Mabehewa yajaa, treni ya umeme ikianza safari ya kwanza Dar-Moro, yatumia dakika 114 kufika

  Рет қаралды 28,876

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Ай бұрын

Safari ya kwanza ya treni ya umeme kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro imekuwa gumzo ikiondoka Dar es Salaam ikiwa limejaa abiria katika mabehewa yote.
Safari hiyo imeanza leo Ijumaa Juni 14 , 2024 wakiwemo Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), Ally Karavina na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Masanja Kadogosa.
Kama ilivyotangazwa, treni hiyo ilianza safari saa 12:01 asubuhi na inatarajiwa kutumia dakika 90 kufika Morogoro.
Mwananchi Digital itakuletea hatua kwa hatua za safari hiyo na kitakachojiri katika safari ya kwanza ya kihistoria ya treni hiyo.

Пікірлер: 138
@HassaniMzee
@HassaniMzee Ай бұрын
JPM,SSH,Masanja Kadogosa na tim nzima hongereni sana
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Ай бұрын
Wautunze tu huo mradi
@shakaurembo477
@shakaurembo477 Ай бұрын
Pongezi nyingine naitoa kwa JPM🎉 Mungu akupunguzie azabu ya kabuli RIP
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 Ай бұрын
pongeziii zotee kwa mama angeamuaa kulitekelezaa angekujaaa mama yako kuliendelezaaaa kondooo wewe😂😂😂😂
@corrolesscps
@corrolesscps Ай бұрын
@@hemedrashid2921mbona ilikuwa almost imeshaisha weweeee vip. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kaiacha almost Asimia Mia Moja mpka Dodoma. Na vituo vyote vikiwa tayari, na booking ya kutengenezwa Tren huko South Korea alishailipa tayari. Huku njia inajengwa huku Treni zinatengenezwa, Kudos to Muheshimiwa late Magufuri . Akili nyingi na focus nyingi, yule ni chuma cha Africa, wangepatikana watano tu bara Africa lingekuwa Anothet level. Hata European wangetueshimu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
@@hemedrashid2921 matusi ya nini ndugu yetu, toa point yako kwa kile unachokiamini
@dismasdastan5493
@dismasdastan5493 Ай бұрын
​@@hemedrashid2921uko sawa lakini hekima ni muhimu zaidi....(Umeongea vizuri ila mwisho umeharibu)🤔
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Wazo la kimaendeleo ni muhimu. JPM amekufa Historia yake, haitafutika. JPM hayuko kwenye kaburi lenye nakishi ila kwenye mioyo yetu. Sababu alitumikia.
@fauzibinzoo6563
@fauzibinzoo6563 Ай бұрын
Magufuli wewe ni shujaa WA Africa mungu akulaze mahala pema peponi
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Mungu mbariki hayati JPM
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 Ай бұрын
Mama Samia oyeee. Vichogo chuki zimewajaa walitaka maisha yote wao tu ndio watawale znz.😂 mungu ndio mpangaji wa yote chuki hazassidii kitu.
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Ай бұрын
Mungu yupi huyo anayebariki marehemu😢😢😢😢
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Ай бұрын
@@awadhsalim2680 WATU WABAYA NYINYI
@karafuunanazi1701
@karafuunanazi1701 Ай бұрын
More blessings to my motherland
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Inapendeza sana ❤❤❤
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Kazi nzuri
@djwinnertz
@djwinnertz Ай бұрын
Nomaa sana🎉🎉 🇹🇿
@MASSOUDHUSSEIN-jj5lg
@MASSOUDHUSSEIN-jj5lg Ай бұрын
Good job ❤
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 Ай бұрын
HONGERA SANA MUHESHIMIWA KADOGOSA NA WEWE UMEPAMBANA SANAAAA NIMEKUFATILIA TOKA SIKU YA KWANZA MPAKA LEO HAKIKA UMEJITAHIDI SANA HONGERA
@ahmedronga7583
@ahmedronga7583 Ай бұрын
Nice
@salimsalim-ut4jk
@salimsalim-ut4jk Ай бұрын
Kazi nzuri lakn juweni pesa tumekopa Sasa shughuli ipo kweny uendeshaji na uboreshaji hata mwendo kasi ilikuwa hivyo hivyo Leo ipo taabani😊
@patrickwilliam4224
@patrickwilliam4224 Ай бұрын
Hakika umenena
@williamssempoli2294
@williamssempoli2294 Ай бұрын
Safi sana! Hongera sana
@2514SRK
@2514SRK Ай бұрын
Safi Sana TRC
@nadirabdullahal_hinai2016
@nadirabdullahal_hinai2016 Ай бұрын
Hasante magufuli,hasante samia,nice start❤
@kalingaasukile8730
@kalingaasukile8730 Ай бұрын
Kwa jinsi navyowajua Watanzania,nawapa mwaka mmja tuu kuwa kama Mwendokasi.Hii.jamii yetu imejaa wahatibifu na poor management
@user-ce2xg9wt4s
@user-ce2xg9wt4s Ай бұрын
Asante napenda kujua ratiba za train
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Ай бұрын
ipo kwenye page zao TRC
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Ай бұрын
Jamihur yamuungano wa Tanzania - Kazi itendeke Hongereni sana kwa Ujumla wetu Watanzania
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 Ай бұрын
God bless Tanzania
@OctavianObadia
@OctavianObadia Ай бұрын
Apongezwe dkt Magufuli ambaye ndie mwanzilishi wa miradi hii ya kimkakati
@allysimu6856
@allysimu6856 Ай бұрын
Naomba mabolesho treni zote sio sgr pekeyake zote ni zakwetu
@karyori69
@karyori69 Ай бұрын
mabolesho ndo nn?
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Ай бұрын
​@@karyori69Haelewi swali.. na hajui kwanini umemuuliza 😂
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
SemA maboresho siyo mabolesho
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Ай бұрын
Hzo zingine sio zetu tunawasaidia warundi wa mpakani😂😂😂
@karyori69
@karyori69 Ай бұрын
@@edsonnelson4464 huu ni ugonjwa wa Taifa aisee Prof Kabudi analalamika!
@emmanuelchristopher7195
@emmanuelchristopher7195 28 күн бұрын
Absolutely
@jumahili8121
@jumahili8121 Ай бұрын
Hongera mh. Dr. Samia mama yetu. 5 tena kwa mama
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Ай бұрын
Kwenda huko lijimama lenu limefanya Nini. Nyoo.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Ticket zinapatikana kituoni ? Au Kuna app Kwa ajili ya ukataji tickets? Naomba kuelimishwa hili
@daniellagianna-ll3dc
@daniellagianna-ll3dc Ай бұрын
Kuna App na vituoni zipo
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
@@daniellagianna-ll3dchiyo app inaitwaje mbona hatuipati kwenye google play?
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Ай бұрын
Nanapenda kueapongeza saasaaana.. Mungu wetu atuepushie wenye jicho labhusda.
@FrancisMaingi-yl3oz
@FrancisMaingi-yl3oz Ай бұрын
Hizo ni daladala ngapi zimepoteza kazi hebu tufikiri kabla hatujafurahi sana
@sebastiancmalisa4016
@sebastiancmalisa4016 Ай бұрын
Hayo ni mawazo mgando kwa kufikiri juu ya daladala badala ya maendeleo kwa ujumla wake, hatuangalii faida za daladala pekee bali maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla
@FrancisMaingi-yl3oz
@FrancisMaingi-yl3oz Ай бұрын
Maendeleo au kazi
@JustinePatrinius
@JustinePatrinius Ай бұрын
Ww inafaaa urudi shamba... Akili kama yako ndio sababu mpka leo tunaishi ulimwengu wa Tatu..... Ivi huko unako kaa akuna bodaboda, bajaji, na izo daladala wanafanyaje kazi? Toka mabasi ya mwendo kasi yanze uliskia daladala zimekosa kazi? Kindly go back to your school and ask for refund fee
@FrancisMaingi-yl3oz
@FrancisMaingi-yl3oz Ай бұрын
Kazi ya bodaboda na pia daladala imechukuliwa na hii treni ngoja uone vile maskini wataongezeka ndio huamini
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Hiyo reli iwe ya kibiashara pesa ijenge reli zingine
@TamuzaKale
@TamuzaKale Ай бұрын
Ilipe deni walilokopa na mishahara yao!
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e Ай бұрын
Uliskia wapi.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Na ndio ulikuwa mpango mkakati was JPM
@IBENGM
@IBENGM Ай бұрын
Wakisema iwe kibiashara watanzania hawataweza kulipa nauli mzee!
@JafarWasanda
@JafarWasanda Ай бұрын
JPM baba mung apumzishe sarama RIP Jesh hakika tuta kukumbuka kwameng
@jacksonkwayu2841
@jacksonkwayu2841 Ай бұрын
Pongezi sana kwa hatua hii. Ila muhimu kuboresha ticket zikatwe online badala ya kununua hapo kituoni. Watuwekee online na abiria aweze kuchagua seat kabisa. Pongezi
@jumahili8121
@jumahili8121 Ай бұрын
Tano tena kwa mama
@elishiliamathayo8796
@elishiliamathayo8796 Ай бұрын
Hongera serikali ya jamuhuri ya Tanzania
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
ONGERA TIMU MAENDELEO WOTE TANZANIA , ONGERA JPM ONGERA MAMA SAMIA ONGERA MKURUGENZI KADO. MWENDO WA KULA BATA TO MORO to DOM
@josephchimbunga4886
@josephchimbunga4886 Ай бұрын
Treni itatajwa sana kwenye kampeni
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j Ай бұрын
Tren mbona speed kali
@mwamibukulu7745
@mwamibukulu7745 Ай бұрын
Nasikia cooment nyingi sana za hii iitaharibika kama mwendo kasi kama mwendo kasi iko hivi hii treni haiharibiki wala nini!! Treni ya KIgoma ina miaka mia saivi mbona haijaharibika?? Hii treni itatunzwa na itaendelea mbele wala hairudi nyuma kabisa!
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Ай бұрын
Vip dar to Moshi arusha ujenz utaanza lini?
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 Ай бұрын
Magufuli aliona mbari sana
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn Ай бұрын
treni nzuri sana ila watu wanajua sio wastarabu utaanza kuona vitu vinaharibika mapema
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Ай бұрын
Mwisho wa siku CAG akipata kuwakagua apo tutaambiwa shirika linajiendesha kwa hasara, ikiafikia hapo mama inabidi awacharaze viboko, kabla ya kuwaashisha, kama kule kwenye ndege inawafanyakazi wengi kuliko ndege zilizopo
@magorymara5515
@magorymara5515 Ай бұрын
Usafi uzingatiwe si kwa Abiria wala wafanyakazi wa shirika lenyewe lakin pia viongozi wasiwe chuma ulete kwenye hizi pesa za wananchi natumai mifumo mmeiweka vizuri kila senti mnaiyona yasijekuwa kama yale ya bus zenu za mwendo kasi
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i Ай бұрын
Ina mwaga moto
@user-ms2kf3mf3q
@user-ms2kf3mf3q Ай бұрын
Akifa kikwete mama samia mfano sefu sharifu unaweza kuwaombea duwa sababu wapo kwenye dini ya haki ila leo hii umuombee duwa mkapa kauwa wapemba sana pili ni kafiri halafu mungu ampunguzie azabu mimi nnavo juwa ukifa mbaya unazidishiwa azabu na kiukweli kama hukutubu hapa duniani kabla kufa hata ukiombew duwa na dunia mzima haisaidii kitu
@ZakayoReuben-ow9tz
@ZakayoReuben-ow9tz Ай бұрын
MIREMBE HOSPITAL Kuna mgonjwa huku katoroka
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Ай бұрын
Wakristo tu ndio watakupinga.... Waisilamu waliokuwa makini enzi za Mwalimu na Mkapa wanaelewa vizuri nini yalijili na hata Mh Mkapa aliandika kitabu chake mambo aliyoyafanya....😢😢😢😢
@masetomuhafiwa4546
@masetomuhafiwa4546 Ай бұрын
unawaza dini tuu kenge wwe Mungu hana dini watu wote ni wakwake.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Ай бұрын
@@masetomuhafiwa4546 punguza utahila kijana. Hakuna kabila lolote duniani linaloamini uwepo wa Mungu zaidi ya DINI tu. Ukisema Mungu teyari umeingia katika maandiko ya kidini. Makabila yote duniani yanaamini ktk MIZIMU tu. Kwahiyo tuliza mihemko. Mungu wanayemuamini wakristo sio Mungu wanayemuamini Waisilamu. Wala Mungu wanayemuamini Wahindu siye Mungu wanaemuamini wengine. Hizo zote ni dini na kila dini inaimani juu ya Mungu wake kulingana na maandiko yake. Tena kumbuka ukisema UDINI nisawa unasema UTANZANIA. Mtanzania yeyote akiwa mzalendo ataitwa Mtanzania na hakuna anayeshangaa. Kwanini mtu ukishika dini ukaitwa MDINI mnajawa tahaluki!?...
@japhetmasatu6149
@japhetmasatu6149 Ай бұрын
JPM 👏
@josephmartin292
@josephmartin292 Ай бұрын
kadogosa vipi bhanaa,Demand kiswahili chake ni uhitaji au vipi wadau ?
@husseinhamisimwindadi2211
@husseinhamisimwindadi2211 Ай бұрын
Hayawi-hayawi,yamekuwa pongezi kwa serekali yetu na sisi...watanzania, KAZI IENDNDELEE,Aonae haambiwi TAZAMA!
@raymondsimon483
@raymondsimon483 Ай бұрын
Mbona hatuoneshi miti nje inaendaje 😅😅
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
Mtandao wa online ticket haufanyi kazi. Sijui IT ya TRC imelala !!??
@masweto
@masweto Ай бұрын
bei gani kitoka dar mpaka morogoro na siku gani na siku gani usafiri upo na muda gani please naomba jibu
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 Ай бұрын
Wazungu weusi mpo?😂😂
@officiallugano8991
@officiallugano8991 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@realdude64
@realdude64 Ай бұрын
😂😂😂😂 we jamaa una utani wa ngumi. Eti "wanzungu weusi".😂😂😂😂
@user-rp1eo7fc5d
@user-rp1eo7fc5d Ай бұрын
HAYATI JPM HONGERA
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
J.P.M
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 Ай бұрын
Hahahaaaa😂😂😂😂😂. Yake yashapita. Mama ssmia oyeeeeee wenye chuki na wivu wacha waumie tu. Hapa kazi tu.
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 Ай бұрын
Wajiepushe tu na mizengwe yakupata tiketi isiwe Deluxe ambayo wanaleta ugumu wakupata tiketi ili wapewe rushwa
@mustafachihepo5343
@mustafachihepo5343 Ай бұрын
Mpongeze pia alomaliza ujenzi nongwa hazifai
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Ай бұрын
Muutunze huo mradi jamani
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Ай бұрын
Hongereni sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu mtarajiwa jamani Madamu Rais mpenzi wangu jamani hakika naamini hii ni hatua muhimu sana katika kuiboresha sekta ya Reli jamani jamani Madamu Rais mpenzi wangu jamani.
@The1979bornagain
@The1979bornagain Ай бұрын
Eti Rais Samia kawalipia nauli hawa wote 600. Is it true?
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Ай бұрын
Kenya 🇰🇪 mpooo hahahaa vipi ile ya diesel inaendeleaje hebu nielezeni huko Nairobi
@FrancisMaingi-yl3oz
@FrancisMaingi-yl3oz Ай бұрын
Mmeuza mbandari ndio hii mkebe ianze safari
@machumujuma6399
@machumujuma6399 Ай бұрын
Kumbe imeanza hii chuma
@muzneali4747
@muzneali4747 Ай бұрын
Wekeni kilo za MIZIGO kama kwenye ndege HIYO itasaidia
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 Ай бұрын
Nani kasema wa Tanzania hawaendi na muda... Kila siku wanasafiri na usafiri nyingi zina muda maalumu na watanzania wanasafiri hizo safari...kwakuendana na muda
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in Ай бұрын
Usafi ni muhimu maana sisi wa Tz😮
@MorsadHamisi-nz4rd
@MorsadHamisi-nz4rd Ай бұрын
Kama yana jaa nijambo zuri mana malengo yata timia
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y Ай бұрын
Tujipongeze Watanzania kwa Ujasiri na maamuzi magumu ya JPM
@kamilikapeta2574
@kamilikapeta2574 Ай бұрын
Tmefika ila techoka
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 Ай бұрын
Jpm kafa au bado????
@omaryabdul02
@omaryabdul02 Ай бұрын
Masaa mawili kutoka Dar to Moro... Sio hujuma hizo kweli? Tunataka tuone tofauti ya kupanda basi,sio mnafanya mambo ili tuwalinda wafanyabiashara wa mabasi
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
😂😂simseme tu masaa2 Dar to Moro eeeeh au mnataka kusema trafiki kasimamisha treni njiani
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 Ай бұрын
Kwa basi ni masaa mangapi
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
Hii sio treni express, hii inasimama kila kituo/stesheni. Express haizidi saa na nusu
@akidashekue163
@akidashekue163 Ай бұрын
Duh dakika 114 kwa kilometre 196 iko slow sana
@RaymondNjengo-bq1zc
@RaymondNjengo-bq1zc Ай бұрын
Basi linatumia saa 4 Dar es Salaam to Morogoro na Train ya Umeme inatumia chini saa 2 hivyo Train ina mwendo zaidi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Ай бұрын
😂😂😂 siongei kitu maana naona kuna watu wamelipwa waje kucomment 😂😂😂 Kuna comment ukizisoma tu hauhijati elimu ya shule unaelewa huyu kalipwa... 😂
@agastokissatu2667
@agastokissatu2667 Ай бұрын
Pumzika kwa amani JPM.....😂😂😂
@user-tm8rp2jh6x
@user-tm8rp2jh6x Ай бұрын
Magufulification in africa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Tujipongeze watanzania wote
@Jojojojojo-w4y
@Jojojojojo-w4y Ай бұрын
MAGUFULI NIKUPE NINI JAMANI..UNGEKUWEPO BASI
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Ай бұрын
Wanao msifia maghufuri hamna akili kabisa hili jambo ni lakiserikali kama timu marehemu magu akanzisha na mtangulizi wake mama samia ndio alielisimamia kwenda kuomba mikopo kila sehemu ili alimalize hili sasa wakusufiwa wote mpaka mjenzi wa reli
@tonyaron1194
@tonyaron1194 Ай бұрын
Mm simpongezi mtu mwingine Zaid ya Mhe Rais Samia kwa kuendeleza mradi huu maana angeuacha tusingekua hapa
@claudbusumilo3979
@claudbusumilo3979 Ай бұрын
JPM ...JPM .... JPM...NAKUITA UNISIKIE NI WEWE NDIO MWENYE HILI MUNGU AKUPE PUMZIKO LA AMANI WATANZANIA TUNAKUOMBEA SANA
@kilemilyimo
@kilemilyimo Ай бұрын
Tunawapongeza. Tunaomba nauli ipungue kidogo. Dar hadi Moro kwa nauli ya 13,000/- bado ni juu.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Kapande Abood , iyo treni imetumia pesa nyingi na ujenzi wa reli na lazma pesa zirudi pili huduma na muda ni tofauti unalipia ubora na uharaka sasa kama ni bei nenda kapande kimbinyiko
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Ай бұрын
😂😂😂
@J_Jeromy
@J_Jeromy Ай бұрын
😂😂😂
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 Ай бұрын
Mwambie bibi yko au babu yako akuazime usafiri wake huto lipia hata sumni nyie ndio wale zikifa tulisema😒
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Kapande coaster unafika hata kwa elfu tatu ila safari ya saa moja unatumia masaa sita hiki chuma ni cha kibiashara unapanda kwa uhakika safari ya masaa manne unatumia saa moja tu unafanya mabo yako na mapema na kugeuza bila kuchoka, tumia pesa ukuzoee jenga tamaduni ya kuokoa muda ili uweze kuingiza pesa zaidi.
@doctornature-zb3jj
@doctornature-zb3jj Ай бұрын
MAMA ANAUPIGA MWINGI
@user-ms2kf3mf3q
@user-ms2kf3mf3q Ай бұрын
Ukifa wakati kuwa ni mkiristo azabu ya kaburi utapunguziwa vipi mjomba dini ya haki ni uslam na uwislamu wenyewe uwe unaswali usiwe muislam wakina harmoniz wa kuvaa shanga cheni n. K by duli chondoma
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Ай бұрын
Waslam wote wameshlikiwa akili namajini ili msiujue ukweli upo wap yesu ni njia ya kwer na uzima wewe kumbatia majini yako yanao kufundisha chuki ili muingie wote motoni namajini wenu
@kareemupdates
@kareemupdates Ай бұрын
@sebastiancmalisa4016
@sebastiancmalisa4016 Ай бұрын
Hii ndio Tz tunayoitaka, ila serikali iwe makini na miradi km hii huwa wanaanza vzr mwisho inakufa, kwa kwl walaaniwe wote watakaohujumu miradi hii ya manufaa kwa wananchi Hayati JPM huku uliko pumzika kwa amani kwa maono yako mazr kwa mustakabali wa maendeleo ya waTz
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 5 МЛН
The WORST Train in AFRICA!
20:24
Backpacker Ben
Рет қаралды 289 М.