Hii swali tunaulizwa mara kwa mara kutoka kwa wateja wetu. Leo Tunajadili vitu muhimu vya kuzingatia kabla hujaenda kununua blenda mpya .. Instagram link: / fundi_dsm Facebook page link: / bombaywallla
Пікірлер: 133
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
This is very informative!!👍
@suleimansuleiman8729 Жыл бұрын
Dah uko sawa bro thanx alot umenipa mawazo mapana sana Allah bless you bro
@catherinenambozo18553 жыл бұрын
Thanks so much for the update
@cities-flavors3 жыл бұрын
you are most welcome..thank you for watching
@shubbaantv45883 жыл бұрын
Maashaa allaah,bro kwa kutuzindua maana watu wengi hatujui.shukran
@cities-flavors3 жыл бұрын
ahsante sana boss...tunajitahidi sana tuwape masomo
@robertntwale25033 жыл бұрын
Thanks for your explanation
@cities-flavors3 жыл бұрын
you are most welcome..thank you for watching
@marionetoduor17942 жыл бұрын
Thank you for tips
@cities-flavors2 жыл бұрын
You are most welcome
@harunivilimba72794 ай бұрын
Asante kwa maelezo mzl
@sayuni123-kl6xk17 күн бұрын
Asante sana
@iddahravity93693 жыл бұрын
Asante sn God bless u
@cities-flavors3 жыл бұрын
ahsante sana boss wetu
@mamabenja8131 Жыл бұрын
Nziri asante kwa kutujuza na hiyo kubwa inayo saga kula kitu ni shingap na nitaoataje niko arusha
@cities-flavors Жыл бұрын
Asante sana boss, sisi tunarekebisha tu vifaaa boss wangu
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
Masha allah asante kutuelimisha
@cities-flavors3 жыл бұрын
karibu sana boss wetu
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
@@cities-flavors insha allah
@thechallangeboystheawadh5195 Жыл бұрын
Asante sana fundi DSM nimefurahi sana kukuona kwenye mitandao. Umenipa faraja kubwa. Naomba uniambie maduka ya Commercial Blenders hapa Daresalaam ili niyatembelee. Shukran Mtanzania mwenzangu
@cities-flavors Жыл бұрын
Karibu sana boss, maduka yako mtaa wa aggrey kariakoo, au mosque street kitumbini boss wangu
@thechallangeboystheawadh5195 Жыл бұрын
@@cities-flavors Shukran sana Kaka
@saadiyahaya48553 жыл бұрын
Ok vizuri umeeleweka hiyo fundi DSM iko maeneo gani hapa dar?
@cities-flavors2 жыл бұрын
Kama unakuja na mwendokasi Tupo : Bombaywalla appliance repair na service , Usoni na LIBYA post office/ FURNITURE CENTRE KISUTU (karibu na kituo cha mwendokasi kisutu), Nyuma ya ofisi ya serikali ya Mtaa Kisutu, duka la njano.. kama unakuja na gari, bolt, bajaj au bodaboda, tupo mtaa wa zaramo,, mbele kwa ofisi za zamani za channel ten, kisutu, dtv roundabout, usoni na choo cha kulipia kisutu, duka la njano..au google tu kwa mawasiliano zaidi, simu 0684017700
@ibrahimalexander46533 жыл бұрын
Shukrani mkuu. Unashaurije kuhusu hizi portable blender/rechargeable blender especially kutengeneza smothies ya glass moja kila cku asbuhi
@ashurasaidi39672 жыл бұрын
Unapatika wapi nilete burend yangu imealibika
@cities-flavors2 жыл бұрын
@@ashurasaidi3967 Habari tupo kisutu nyuma ya channel 10 karibu na choo cha kulipia ofisi ya serekali
@cities-flavors2 жыл бұрын
@@ashurasaidi3967 tupigie kwa +255684017700 kwa maelezo zaidi
@jothamnamunaba19317 ай бұрын
How much is a multi-purpose blender for business
@user-ng3cr5rr4v6 ай бұрын
❤
@winniewilson2855 Жыл бұрын
Safi
@cities-flavors Жыл бұрын
asante sana boss wangu
@efrasiabosco466111 ай бұрын
Bro Brenda tumeziona na tunazpenda San tunaomba bei zake
@MwanakomboJuma-w3y28 күн бұрын
Naitaji Brenda Kwa ajiri ya biashara
@vj93493 жыл бұрын
Fundi dsm 👌👌
@cities-flavors3 жыл бұрын
asante sana boss wangu
@MamaJasi-qh7iy9 ай бұрын
Nahitaji fundi wa blenda nipo dar
@msowamhokole77143 жыл бұрын
POA vzr sana
@cities-flavors2 жыл бұрын
asante sana boss wangu
@Kanyawela2 жыл бұрын
Safi Sana Niko Bukoba Kagera nitapaje Brenda ya familia ya watu 7
@cities-flavors2 жыл бұрын
hatu uzi boss wangu...tunarekebisha tu.
@lucydominic65753 жыл бұрын
Najifunza
@cities-flavors3 жыл бұрын
ahsante sana boss
@nurualphonce3008 Жыл бұрын
Kaka Asante sana ,hiyo blenda kubwa ni sh ngapi nahitaji kwa matumixi ya juice ya biashara
@cities-flavors Жыл бұрын
Hizo blender hatuuzi boss wangu 🙏
@CATHERINEKIIRU-eh6rv24 күн бұрын
@@cities-flavorsblender ya 7000wats ni gani
@irenebahati5458 Жыл бұрын
Wat ikiwa kubwa ndo inakula umeme sana au inasaga haraka?
@iluminatambewe12133 ай бұрын
bei gani
@roberthdavidconelius6222 Жыл бұрын
Nataka Brenda kubwa kwaajili ya biashara nitapataje?
@efrasiabosco4661 Жыл бұрын
Ahsant bro naomba bei za hzo Brenda has hyo kubwa ya biashar pia naomba no zenu
@aminasalamalekumamina62172 жыл бұрын
Salam alekum
@cities-flavors2 жыл бұрын
w.asalam boss, niambie
@felixkato6283 Жыл бұрын
Habari kaka? Nimenunua blenda Jana Leo nimesaga matunda ikatoa moshi aisee hii nini nifanyeje
@lucykebacho3446 Жыл бұрын
Unapatikana wapi?!! Namba ya cm
@efrasiabosco4661 Жыл бұрын
Hyo Brenda kuliko zote unauza bei Gan na kwa hapo dar upo maeneo gan
@mussampeyama67958 ай бұрын
mimi niko masasi mtwara vp naweza pata breander ya kukamua juice ya biashara zile zenye koki ya kutoa juice
@gudilakiwale90473 жыл бұрын
Thanks je kama blender haina hicho cha kusaigia viungo lakini kuna sehemu inaelekeza kusaga iven kahawa je huo wembe unakuwa ni malt papas ana?
@cities-flavors3 жыл бұрын
hapana kila wembe inakazi yake, kwahio wembe ya viungo ni kwa ajili ya kusaga viungo vikavu, na juisi ni tofauti, tunapochanganya matumizi, tunaharibu blenda zetu boss wangu
@emmanuelnnkuba60763 жыл бұрын
@@cities-flavors nahitaji blender yenyr wembe mbili kusaga karanga na kusaga matunda bei gani
@jeniferlinus21153 жыл бұрын
@@cities-flavors mimi nahitaji blender ya juice na vitu vikavu ni sh ngapi?
Kaka samahani, naomba kuuliza.Brander yangu inasaga kinyumenyume, kwa mfano ukiipeleka usage speed namba 1 au 2 haifanyi kazi inatulia tu, lakini ukiirudisha nyuma upande ulioandikwa p+ ndo inafanya kazi, je! Ni sahihi? Naomba msaada
@maryjory92799 ай бұрын
Kaka hujanijibu swali langu, naomba msaada
@maryjory92799 ай бұрын
Kaka naomba msaada nipate kuelewa, nisije nikaiua.maana mwanzo ilikuwa inafanya kazi kawaida tu.
@godfreydafa93312 жыл бұрын
Nataka blenda Aina ya synic ya Lita MBILI kwa matumizi ya nyumbani nope na Bei yake
@cities-flavors2 жыл бұрын
Hatuuzi blenda boss wangu, tunarekebisha tu vifaa boss wangu
@erasmijohn7497 Жыл бұрын
bei gani 7in 1
@shabidenis54242 жыл бұрын
Nmenunua brenda juzi ila ukiiwasha dk 1 inajizima na kutoa moshi hapo haiwaki tena had uiache ipoe ndo inawaka vp inaweza kurekebishwa?
@cities-flavors2 жыл бұрын
hizo blenda nazijua sana hazirekebishiki boss wangu
@shabidenis54242 жыл бұрын
Znaitwa Codtech
@shabidenis54242 жыл бұрын
Basi nawarudishia
@drkhans61852 жыл бұрын
Hbr. Naulizia blender z heavy duty z lita 4 bei gn. Ni kwaajili ya biashara. Asnt
@cities-flavors2 жыл бұрын
habari boss, hatuuzi blenda sisi, tunarekebisha tu vifaa
@roberthdavidconelius6222 Жыл бұрын
Nisaidie no tuwacliane plz
@cities-flavors Жыл бұрын
0684017700
@damasabinalis7471 Жыл бұрын
Unapatikana wapi
@cities-flavors Жыл бұрын
Kama na gari,uber,Bolt, bajaj, kirikuu au boda boda..Bombaywalla appliance repair na service, mtaa wa zaramo.. Mbele kwa ofisi za channel ten, pale round about ya dtv, kisutu, duka la njano, usoni na choo cha kulipia cha serikali..au google tu..simu 0684017700
@johnemmanuel52762 жыл бұрын
Je blenda hiyo ya biashara inauzwa bei gan
@cities-flavors2 жыл бұрын
habari boss, hatuuzi blenda sisi, tunarekebisha tu vifaa
@StephenMuli-ro3ki5 ай бұрын
Nataka bleda ya Biashara
@JennyLimo4 ай бұрын
Biashara
@yusuphamini68172 жыл бұрын
Naomba utupe na bei za bithaa
@cities-flavors2 жыл бұрын
hatu uzi boss...tunarekebisha tu vifaa vya jikoni
@eliadamadaraka37919 ай бұрын
Nahitaji blender ya biashara nahipataj
@user-ng3cr5rr4v6 ай бұрын
Blenda unauza shinkapi
@shamsiamsaghati Жыл бұрын
Je ni blenda gani naweza kusaga hadi nafaka
@cities-flavors Жыл бұрын
kwa hapa kwetu Tanzania, kwa biashara ni changamoto kupata blender imara ya kusaga nafaka au viungo vya maji kama tangawizi na kitungu saum, kwa matumizi ya nyumbani unaweza kusaga kidogo kidogo kwenye heavy duty blender
@alhamdulillahalhamdulillah75292 жыл бұрын
Sisi wengine nishida tu tuwekeeni wembe mmoja tu wakukata kilakitu
@cities-flavors2 жыл бұрын
ni wengi sana wanatumia hivo ndo maana blenda nyingi zinaharibika boss wangu
@mwanaidimuhamed6540 Жыл бұрын
Tuambie kati ya hizo ipi ni nzuri na imara kwa matumizi ya biashara na nyumbani.
@zenjigreen54912 жыл бұрын
Somo safi
@cities-flavors2 жыл бұрын
ahsante sana boss
@mhesimarko86892 жыл бұрын
Ok shiling. Ngapi kwa brenda ndogo ya mwisho
@cities-flavors2 жыл бұрын
habari boss, sisi hatuuzi hizo blenda, tunazirekebisha tu boss wangu
@sekelajohn85403 жыл бұрын
Shingapi
@namirial45093 жыл бұрын
Mashagllah sh ngapi
@cities-flavors3 жыл бұрын
hatu uzi boss...tunarekebisha tu.
@cities-flavors2 жыл бұрын
@@namirial4509 hatu uzi boss...tunarekebisha tu.
@mwanvitaally9623 Жыл бұрын
Nauliza boss km blender ya silver crest imetoa moshi na haisagi tena mnaeza tengeneza
@twalaatali7903 Жыл бұрын
Munapatikana wapi
@twalaatali7903 Жыл бұрын
Mm Niko unguja vp nitaipata iyo
@cities-flavors Жыл бұрын
@@twalaatali7903 boss sisi ni mafundi tu, tunarekebisha tu, hatuuzi vipya boss wangu 🙏
@lyimoej71989 ай бұрын
Blenda nzuri ni yenye jagi la chuma. Haya majagi ya plastiki yana expire date. Na jagi likishaanza ku deteriorate ndiyo imeisha hiyoo
@CATHERINEKIIRU-eh6rv24 күн бұрын
Io wapata wapi Kenya mingi ni za plastic
@moshacav10612 жыл бұрын
Nipe namba zako nikupigie kibiashara
@cities-flavors2 жыл бұрын
Kama unakuja na mwendokasi Tupo : Bombaywalla appliance repair na service , Usoni na LIBYA post office/ FURNITURE CENTRE KISUTU (karibu na kituo cha mwendokasi kisutu), Nyuma ya ofisi ya serikali ya Mtaa Kisutu, duka la njano.. kama unakuja na gari, bolt, bajaj au bodaboda, tupo mtaa wa zaramo,, mbele kwa ofisi za zamani za channel ten, kisutu, dtv roundabout, usoni na choo cha kulipia kisutu, duka la njano..au google tu kwa mawasiliano zaidi, simu 0684017700
@nurumoses98452 жыл бұрын
Kaka pole na majukumu Mimi Nafanya biashala ya juisi blenda imekuwa changamoto kwangu Nina blenda 4zote zimehalibika hapa nilipo sijui ninunue ipi itakayo dumu na alafu hizi nataka zitengenezwe
@cities-flavors2 жыл бұрын
@@nurumoses9845 hizo nitumie picha zake whatsapp 0684017700 nikujulishe kama zinafaa kurekebishwa au laa na gharama zake, blenda zinazopatikana hapa bongo asilimia kubwa hazidumu kwa matumizi ya biashara boss wangu
@nurumoses98452 жыл бұрын
@@cities-flavors Picha ntakutumia kesho boss leo uwa sigungui naomba tu uniambie ntapata wapi blenda nzuli kwaajili ya kazi
@nadiashabani5757 ай бұрын
Asante sana
@eliadamadaraka37919 ай бұрын
Nahitaji blender ya biashara nahipataj
@frankkipaleni1592 Жыл бұрын
Naomba namba yenu
@cities-flavors Жыл бұрын
0684017700
@agnesmwanjisi2085 Жыл бұрын
Asante kwa maelezo mazuri sana. Naomba kujua bei za commercial blenders za Lt 2, na Lt 4. Mko wapi?
@cities-flavors Жыл бұрын
@@agnesmwanjisi2085 sisi hatuuzi boss wangu, tunarekebisha tu vifaa