu
@upendoamani81642 жыл бұрын
Neno la Mungu linaishi. Hili neno limenifungulia moyo wangu. Nimejua Kati ya kuomba na kulalamika. Mungu akubariki sana mtumishi. Nitaandika njozi🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@geendaki76782 жыл бұрын
Nakupenda Baba Mtumishi wa Mungu kila siku nakuombea Bwana akutie nguvu huduma hii bado tunaihitaji Sana na Kuna siku nimekuona katika ndoto ukiwa katika mto flani unabatiza nami nilikuwako huko
@kwangukazungu82993 жыл бұрын
Baba Mungu akubariki sana, umenigusa yaani naona Mungu kanyamaza lkn Asante kwa somo niendelee kuomba
@rebeccabraison8357 Жыл бұрын
Asnte sana mtumishi wa Mungu kwa somo hili nimepata kitu kikubwa sana Yesu akubaliki sana
@dalmasnyaribo75433 жыл бұрын
Somo hili nimelifikia kupitia mtandao na limenipa moyo Sana kua Kuna siku MUNGU atanijipu maombi yangu na kunifungulia milango hili niwatimizie mama pajoma na Babu wangu ndoto yangu itimie katika jina la mungu wangu amen
@sarahmarishay69382 жыл бұрын
Ameeeeen mtumushi hili somo lako limekuwa dawa kwangu Mungu kajibu mpaka NASHANGAA kwakwwli ubarikiwe Sana sana mwalinu Mwakasege🙏🙏🙏
@jackimulisamulisa68962 жыл бұрын
Amen mtumishi mimi nayitwa judi naomba uniombe mimi na mtoto wangu maisha yetu magu sana kuna wakati mimi nakatatama ya maisha naomba utuombe
@nemaodhiambo72743 жыл бұрын
Ahsante Baba na Mama Mwakasege na team nzima ya mana ministry
@sammywanje26863 жыл бұрын
Kweli somo hili limenigusa sana,, ee MUNGU nihurumie na unisikie ombi langu,, mtumishi wa MUNGU asante kwa fundisho hili, nimelipokea kwa imani,,, BWANA YESU ASIFIWE
@user-ct3jq3qv7jАй бұрын
ubarikiwe mtumishi wa mungu namungu akupe maisha marefu
@mackrinapeter44173 жыл бұрын
Mungu naomba usinyamaze..naomba ujibu maombi yangu usinyamaze Baba
@judithngasa13703 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah sifa kwa Bwana azidi kukupa maono Mtumishi wa Mungu aliye hai.
@asteriankwera22952 жыл бұрын
Hallelujah
@lilianmyinga45783 жыл бұрын
Haleluya haleluya! Groly to god groly jina la bwana libarikiwe mno. Na mungu akupe maisha maisha marefu na yenye heri pamoja na uzao wa nyumba yako
@evelyneishengoma16002 жыл бұрын
Barikiwa mwalim
@DsmAccounts14 ай бұрын
Ameni Mtumishi,Mwenyenzi Mungu akubariki sana
@lucyjeremia13813 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu hili neno limekuja wakati sahii kwangu Ee Mungu usinyamaze nikuombapo 🙏🙏🙏
@doricekajuna61852 жыл бұрын
Asante Mtumish wa MUNGU kwa kutufundisha kutokata tamaaa. Tuendelee kumuomba Mungu.
@smartmwakipesile3842Ай бұрын
Ee,Mungu umtazame huyu mtumishi wako ukamtendee mema sana sku zote za maisha yake utukufu wako ukawe pamoja nae nyakati zote, nampenda sana mtumishi wako huyu, Ee Bwana Mungu muumba mbingu na nchi wewe ulie alfa na omega axante kwa chombo chako hiki ❤
@enriqueganywamulume36813 жыл бұрын
Tuna shukuru Mungu kwa maano hii ya kurusha tena solo ili , tume barikiwa tena tume pata kitu tena , ilpendeze Mungu kumu discute tena na tena na ku mbariki mtumishi wake. Kama kuna kipindi cha kufata tafazali mwalimu ita tu saidiya
@tulalumbashaibu89703 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu hakika nilivurugika mno ila kwa neno hili ninaona nuru tena
Somo hili limenifungua sana macho,nimegundua nilikuwa siombi ila nalalamika..naomba msaada kama tutaweza kulipata hili somo lote
@AzAz-sy6zp5 ай бұрын
Aminaa ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho mm pia ninashida na ndoa yangu mara ninaomba mara naacha lkn ubarikiwe hivi nitaomba c tokata tamaa
@TulasupaSanga5 ай бұрын
Asante mwalimu wangu Mungu naomba nisaidie njozi niliyo iyota mara kwa itimie aminaa 🙏🏿 🙏🏿🙏🏿
@helenakulliani16703 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu kwa Somo.sifa na utukufu Ni kwa mungu aliye juu.amina.
@qndassuofficially9132 жыл бұрын
Amen🙏👏🏻👏🏻👏🏻barikiwa sana mutumishi , hakika nimebarikiwa sana hakika bwana unaweza na ninaamini utajibu sawasawa na mapenzi yako 🙏🙏
@alainmizo4694 Жыл бұрын
Jambo hili limekuwa moja kati ya ombi langu la evey day kana kwamba Mungu anipe kipawa chako mzazi wangu wa kiroho.nakufua toka D.R.Congo tume barikiwa saaaaaaaaaaaana kupitiya mafundisho yako babangu.naami kupitiya haya ninayo yapokea kutoka kwako...Mungu atanipa majibu kwa swali yangu.Mungu akubariki sana baba na piya abariki watakatifu wote kwa jumla
@smartmwakipesile38423 ай бұрын
Mweee Mungu huyu ni waajabu, Mungu akuongezee miaka mingi uishi mtumishi, barikiwa sana baba.
@lameckdaudi1925 Жыл бұрын
Ninamtukuza Mungu kwa ajili yako my Spiritual Father through you my eyes open and thirsty of seeking God increase in me Glory be to God. Mungu akutunze baba na azidi kukuimarisha.Amen
Mwakasege Mungu akutunze vyema hakika tunabarikiwa
@jessy2404 Жыл бұрын
Mungu nikumbuke mali niko maisha sirahisi emungu pigana na madui zangu na wale wanao nipiga vita🙏
@bundallachaba31203 жыл бұрын
Hili somo ni zuri sana nimelitafuta mno sijalipata liwekeni lote watu wajifunze
@lazaroulomi18542 жыл бұрын
Barikiwa Mwl ,,Somo zuri sana sana.
@monicapaul78633 жыл бұрын
Amen Mungu nisaidie nitimize lile kusudi uliloniletea duniani nisiishie njiani
@winnermariah3 жыл бұрын
AMEEEN 🙏🙏🙏🙏🙏
@eddyjuniortz22343 жыл бұрын
Barikiwa
@stanleybuberwa2322 жыл бұрын
Amen
@user-ky5vh7uu8i10 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU umetutia moyo na kutokukata tamaa naomba MUNGU ajibu maombi yangu Amina
@LSA-233 жыл бұрын
Mtumishi kuna mahubiri fulani niliwahi kiwa nayo nikayapoteza..yanahusu maombi ya kuzunguka kama babeli na kumwaga damu ya Yesu iliyotoka sehemu zote za mwili wake. Nayahitaji sana mtumishi.naomba nielekezwe mahali hata kama ni CD ninunue
@upendotemba40613 жыл бұрын
Haleluya mtumishi Mungu akutunze Tunapata ufahamu
@AmaniDavid-ju7mb Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe wapendwa nauliza ratiba ya semia mwenzi huu anaye jua anisaidie asante
@victoriamahenge90013 жыл бұрын
Asnte kwa somo zuri baba yangu nimeelewa nakupata nikiwa mby ubarikiwe
@furbenj74052 жыл бұрын
Amen my Father nitazidi kumkumbusha Mungu
@atupakisyemwakikali67772 ай бұрын
Mungu aendelee kumtumza uyu baba amlinde miaka yake yote atakayoish duniani
@bellimarwa54543 жыл бұрын
Mtumishi. Mungu Mimi huwa nabarikiwa Sana na mahibiri yako mungu akutumie kama apendavyo yeye
@rovicsimon19812 жыл бұрын
Amen,nashukru saaana kwa SoMo hili
@mercygodia40843 жыл бұрын
God please hear my cry. I trust in you.
@naomyndaya78002 жыл бұрын
Barikiwa mutu wa mungu, na kufata sana nikiwa RDC, mara kwa mara ninapo kufata nibarikiwa saaana, na kwa hilo naomba Mungu afunguwe njozi zangu. Ili ni shuudiye ukubwa wa mokozi. Barikiwa baba
@rachelmshana6555 Жыл бұрын
Amina nitaendelea kuomba mpaka pale Mungu wangu atakojibu, sitanyamaza.
@seebs11563 жыл бұрын
Ameni mtumishi wa Mungu neno hili limenijia mda muafaka kwangu 🙏🙏🙏🙏🙏
@lucymkisi18 Жыл бұрын
Mungu akupe maono zaidi ya mafundisho yako zaidi somo hili na lile la kuombea lango au mzaliwa wa kwanza
@diwenagoodiani8087 Жыл бұрын
Ubalikiwe na mungu akuzishie. Kipawa chako
@FulliJohnPaulАй бұрын
Ameen ubarikiwe mwalimu wa neno la Mungu
@rahelsamson76922 жыл бұрын
Amina Baba Mungu aendelee kuwatunza na kuwapa kibali
@chipetapeter68042 ай бұрын
Amina baba naomba maombi yako ziniachie roho ya madeni
@egnardamaicy34563 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza roho mtakatifu amenisemesha nimeamka nikiwa nimevunjika moyo sana sioni nuru nikawa naskia tu fungua KZfaq nafungua nakutana na neno hili tena nikiwa mtu wa kwanza kabisa😭
@yeshuasweapon43843 жыл бұрын
Daah...Amina mtumishi
@fauctinejohnacy87163 жыл бұрын
Amina sana
@victoriajoseph64883 жыл бұрын
Amina
@swesschao30952 жыл бұрын
MUNGU ATUSAIDIE!!!
@godblessnelson372 жыл бұрын
Usial Mungu atakudumia
@roidaalphonceyou22272 жыл бұрын
Asante kwa neno la MUNGU mtumishi wa MUNGU heshima utukufu na mrudishia MUNGU kwaajili ya utumishi huu Amina
@rodawlson80403 жыл бұрын
Ameen Asante sana mwalimu Mungu akulinde na kukufunika pia
@julietkimigho8500 Жыл бұрын
Amen poster be blessed in the name of Jesus christ
@rahmabisi55582 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako yananipandisha viwango vingine . Nipo songea natamani Sana nipate mafundisho yako yenye mlolongo kamili.
@haroldmartin46122 жыл бұрын
Amen, nimebarikiwa sana. Mungu akubariki na kukupa maisha marefu tufundishwe na Roho wa Mungu kupitia wewe.
@hellendeus78093 жыл бұрын
Ameen mwalimu..... Nakuombea saana roho mtakatifu awe na wewe Kila dakika na Kila hatua
@sabratally7688 Жыл бұрын
Kunajambo lilikuwa likinitesa niliomba niliomba sana Lkn ckujibiwa nilipata wazo kumuuliza mungu nashukur alinijibu na kitabu Cha wathesolanike 5-10-17 nikapata nguvu yakusonga mbele japo nilikuwa nimechoka sana
@bakunduwukizebenithe7888 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanna mcungaji nimejifunza kitu❤
@reymasenya64503 жыл бұрын
Asante Mungu Mm Naomba Ufunue Njozi Zangu
@dionestermwinuka75202 жыл бұрын
Wakati ninaopitia ni mgumu sana mungu nijibu na mim kama ulimjibu habakuki najua sistahili nisamehe bwana ninahaja nawe tena asante mtumishi na mim
@wemarobert71402 жыл бұрын
Amen, somo hili n nzuri, nataman nipate mwenderezo wake nlimalize lote
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
Asante Mungu nimeimarika ,nimejifunza, zaidi nimepata amani, utulivu. Mungu endelea kunifundisha kujua sababu na kusudi la maisha yangu, na mtoto wangu lakini zidi kuniunganisha na ndugu zangu , jamaa, na wanaonizunguka popote nilipo niweze kuishi sawa na mapenzi yako. 🙏
@benjaminjonathanbuchafwe90403 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Nimeguswa sana na hili somo naomba muendelezo wake ili niweze kumaliza na kujifunza zaidi Ahsante 🙏🏾🙏🏾
@ezraisrael69843 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu huku ukituombea injili msingi wake usiharibike leo walakesho mpaka Yesu mnazareti anarudi. Amen
@oliverabrahamoliverabraham30112 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri baba
@sarahfaida5648 Жыл бұрын
Natamani kusudi la Mungu ndani yangu pia litimie, mimi ni je ni nani wa leo? Viwango vingine vya Mungu viingie ndani yangu nijitambue zaidi maana nilivyo leo naona bado kuna kitu sijafikia kusudi lake .. Amina
@emmanuelmollel7027 Жыл бұрын
Asante Sana kwa somo kwani tumefunguliwa MUNGU akubariki Sana mwalim
@neemamunisi20532 жыл бұрын
Amen... Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu
@alleoo2732 жыл бұрын
Barikiwa baba leo nimesukumwa kukusikiliza nanimejifunza kumkumbusha Mungu maana hua nalalamika sn badala ya kuomba
@shakiralasway88213 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba,maana umetulisha chakula charohoni nimebarikiwa sana nanimepata ujasiri mkubwa nanimejifunza kusema namungu,AMEN....
@michaelkakuja8933 жыл бұрын
Amen. Nimekuota umeniombea kisha ukanikumbatia madhabahuni ukanitenga mahali pa peke angu katika hiyo hiyo madhabahu ukanishika kichwani ukasema nitulie mahali hapo ukawageukia waumini wako ukawaambia hilo ni jambo la kawaida. Sielewi njozi hii ina maana gani Mtumishi wa Mungu. Any way Mungu awabariki na kuwalindeni watumishi wote wa Mungu in Jesus Christ's name. Amen. Asante.
@ruthkilasi37353 жыл бұрын
Neno hili si bure! Bwana jidhihirishe kwangu Sasa.Haijarishi shetani anajiinua kiasi gani kupitia maajenti wake lkn bado ninalotumainiaana wewe waishi na neno lako laishi.Amen
@ibel4lf3 жыл бұрын
Mimi nimemuota pia natamani kumtumia meseji yy binafsi
@mariagorethvicentnyerere11832 жыл бұрын
Napenda Sana babangu na Mwalimu wangu. Hanaga mapicha picha ya miujiza. Nabarikiwa sana sana kumsikiliza.
@sarahlyimotv13803 жыл бұрын
It worth listening and listening and listening again 🙏🙏 Mungu akubariki Baba 🙏🙏
@happydaniel43512 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi asante kwa mafundisho yako mazuri yananivusha sana
@elizabethmrema1620 Жыл бұрын
😍
@mussaelisha3184 Жыл бұрын
God bless you BABA,Kupitia mafundisho yako MUNGU Atainua wengi kwa faida ya ufalme wake*