MAANDALIZI YA RAMADHAN//JUICE INAYOKAA MWEZI MZIMA BILA KUHARIBIKA

  Рет қаралды 15,003

keki plus

keki plus

3 жыл бұрын

maandalizi ya ramadhan,Leo tunatengeneza juice,juice hii unaweza kukaa mwezi mzima bila kuharibika
kwa recipe zingine za juice bonyeza link hizi
ROZELA
KAROTI
EMBE

Пікірлер: 74
@user-hq4lw4qd8w
@user-hq4lw4qd8w 4 ай бұрын
Darasa zuri, ahsante
@mariamissaahmed7675
@mariamissaahmed7675 3 жыл бұрын
Shukran sana
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 3 жыл бұрын
Shukran dada
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 3 жыл бұрын
Mzuri Sana hiyo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Asante kwa maujuzi
@maryamjuma1087
@maryamjuma1087 3 жыл бұрын
Maa shaa allah inavutia kweli Asantee kwakutufahamisha vitu adim
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Alhamdullilah, karibu sana dear..😘😘😘asante sana kwa support
@fatmehfaraj5188
@fatmehfaraj5188 3 жыл бұрын
Mashaallah sis.Msy Allah bless you for educating us.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Amin Amin 🙏🙏Allah bless us all.. Ramadan Mubarak love😘😘
@mapishiyazanzibar
@mapishiyazanzibar 3 жыл бұрын
😋😋😋 Masha'ALLAH
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Alhamdullilah🙏🙏🙏asante sana kwa kufika kwangu kipenzi,pole nimechelewa kujibu,sina cha kujitetea,ila Nina firaha sana kukuona hapa..nashukuru sana😘🙏🙏🙏
@huceynkileo4072
@huceynkileo4072 3 жыл бұрын
Stay blesssed jmn
@shamsaamos3130
@shamsaamos3130 3 жыл бұрын
Asante kipezi kwa Mambo mazuri barikiwa sn
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
😘😘😘karibu sana dear..asante sana kwa support
@shakashautv7038
@shakashautv7038 3 жыл бұрын
Me ndo naiweka kwenye jokofu hapa. Ahsante sana dada, endelea kutujuza...
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Woooow MashaAllah.. Hongera sana dear..asante sana kwa support
@cookwithmsoo
@cookwithmsoo 3 жыл бұрын
😋😋😋😋😋 yuuum! Refreshing! Delicious! Love it sis- thanks for sharing dear.. ION nmecheka na wewe hapo ukianza yet sijajua tunacheka nini🤣
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahahah yaaani acha tu,vicheko hivi😂😂😂nilisema hiyo "wajionaje na hali" nikaona imekaa wierd even the person next to me sighed😂😂😂akanimaliza kabisa😂😂thank you for watching love😘😘😘😘
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rashidamzungu2389
@rashidamzungu2389 3 жыл бұрын
Hongera sana,umenipa ujuzi mpya mungu akubariki
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Amen,Mungu akubariki pia
@nassraabdallah3585
@nassraabdallah3585 3 жыл бұрын
Shukraan nimependa sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Karibu sana dear
@shamsiarajabu458
@shamsiarajabu458 3 жыл бұрын
Asante kwa ujuzi
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Karibu sana dear😘
@neemalambo9790
@neemalambo9790 3 жыл бұрын
Yaaani umenifaa sana,❤️
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Nafutahi sana kuskia ivo,Alhamdullilah🙏🙏
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 3 жыл бұрын
Shule nzuri Sana kwa kuuza inakuaje
@tripple5
@tripple5 3 жыл бұрын
Nimefikia ❤
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
😍😍😍😘😘😘karibia dear..asante sana
@tripple5
@tripple5 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly asnt
@neemalambo9790
@neemalambo9790 3 жыл бұрын
Umenipa miujuzi mipya barikiwa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Amen,barikiwa pia dear🙏🙏
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Jamani naomba tuwekane sawa katika hili, 1.kila hatua inayofanyika hapa ina maana,ivo basi unaweza ukafuata hatua zote hizi ,lakini vyombo vyako vikawa sio visafi wakati wa kuhifadhi au vina mabaki ya juisi wakati unasaga,hasa chujio na vijiko,juisi yako lazima itaharibika...kwaiyo kuwa makini sana katika hilo,nafkiri mnajua kwanini chakula kinaharibika,kwaiyo timia elimu hiyo kuhakikisha unafanya kila kitu kwa ufasaha ili kuepuka janga hilo
@safiaomary2956
@safiaomary2956 3 жыл бұрын
Nashukuru sana je parachichi na tikiti maji unaweza pia utavichemsha? Tujuze my
@anitaharun8491
@anitaharun8491 3 жыл бұрын
Je pasipo kuweka kwa frige inaweza kuharibika?
@maimunabakari1654
@maimunabakari1654 3 жыл бұрын
Hongera kungwi wa mapishi, nenda duka lolote lililopo karibu yko upate soda bariiiid bili kwangu😋👌
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahahaha maimuna utoe na contact sasa,nsije kudaiwa mie Ramadan hii😂😂😂
@maimunabakari1654
@maimunabakari1654 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly namba zangu hzo +9715454 73676 ukidaiwa nitafute
@dorothynyaduwa3853
@dorothynyaduwa3853 3 жыл бұрын
Sijajaribu lakini nafeel itakua tamu. Asante saaaaana. Nakupenda.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Asante pia🙏🙏🙏nakupenda sana pia
@dorothynyaduwa3853
@dorothynyaduwa3853 3 жыл бұрын
Huu mtindo wa kuchemsha juice umeniokoa sana. Nimetengeza Mara mbili sasa, na leo tena ntatengeza. Ni tamu na inadumu sana. You saved my life!!!!!!
@nadiaifrahmu4168
@nadiaifrahmu4168 3 жыл бұрын
Duuuu allah kakuruzuku kipaji kbs allah akuzididhie mafanikiyo amin.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Amin Amin🙏🙏🙏Allah atuzidishie mafanikio sote dear,shukran sana kwa support yako😘😘
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
MashaaAllah my love hemu angalia simu yako nimekutumia soda😂😂😂umenimaliza mm chauvivu😋😋
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
Hapo mwanzo ulipocheka nimejikumbuka😂😂😂mm hua nacheka sanaa naimagine nikiweka hivo vituko 😂😂😂😂mara nikizungumza nakosea khaaaa
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahahah iyo soda 😂😂😂😂😂sidanganyiki hadija😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahahah voice over in shida😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahahah na wewe si mvivu hadija😂😂😂
@josephinekahangwa2992
@josephinekahangwa2992 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
🙏🙏😘😘😘😘
@user-hq4lw4qd8w
@user-hq4lw4qd8w 4 ай бұрын
Naomba namba yako
@monica.abangi1996
@monica.abangi1996 3 жыл бұрын
U r doing amazing usichoke kutujuza
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Amen,thank you soo much for supporting,inshaAllah ,sitochoka
@fatmabakari7350
@fatmabakari7350 3 жыл бұрын
Shukran dadaa, je naweza kusaga maembe na passion kwa pamoja kisha nikafata process ulizoelekeza?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Ndiyo
@hidayahamad1882
@hidayahamad1882 3 жыл бұрын
Umenisaidia swali
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 3 жыл бұрын
Nauzaje dada la hivyo
@batulisalim4333
@batulisalim4333 3 жыл бұрын
N lazma ihifadhiwe Kwenye Fridge Au Hata Kama huna Fridge
@latifatilya8639
@latifatilya8639 3 жыл бұрын
Parachichi je unaweza kuchemsha nayo. Naomba unisaidie kwa hilo
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Ndo moja ya tunda usoweza kupata ladha ukifanya ivo,ila unaweza kujaribu..ni moja ya elimu
@zulfatdidas369
@zulfatdidas369 3 жыл бұрын
Niazme fridge bas😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
😂😂😂huku kuntia majaribuni zulfat jamani
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Sijui kama shemeji anaweza kukuacha kipenz si kwa ujuz huu unaotupa
@norbertenock3154
@norbertenock3154 3 жыл бұрын
Atamuachaje kwa mfano
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahahah alhamdulillahi rabbil alamin ,Amen🙏🙏Jacky wewe una vituko😂😂😂hata wewe hawezi kukiacha shoga angu,Amen Amen sababu una bidii hatari😘😘😘MashaAllah
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Hahahah Amen dear...dear Jacky huyu humuwezi 😂😂😂😂
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly kabisaa toka moyon mwangu ninakupenda haswaa ndo maana nami sichoki kujifunza saiv naandaa butter cream nijipambie kikeki changu polepole tu nitaelewa
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly uwiii mbavu zangu jamani
@tynernkwabi9316
@tynernkwabi9316 3 жыл бұрын
Ata juice ya palachichi unaweza kuipika?
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Jaribu utuletee mrejesho na sisi,kupika ni kujifunza
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 жыл бұрын
Ndo moja ya tunda usoweza kupata ladha ukifanya ivo,ila unaweza kujaribu..ni moja ya elimu
@tynernkwabi9316
@tynernkwabi9316 3 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly nitajaribu nione
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
Jifunze  kuandaa 'milkshake' ya tende
3:49
Jiko Point
Рет қаралды 30 М.
JINSI YA KUTENGENEZA JUISI TAMU SANA/HOW TO MAKE JUICE AT HOME
6:33
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 16 М.
Mapishi ya sukari na nazi aina 4 kupika ftari (Mapishi ya Ramadhan)
13:13
farwat's kitchen
Рет қаралды 4,4 М.
MWONGOZO WA JUICE//A GUIDE TO A SUCCESSFUL JUICE BUSSINESS
14:23
LAMBA LAMBA BILA MASHINE/HOMEMADE CHOPSTICK
9:37
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 38 М.
Juice Ya Biashara/Juice Business /Village Life Business
4:40
Hadija Sheban
Рет қаралды 24 М.
VINYWAJI/VIBURUDISHO VYA MCHAI CHAI
6:39
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 10 М.
Jinsi Ya Kununua Blenda?
7:54
Cities & Flavors
Рет қаралды 40 М.